You are on page 1of 30

TUMETOKA WAPI, TUKO WAPI, TUNAKWENDA WAPI NA TUFANYE NINI ILI TUFIKE TUNAKOTAKA!

HOTUBA YA MWALIMU JULIUS K. NYERERE ALIYITOA WAKATI WA KILELE CHA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MBEYA MEI 1, 1995.

Mwa !"# Nyerere alialikwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kitaifaUwanja wa Sokoine Mjini Mbeya Mei 1 1!!". #atika hotuba yake Mwalimu alielezea historia ya $yama %ya Wafanyakazi &uniani. 'i&ha alitumia fursa hiyo kutoa maoni yake kuhusu hali ya kisiasa na kiuchumi nchini (amoja na ushauri kuhusu mambo ambayo wananchi wana(aswa kuzingatia wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi wa )ktoba mwaka ule. *asa sifa za wagombea nafasi za uongozi kuwa ni (amoja na kila mmoja kujiuliza ataifanyia nini nchi yake baa&a ya kuchaguliwa na anakwen&a kufanya nini +kulu, +fuatayo ni hotuba ya Mwalimu. Ni muhimu kukumbuka kuwa hotuba hii imefuata mlolongo wa mazungumzo ambayo -aba wa .aifa alikuwa nayo kwa wananchi katika maeneo mbalimbali amba(o alikuwa anajaribu kuamsha &hamira ya %iongozi wetu wa wakati ule. *otuba hii ni miongoni mwa hotuba ambazo ukweli wa hoja zake ni hazina kubwa kwa %izazi %ija%yo %ya Watanzania.

Mwenyekiti wa )..U $iongozi wa )..U $iongozi wa Serikali $iongozi wa Ma&hehebu ya Dini Mkoani na Wananchi wote wa Mkoa na Mji wa Mbeya. UTAN$ULIZI Sa%a%# &a '#'a(aa "wa !') wa "wa'a # !)*!(a +a '##'#%a ! "wa !') wa "wa'a ,##/ #wanza kabisa na(en&a kuwashukuru %iongozi wa )..U

ambao walinijia na kuniomba nishiriki katika shughuli hii ya leo. Shukurani ya (ili nataka kutoa kwa wananchi wa mjini Mbeya na mkoani Mbeya jinsi mli%yoni(okea tangu jana m(aka leo. 'hsanteni sana. Ninyi siku zote (amoja na mimi tulikuwa tunazo tabia zetu za maa&ili ya kumwalika Rais wa 0amhuri ya Muungano wa .anzania kuwa n&iye awe Mgeni Rasmi katika shughuli hii. #weli najua sasa taratibu zimeba&ilika %yama %ingi %ya siasa na ka&halika 1akini hata hi%yo ba&o mnaweza Mgeni wenu Rasmi kuwa Rais. Mwaka huu hamkusu&ii mnakuja kunialika mimi? Sababu ya (ili ya kukataa 2mwaka jana3 ni ile niliyowambia. Mwaka huu mmegomeana na Serikali. Sasa mwaka ambao mmefanya mgomo na Serikali kuja kuniomba niwe Mgeni Rasmi katika shughuli kama hiyo n&iyo tunatoa ujumbe gani, Ujumbe wa namna yo yote ile mimi siwezi kuutoa. Nilikataa. Nasema hizo n&izo sababu zangu za msingi za kuwakatalia mwaka jana na kuwakubalia mwaka huu. $ijana niliowakatalia n&io hawa. Sasa mwaka huu niwakatalie tena, 'ngalao hiyo ni sababu moja ya kuwakubalia mwaka huu. *uwezi kuwakatalia mwaka hata mwaka4 Sababu yangu ya (ili iliyonifanya nikakubali ni kwamba huu ni mwaka wa uchaguzi. Sasa mwaka wa uchaguzi lazima wote tushirikiane kusema tunakwen&a wa(i, Nafasi

kama hii ni nzuri kwa mtu ye yote mwenye mawazo kusema jamani huu ni wakati wa uchaguzi tunakwenda wapi? Nika&hani ni nafasi nzuri mkini(a niitumie kutoa maoni yangu. Si yote. Ni baa&hi lakini ni sehemu ya maoni yangu katika jitiha&a za kusai&iana kuelewa (#+a()'a wa*!, (#') wa*! +a (#+a'w-+.a wa*!. Na 'a"a (#+a(a'a 'w-+.a ,#'), (#/a+0-1- ! ! (#/!',#'). T#2!1- (#'a2,(#'!a (#+a*- -'wa "a,a a a"%a') 2!') (# !')'#wa (#+a'#2!.!a 'w-+.a. *izo n&izo sababu zangu kubwa za kuwa ha(a. *asa ya (ili n&iyo iliyonifanya nikakubali kuja ha(a. #wa hiyo kwanza ninawa(ongezeni n&ugu wafanyakazi kwa siku ya leo Siku ya Wafanyakazi Duniani. .unaia&himisha &unia nzima. CHIMBUKO LA 3YAMA 3YA WAFANYAKAZI DUNIANI NA HAJA YA MSHIKAMANO Wazo la kuwa na %yama %ya wafanyakazi &uniani kwamba wawe na mshikamano na umoja wa kutetea maslahi yao sio wazo la .anzania wala la nchi zilizoen&elea. #usema kweli kwa historia lilianza huko Marekani na lilikubalika. Wafanyakazi wa wakati huo katika nchi ambazo maen&eleo yake yalikuwa mazuri waliamua wafanye mshikamano wa kuleta maen&eleo yao na hasa ya ku(ambana na waajiri wao. Mwajiri anaanzisha shughuli yake na anafanya kwa ngu%u zake mwenyewe. 'nataka kulima na analima kwa ngu%u zake mwenyewe. #ama anataka kufungua kiwan&a chake cha mbao maana ninyi ni wafanyakazi ina(asa nizungumzie habari ya %iwan&a ba&ala ya kilimo anafungua kiwan&a chake cha kutengeneza samani. 'naweza kutumia %itu %yake mwenyewe na akawa anafanya kazi na seremala mmoja. 'takuwa ame(ata ran&a meza (atasi na kila kitu chake. 'nafanya kazi yake mwenyewe anatengeneza %itu %yake anauza na ana(ata hicho anachoki(ata. *icho anachoki(ata kinatokana na ngu%u yake mwenyewe. 'nataka mbao na anatengeneza. Mtu anamwen&ea na kumwambia 5mimi nataka meza bwana6

anamtengenezea.

+nabi&i mwenyewe ashughulike na meza hii m(aka inakuwa nzuri. 'na(ata kile anacho(ata. Nyingine anafi&ia zile gharama zake za meza ran&a na za %yombo %ingine %yote hi%yo. *alafu kinachobaki cho chote n&iyo maslahi yake. 1akini kile anacho(ata kinatokana na jasho lake mwenyewe. 'kitoka ha(o anaweza kuwa mshiriki na mwenzake washirikiane wote wawili na sio kwamba mmoja atamwajiri mwingine. *a(ana4 Wote wawili watafanya kazi kwa (amoja. Watasai&iana %izuri zai&i wakifanya (amoja. Wao %ile %ile wanaweza waka(ata maslahi kutokana na ngu%u zao wenyewe. Mwanzo wa dhuluma ya unyonyaji Wakitoka ha(o nao wakajifanya ni waajiri wanaotaka kuwaajiri wengine shughuli ile si ya hawa walioajiriwa tena. Ni ya hawa wawili tu. Wakisha kuwaingiza wengine hao si yao. Wanasema. Sasa njoo ha(a tusai&ie kutengeneza meza %itan&a ma&irisha na milango. 1akini meza ina(okuwa imekwisha tunaiuza. Si mali yenu ninyi wafanyakazi. Ni mali yetu. Ninyi chenu humu ni ule mshahara na wala sio fai&a itakayo(atikana humu. 7ai&a [baada ya kutoa gharama zote za ununuzi wa mbao, usafirishaji wa mbao zote zile pamoja na gharama za kuwaajiri ninyi mwitoe meza hii - kwa kuwa mishahara yenu ni sehemu ya gharama] nikitoa gharama zote hizi kinachobakia ni changu.

Sasa ile inayobaki baa&a ya kutoa gharama hizo inaweza kuwa kubwa na inaweza kuwa n&ogo. +nategemea sana gharama zilikuwaje. #ama gharama za kununulia mbao zilikuwa kubwa zinani(unguzia fai&a yangu. #ama gharama za wafanyakazi ni kubwa mishahara ya wafanyakazi kama ilikuwa mikubwa inani(unguzia fai&a yangu. #wa hiyo si(en&i %yote %iwili. Si(en&i muuza mbao aniuzie aghali na si(en&i mfanyakazi a&ai mshahara mkubwa. Na(en&a wote waniuzie rahisi. Nataka mbao kiurahisi nataka mishahara iwe chini. *a(o n&i(o nina(o(ata fai&a kiuchumi. *ili sijambo la ajabu la wazungu wenzetu wanaojua bali ni la kila mtu mwenye akili kama zenu kutokana na mtiririko wa mantiki wa hoja yenyewe. #wamba mimi nataka

mshahara wenu uwe m&ogo kwa kuwa fai&a yangu inatokana na mshahara wenu kuwa m&ogo. Sasa ninyi mtasema/ ALAA Bwana Mkubwa, kazi tufanye sisi halafu wewe utupe mshahara mdogo !ukufanyie kazi wewe" -asi uone iwa(o tutakufanyia.

U")1a +a "2,!'a"a+) +.!) 2! a,a 4a '#*a"%a+a +a .,# #!#a 0a #+0)+0a1! #ama watakuwa wananiambia mmoja mmoja nitawafukuza. Unakuja (eke yako na unaniambia 1akini Mzee sasa mimi nataka uniongeze mshahara. Nitakuambia. Unaniambia nini wewe, Unasema niku(e mshahara wa shilingi nga(i, Utajibu. 'h kama utaka%yoona lakini uniongeze. Mungu anaona na Mtume. Nikaona ki&omo&omo chake huyu Nikamuambia/ Unataka mshahara huo ninaoku(a sasa hi%i, Nyamaza na nen&a kafanye kazi huku utachagua. #ama hutaki toka. #azi sikukuomba. Ulikuja mwenyewe. Nitakutisha hi%yo. Ukifikiri mchezo nitakufukuza. Na wenzako watajua kafukuzwa kwa nini yule. 'me&ai mshahara mwingi. Mimi kimya4 Wengine hawatathubutu tena maana watafikiri. Nikisemasema ha(a na mimi nitatimuliwa na watoto wana njaa. Nikitimuliwa nita(ata taabu. Wewe unaonaje, 'naen&elea huyu kukunyanyasa. #ama anaweza kuwanyonya wauza mbao na kukunyonya wewe mfanyakazi atawanyonyeni wote m(aka wauza mbao washirikiane kwa (amoja wa(ate bei nzuri. M*a'a wa/a+0a'a&! wa2,!5!'!a+- 'wa *a5+)1a wa*a(- "!2,a,a5a "!&#5!. B! a '#2,!5!'!a+a, ,awa*a(! "!2,a,a5a "!&#5!. *ii n&iyo asili ya kuanzisha $yama %ya Wafanyakazi. Nasema hamku%ianzisha ninyi %ilianzishwa zamani tena Marekani. 1akini Marekani ha%ikuwa na ngu%u sana. $ilikuwa na ngu%u zai&i Ulaya. *ata hi%yo ha%ina ngu%u sana tena Ulaya. Sitaki kuingilia na kulien&eleza hili kwa kuwa %iongozi wenu kama wanaelewa watawaelezeni. 8amani $yama %ya Wafanyakazi %ilianzisha mshikamano wa Wafanyakazi Duniani. #auli mbiu yake ilikuwa Wa/a+0a'a&! D#+!a+! U+6a+-+!. *amna cha #u(oteza isi(okuwa minyororo 0-+#. Mantiki ya kauli mbiu hiyo i1ikuwa kwamba kwa kuwa mmefungwa minyororo na mmenyonywa unganeni. *uo ulikuwa n&io ujumbe wa kauli

rnbiu hiyo kwa Wafanyakazi Dunia nzima..*ata hi%yo

sisi hatukuwa(o.

TUMETOKA WAPI7 Ha(#'#wa wa")1a *ii ni nchi m(ya na n&iyo ambayo tumekuwa tunajaribu kuijenga. #wanza .anganyika kwa mu&a mfu(i na halafu .anzania. K#2-"a 'w- !, 2!2! w-+6!+- "a!2,a 0-(# 0a #5a!2 w-(# +! wa +8,! !+a0)!(wa Ta+&a+!a. Nili(okuwa rais wenu ni1ifanya juhu&i za kukomboa eneo hili linaloitwa .anganyika. 1akini uongozi wangu niliowaongoza ninyi katika nchi huru inayojitawala na raia &uniani wa nchi huru inayojitawala. Niliwaongozeni katika nchi inayoitwa .anzania. .anganyika niliwaongozeni kwa mu&a mfu(i tu9 tangu Disemba 1!:; m(aka '(rili 1!:< basi. #i(in&i changu kingine chote niliongoza nchi inayoitwa .anzania siyo .anganyika. #wa kweli 2!!1#! Ta+6a+0!'a 0a wa(# ,#5#. Ni mu&a mfu(i mno. Nchi hii .anganyika ni nchi changa. Watu wake waliwekwa katika sehemu inayoitwa moja na Wajerumani. Wamakon&e na Wazanaki hawakuwa wamoja. Waliwekwa (amoja na Wajerumani ili watawaliwe. 0itiha&a ya kuwafanya wawe (amoja na kuanza kusema 5Ninyi ni Wamoja6 haikufanywa na Wajerumani. *akuna Wajerumani arnbao wangeweza kusema 5Ninyi ni Wamoja6 kwa kuwa lengo lao halikuwa kujenga umoja. Wajuremani walichoweza kuserna ni kwamba 5Ninyi ni .ofauti Ninyi ni .ofauti46 ili waen&elee kututawala. 0itiha&a ya kwanza ya &hati ya kusema 5Ninyi ni Wamoja6 ilikuwa ni yetu sisi tuli(oanzisha chama cha .'NU. Shabaha yake kubwa ilikuwa ni kujaribu kujenga umoja ili tuwatimue Waingereza. 1akini mbinu yake ya kwanza kabisa iliyotajwa ilikuwa ni kufuta ukabila. 5Sahau Ukabila46 tulitamka kwa ukali. Wale ambao lab&a m(aka leo wanako kakitabu ka milango ya historia ka #atiba ya .'NU wataona tumeshambulia kitu ukabila. .ukaanza hatua ya kwanza kabisa kusema 5Sisi ni .aifa6. 1akini halikuwa likiitwa taifa la .anganyika. T#1-+6- "!2!+6! 4a #")1a ! ! (#- -wa+- +a (#1#a+- '#wa +! wa")1a +a +! +.#6#

Nataka kusisitiza nini/ #wamba sisi ni taifa changa miongoni mwa mataifa machanga. .aifa hili halijajenga mizizi mirefu ya kuwa taifa huru kuwakaribia Waingereza. Waingereza wana miaka minga(i, Sijui lab&a elfu na zai&i. #atika mataifa machanga &uniani moja ni Marekani. 1akini Marekani wana miaka mia mbili na zai&i ya kuwa taifa. $itaifa %ingi %ya Ulaya %ina miaka mingi tu4 Mataifa machanga haya lazima yajenge misingi inayowafanya raia wake wajiite 2!2!.

.umejitahi&i na n&i%yo jitiha&a zetu zili%yokuwa. 1akini ukijenga nchi moja unajenga misingi ya umoja ili tuelewane na tujuane kwamba sisi ni wamoja ni n&ugu. #ama tunahangaika kufanya kazi ha(a tunahangaika kwa (amoja. #ama tunahangaikia ulinzi tunalin&a nchi yetu kwa maslahi yetu (amoja. .unaulizana 5nini mahitaji yenu,6 .unajitahi&i wote tunaya(ata. #ama tunataka elimu tunasai&iana wote tu(ate elimu. #iyo tuseme kwamba wengine wa(ate elimu wengine wasi(ate. #ama tunataka afya tunataka kujitahi&i wote tuweze kutafuta njia kusu&i wote wote tu(ate afya wote tuwe na afya. S!0) w-+6!+- wa*a(- a/0a w-+6!+- wa2!*a(-. #ama tunataka nyumba nzuri wote tujitahi&i kwa (amoja tuone kwamba tunajenga mazingira wezesha yatakayohakikisha kuwa kila Mtanzania atakuwa na nyumba nzuri kwa (amoja. *a(o n&i(o tunaweza kushirikiana tujenge nchi (amoja.

A&!"!) a A5#2,a +a S!a2a 0a TANU 0a U1a"aa +a K#1!(-6-"-a .ukaweka kitu kimoja ha(a kinaitwa Azimio la Arusha 1eo naru&ia kusoma 'zimio la 'rusha ,a(a 'a"a ,a" !(a'!. #ama kuna watu .anzania hawajali wachukue waanze kulisoma ili waone na waniambie wana$hokiona mle kibaya ni nini hasa. 'some tu kwa &hati tu na kisha aseme hiki ni kibaya. S!a2a 4a U1a"aa 1inasema Azimio la Arusha, kwa msingi kabisa kwamba 5Nchi.yetu ni ya Wakulima na Wafa=yakazi6. Sasa mnasemaje, +meacha kuwa ni nchi ya Wakulima na Wafanyakazi,

#wa hiyo kama tunaijenga nchi hii tunaijenga kwa fai&a ya Wakulima na Wafanyakazi. N&i%yo 'zimio +a 'rusha lina%yosema. U'w- ! ,#) #"-'w!2,a7 U"-/#(!'a7 Umefutwa na nani, Nini kimefuta ukweli huo kwamba nchi hii ni ya Wakulima na Wafanyakazi, Ninyi ha(a ni Wakulima na Wafanyakazi. Mtaona wafanyabiashara wa&ogo wa&ogo siku hizi wengine wanaitwa %ama$hinga 1akini hasa hasa nchi hii ba&o ni nchi ya Wakulima na Wafanyakazi. #ama tutafanya jitiha&a za kuijenga nchi hii tutajenga uchumi wake na hu&uma zake za umma ambazo lazima ziwafae Wakulima na Wafanyakazi. &ali hiyo imebadilika lini" S!a2a 4a K#1!(-6-"-a .ukasema kwamba 5*atuna bu&i kujenga nchi hii kwa kujitegemea6. *atuwezi kuwa tunataka maslahi yetu ya Watanzania ya afya bora maisha bora na elimu nzuri lakini eti (#.,a+! (#+a0- "1)"%a ,#') +1- a(a'#1a '#(# -(-a "a2 a,! ,a0) . *'.UN'4 .utajenga nchi hii kwa fai&a yetu wenyewe sisi wenyewe. 'ki(atikana mtu kutusai&ia tutamshukuru. 1akini kazi ya kujenga nchi hii kwa manufaa ya Watanzania wote ni 'a&! 0a Wa(a+&a+!a, 2! 'a&! 0a "(# "w!+6!+-. Msimamo huo tukauita #iasa ya 'ujitegemea Msingi huo umekufa. *i%i mmesha(ata mjomba" *i%i kweli mtawa&anganya Wafanyakazi hawa msiwambie 5cha(eni kazi kama mnataka maslahi yenu yaboreshwe tucha(e kazi kwa fai&a yetu46 .uache kuwambia wakulima kwamba 5kama tunataka maen&eleo tucha(e kazi hi%yo hi%yo6. *i%i mtawambia hawa kwamba 5tumesha(ata mjomba msiwe na wasiwasi46 Mjomba huyo ni nani, Mimi nitafurahi kumwona. Nitakwen&a kumwona lakini sitamwuliza lo lote. Nitafurahi kumwona. &alafu mkinionyesha, (ndiye huyu mjomba), nita$heeka** *ali ya nchi hii haijaba&ilika hata ki&ogo. .anaweza kujenga nchi kwa maslahi ya Watanzania kwa siasa ya kujitegemea tu lakini kwa manufaa ya wote. Ma+#/aa 0a w)(- +.!8,) (# !8,)'!!(a #1a"aa. N8,! 0a K!1a"aa 9N8,! 0a U1a"aa:, (#'a2-"a, 9+! +8,! a"%a') kila "(# a+a/a+0a 'a&!. Ka"a +! "'# !"a, a+a/a+0a 'a&!; 'a"a +! "/a+0a'a&!, a+a/a+0a 'a&!:. L! ! )'#wa a "2!+6!

+a !+a )(awa a +! "/a+0a'a&!< maslahi yanatokana na kazi yake na jasho lake Wa(# a"%a) ,awa+a # a&!"a, '!"2!+6! ya ku(ata maslahi yao kutokana na jasho lao wenyewe wa(o. Watoto wadogo hawana jukumu hilo. >ti chakula chao kitokane na ngu%u zao wenyewe, *ao ni wanyonyaji wa haki sawa kwani wanawanyonya mama zao. Ni haki yao. 1akini zee na ma&e%u yake hatulitazamii limnyonye mama yake. Watoto wa&ogo tu wanayo haki hiyo. $ile %ile kuna watu am ao hawana uwezo wowote ule wa kujifanyia kazi- sio uwezo wa kutokuwa na kazi4 Wako watu hawawezi. Wana %ilema fulani ambao hawawezi kufanya kazi waji(atie riziki kwa kazi na kwa ngu%u zao wenyewe. *awa wana haki ya kulishwa na kutunzwa na umma (amoja na jumuiya zote. *ali ka&halika wako watu wazima am ao wamefanya kazi zao. Wali(ofika umri wao wa kushin&wa hawawezi kufanya kazi tena. 'h basi tena. *awajiwezi hawa tuwatunze. *awa ni haki kuwatunza. Wamo watu wa aina hiyo wanajulikana kila mahala.

N8,! 0a K!%-*a5! *ata hi%yo mbali ya makun&i hayo wa(o watu wengine ambao wanapata riziki yao kwa kufanya kazi na wengine wanapata riziki yao kwa kafanyiwa kazi. Nasema nchi ya namna hiyo inaitwa ya ki epari. Nchi inakubali wengine wafanye kazi na ku(ata riziki yao kwa jasho kama ina%yosema misahafu wengine wanafanyakazi kwa kunyonya kama watoto wa&ogo kama %ile %ilema na %izee. Ni majitu yanakaa na uwezo wao yanatumia wengine kama %yombo. #wa hiyo mfanyakazi na ran&a ni sawa sawa. Nasema nchi ya namna hiyo inaitwa ni nchi ya kibe(ari. Sasa katika &unia ya siku hizi maneno hayo si inazuri sana kuyasema. Na mimi nawakumbusheni tu na wala sijayasema4 Mimi sina taabu nawakumbusheni tu. *ill Azimio la Arusha, ambalo sasa mnalitemea mate lilikuwa linasema hi%yo na kutokana nalo kuna mambo fulani tukaanza kuya(ata.

BAADHI YA MATUNDA YA AZIMIO LA ARUSHA Moja ya mambo yanayo(aswa kuzingatiwa ni la hali yetu mbo%u ili%yokuwa kwanza wakati tunajitawala. Nchi tuliyoi(okea kutoka kwa wakoloni ilikuwa ni masikini sana. +likuwa nyuma kabisa kwa u(an&e wa elimu. .uli(ojitawala tulikuwa +a wa,a+.!2! waw! !. K!1a+a "")1a a !!(wa M%#0a +a a !/a5!'! 'a(!'a "!a'a "!w! ! ,!4! %aa.a 0a '#1!(awa a. T# !'#wa +a "a.a'(a5! '#"! +a waw! ! wa'a(! (#+a1!(awa a "wa'a wa 2!(!+! +a ")1a. K#1-+6a #=,#"! wa 4!wa+.a .ukaanza shughuli ya kujenga uchumi wetu. Natumaini nitazungumzia hili la %iwan&a. Nchi zinazoen&elea &uniani ?kama Marekani ya #askazini Marekani yenyewe na #ana&a Ulaya hasa Ulaya Magharibi na 0a(ani@ na maana moja ya kuen&elea ni kwamba uchumi wake unategemea %iwan&a. $iwan&a n&i%yo %inatengeneza %i(aza sauti kamera zetu tunazotumia sasa naka&halika. Maana ya maen&eleo ya leo ya uchumi wenye ngu%u ni maen&eleo ya %iwan&a. Nchi yenye %iwan&a tunasema ni nchi iliyoen&elea. *ata hi%yo tuna maana nyingine ya nchi zilizoen&elea ya kuziita ni nchi zenye %iwan&a. Nchi haiwezi kuen&elea bila kuwa na %iwan&a %ya kisasa. 3!wa+.a 40a +6#) +.!) 5a,!2! '#a+&a +a40)< ,!2()5!a 0a #(awa a wa Wa!+6-5-&a I+.!a Wakati tunajitawala hatukuwa na %iwan&a. .ulikuwa tunalima kahawa mkonge na (amba lakini (#+a+#&a 40)(- +1-. Mimi najua ki&ogo historia ya Uingereza ilikuwa n&iyo nchi ya kwanza &uniani kuanza maen&eleo ya kisasa ya %iwan&a. Sekta moja ya %iwan&a walioanza nayo ambayo ilikuwa rahisi wakati huo na leo ni rahisi zai&i ilikuwa ya kutengeneza nguo. Waingereza wakaitumia na wakajenga %iwan&a. Nguo zao zikawa zinatokana na %iwan&a %yao. $ile %ile walikuwa wana &ola kubwa. Walikuwa wanatutawala sisi 'frika

wanawatawala 'sia na wanatawala sehemu nyingine za 'merika lakini hasa 'frika na

'sia. Wali(oingia +n&ia walikuta Wahin&i tayari wanatengeneza nguo zao kwa mashini. Wakawaza 5hata Wahin&i nao wanatengeneza nguo4 *aina maana6. Wakawazuia Wahin&i kutengeneza nguo kusu&i soko &uniani liwe la Waingereza/ liwe huru lisizuiwe zuiwe. Namna moja kulifanya soko hilo kuwa huru ilikuwa ni kwa ku%itawala %ijitu hi%i halafu unauza %itu %yako. Wenyewe n&i%yo wali%yoanza na %iwan&a %ya nguo na baa&aye wakaongeza %ingine na hatima yake Waingereza wakawa wakubwa. Wenzao &uniani wakaona 5'laa hi%i $ingereza tuna%iachia %inaen&elea namna hii kwa nini,6. Wakaanza mambo wakagombana gombana waka(igana (igana na wakanyangA anyana. .uli(ojitawala mwaka sitini na moja tulikuwa tunajua mambo haya ija(okuwa tulikuwa wachache kwamba nchi haiwezi kuen&elea na kuwa ya kisasa bila %iwan&a. Mtawachumia (amba wakubwa hawa na kukata miwa. *iyo ilikuwa sababu moja ya kuleta utumwa ili kuwachukua Waafrika waen&e Marekani wakachume (amba na wakakate miwa. -aa&a ya ku(ata uhuru tukajiuliza. 1eo tunajitawala tuen&elee kuchuma (amba na kukata miwa, .ukaamua/ .uanze kujenga %iwan&a kwa kuwa sisi tunalima (amba. Kwa ,!0), 2,#6,# ! 0a 'wa+&a 'a%!2a (#(a'a0)a+&a +a0) +! 0a '#1-+6a 4!wa+.a 40a +6#). Nikawaomba wanaojua mambo haya ya %iwan&a &uniani. Wakati huo sisi wenyewe hatukuwa na watalaam. Nikawaeleza watu hawa maneno haya/ *i%i tunajitawala tuen&elee kuuza (amba ghafi nje, Nataka nianze kutengeneza nguo ha(a .anzania. Wa'a+!2,a#5! +a wa'a+!a"%!a Mwa !"#, "+aw-&a '#a+&a '#(-+6-+-&a +6#) '#()'a *a"%a 0-+# ,a*a. J-+6a #w-&) ! ! Ta+&a+!a !w-&- '#(#"!a a2! !"!a (,-"a+!+! +a (a+) >?5@A 0a *a"%a !+a0) !"wa Ta+&a+!a '#(-+6-+-&a +6#) ,a*a ,a*a.

Walinishauri nijenge uwezo n&ani ya .anzania wa kutumia asilimia themanini na tano 2B"C3 ya (amba yetu ha(a ha(a. 'silimia kumi na tano 21"C3 ya (amba iliyobaki ama

tunaweza tuitumie wenyewe ha(a ha(a au tunaweza kuiuza nje. *iyo ilikuwa safi sana kwamba tujenge %iwan&a kwa makusu&i kabisa. Wakati ule hata mimi ningekuwa na sera za kibe(ari ningejenga %iwan&a. Mabe(ari n&io walioanza %iwan&a na %iwan&a %yenyewe hi%yo ha%ikuwa na sera ya ube(ari au ujamaa. $ilikuwa ni %iwan&a tu4 Sasa tukaanza kujenga %iwan&a %ya nguo na sasa sitaki kusema sana juu ya jambo hili.

TUKO WAPI B MAKOSA YA UBINAFSISHAJI WA MASHIRIKA YA UMMA 0uzi juzi wakati ni(o (ale Do&oma %ijana walinikumbusha. Mwalimu uli(otoka uliacha %iwan&a %ya nguo %ya #""a '#"! +a 4!w! !. #ati ya %iwan&a hi%yo kumi na %iwili kumi %imefungwa na %iwili %ili%yobaki kimoja hatujui hata kama kita(ata (amba. .usi(oangalia %yote %iwili %ili%yobaki %itafungwa. J## 0a Ma2,!5!'a 0a U""a Nataka kusema ki&ogo juu ya hiki kitu kinachoitwa mashirika ya umma. Sijui yananuka, *ata hi%yo hata kama yananuka nataka kujua kwa nini 0a+a+#'a. 1azima tujiulize kwa nini yananuka. Sababu ya kusema hi%i ni kwamba mimi nilikuwa sijui lakini %ijana walinikumbusha wakaniambia 5Mwalimu uli(on&oka uliacha kumi na mbili6 Mimi kitu kimoja nilichokuwa nakifikiria ni kwamba sasa %iwan&a %yetu %ya nguo %ilikuwa %inafikia shabaha ile tuliyokuwa tunataka ya kuweza kutumia asilimia themanini na tano 2B"C3 ya (amba ha(a nyumbani. Nili(owauliza %ijana kwa nini %iwan&a kumi %imefungwa na %iwili %ili%yobaki %i(o katika hatari ya kufungwa nilielezwa kwamba kuna sera inayoitwa sera ya u inafsishaji. DDM wasiogo(e sana na ninyi mniwie ra&hi kwa kusema DDM maana n&iyo yenye serikali inayotawala. Sasa mimi nifanyeje, Wala DDM wasije wakaninungAukia maana n&icho chama kinachotawala na wale wa %yama %ingine wasije wakasema 5Mbona Mwalimu umesema kama unai(en&elea DDM, 'ka4 #ama wanataka niwabomoe naweza kuwabomoE lakini sitaki. Mimi nataka kueleza hali yetu ili%yo hi%i sasa na nataka kusema mosi (#+a()'a wa*!, (#') wa*! +a (#+a(a'a 'w-+.a wa*!, P! !, 'a"a (#+a(a'a 'w-+.a ,#'), (#/a+0+!+! (#2!1- (#'a2,(#'!a (#+a*- -'wa "a,a a a"%a') 2!') (#+a')'#2#.!a 'w-+.a . Na hiyo n&iyo shabaha yangu.

CCM !"-%a.! ! 2-5a 0a A&!"!) a A5#2,a DDM imeba&ili sera ya Azimio la Arusha. Mimi sina ugom%i hata ki&ogo. Naweza kusema nina ugom%i wa '!!(!'a.!, ingawa sijasema 5mbona mnaacha sera yetu ina ubaya gani,6. 'i&ha sina ugom%i wa msingi wa kitaifa kwa sababu mnaweza mkaacha 'zimio la 'rusha na baa&ae mkajenga uchumi imara tu kwa manufaa ya wananchi. Z!') +a"+a +0!+6! &a '#/a+0a ,!40) +a 2! a&!"a '#/#a(a A&!"!) a A5#2,a. S-5a &a CCM Sasa DDM wanazo sera ambazo zimefafanuliwa katika kakitabu haka kanakoitwa Mwelekeo wa #era za ++M katika Miaka ya !isini *ii imetengenezwa na n&io marekebisho ya 'zimio la 'rusha. N&iyo sera yao m(ya baa&a ya kusahihisha 'zimio la 'rusha. #una sehema ninayotaka kuitumia kueleza hayo ninayotaka kuyaeleza ambayo inahusu mashirika ya umma. S-5a 0a #%!+a/2!2,a1! wa "a2,!5!'a 0a U""a #uhusu mashirika ya umma sera yake inasema. (Mashirika ambayo ni ya msingi na nyeti kwa maendeleo ya taifa kama bandari, reli, posta ma simu, nishati na mabenki ya umma yaliyopo, yaendelee kumilikiwa na dola &ata hi,yo, wanan$hi wataweza kuuziwa sehemu ya hisa katika mashirika hayo yote na mashirika haya yanaweza kuingia ubia na makampuni binafsi, mradi tu kwa uwiano unaolifanya shirika kuendelea kuwa la dola) Mimi nili(okuwa nasoma jana nikaafiki na kukubali. Sina ugom%i na hilo na sina ugom%i kabisa kwani n&i%yo tuli%yosema katika 'zimio la 'rusha. 1akini mambo haya lazima yaba&ilike. Sasa sina ugom%i na hili. Fili/ (Mashirika ya umma ambayo yanaendelea kwa ufanisi lazima yaendelee kuwa ya dola kwa lengo la kuendelea kuwashirikisha wanan$hi katika umilikaji Mipango itaandaliwa ya kuwawezesha wanan$hi kununua hisa katika mashirika hayo -ia mashirika ambayo yanahitaji mtaji au kupenyeza sayansi na teknolojia ya kisasa yataweza kuingia katika ubia iili kutimiza azma hiyo Aidha kwa mashirika ambayo

serikali italazimika kumiliki, mashirika haya itabidi yaendeshwe kibiashara) Mimi nakubali "!a 'wa "!a sina maneno na wala sioni tatizo na hilo. .atu/ ('wa upande wa mashirika ambayo yanaweza kufanya shughuli zake kwa faida lakini yana matatizo mbali mbali kama ya ukosefu wa mtaji, madeni makubwa katika mabenki, menejimenti mbo,u na kadhatika, dola ita$hukua hatua ya kulazimika kuondoa menejimenti mbo,u, kuimarisha mtaji kwa kuwauzia wanan$hi hisa na kuingia ubia na ,yombo ,ingine ,ya kiu$humi au kuyakodisha kwa mteja mwenye uwezo wa kuyaendesha kwa faida). Mimi hiyo ba&o +a!'#%a ! +a 2!+a "a(a(!&). Nne/ 5Mashirika yaliyo sugu [(mashirika yaliyo sugu) tena 'iswahili kizuri sana] kwa kufanya shughuli kwa hasara yatakodishwa, ama kuuzwa au kufungwa kwa kutilia maanani zaidi jawabu ambalo ni la maslahi zaidi kwa taifa) Sasa mimi nasema hilo ba&o nalikubali kwani shughuli hii imekuwa inaen&elea. Nimesikia kwamba shirika halikuwa ni shirika la umma lilikuwa +! -enki ya Ushirika na Maen&eleo $ijijini 2DRD-3 (eke yake n&icho chombo cha namna hiyo ambacho kime(ita(ita kuuza hisa. Mengine sijayasikia yanaweza kuwa ya(o. U#&a1! wa "a2,!5!'a 0a #""a Uuzaji wa mengine ambayo si%yo sera ina%yosema C2-5a ,a!2-"! "a2,!5!'a 0a+a0)-+.-2,wa 'wa /a!.a 0a#&w- ,a(a '!.)6)D, sijui yana%youzwa. DRDwame(ita kwangu (ale wameniomba ninunue hisa. Nita(ata wa(i mimi, *ata hi%yo wame(ita(ita wanaomba watu wanunue hisa9 wanakwen&a kwenye %yama %ya ushirika na wanawaomba watu binafsi. 'ngalau hicho ni kiten&o cha kushirikisha watu ambacho wamekifanya na watu wametumia fursa hiyo kama sera ina%yosema. Mengine tunasikia yanakwen&a tu. >ti sasa ni kwamba kwa mfano kile kiwan&a cha sigara ni cha umma ni chetu wote (amoja. Najua wewe huna hisa mimi sina hisa na wala hakuna mtu mwenye hisa. 1akini ni cha umma na kinafanya shughuli zake kwa fai&a.

T)/a#(! 'a(! 4a 2,!5!'a 0a #""a +a 2,!5!'aE'a"*#+! %!+a/2! Nimechukua mfano wa kiwan&a ambacho kinafanya shughuli zake kwa fai&a. #ama kinafanya shughuli zake kwa fai&a wote tuna(ata fai&a. Dhukua mfano wa %iwan&a %iwili %ina%yoen&eshwa %izuri na %ina(ata fai&a. #imoja kama kile cha sigara na cha (ili ni cha watu binafsi. Sasa tofauti yake ni nini, *iki cha watu binafsi kinali(a ko&i ya serikali na hiki cha umma kinali(a ko&i ile ile na kwa mujibu wa sheria ile ilee. #wa hiyo hi%yo %yote %inali(a ko&i ile ile juu ya fai&a kwa asilimia ya fai&a zao kwa mujibu wa sheria. -aa&a ya ko&i (ato lililobaki linagawanywa kwenye hisa. #ile cha umma (ato lake linakwen&a kwa serikali/ kwa umma. *iki kingine fai&a yake inakwen&a kwa watu binafsi wachache. N&iyo maana m(aka leo mimi na(en&elea hiki cha umma zai&i kuliko kile cha watu binafsi. $yote %inafanya biashara nzuri tu na %inali(a ko&i ya serikali kama kawai&a na %inawa(a fai&a iliyobaki wenye kiwan&a. *ata hi%yo hicho cha kwanza cha umma kinawa(a fai&a iliyobaki wenye kiwan&a hicho ambao ni umma na msimamizi wake ni serikali. #wa hiyo serikali n&iyo inayochukua ma(ato yake kwa niaba ya wananchi wake. Mimi m(aka leo hata ninyi mngesemaje ba&o +a'!*-+.a ,!'! 8,a #""a. T#'!(a'a '#)+6-&a 4!wa+.a 40a wa(# %!+a/2!, (#)+6-&a (#! #ama tunasema sasa hi%i tunataka kuongeza %ile %iwan&a %ya watu binafsi tuongeze tu4 Nani atatuzuia, )ngezeni %ile %ya watu binafsi. $iongezwe kwa wingi kabisa4 *ata hi%yo mna(ochukua hiki cha umma kwa maana niliyoieleza mkasema eti mnataka sasa kiwe cha wananchi moja kwa moja ili na mimi Nyerere niseme 5sasa nina hisa (ale6 mimi siafiki. Wa(# wa+6a*! "(a'#wa +a ,!2a7 H-%# +!a"%!-+!, wa+6a*!7 Mnachukua mali yetu wote kabisa kiwan&a cha sigara kile kina mali kina(ata fai&a na serikali inaitumia kuongezea fe&ha za ko&i na tunaifanyia kazi ya umma. Mna%yosema leo ni kwamba mmegun&ua njia moja nzuri zai&i ya kushirikisha wananchi katika uchumi. Mimi nawambineni/ )+6-&-+! 4!wa+.a.

Muwashawishi wananchi wa .anzania waongeze %iwan&a. Wasai&ieni kuongeza %iwan&a. La'!+!, ,!'! 8,a w)(-, "+a(a'a '#wa*a wa(# wa8,a8,-, ,a a/# "+a2-"a +.!) #2,!5!'!2,a1!7 Mimi sielewi maana yake. *ii ni mali yetu wote (amoja/ ni mfuko wa (amoja tunachota inatusai&ia katika elimu afya na mahitaji mengine. Sasa hi%i tunayo matatizo ya ukusanyaji ko&i. #iwan&a hiki hakina matatizo hata ki&ogo. #inaen&eshwa %izuri kwa fai&a. #wa hiyo tunacho chombo ambacho kinatoa fai&a. #inatusai&ia. 1eo shule na hos(itali zina matatizo kwa sababu ko&i mbali mbali hazikusanywi. 1akini kiwan&a hiki kinali(a ko&i yake kama kawai&a. Miongoni mwa wale wanaokwe(a kuli(a ko&i si mmoja wao. $iwan&a %ya umma si mmoja wa(o hata ki&ogo. $inali(a ko&i zake kama kawai&a ha%ikwe(i kuli(a hata senti moja. *alafu kina(o(ata fai&a tunabaki nayo na tunafanya shughuli za wananchi. H!'! "+a2-"a -) (#'!6awa+0- (#wa2,!5!'!2,- wa+a+8,! 'wa '#'!"! !'! ")1a 'wa ")1a. Wa+6a*! "(a"! !'!< +!+0! wa+6a*!7 +takuwa ni kuchukua fulani na fulani tu4 #iwan&a ambacho ni chetu wote kabisa na fai&a itaka(obaki ba&ala ya kwen&a *azina ien&e kwa wewe na mimi4 N.!0) (#"-'!%!+a/2!2,a +a ,!! +.!0) 2-5a "*0a 0a '# -(a "a+#/aa Ta+&a+!a! H!! +.!0) "%!+# "*0a !"-6#+.# !wa7 U1a"aa "*0a ,#)! H#) +! #+0a+6Fa+0! (# wa "a ! 0-(# w)(-.

K#(-6-"-a "(# "w!+6!+- 'wa "awa&) +! '#%a0a '#*!(a 0)(- 'a%!2a *ili ni jambo la u(umba%u. #atika masuala ya uchumi wa nchi lazima tufanye tofauti baina ya kujitajirisha wachache na kuleta manufaa ya watu wengi. Sa2a, 2-5a ,!! !(a&aa "a"! !)+-a 2a2a ,!4! +a 2!) %aa.a0-, a'!+! wa(a'#wa "a"! !)+-a wa(a+). Ha(a ,!40), wa'a(! ,#) ,#), *!a !(a&aa "a2!'!+! +a Ta+&a+!a !(a'#wa +a "a2!'!+! w-+6! 2a+a. Sasa nataka niseme kuwa nimetumia kiwan&a cha sigara kama mfano tu kuonyesha kwamba nchi haiwezi kuen&elea hata ki&ogo kwa ku(uuza %iwan&a. Sasa tunafunga

%iwan&a. Sijui hiyo inaitwa sera ya kuon&oa ama kuzuia %iwan&a lakini haya ni matatizo ambayo tunayo na usifikiri ni .anzania (eke yake. Nilikuwa Mwenyekiti wa .ume ya #usini nime(ita (ita 'frika 'sia na 'merika ya #usini. Nimeshuhu&ia mawazo na mi(ango ya aina hiyo kuwa n&iyo inayoongoza na kutawala. *ilo n&ilo nililowambia hi%i (un&e kwamba wakati Waingereza wanatawala +n&ia waliwaambia Wahin&i. 5*a(ana kutengeneza nguo.6 *ali hiyo inaen&elea na wala haijaba&ilika m(aka leo kwani ba&o &uniani tunaona nchi zenye %iwan&a hu%ibana %iinchi %i&ogo %iache mambo ya %iwan&a. Sasa taabu yetu wala si .anzania (eke yake kuna %i inchi %ingi ni kwamba 4!)+6)&! w-(# ,awa'a(a!. Wa+a'#%a ! (#. La'!+! 2!2! +! "a.).)'!7 D).)'! # !(#"%#'!&- 'a(!'a "a1!, ,a(a 0-+0- (a'a(a'a, !+a&)a (#! #usema kweli &uniani watu wanafikiri kwamba lab&a sisi ni masikini. La'!+! #"a2!'!+! "%a0a '# !) w)(- +! #"a2!'!+! wa "awa&). Ni mbaya sana. Duniani kuna kujitegemea na kutegemea. Unaweza kutegemea lakini kutegemea kokote ni kubaya sana. #wa hali yo yote ile kutegemea ku aya kupita kote ka isa ni kutegemea mtu mwingine kwa mawazo. !i kwa o"yo sana kunakunyima utu wako. Watu tunaafikiana na wazo. 1akini mawazo ambayo wazi wazi ni ya kijinga lazima tuyakatae. Kwa 2a%a%# "(# "w-+0- a'! ! a'!'#*a "awa&) 0a '!*#"%a4#, #2!*)0a'a(aa, a(a'#.,a5a#. Na5#.!a, "(# 0- 0)(- "w-+0- a'! ! a'!'#*a "awa&) 0a '!*#"%a4# +a w-w- #+a a'! ! +a #+a1#a +! 0a '!*#"%a4# +a #'a0a'#%a !, a(a'#.,a5a#. Sa2a ,a(#w-&! (#'a'#%a ! "a"%) 0a '!*#"%a4# Ta+&a+!a. S,!5!'a a F-.,a a K!"a(a!/a 2!) W!&a5a 4a F-.,a 0a K!"a(a!/a Ukiuliza kwa nini wanasema 5Mwalimu -enki ya Dunia6. -enki ya Dunia hawa nani,. M#+6# 6a+! "*0a ,#0# a+a!(wa B-+'! 0a D#+!a7 $ile %ile wanasema 5Mwalimu tumebanwa na Shirika la 7e&ha la #imataifa6. *awa n&io nani, *awa nimeanza kuwasema mwaka 1!BG nikasema 5tangu lini Shirika la 7e&ha la #imaatifa limegeuzwa kuwa Wizara ya 7e&ha ya #imataifa,6 Swa ! ,! ! +! ! !# !&a "wa'a (,-"a+!+! wa'a(! +! !'#wa +a.,a+! +!(aa8,a #)+6)&! wa +8,! 0-(#. #wa nini kama kweli sisi watu

wazima na akili zetu tunakubali mambo ya ki(umba%u tunasema Htuuze mashirika yetuA. .ulianza na mashirika ambayo hayana fai&a tukasema9 5uzeni hili halina maanaA. La'!+!, (a5a(!%# (#'a2-"a, G"a2,!5!'a 0-+0- /a!.a 2a2a #&-+!F +a (#+aa+&a '#0a#&a . *ata hi%yo tunauliza 5haya tunayauza kwa misingi gani maana hata chama chetu kinasema tusiyauze6 wanajibu 5ah4 Mwalimu tumebanwa na Shirika +a 7e&ha la #imataifa6. Mungu m(ya nani huyu, *i%i ni kweli hatuwezi kukataa sasa, #wa nini nasema hi%i ni kwa sababu tayari tunayo matatizo mengi katika uchumi afya na hu&uma za umma zote. Mambo yanakwen&a o%yo. Ukiuliza kwa nini wanajibu 5Shirika la 7e&ha la #imataifa Mzee6. Ni kitu gani hicho, S-5!'a ! ,a!,!"!&! # !*a1! ').! Wamewahi kunijia %ijana wetu wamiliki wa %iwan&a ha(a nchini wakati ba&o ningali Mwenyekiti wa DDM wakaniambia/ 5Mwalimu wafanya biashara hawa si wafanya biashara ni walanguzi6. $ile %ile wafanyabiashara wenye %iwan&a %yao walinifuata (ale Msasani wakati ningali Mwenyekiti wa DDM wakaniambia/ Mwalimu tunaomba serikali ikusanye ko&i hilo tu. *atuombi serikali itulin&e. +silin&e %iwan&a %yetu kwa namna nyingine yo yote isi(okuwa ikusanye ko&i basi. #ama ikikusanya ko&i basi nguo zinazoingia kutoka nchi jirani zisiingie bila kuli(a ko&i. 8ili(e ko&i hatuombi zai&i ya ha(o. 8ikili(a ko&i basi tutashin&ana. 8isi(oli(a ko&i bi&haa tunazoziona zote hizi hazili(i ko&i. *atuwezi kushin&ana hata ki&ogo. .utakufa. Wa'#%wa ,awa ,a(#waw-&!. Wa(a -(a 4!(# ,a*a, 'wa+&a +! 5a,!2! &a!.! '# !') 40-(#. P! !, 4!2! !*').! /)5).,a+!, 4!!+6!- +8,!+! ,!4! ,!4!! 3!wa+.a 40-(# 4!(a'#/a! Sasa nasema angalao serikali ichukue ko&i na ko&i i(o na wala sisemi waongeze ko&i kwani %i(imo %ile %ya ko&i %i(o. .unachoomba serikali itoze tu. 5Serikali6 wananiambia 5 zai&i ya miaka mitatu tokea mwaka 1!!" ime(oteza shilingi 2!(!+! %! !)+! (a2 !"6. Nimeambiwa hilo zai&i ya mara tatu na wafanyabiashara 5Serikali ina(oteza shilingi sitini bilioni kwa kutokusaya ko&i6. Mara tatu4 #wa hiyo safari hii nili(osikia wakubwa wanasema mme(oteza sabini bilioni miaka mitatu au minne iliyo(ita sikushangaa.

*amkusanyi ko&i kwa nini, #wa kutokusanya ko&i mna%iua %iwan&a %yetu %ya nyumbani ha(a. 1akini mnafanya ma&hambi mengine makubwa zai&i kuliko ku%iua %iwan&a %yetu. Mnasemaje maana kisingizio hiki cha kusema ni Shirika la 7e&ha la #imataifa na -enki ya Dunia haki(o tena kwani baa&hi yao n&io wanaosema 5kusanyeni ko&i6. *i%i kisingizio hiki cha kwamba kila jambo ni Shirika la. 7e&ha la #imataifa na -enki ya Dunia ni cha kweli m(aka leo, Mbona wao tena n&io wanaowambieni 5#usanyeni ko&i msi(okusanya tunaweza tukafikiria kuchukua hatua kama mna&hani ni mambo ya utani hi%i. Sasa kusanyeni ko&i46

TUNAKWENDA WAPI7 I 3ION$OZI TUNAOWATAKA Naeleza baa&hi ya matatizo ambayo %iongozi tutakaowachagua tuwe na hakika iwa(o wanayaona hi%i kama sisi tuna%yoyaona. Janawauma kama sisi yana%yotuuma na kwamba wataka(ofika ha(o wana(o(ataka watusai&ie kuyatatua. Wanayaona yanawakera na hata wataka(ofika ha(o hicho n&icho kitakachowasukuma kutaka kuwa marais wetu na wabunge wetu. Marekani walikuwa na rais wao kijana mmoja m&ogo anaitwa 0ohn #enne&y. Walim(iga risasi. Marekani nao ni watu wa ajabu sana4 $ijana walilaani tukio hilo kwa kuwa walikuwa wana&hani wamemchagua rais wa umri wa kama miaka arobaini na mitatu au minne hi%i. Sasa huyo ni kijana hata kwa ha(a .anzania leo ni kijana. 'li(ochaguliwa na Marekani akawa Rais wao. #atika hotuba yake ya kwanza kabisa aliwambia wananchi wenzake hasa %ijana 5Usiulize Marekani itakufanyia nini jiulize wewe utaifanyia nini Marekani,6.

K! a a+a0-(a'a '#wa "6)"%-a wa #5a!2E#%#+6- a1!# !&- a(a!/a+0!a +!+! +8,! 0a'.unataka mtu anayetaka kuwa rais wetu ajiulize anataka kuifanyia nini nchi yetu na sio nchi yetu itamfanyia nini. Na tunataka swali hilo ajiulize kila mtu anayetaka kuwa mgombea wa chama cho chote kuwa mbungeKrais/ 5#wa nini kwa &hati kabisa anaumwa na umasikini wetu na umasikini huo n&io unaomsukuma ashughulike na mambo haya ya siasa katika ngazi hiyo ama ya ubunge ama ya urais6. Ka"a 2!40), ,a(#/a!! M(# ,a*a'!"%! !! I'# #< Ha'#+a B!a2,a5a I'# # Mtu anayetaka kwen&a +kulu kutaka fai&a ye yote +kulu (ale hatufai hata ki&ogo. Wananchi mimi nimekaa (ale +kulu kwa mu&a mrefu zai&i kuliko mwingine ye yote wala si&hani kuna mtu mwingine anaweza kuzi&i mu&a huo. .ayari ha(a tumeweka sheria. #wa mujibu wa sheria mtu hawezi tena kukaa +kulu zai&i ya miaka kumi ki(in&i ambacho hata hakijafikia nusu ya ki(in&i nilichokaa. Mimi nimekaa miaka ishirini na tatu4

Na1#a, 'wa "(# ,a !2! 'a%!2a, I'# # +! "&!6)! H#*a'!"%! !!! S! "a,a ! *a '#*a'!"%! !a ,a(a '!.)6); ,#w-&! '#*a'!"%! !a I'# #. U+a*a'!"%! !a 'w-+.a '#(a/#(a +!+!7 Ni mgogoro9 ni mzigo mkubwa kabisa4 Uki(ita barabarani unakuta watu wana njaa unaona ni mzigo wako huo. Fazito (ale4 *uwezi ku(akimbilia na wa(# 2a/! ,awa*a'!"%! !!. U'!)+a "(# a+a*a'!"%! !a, +a ,a2a a+a*)(#"!a (#"!a 4!*-2a 'w-+.a I'# #, ,#0) +! "(# wa '#)6)*a 'a"a #')"a! Mtu ye yote anayeonekana ana(en&a sana kwen&a +kulu na hata yu(o tayari kununua kura ili kumwezesha kufika +kulu ni wa kumkwe(a kama ukoma. #wanza hizo fe&ha ka(ata wa(i. Mtanzania wa leo hawezi kununua watu bila kwanza yeye kununuliwa Na kama kanunuliwa atataka kuzili(aje, #azi(ata wa(i, Watanzania wote ni masikini tu. Mtanzania anaomba urais wetu kwa hela4 A"-&!*a(a wa*!7 Fili kama hajanunuliwa kazi(ata wa(i, #ama kako(a ataru&ishaje, +kulu (ana biashara gani mtu ako(e mamilioni halafu aen&e ayali(e kwa biashara ya +kulu, +kulu mimi nimekaa kwa mu&a wa miaka ishrini na mitatu. +kulu ni mahali (azito. K#+a %!a2,a5a 6a+! I'# #7 R#2,wa +a Ma(#"!&! 0a F-.,a B! a U(a5a(!%a Wa'a(! wa C,a6#&! Sisi Waafrika ni watu wa ajabu sana. Unajua ni wa&ogo lakini nasema ni u&ogo wa mawazo. .maskini wa mawazo ni umasikini mbaya kupita wote .naweza ukawa na almasi mfukoni akaja ta(eli na kijiwe kimetengenezwa kama almasi akakuambia 5ebu tuone almasi yako. -wana aa4 *ii ya kwako sio almasi ni chu(a tu almasi ni hii. #wanza ni(e bwana.6 Mkaba&ilishana. Jeye akachukua almasi yako na akakuachia kichu(a na ukatoka ha(o unashangilia kama zuzu4 Sisi ha(a .anzania tulikuwa tumeanza utaratibu ambao ukitumia fe&ha nje ya fe&ha za chama na serikali na ukatumia fe&ha zako mwenywe katika uchaguzi tunakutoa. *ufai4 *uo n&io ulikuwa utaratibu wetu. .ulikuwa tunakuuliza/ 5hii nchi ya masikini wewe mwenzetu una mali umei(ata wa(i,6

Mali kwa wakati huo kwetu sisi ilikuwa ni sifa ya kukunyangAanya uwezo wa kugombea uongozi .anzania. .ulijua kwamba kama una mali utaficha. 1eo watu wanasema waziwazi/ 5Mwalimu uchaguzi wa mwaka huu uta(itishwaje,6 Marekani wanatumia fe&ha nyingi sana katika uchaguzi. Nyingi sana4 #ama Marekani sasa hi%i wanazungumza watunge sheria inayofanana na ile mliyoitu(a ninyi mna&hani kwa sababu ni mawazo ya masikini haina maana. Wakubwa wanayafikiria mawazo hayo sasa hi%i. Marekani wanafikiria uwezekano sasa wa kutunga sheria itakayoweka utaratibu wa fe&ha za ugombeaji kutokana na mfuko mmoja baa&a ya kugun&ua kwamba ina(okuwa holela na kila mtu akiachiwa lwake ina%uruga. +naleta rushwa kubwa kabisa. Unanunuliwa urais na unaweza kununuliwa na fe&ha za wauza bangi na wauza baa. Wauza bangi wanaiona hatari hiyo ninyi haa4 *a(a tulikuwa na utaratibu mzuri kabisa tuliouanzisha mlioutu(a mnafikiri sisi mwaka huu fe&ha tu4 Uchaguzi wa fe&ha mtazi(ata wa(i, Mimi nimetoka juzi tu "a5a ""-(a1!5!'a '!a2! ,!'!! Wa2wa,! ! ,--! K#"%- "+aw-&a '#(a1!5!'a &a!.! 'wa ,a5a'a ,!40)7 Sa2a 'a"a "+a) #w-&) wa '#(a1!5!'a, +awa"%!-+1 GFa+0a w)((#(a1!5!'-. H!4! "(a1!5!'- *-'- 0-+#, (#(a1!5!'- w)(-:. Wa*!! N! 5a,!2! 2a+a wa(# wa8,a8,- '#(a1!5!'a. T#+a(a'a S-5!'a ! !+a0)()&a ').! #wa hiyo naserna sasa hi%i mimi sijali kabisa na wala msifikiri tena na(inga watu wanaotaka uhuru wa kuji(atia mali .unataka serikali itakayotoza ko&i. .ulikuwa na %iserikali %ya rafiki zetu za Skan&ina%ia %ina%yoongozwa na watu wanaojali maslahi ya umma. $inatoza ko&i matajiri halafu ma(ato hayo yanasambazwa kwa fai&a ya wote. *ata ha(a fanyeni hi%yo. 1akini isiwe ni kukusanya ko&i na halafu kilicho chetu mnataka kukiuza. *ata hicho muuziane halafu m(ate (esa na hizo (esa zenu wala rnsili(e ko&i4 H!! +.!) 'a&! (# !0)wa*- -'a I'# #7

S!/a &a &!a.a &a 4!)+6)&! Nili(okuwa Dar es Salaam nilieleza mahala fulani kwamba watu wanaotaka kutuongoza wawe angalau na sifa hizi na hizi. Sasa nasema hata wakiwa nazo ba&o tutawauliza/ (sifa mnazo, lakini mnakwenda kufanya nini") *ata nikiwa na watano wenye sifa nzuri ba&o nitasema/ (/inyi watano mna sifa nzuri kabisa, mimi sioni kama mna kasoro lakini bado nitawauliza hasa mnakwenda kutafuta nini 0kulu .niambie kwa dhati ya moyo wako kinakuuma nini kwamba unaweza kweli ukaumwa kabisa) *alafu ukasema/ (Mwalimu, 0kulu sipapendi 0kulu siyo tatizo 'ama mambo yanakwenda o,yo o,yo utaa$ha tu" 8ile sifa nilizozitamka hazitoshi/ kwamba lazima #w- Mtanzania na unaheshimu .anzania. Maa+a (#+a(a/#(a 5a!2 wa Ta+&a+!a +a wa a ,a(#(a/#(! wa2!/# wa Ra!2 wa Ta+&a+!a. .una miezi saba uwe umezi(ata zile tano na kuen&elea. *ata hi%yo ba&o tutawauliza mambo ya uchumi %iwan&a na shule una%yoyaelewa. Mambo ya afya ninyi mnayajua yote. *os(itali zetu hali yake ya sasa hi%i mnaielewa inaen&aje en&aje na kama mnaelewa ninyi unaionaje, Unaona raha tu, Maana sisi ni watu wa sera ya kuchangia. Sawa. 1akini wewe umechangia mara nga(i, *ebu nen&a katika hos(itali moja uone watu wana%yochangia. .unataka kufikiria kwa msingi kwamba kitu kimoja tunachotaka kuelewa ni hali ya matatizo yetu yali%yo sasa. H!! +! 'wa 2a%a%# awa"# 0a 'wa+&a, awa"# 0a+6# "!"!, !"-/a+0a "-"a +a !"-/a+0a 0a '!1!+6a. Ya - 0a '!1!+6a, "+a0aa8,a. La&!"a 0a+aa8,wa. U%a0a w-+# +! 'wa"%a "+a0aa8,a "-"a +a "+a8,#'#a 0a '!1!+6a. M!a'a !2,!5!+! +a (a(#, %wa+a, a&!"a (#"-/a+0a "a')2a. Fale bwana hatukuwa na wasomi wengi ujuzi wala cho chote. .ulikuwa tunahangaika tu. #ama watu hamjui kuogelea mnatu(wa kwenye maji mnahangaika kuogelea lazima mtafanya makosa. T#2!/a+0- "a')2a 'wa+! 2!2! +! "a a!'a7 'wamu ya kwanza ina mambo fulani fulani na hasa ya msingi na mengine ya utekelezaji mazuri mnaen&elea nayo. Mengine ya utekelezaji ya o%yo o%yo mnayachilia mbali mnaanzia ha(o tena. +la la ajabu ni kwamba hata ya msingi mnayawekea alama ya kuuliza. Mimi siku&hani kama ya msingi yalikuwa na matatizo Nili&hani mambo yetu ya utekelezaji yana

matatizo mengi hi%i ya kusikilizana hata ya msingi. Sa2a wa(# wa(aa+&a '#6)"%a+a 'a(!'a "!2!+6! 0a #'a%! a, #.!+! +a "a"%) "-+6!+- 0a '!1!+6a 'a%!2a. #wa hiyo nasema awamu ya (ili mnaanza na mengine mnaongeza ha(o. 'wamu ya (ili nayo inafanya makosa yake itafanya mema yake. Jale mema n&iyo mnayoen&elea nayo9 mnaen&elea na yale mema yake. Jale mabaya mnayaacha kama yalikuwa(o ya msingi yamesahauliwa mnayaru&ia. K#()0a5#.!a 0a - 0a "2!+6!, "(a*)(-a (#. Mnafanya hi%yo halafu mnaen&elea. Mimi nataka kujua kama %iongozi wetu wa sasa hi%i wanaotaka kuingia katika awamu ya tatu ya uongozi wanayaelewa hi%yo na tutaelewana hi%yo au wanafikiri uongozi ni biashara tu4 0e wanaotaka kutuongoza wanaweza kwanza kuelezea (# !'#wa wa*!, (#') wa*!, (#+a(a'a 'w-+.a wa*!7 P! !, 1- wa+a) #w-&) wa '#(#*- -'a '# - (#+a')(a'a 'w-+.a7 Ta(#, wa(a(#2,!5!'!2,a1- '# - ! ! +a 2!2! (#2a!.!a+- 'w-+.a ,#')7 H!0) +.!0) kazi iliyobaki. P!"-+! Sa+a!

HOJA YA WA$OMBEA BINAFSI Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ili%yo sasa hi%i. Ninalo tatizo moja. *ili nataka kulisema kwa sababu na&hani ni la msingi ki&ogo. .uli(okubali tuwe na %yama %ingi %ya siasa tulisema kwamba hi%i %yama %ingi %ina migogoro. Mnaweza mkawa na chama cha &ini kabila mkoa kinaitwa chama cha Mbeya ama katika nchi kikaitwa 8anzibar au .anganyika tu. .ulisema sisi ha(ana ni taifa changa. 1azima tujiha&hari na chama kinachoweza kutugawa. .unataka chama kinachokubali umoja. #wa hiyo tukakataa %yama %ya u&ini ukabila na %ya kutenganisha .anzania. .anzania tukaigawa sijui inaitwa .anganyika na 8anzibar sijui inaitwa .anganyika na .anzania 8anzibar. *a(ana tukatae %yama %ya namna hiyo. #wa hiyo tuliamua kwamba yawe(o masharti ya kisheria yanayozuia %yama kuwa %ya namna hiyo. *ii ni kulin&a umoja ili tujenge u(ya kwa kuwa ba&o tu wachanga mno. -asi sheria hiyo n&i%yo ili%yotungwa na n&i%yo ili%yo. *uwezi kuanzisha chama ambacho kinakiuka u(an&e huo wa sheria. *ata hi%yo mimi na&hani sheria imekosea kuzuia wagombea binafsi. Nataka nieleze sababu kwa nini na&hani kukosea huku ni kwa msingi na si kwa juu juu. *ili jambo limekosewa ni la msingi. N&iyo maana na(en&a kulisema kwa nini ni la msingi. 1inahusu haki yangu na yako ya ku(iga kura. *ii ni haki ya uraia. Ma&hali wewe ni raia wa .anzania ?huna kichaa huko generzani umetimiza umri unaotakiwa wa miaka kumi na minane@ una haki ya ku(iga kura. Ni haki yako ya uraia. +ko mfukoni mwako4 *ii haki ya kuomba u(igiwe kura (ia ni haki ya uraia9 ni haki yako. Unaomba ubunge au cho chote kile u(igiwe kura na hata unaomba urais ni haki yako ya uraia9 huwezi kunyimwa maa&am wewe ni raia wa .anzania kisisasa una haki ya kuomba uwe rais. U'!wa 'a(!'a 8,a"a a"a ,#*) 'a(!'a 8,a"a. U+a0) ,a'! !+a0)()'a+a +a #5a!a wa') 0a '#*!6a '#5a +a 0a '#*!6!wa '#5a a"%a0) ,a!w-&! '#.a!wa +a "(# a"%a02! 5a!a wa Ta+&a+!a. 'i&ha raia wa .anzania hawezi akanyangAanywa haki hii ya kuomba uongozi wa nchi yake tangu ngazi ya kijiji m(aka ngazi ya taifa. +wa(o wa(o wasio na uwezo huo wa

kutaka kuwa rais hiyo ni shauri nyingine. 1akini haki ninayo wakataohukumu kama nina uwezo au sina uwezo ni wananchi. Mimi sasa hi%i niko ha(a nawaelezeni jinsi ya kuwahukumu wenye uwezo na wasio na uwezo. 1akini sisemi hawana haki. *aki hiyo n&iyo inayowafanya ninyi wafanyakazi ninyi wafanyakazi mnazo haki za wafanyakazi nikasema 5lakini mmoja mmoja hatuwezi lazima tushirikiane6. #wa hiyo mnashirikiana wote kwa (amoja. *i%yo ni %izuri zai&i. .unasema ni %izuri tuiombe na tujaribu kuitumia haki ile ya kuun&a %yama. Mnaweza mkaun&a %yama. Sijui wanga(i wameweza kuingia katika %yama maana tunayo haki hiyo. Sasa hi%i mnasema %iko kumi na %itatu. Sina hakika kama %imechukua Watanzania wote. Watanzania wengine hawamo DDM hawa(o wa(i na hawana chama chochote. Ha(a ,!40), +!'!'a(aa '#!+6!a 'a(!'a 8,a"a !2!w- 2a%a%# 0a '#+!+0a+6Fa+0a ,a'! 0a+6# 0a '#*!6a a+ '#*!6!wa '#5a. Ninayo tu na naweza nikaamua kuitumia mwenyewe tu4 1akini msije mkanielewa %ibaya kuhusu kile ninachotaka kusema kwamba raia ye yote wa .anzania anaweza kusema 5mimi mgombea urais6. .utamwambia/ 5'h4 Unaweza bwana (eke yako kweli utasimama hi%i kwa .anzania (eke yako uta(ita(ita huku na kule wataku(igia kura,6 Unaweza kumlaumu na kumhukumu useme/ 5Wewe ni mjinga6. 1akini huwezi kusema huna haki hiyo. Ni haki yake. 'naweza kuwa mjinga. 1ab&a kuwa ni mtu anaye&hani kwamba 5Watanzania wakishaona uso wangu hata kama sina kitu watanichagua6. 'naweza kuwa si mgombea makini lakini ni haki yake. Sasa sheria inawanyima raia wa .anzania haki hiyo. Mtu mmoja akaen&a mahakamani ku&ai haki hiyo akasema 5sheria hii si haki6. 0aji mmoja akahukumu akasema 5naam si haki6. M!"! +a'#%a !a+a +a "aa"#&! 0a - 0a Ja1! 'a%!2a. 0aji alikuwa sahihi hata kama alihukumu %ile kwa bahati kwa sababu haki hii iko katika #atiba. +ngekuwa haiko katika #atiba ungekuwa(o ubishi lakini imo n&ani ya #atiba. #wa hiyo 0aji akasema/ 5Naam hawawezi kumnyima haki6.

Sasa serikali watafanyaje, Ba.a a 0a '#'#%a ! #a"#&! wa Ja1!, 'wa 'w- ! wa !8,)'!/a+0a 'wa 'w- ! +! '#!/#(a. N&iyo hamwezi kufuta haki za raia. *amna uwezo wa kufuta haki za raia. N&ugu Waziri hamna uwezo wa kufuta haki za raia. *amuwezi kweli kabisa kabisa. Serikali haiwezi ikasema haki hii inakera ki&ogo. +nakera kisiasa tu lakini na 2!) kimaa&ili. Sheria hii inawakera kisiasa halafu mnaifuta mtatunga kesho sheria nyingine itawakera mtaifuta. M.'7U.' NL'F+, Sasa mimi nina ugom%i huo. Na ni ugom%i wa kasoro kubwa si kasoro n&ogo. +ngekuwa kasoro n&ogo nisingejua. *atuwezi kumnyima raia haki yake. Mimi na(en&a watu watumie hii haki yao n&ani ya %yama. #ama %ile nili%yosema mfanyakazi unayo haki ya mshahara na ku&ai mshahara mzuri. Unaweza ku&ai (eke yako tu hi%yo hi%yo. Unayo haki ija(okuwa haiwezi kuku(a ngu%u. Mfanyakazi kutoingia kwenye chama hakum(otezei haki yake ya ku&ai mshahara mzuri hata ki&ogo. #unam(unguzia ile ngu%u ya kufanikiwa (eke yake9 1akini anayo haki ba&o inabaki ni haki yake. *uyu raia wa .anzania akisimama (eke yake tu hana uwezo ule ule kama angekuwa ana simama na wengine. T#1!/#+&- '#()'a ,!2()5!a 0a #8,a6#&! wa 19H1 Sasa mfano mmoja nautumia mwisho kabisa. Mwaka wa elfu moja tisa mia na siti na moja tulikuwa na uchaguzi mkuu. 'katu(inga kijana wetu mmoja anaitwa *erman Sarwatt. N&iyo si ulikuwa uchaguzi wa %yama %ingi, .'NU ilikuwa imechukua %iti %ingi bila ku(ingwa. #iti cha Mbulu tulikuwa tumemweka Dhief mmoja anaitwa Dhief 'mri Do&o. MwanMchama wetu mmoja alikuwa anaitwa *erman Sarwatt akasema. 'laa4 H!'! 8,a"a 8,a+6# ,a'!+a a'! ! ,a(a '!.)6) . *awa %iongozi wangu hawana akili4 *awa machifu n&io zamani wakitaka kutufunga wakati tukigombana na mkoloni. 1eo wanamchukua Dhief Do&o aliyetaka kutufunga sisi n&iye awe mbunge wetu katika jimbo la Mbulu, Sasa sisi tulikuwa tumekwisha kumchukua huyu kuwa n&iye mgombea rasmi wa .'NU. #ijana yule akatu(inga. Mimi nilitokea ha(a Mbeya na nikasafiri kutoka Mbeya kwen&a Mbulu kumteiti yule mgombea wa .'NU. Nikashin&wa.

Wananchi wa Mbulu hawana uanachama tena wengi tu wakasema 5.'NU wamekosea6. Wakam(a kura Sarwatt. Wakafanya hi%yo Mwanachama wa .'NU akasimama mwenyewe akatushin&a4 +likuwa haki yake. Ha(#'#!)+.)a. Mimi na&hani kwamba kwa kuwa sasa tunaru&isha %yama %ingi %ile %ile tunaru&isha haki zote zile zilizokuwa(o za raia (amoja na haki9 siyo haki ya kuun&a %yama bali (ia wagombea binafsi kusimama kama Sarwatt ali%yofanya. Mw!2,) SasaN&ugu Waheshimiwa nawashukuru sana tena sana kwa kuni(a nafasi na kwa kuni(okea mli%yoni(okea. Mwaka huu ni mwaka ambao una umuhimu huo. -asi tuen&elee kusai&iana jinsi ya kuweza ku(ata matokeo ya uchaguzi wa wabunge na rais ambao utatufikisha huko tunakotaka kwen&a. 'hsanteni Sana.