You are on page 1of 44

1

SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA, TAREHE 31 DESEMBA, 2013

Utan !"#$# Ndugu zangu; Watanzania Wenzangu; Niruhusuni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima mpaka kufika na kuiona siku hii ya leo ya kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014. apo n!ugu, jamaa na #uen!elee marafiki zetu wengi ambao hawakupata bahati tuliyoipata sisi kwa "ile wametangulia mbele ya haki. azilaze roho zao mahali pema peponi. $meen. Ha"# %a U&a"a'a Ndugu Wananchi; #unaumaliza mwaka 2013 n%hi yetu ikiwa salama na tuli"u. Mipaka iko salama na ile hali ya wasiwasi tuliyokuwa nayo kwa nyakati fulani mwaka huu sasa haipo tena. &husiano wetu na majirani ni mzuri na tutaen!elea kufanya kila tuwezalo kuhakikisha kuwa hali kumwomba Mola wetu awape mapumziko mema na

inaen!elea kuwa hi"yo au hata kuwa bora zai!i mwaka 2014 na !aima !umu. 'ali ya usalama wa n!ani ya n%hi nayo ni nzuri. 'ali ya wasiwasi tuliyokuwa nayo mwaka wa jana na mwanzoni mwa mwaka huu kuhusu uhusiano baina ya akristo na kabisa. Ndugu zangu; Watanzania wenzangu; Napen!a kuru!ia kuwasihi kuwa tu%hague kuen!elea kuishi pamoja kwa upen!o, umoja, ku"umiliana na kushirikiana. #uepuke kugeuza tofauti zetu za kisiasa, ki!ini, rangi, kabila au maeneo tutokayo kuwa %hanzo %ha ua!ui na mifarakano. )wa sasa tuna mwelekeo mzuri nawaomba tuu!umishe. *Mjenga n%hi ni mwanan%hi na mbomoa n%hi ni mwanan%hi+. #u%hague kuijenga n%hi yetu ba!ala ya kuibomoa. atatu"urugia n%hi yetu nzuri. U(a"#)! #usiwasikilize watu hasi!i wanao%ho%hea ua!ui na mifarakano miongoni mwetu. aislamu haipo. Ni matumaini yangu kuwa haitajiru!ia tena. (epo mbaya amepita tuombe atokomee

Ndugu Wananchi, )atika mwaka 2013 "yombo "ya !ola "ikishirikiana na wanan%hi "ilien!elea kupambana na "iten!o "ya uhalifu. Mafanikio ya kutia moyo yameen!elea kupatikana ingawaje ba!o kuna kazi kubwa ya kuen!elea kufanya mwaka 2014 na miaka ijayo. Dawa za Kulevya Ndugu Wananchi; )ati ya -anuari na .esemba 2013, kilo 1,2*1 za heroin, kilo 3 za %o%aine na kilo +,,2,3 za bangi zimekamatwa na watuhumiwa 1,*31 wametiwa mbaroni. #atizo la biashara na matumizi ya !awa za kule"ya ni kubwa na mapambano yanazi!i kuwa makali. Mafanikio yanaen!elea kupatikana ingawaje ba!o tuna kazi kubwa na ngumu ya kufanya mbele yetu. Ni makusu!io yetu kuongeza mara!ufu ngu"u ya kupambana !hi!i ya uhalifu huu. #upo hatua nzuri katika matayarisho ya kuanzisha )ikosi Maalum %ha )upambana na .awa za )ule"ya katika mwaka wa fe!ha 2014/10. (ia tutaitazama upya sheria ya a!habu kwa makosa ya kufanya biashara ya

!awa za kule"ya ili kuifanya iwe na meno makali zai!i. 1ile"ile, tutaongeza uwekezaji katika "ituo "ya tiba na kuwarekebisha watu wanaotumia !awa za kule"ya. Mafanikio yanayopatikana Muhimbili na Mwananyamala yanatupa moyo wa kufanya zai!i. Ujambazi Ndugu wananchi; -eshi la (olisi limeen!elea kupambana na ujambazi wa kutumia silaha na mafanikio yameen!elea kupatikana. Matukio ya ujambazi yemepungua mwaka 2013 ukilinganisha na mwaka 2012. zinathibitisha ukweli huo. #akwimu zifuatazo

Mwaka 2012 matukio ya

ujambazi yaliyoripotiwa yalikuwa *,+-2 na kwa mwaka 2013 yameripotiwa matukio *,.0,. Mwezi -ulai mwaka huu, niliamua kulihusisha -eshi la &linzi la anan%hi wa #anzania katika kupambana na ujambazi wa kutumia silaha na utekaji wa magari katika Mikoa ya 2eita, )agera na )igoma. )atika Mikoa hiyo tatizo la ujambazi lilikuwa limefikia kiasi %ha kulazimisha watu kusin!ikizwa na (olisi kutoka Ngara kwen!a )aragwe, 3iharamulo kwen!a

Muleba na kutoka Nyakanazi ha!i )akonko. haikubaliki na hatuwezi kuia%ha ien!elee. Ndugu Wananchi;

'ali hii

&amuzi wangu huo n!iyo ulioanzisha 4peresheni )imbunga ambayo imekuwa na mafanikio ya kutia moyo. 'ali ya usalama katika Mikoa hiyo inaelekea kuimarika ingawaje ni mapema mno kusema tatizo lime!hibitiwa. 5ilaha nyepesi na nzito zipatazo */0 zikiwemo za kijeshi na za kiraia pamoja na mabomu ya kutupwa kwa mkono 11 zilikamatwa kwenye operesheni hiyo. $i!ha, watu 31,203 waliokuwa wanaishi n%hini kinyume %ha sheria waliru!i makwao. )ati yao, watu 21,-/+ waliru!i kwa hiari na ,,../ waliru!ishwa wakati wa 4peresheni. Ndugu Wananchi; Nimepata walioon!oka minong6ono wanaru!i kuwa baa!hi ya watu kinyemela. Napen!a anajisumbua

kuwataha!harisha kuwa wasifanye hi"yo.

bure. 'awata!umu. &shauri wangu kwao ni kuwa kama wanapen!a kuishi #anzania wafuate njia halali za kufanya hi"yo.

Ujangili wa Wanyamapori Ndugu Wananchi; Mwaka huu tuliongeza ngu"u katika kupambana na ujangili wa wanyamapori na u"unaji haramu wa rasilimali za misitu. 'ili ni tatizo la siku nyingi lakini katika miaka ya hi"i karibuni limekuwa kubwa mno na kuwazi!i ngu"u $skari wa anyamapori na Maafisa Misitu. anyamapori na )wa nia ya kuwaongezea ngu"u, mwaka 2010 niliagiza -eshi la (olisi lisai!ie 8!ara ya 8!ara ya Misitu katika kupambana na uhalifu huo. 4peresheni ka!haa zilien!eshwa maeneo mbalimbali n%hini na mafanikio ya kutia moyo yalipatikana. 9akini, kwa kutambua ukubwa wa tatizo na hasa kwa upan!e wa aina ya silaha na mbinu zinazotumiwa na majangili niliamua kuhusisha N!ipo "yombo "ingine "ya usalama likiwemo -eshi la &linzi. mapambano. TOKOMEZA1. Ndugu Wananchi; )azi nzuri imefanyika %hini ya 4peresheni hiyo. Mafanikio ya kuleta matumaini yameweza kupatikana. Nia ni kuongeza ngu"u ya ilipoanzishwa 0OPERESHENI

Mitan!ao ya ujangili imeweza kutambulika na wahusika wake ka!haa wametiwa ngu"uni. Mitan!ao hiyo inahusisha watu wa aina mbalimbali. mbalimbali za na 5erikali Misitu. wakiwamo atu amo raia wa wa 8!ara za

kawai!a, wapo watu maarufu, wapo watumishi wa i!ara anyamapori 1,030 walikamatwa

pamoja na silaha za kijeshi 1+,

za kiraia 1,/-, na

shehena kubwa za meno ya n!o"u na nyara nyingine na"yo "ilikamatwa. atu ka!haa tayari wameshafikishwa mahakamani. Ndugu Wananchi; ahenga '4n #1. wamesema 0234n%4 wa 34n # 5ana hii )atika utekelezaji 4peresheni

kumekuwepo na taarifa za kufanyika makosa kinyume na malengo na ma!humuni ya 4peresheni. Niliagiza baa!a ya kumalizika kwa awamu ya kwanza, zoezi lisitishwe kwa mu!a ili u%hunguzi ufanyike, kasoro zitambuliwe na waliofanya makosa wa%hukuliwe hatua zipasazo. )amati #eule kuun!wa. akati kazi hiyo inafanyika suala hilo lilija!iliwa 3ungeni na Matokeo yake sote tunayajua. Mawaziri wanne wamewajibika kisiasa.

Ndugu Wananchi; Napen!a kutumia nafasi hii kuwapa pole Mawaziri wetu hao kwa matatizo yaliyowakuta. Nawapongeza kwa uamuzi wa kukubali kuwajibika kwa makosa yaliyofanywa na maofisa wa %hini yao. ameonesha ukoma"u wa kisiasa na kiuongozi wa hali ya juu na moyo wa uzalen!o. )ama mli"yosikia nitaun!a )amisheni ya &%hunguzi itakayoongozwa na -aji wa Mahakama )uu. &%hunguzi wa kina utafanywa kuhusu ka!hia yote hiyo. Makosa yaliyofanyika yataainishwa na waliofanya kutambuliwa ili wa%hukuliwe hatua zipasazo kwa mujibu wa sheria na kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma. Ndugu Wananchi; Ni muhimu kufanya hi"i ili haki iten!eke ipasa"yo. Mtin!o wa mzigo wa makosa ya watumishi wa umma kubebwa na "iongozi wa kisiasa pekee, tena wasiokuwa na hatia ya moja kwa moja, siyo sahihi. 9azima kila mtu abebe mzigo wake ina"yostahili. Ni matumaini yangu pia kwamba katika siku za usoni kunapotokea matatizo ya namna hii u%hunguzi na uwe wa kina ili wale hasa waliohusika kuten!a makosa wawajibishwe.

<

&wajibikaji wa wana=siasa peke yao hautoshi, kwani huwaa%ha waharibifu waen!elee na kazi isi"yostahili. Mtin!o huu utawafanya watumishi wasione umuhimu wa kutokuru!ia makosa. 'ata hi"yo, pale kwenye ushahi!i wa wazi kwamba kiongozi wa kisiasa angeweza ku%hukua hatua za kuzuia ma!hara lakini hakufanya hi"yo lazima kiongozi huyo awajibike.

Ndugu Wananchi; #unakamilisha matayarisho ya kuanza awamu ya pili ya 4peresheni #okomeza. kwani tusipofanya hi"yo Ni muhimu kuen!elea nayo majangili wataen!elea na

"iten!o "yao "io"u. 'ali ni mbaya sana kwa upan!e wa uwin!aji wa n!o"u. Nilipolihutubia 3unge tarehe : No"emba, 2013, nilieleza kuwa tutafanya sensa ya n!o"u katika (ori la 'ifa!hi la 5elous. 5ensa hiyo imekamilika lakini taarifa yake inatisha. )una n!o"u 13,0+. tu wakati mwaka 1<:7 walikuwa 10,,.1,. #usipoen!elea na 4peresheni hii baa!a ya miaka mi%ha%he ijayo hakutakuwa na n!o"u hata mmoja. 'alika!halika, zoezi

10

la kuon!oa mifugo katika mapori ya hifa!hi ya taifa litaen!elea. )atika awamu ya pili ya 4peresheni hii, washiriki watasisitizwa kutokuten!a mao"u yaliyofanyika katika awamu ya kwanza. M6(a2at7 3a K!!n8a Kat#9a Ndugu wananchi; #umefika mahala pazuri katika m%hakato wetu wa kutayarisha )atiba Mpya ya -amhuri ya Muungano wa #anzania. -oseph 5hein. -ana Mwenyekiti wa #ume, Mheshimiwa -aji arioba, alitukabi!hi >asimu ya (ili ya )atiba, )ama nili"yosema jana kina%hofuata sasa ni ajumbe wa 3unge la )atiba, kuiona na

mimi na >ais wa ?anzibar Mheshimiwa .kt. $li Mohame! kuitangaza >asimu hiyo katika 2azeti la 5erikali kwa kila mtu na hasa kuisoma. 3aa!a ya hapo kitafuata kiten!o %ha kuifikisha >asimu kwenye 3unge Maalum la )atiba kwa ajili ya kuja!iliwa na hatimaye kupatikana >asimu ya Mwisho itakayofikishwa kwa wanan%hi kupigiwa kura. Ndugu Wananchi; M%hakato wa kupata na abunge na ajumbe 201 watakaoungana awakilishi ajumbe wa 3araza la

11

kuun!a 3unge Maalum la )atiba umeanza. Ni matarajio yetu kuwa katika 3#2# %a tat! ya -anuari, 2014, uteuzi utakamilika. 5iku 21 baa!a ya hapo 3unge la )atiba ajumbe hao 3aa!a ya 3unge la )atiba litaanza. 'ii ni kwa nia ya kuwapa nafasi kusoma >asimu ya )atiba.

kumaliza kazi yake, utaanza m%hakato wa )ura ya Maoni itakayopigwa na wanan%hi n!ani ya siku -. baa!a ya >asimu ya )atiba kupitishwa na 3unge Maalum na kukabi!hiwa kwa >ais. 8wapo >asimu itakubaliwa na wanan%hi hapo tutakuwa tumepata )atiba Mpya. 9akini, iwapo >asimu itakataliwa ina maana kuwa )atiba ya sasa itaen!elea kutumika mpaka na hapo )atiba m%hakato mpya mwingine Ni utakapoanzishwa kupatikana.

matumaini yangu na, ni maombi yangu na rai yangu kuwa >asimu hiyo itakubalika ili n%hi yetu isonge mbele. P7n 4$# Ndugu Wananchi; Niruhusuni Mwenyekiti na nitoe pongezi zangu za !hati kwa ajumbe wote wa #ume kwa kazi kubwa Najua haikuwa kazi rahisi hata

na nzuri waliyoifanya.

12

ki!ogo

lakini

wameweza. wanan%hi

)wa kwa

namna

ya wao

pekee mzuri

nawashukuru tuliyofikia sasa.

ushiriki

uliowezesha zoezi la maba!iliko ya )atiba kufikia hatua Ndugu Wananchi; Ni matumaini yangu na n!iyo matumaini ya atanzania wote kuwa ajumbe wa 3unge Maalum la

)atiba wataija!ili >asimu ya )atiba kwa makini na kufanya kila wawezalo kuiwezesha n%hi yetu kupata )atiba nzuri itakayoimarisha na ku!umisha Muungano wetu. )atiba itakayoen!eleza umoja, upen!o, u!ugu, mshikamano na ushirikiano miongoni mwa wanan%hi wa #anzania. )atiba itakayoihakikishia n%hi yetu amani, utuli"u na ustawi wa kiu%humi na kijamii. Ni imani yangu na ya mapana ya taifa na watu wake. atanzania wote kuwa asiweke mbele maslahi ajumbe wa 3unge la )atiba wataweka mbele maslahi yao binafsi au ya "ikun!i "yao "ya kisiasa au kijamii. akifanya "ingine"yo kuna hatari ya kupata )atiba isiyoki!hi haja na itakuwa hasara kubwa kwa taifa letu na kwao pia.

13

U6(!'# Ndugu wananchi; )atika mwaka tunaoumaliza leo, #anzania ilien!elea kupata mafanikio katika nyanja mbalimbali za maen!eleo ya kiu%humi na kijamii. -ambo la kufurahisha ni kuwa mafanikio hayo yamepatikana li%ha ya kuwepo %hangamoto ka!haa hapa n%hini na hali ya u%humi wa !unia kuwa ba!o haijatengemaa "ya kutosha. (ato la taifa limekua kwa a&#"#'#a -.1 ukilinganisha na a&#"#'#a *., mwaka jana. Mfumuko #unategemea kuwa mwaka 2014 pato la taifa litakua kwa a&#"#'#a -.3. wa bei umeshuka kutoka a&#"#'#a 12.1, .esemba, 2012 ha!i a&#"#'#a *.2, No"emba 2013. 9engo letu ni kufikia a&#"#'#a / mwezi -uni, 2014. Ndugu Wananchi; 'a!i No"emba, 2013, #anzania ilikuwa imeuza nje bi!haa na hu!uma zenye thamani ya !ola za Marekani '#"#7n# -,-20.+ ukilinganisha na !ola '#"#7n# -,,1*.* za mwaka ulioishia No"emba 30, 2012. )ushuka kwa bei za kahawa, pamba, katani, %hai, karafuu na !hahabu n!iko kulisababisha kupungua kwa mapato yetu ya fe!ha

14

za kigeni. 'ali hii inatukumbusha umuhimu na uharaka wa kuen!eleza "iwan!a "ya kuongeza thamani mazao na bi!haa zetu tunazouza nje. -ambo hili tutalipa msukumo maalum mwaka 2014 na kuen!elea. (amoja na kushuka ki!ogo kwa mapato ya mauzo yetu ya nje akiba yetu ya fe!ha za kigeni ilien!elea kuwa nzuri. 'a!i No"emba 30, 2013 akiba yetu ilikuwa !ola za Marekani .,/3+ '#"#7n#. 'ata hi"yo, akiba hiyo 5ina wasiwasi kuwa inatuwezesha kuagiza bi!haa toka nje wa miezi ... ni %hini ya lengo letu la miezi ../. mwaka 2014 tutaliziba pengo hilo. Ndugu Wananachi; 5ekta zilizo%hangia sana katika kasi ya ukuaji wa u%humi mwaka 2013 ni pamoja na mawasiliano asilimia 20.*, hu!uma ya fe!ha asilimia 13.2, uzalishaji "iwan!ani asilimia +.2, ma!ini asilimia -.+, ujenzi asilimia -.+, biashara asilimia -.- na u%hukuzi asilimia -.1. 3a!o kasi ya ukuaji wa sekta ya kilimo ilikuwa (amoja na hayo, kilimo kinaen!elea kutoa m%hango mkubwa kwa ustawi wa u%humi wa #anzania na watu n!ogo kwani ilikuwa a&#"#'#a ..3.

10

wake. )ilimo kina%hangia a&#"#'#a 2..- ya pato la taifa na a&#"#'#a 10.- ya mapato ya fe!ha za kigeni. )ilimo kimeiwezesha n%hi yetu kujitosheleza kwa %hakula na ku"ipatia "iwan!a malighafi. )wa upan!e wa mazao ya %hakula, kwa mfano, mwaka huu uzalishaji ulikuwa tan# 1.,3+3,+./. Ukilinganisha na mahitaji yetu ya %hakula ya tani 12,1.,,120 hi"yo tunajitosheleza na kuwa na zia!a ki!ogo. ?ia!a hii ni ki!ogo mno hi"yo inatulazimu mwaka ujao tuongeze mara!ufu juhu!i na uwekezaji katika kutekeleza shabaha na malengo ya kilimo. Ndugu Wananchi; )wa ajili ya uzalishaji wa %hakula kuwa mzuri, mwaka huu akala wa #aifa wa 'ifa!hi ya @hakula wameweza kununua tan# 233,*+,.+ za nafaka ha!i kufikia .esemba 2:, 2013 kiasi amba%ho hakijawahi kufikiwa miaka ya nyuma. Mwaka 2012 wakati kama huu kiasi %ha tani ,3,0.-.+ tu akala ilikuwa na na kutulazimisha kutafuta

%hakula nje ya n%hi. )wa ajili hiyo tulilazimika kuruhusu wafanyabiashara kuagiza mahin!i, m%hele na sukari kutoka nje kwa nafuu ya ko!i. &amuzi huo umesai!ia

17

n%hi kuwa na %hakula %ha kutosha na kuuzwa kwa bei nafuu kwa walaji. Ndugu Wananchi; Ni matarajio yangu, na n!iyo hasa !hamira yetu, kwamba mwaka 2014 tutapata mafanikio makubwa zai!i kwa upan!e wa maen!eleo ya kiu%humi na kijamii. Naamini tutaweza kwa "ile tumejipanga "izuri. #unayo mira!i ya kimkakati iliyoainishwa "izuri katika Mpango wa Maen!eleo wa Miaka Mitano na %hini ya &taratibu wa Matokeo Makubwa 5asa. Mira!i hiyo kama itatekelezwa kama ili"yopangwa u%humi utakua kwa kasi kubwa zai!i, ajira nyingi zitapatikana na hu!uma za kiu%humi na kijamii zitaboreka sana. 3ahati nzuri tumeweka utaratibu mpya na mzuri wa kufuatilia utekelezaji wa mipango, mira!i na shughuli za 5erikali. )atika 4fisi ya >ais kumeanzishwa 4fisi maalum ya ufuatiliaji ijulikanayo kama Presidential Delivery Bureau. Na, kila izara ina kitengo %ha namna hiyo

kijulikana%ho kama Ministerial Delivery Unit. )wa ajili hiyo utekelezaji wa mira!i ya kimkakati na shughuli za 5erikali utakuwa mzuri zai!i.

1:

Ma$#n #:a %a U3424$a;# Ndugu Wananchi; Ni makusu!io yetu kuwa kuanzia sasa tutaihusisha sekta binafsi kwa ngu"u zai!i katika utekelezaji wa mira!i na shughuli za maen!eleo. Nimeagiza Presidential Delivery Bureau ishughulikie suala la uboreshaji wa mazingira ya uwekezaji n%hini. 5ifa ya n%hi yetu kuhusu mazingira ya uwekezaji siyo nzuri. )wa mujibu wa tathmini inayofanywa kila mwaka na 3enki ya .unia, mwaka 200: n%hi yetu ilikuwa kati ya n%hi 10 bora !uniani kwa kufanya mageuzi makubwa ya kupunguza gharama za kufanya biashara. Mwaka huo tulikuwa n%hi ya 1.2 kati ya n%hi 1-/. Mwaka 200; tukapan!a na kuwa wa 130 kati ya n%hi 1-*, mwaka 2012 tulikuwa wa 13. kati ya n%hi 1+/ na sasa ni wa 1./ kati ya n%hi 1+/. 'ali hii si nzuri hata ki!ogo kwa u%humi unaokusu!iwa kujengwa kwa kutegemea uwekezaji wa sekta binafsi. #unategemea (.3 itatupa ushauri mzuri wa nini kifanyike kurekebisha mambo. Ndugu Wananchi;

1;

&tekelezaji wa mira!i ya Big Result Now A3>NB katika kilimo, umeme, reli, barabara, ban!ari, maji, elimu na kuongeza mapato ya 5erikali umeanza kwa kasi inayoleta matumaini. )ama upan!e wa ukusanyaji wa mapato ya 5erikali utakwen!a ina"yotarajiwa tutegemee mambo mengi mazuri kufanyika kuanzia mwaka 2014 mpaka 2017. Mpaka sasa hali ya ukusanyaji wa mapato ya 5erikali si mbaya. astani kwa mwezi unakaribia shilingi 9#"#7n# Makusanyo ya -00 kuelekea shilingi 9#"#7n# +00.

mapato ya 5erikali kwa miezi ya -ulai ha!i No"emba yaliongezeka kutoka shilingi bilioni 3,00+.1 kipin!i kama hi%ho mwaka 2012 ha!i shilingi bilioni 3,///./ mwaka 2013. 'ata hi"yo makusanyo ya -ulai ha!i No"emba, 2013 ni a&#"#'#a ++.1 ya lengo la kukusanya shilingi 9#"#7n# .,03*.+. 9engo halijafikiwa kwa sababu ya ku%helewa kutekelezwa kwa baa!hi ya marekebisho ya mfumo wa ko!i, hususan tozo ya sim%ar!, ko!i za mishahara kutokana na kutokupan!ishwa kwa kima %ha %hini katika sekta binafsi na ya uhawilisho wa fe!ha Amoney transferB. (ia kuen!elea kwa m"utano baina ya

1<

#>$ na wafanyabiashara kuhusu bei za mashine za ko!i. Ni matumaini yangu matatizo hayo yatashughulikiwa na kumalizwa mapema iwezekana"yo ili tuweze kupata mafanikio makubwa zai!i katika ukusanyaji wa mapato ya 5erikali mwaka 2014. E"#'! Ndugu Wananchi; )wa upan!e wa elimu tumeen!elea kupata mafanikio katika kupunguza tatizo la upungufu wa walimu wa shule za msingi na sekon!ari. Mwaka huu tuliajiri walimu 2+,***. )wa ajili hiyo upungufu wa walimu ni /-,-// kati yao 20,*2/ wa shule za msingi na 3-,130 wa shule za 5ekon!ari. Mapema mwaka ujao tutaajiri walimu wapya 3*,100 kati yao 1+,100 wa shule za msingi na 1+,000 wa sekon!ari. )ufanya hi"yo kutafanya pengo lililopo liwe !ogo zai!i. )wa upan!e wa shule za sekon!ari, tatizo la walimu wa masomo ya yetu sanaa kubwa tunakaribia itakuwa kwa kulimaliza. walimu wa @hangamoto

masomo ya sayansi.

&pungufu ni walimu 2*,,,+ na

uwezo wa "yuo "yetu ni kutoa walimu wa sayansi 2,300

20

kwa mwaka. Mapema mwaka 2014 tutakutana na wa!au wa elimu n%hini kuja!iliana juu ya mkakati wa haraka wa kulikabili tatizo hili. Nilipanga tufanye hi"yo mwaka huu lakini mambo yaliingiliana sana hatukuweza. Ndugu Wananchi, #umeen!elea kupunguza tatizo la uhaba wa "itabu na "ifaa "ya kujifunzia na kufun!ishia. #uliongeza fe!ha katika bajeti ya elimu kwa ajili ya "itabu. 'i"i sasa usambazaji wa "itabu "yenye thamani ya &(#"#n # 9#"#7n# -* za bajeti ya mwaka 2012/13 unaen!elea. )wa sababu hiyo hi"i sasa upungufu wa "itabu umeshuka na kufikia kitabu kimoja kwa wanafunzi 3. Naamini &(#"#n # 9#"#7n# ., zilizotengwa katika bajeti ya mwaka huu wa fe!ha kwa ajili ya "itabu itafanya mambo kuwa nafuu zai!i. #ukien!elea kuwekeza kama tufanya"yo sasa shabaha yetu ya kila mwanafunzi wa msingi na sekon!ari kuwa na kitabu %hake kwa masomo yote ifikapo 2017 itatimia. Ndugu Wananchi; Mwaka huu tumeanza utekelezaji wa mpango mkubwa wa kujenga nyumba za walimu. )wa kuanzia

tumetenga &(#"#n # '#"#7n# /00 kwa kila 'almashauri.

21

#umeanza na 'almashauri .0, mwaka ujao na miaka inayofuata tutaongeza fe!ha zinazotengwa na kuzifikia 'almashauri zote. wa Mikoa na )wa upan!e wa ujenzi wa maabara akuu akurugenzi wa 'almashauri za asisubiri kuulizwa. katika sekon!ari za kata napen!a kuwakumbusha ilaya na

ilaya na Miji, kuwa kila mmoja ahakikishe kuwa ifikapo No"emba, 2014 malengo yanatimia. Ma;# Ndugu Wananchi; )wa kutambua umuhimu wa maji kwa maisha ya wana!amu na u%humi katika bajeti ya mwaka huu wa fe!ha sekta ya maji imepewa upen!eleo katika mgao wa fe!ha. #utaen!elea kuongeza fe!ha katika bajeti mbili zinazofuata ili watu wengi zai!i mijini na "ijijini wapate maji safi na salama. )ama fe!ha zitapatikana kama ili"yopangwa watapata maji. na utekelezaji ukasimamiwa "izuri tunatarajia kuwa katika mwaka 2013/14 watu milioni -.1 )atika mwaka ujao wa fe!ha 2014/10 tumepanga kuwapatia maji watu wengine milioni - na mwaka utaofuata A2010/17B tutaongeza tena hu!uma hiyo kwa watu '#"#7n# 1.3 na kufanya tufikie asilimia -.

22

ya

atanzania wanaopata maji safi na salama ifikapo A)%a

2010/2017. Ndugu wananchi; #umeen!elea kupata mafanikio katika kuen!eleza upatikanaji wa hu!uma ya afya kwa wanan%hi wa #anzania. ?ahanati, "ituo "ya afya na hospitali zimeen!elea kujengwa kote n%hini. $i!ha, hospitali za wilaya, mikoa, kan!a na 'ospitali ya #aifa Muhimbili zimeen!elea kuboreshwa. )wa ajili hiyo i!a!i ya atanzania wanaoweza kupata hu!uma ya afya iliyo bora inazi!i kuongezeka. 'ali ka!halika, wataalamu wa afya wa fani mbalimbali wameongezeka na hali ya upatikanaji wa !awa na "ifaa tiba imezi!i kuboreshwa. (amoja na yote hayo ba!o kuna kazi kubwa ya kufanya mbele yetu. )ufanya hayo n!iyo !hamira yetu kuu kwa mwaka 2014. Ndugu wananchi; #umeen!elea kupata ushin!i katika mapambano !hi!i ya magonjwa yanayoua watu wengi n%hini. )wa upan!e wa malaria, kwa mfano, maambukizi ya ugonjwa

23

huo kwa watoto na mama wajawazito yamepungua kutoka a&#"#'#a 1+ ha!i ,./. #utaen!elea kugawa "yan!arua kwa wajawazito na watoto kwa kutumia hati punguzo pamoja na kusisitiza matumizi ya !awa mseto na kupulizia !awa ya kuua mbu majumbani. $i!ha, tunatarajia kupata mafanikio zai!i miaka ijayo kiwan!a %ha kuzalisha "iua!u!u "ya kuua "iluilui "ya mbu wanaoeneza malaria kitapoanza kazi. Ndugu Wananchi; Mambukizi ya &)8M 8 yameshuka ha!i a&#"#'#a /.1. 8naleta faraja kuona watu wengi wamejitokeza kupima afya zao kwa hiari. Mpaka sasa watu '#"#7n# 1+ wamepima. #unao watu 1,2,+,.02 waliooro!heshwa kwa ajili ya kupata hu!uma ya tiba na kati yao .+/,-1/ wanapata !awa. aliosalia watapata wakati wao ukifika. Mpaka sasa "ituo .,*03 "ina"yotoa hu!uma ya kuzuia maambukizi ya &)8M 8 kutoka kwa mama kwen!a kwa mtoto "imeanzishwa n%hini kote tangu mpango huo uzin!uliwe tarehe 1 .esemba, 2012. 8!a!i yake inaen!elea kuongezeka. Ni !hamira yetu kuen!eleza jitiha!a za kupunguza maambukizi ya "irusi "ya &)8M 8

24

kwa

atanzania. Mafanikio ya kampeni hii pamoja na ile

!hi!i ya malaria n!iyo %ha%hu ya mafanikio tuliyopata katika kupunguza "ifo "ya watoto n%hini na kufikia lengo la Milenia mwaka huu. Ma 7n;3a %a M7%7 Ndugu Wananchi; )atika mwaka 2013 tunaoumaliza leo, tumeshuhu!ia mambo ka!haa mazuri yakifanyika yanayoelezea mafanikio tunayoen!elea kuyapata katika jitiha!a zetu za kujenga uwezo wa tiba kwa mara!hi tunayopeleka wagonjwa nje ya n%hi. Niruhusuni niyataje baa!hi yake. 9a kwanza, ni kuanza kazi kwa )ituo %ha #iba na Mafunzo ya Magonjwa ya Moyo katika 'ospitali ya #aifa ya Muhimbili. 'iki ni kituo kikubwa na %ha aina yake %ha matibabu ya mara!hi ya moyo hapa n%hini. 'u!uma za kisasa za u%hunguzi na matibabu ya mara!hi ya moyo ambazo zamani zilikuwa zinapatikana nje ya n%hi sasa zinaweza kupatikana hapa hapa n%hini. "itan!a 100 "ya kulaza wagonjwa, Ndugu Wananchi; )wa kuwa na atanzania wengi

wataweza kuhu!umiwa na maisha yao kuokolewa.

20

)atika kituo hiki watu wanaweza kufanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo Aopen heart surgeryB, uwekaji wa mashine ya kuongezea ngu"u kwenye moyo (pacemaker), uwekaji wa "yuma "i!ogo katika mishipa ya !amu ya moyo ambayo imebanana AstentB. #angu kituo kianze kazi rasmi tarehe 30 $prili, 2013 mpaka sasa watu 3.- wamefanyiwa upasuaji wa moyo na watu 3atat! wamewekewa pacemaker tangu hu!uma hiyo ianze No"emba, 2013. )ituo hiki ni Mapema mwakani kituo kinatarajiwa kipya hi"yo katika mwaka 2014 kuanza hu!uma ya kuweka stent. tutaen!elea kukijengea uwezo wa "ifaa tiba, wataalamu na mahitaji mengine muhimu ili kulipunguzia taifa mzigo wa kupeleka wagonjwa n%hi za nje. 5erikali, pia itaen!eleza ushirikiano wake na uongozi wa 'ospitali ya )an!a ya 3ugan!o kuboresha hu!uma ya upasuaji mkubwa wa moyo katika hospitali hiyo. Mheshimiwa .aktari Mohame! 2halib 3ilal. Sa:atan# Ndugu Wananchi; 'u!uma hiyo ilizin!uliwa tarehe 27 4ktoba, 2013 na Makamu wa >ais

27

)wa upan!e wa mara!hi ya saratani, Cebruari, 2013 jengo jipya la kulaza wagonjwa 1-0 lilifunguliwa katika #aasisi ya 5aratani ya 4%ean >oa!. )ufunguliwa kwa jengo hilo kumeongeza uwezo wa taasisi yetu hiyo kulaza wagonjwa 2,0 ba!ala ya 120 tu kabla ya hapo. &jenzi wa jengo hili jipya umesai!ia sana watu wengi zai!i kuhu!umiwa na kupunguza msongamano mkubwa wa wagonjwa uliokuwepo. <# 7 Ndugu Wananchi; )uhusu mara!hi ya figo mwaka huu pia tumeshuhu!ia hu!uma ya usafishaji wa figo zenye matatizo ikipanuliwa. 'u!uma hiyo imeanzishwa tena katika 'ospitali ya )an!a ya Mbeya na imeanzishwa kwa mara ya kwanza katika @huo %ha #iba katika @huo )ikuu %ha .o!oma. (ale Mbeya tayari wagonjwa ,3 wamehu!umiwa mwaka huu na kuwapa matumaini )wa pale @huo )ikuu %ha na unategemewa

mapya ya maisha yao. magonjwa ya figo

.o!oma, ujenzi wa kituo kikubwa kitaka%hobobea kwa unaen!elea kukamilika mapema mwaka 2014.

2:

Ma)!n$7 Ndugu Wananchi; )atika mwaka 2013 tumefungua ukurasa mpya katika jitiha!a zetu za kuongeza wataalamu wa afya n%hini. @huo %ha 5ayansi ya #iba katika @huo )ikuu %ha .o!oma kimefanya mahafali yake ya kwanza ambapo wanafunzi 2014. )wa upan!e wa m%hakato wa kujenga makazi mapya ya @huo )ikuu %ha #iba na 5ayansi 5hirikishi %ha Muhimbili kule Mloganzila m%hakato umeanza. &jenzi wa miun!ombinu ya barabara, maji na umeme unaen!elea hi"i sasa. Mwaka 2014 ujenzi wa 'ospitali ya kisasa ya kufun!ishia yenye "itan!a */0 utaanza. &jenzi wa Mlonganzila ukikamilika @huo )ikuu %ha Muhimbili kitaweza ku%hukua wanafunzi 1/,000 wa fani zote ukilinganisha na 3,0*0 wa sasa. Ma!aktari, 'atua hiyo itaongeza sana uwezo na kasi yetu ya kupunguza uhaba wa auguzi na wataalam wengine wa afya. N%!'9a /0 wa 5haha!a ya &uguzi walihitimu. #unatarajia kuanza kupata ma!aktari kuanzia mwaka

2;

Ndugu Wananchi; )atika mwaka 2013 ujenzi wa nyumba 3/ za kuishi watumishi wa afya katika mikoa ya Mtwara A0B, >ukwa A20B na 5ingi!a A10B umekamilika. &jenzi wa nyumba 100 unaen!elea. Nyumba hizo ni sehemu ya mpango wa ujenzi wa nyumba /+0 zinazojengwa kwa ushirikiano kati ya 5erikali na 2lobal Cun! kwa awamu mbili. $wamu ya kwanza zinajengwa nyumba 310 ambapo taasisi ya 3enjamin illiam Mkapa Coun!ation n!iyo mtekelezaji wa ujenzi huo. Napen!a kutumia nafasi hii kutoa shukrani za !hati kwa >ais Mstaafu Mheshimiwa 3enjamin Mkapa kwa m%hango wake mkubwa alioutoa na anaoen!elea kutoa kwa maen!eleo ya n%hi yetu na watu wake. U;4n$# 3a M#!n87'9#n! Ndugu wananchi; )atika mwaka 2013, tumeen!elea kupata mafanikio makubwa katika kuboresha miun!ombinu ya usafiri wa ar!hini, majini na angani. )asi ya ujenzi wa barabara imeen!elea kufanyika kote n%hini. )azi ya ujenzi ingekuwa nzuri zai!i kama mtiririko wa malipo kwa akan!arasi ungekuwa mzuri. #atizo hili tutalitafutia

2<

ufumbuzi mwaka 2014 ili kasi ya ujenzi wa barabara za lami n%hini iwe nzuri zai!i. (amoja na hayo mwaka huu 2#"7'#ta +-- za barabara zimekamilika. &jenzi wa !araja la Malagarasi nao umekamilika kina%hosubiriwa ni sherehe za uzin!uzi. &jenzi wa !araja la )ilombero umeanza na ule wa !araja la )igamboni unaen!elea "izuri. #unatarajia kuwa mwakani tutaongeza zai!i kasi ya ujenzi wa barabara zilizosalia ikiwa ni pamoja na kujenga baa!hi ya barabara kwa ubia na sekta binafsi. )wa kasi na mwenen!o tunaoen!elea nao sasa naamini ifikapo mwaka 2010 tutakuwa tumefikia hatua ya juu sana katika shabaha yetu ya kuunganisha mikoa yote n%hini kwa barabara za lami. Ndugu Wananchi; -itiha!a za kupunguza msongamano wa magari katika -iji la .ar es 5alaam zimeen!elea kutekelezwa. 3arabara ka!haa zilipanuliwa na kazi inaen!elea. &jenzi wa njia ya kupita mabasi yaen!ayo haraka umeen!elea kwa kasi ya kuri!hisha. M%hakato wa ujenzi wa barabara za juu ya nyingine katika njia pan!a za #$?$>$ na

30

&bungo umeshaanza. Mwaka ujao hu!uma ya usafiri wa treni kusafirisha abiria .ar es 5alaam itaongezwa ili watu wengi zai!i wanufaike. Ndugu wananchi; Mwaka huu, kwa upan!e wa reli ya kati, kazi ya kuboresha njia ya reli imeen!elea kufanyika na itaen!elea mwaka 2014. Mwakani A2014B 5hirika la >eli litapokea injini mpya 13, mabehewa ya mizigo 2-. na breki 3. hi"yo kuboresha sana hu!uma katika reli ya kati. )uhusu ujenzi wa reli mpya ya upana wa kimataifa ni matarajio yetu kuwa kama kila kitu kitaen!a sawa m%hakato wa ujenzi utaanza katika nusu ya pili ya mwaka 2014. Ndugu Wananchi; #umetoa kipaumbele %ha juu katika kuboresha hu!uma ya usafiri wa anga n%hini. Mwaka huu,

tumeen!elea na ukarabati, upanuzi na ujenzi wa "iwanja "ya n!ege "ya Mikoa ya )ilimanjaro, )igoma, #abora, Mwanza, $rusha, Mtwara na )agera. Ni jambo la kufurahisha kuona &wanja wa N!ege wa )imataifa wa 5ongwe ukianza kutumika. 'atimaye n!oto imetimia.

31

Mwaka

wa

2014

ujenzi

wa

majengo

mengine

ya

kuhu!umia abiria, mizigo na n!ege utaen!elea katika uwanja huo. (ia ni furaha iliyoje kwamba upanuzi wa &wanja wa N!ege wa Mafia na ujenzi wa gati la )ilin!oni "imekamilika. )ero ya miaka mingi imepatiwa ufumbuzi. )azi ya ujenzi wa jengo jipya la abiria katika &wanja wa N!ege wa )imataifa wa -ulius Nyerere itaanza rasmi mwaka 2014. N#&(at# Ndugu wananchi; .hamira yetu ya kutaka #anzania iwe na umeme wa uhakika na unaonufaisha watu wengi imepata sura na mwelekeo mzuri mwaka huu 2013. &jenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara na 5ongosongo kuja .ar es 5alaam umeanza na utekelezaji unakwen!a "izuri. )ama ujenzi wa bomba utakamilika kama ina"yotarajiwa na ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme )inyerezi utaen!a kama ili"yopangwa, ifikapo mwaka 2010 #anzania itafikia lengo la kuzalisha '4 a3at# 3,000 za umeme. Ndugu Wananchi;

32

3ahati nzuri mwaka huu, kufuatia kuongezewa fe!ha za bajeti, kasi ya usambazaji umeme imekuwa nzuri. #unaumaliza mwaka huku i!a!i ya atanzania waliounganishiwa umeme ikiwa imefikia a&#"#'#a 2. ukilinganisha na a&#"#'#a 21 mwaka 2012 na a&#"#'#a 10 mwaka 2000. 'aya si mafanikio ma!ogo. )wa mwelekeo huu, kufikia lengo la a&#"#'#a 30 ya atanzania kupata umeme mwaka 2010 ni jambo la uhakika kabisa sasa. #ena kuna uwezekano mkubwa wa kuli"uka lengo hilo. U&(#:#2#an7 3a Kan8a Watanzania Wenzangu; )atika mwaka 2013, n%hi yetu imeen!elea kushiriki "izuri katika shughuli za -umuiya ya Maen!eleo ya N%hi za )usini mwa $frika A5$.@B na -umuiya ya $frika Mashariki AD$@B ambazo sisi ni wana%hama. kina%hoshughulikia mmoja. 5iasa, &linzi na Mwezi wa kwa $gosti, 2013 tulikabi!hi &enyekiti wa %hombo %ha 5$.@ &salama Namibia. #ulikuwa tumemaliza kipin!i %hetu %ha mwaka

33

)atika kipin!i %hetu %ha uongozi tulishiriki kwa ukamilifu kutafuta suluhu kwa mizozo na migogoro ya kisiasa na kiusalama n%hini ?imbabwe, -amhuri ya )i!emokrasia ya )ongo na Ma!agas%ar. #unafurahi kuona kwamba mambo katika n%hi zote hizo sasa yanakwen!a "izuri. N%hini ?imbabwe utuli"u umerejea baa!a ya kufanyika kwa u%haguzi mwezi -ulai, 2013. N%hi ya Ma!agas%ar nayo imemaliza !uru ya pili ya u%haguzi wa >ais kwa usalama. Matokeo yanatarajiwa kutangazwa tarehe : -anuari, 2014. Ni matumaini yetu kuwa watu wa n%hi hiyo watayapokea matokeo hayo na wataelekeza ngu"u zao katika kujenga umoja na mari!hiano ili wajenge upya u%humi wa n%hi yao. )wa upan!e wa Mashariki ya )ongo, tishio kubwa la usalama kutokana na "iten!o "ya kun!i la waasi la M23 limezimwa na -eshi la )ongo kwa kushirikiana na -eshi la &moja wa Mataifa. )ama mjua"yo #anzania ni moja ya n%hi zinazo%hangia maafisa na askari wa -eshi hilo. Ndugu Wananchi;

34

Napen!a kutumia nafasi hii, kwa mara nyingine tena kutoa pongezi zangu za !hati kwa wanajeshi wetu kwa kazi yao nzuri na iliyotukuka waliyoifanya huko Mashariki ya )ongo. (ia nawapongeza wanajeshi wetu walioko .arfur na 9ebanon kwa kazi yao njema waifanyayo. mambo yaliyowafanya wapewe sifa nyingi ote na nawaomba waen!elee ku!umisha ni!hamu na wele!i, kuheshimiwa. ameiletea n%hi yetu heshima kubwa.

3ahati mbaya, katika kutimiza wajibu wao huo wa kimataifa tumepoteza "ijana wetu 10, &a9a .arfur na 3atat! )ongo. Naru!ia kutoa pole kwa -eshi letu na familia za marehemu kwa msiba mkubwa uliowakuta. Napen!a kuwahakikishia kuwa !aima tutauthamini na kuuenzi m%hango wao. anajeshi wote tunawatakia heri na fanaka tele katika mwaka 2014. J!'!#%a %a A):#2a Ma&(a:#2# Ndugu Wananchi; Mwaka huu, ushiriki wetu katika -umuiya ya $frika Mashariki umepita katika mtihani ki!ogo kufuatia n!ugu zetu wa &gan!a, >wan!a na )enya kufanya mambo ambayo yalijenga hisia ya kuwepo mifarakano. (ia

30

yalileta hofu kuwa hata uhai wa -umuiya yenyewe ulikuwa mashakani. )atika mkutano uliopita wa akuu wa N%hi wana%hama wa -umuiya uliofanyika tarehe 30 No"emba, 2013 mambo hayo tuliyazungumza kwa uwazi na ki!ugu. #umeelewana kuwa yaliyopita si n!wele tugange yajayo. Ndugu Wananchi; )atika ya mkutano wa wa )ampala tuliamua 9a mambo kwanza, matatu makubwa na muhimu katika kuen!eleza agen!a utangamano $frika Mashariki. tulikubaliana kuhusu 8tifaki ya kuanzisha &moja wa Ce!ha wa $frika Mashariki na kutia saini. 'ii n!iyo hatua ya juu ya utangamano wa kiu%humi katika -umuiya ya $frika Mashariki. #umekuwa tunashirikiana katika kuwianisha sera za u%humi, fe!ha na bajeti, kwa uamuzi huu sasa tunaelekea kwenye kuwa na sera moja ya fe!ha na bajeti kwa mambo hayo na hatimaye sarafu moja. yaani 5hirikisho la )isiasa. 3aa!a ya hatua hii, inayofuata ni ile ya utangamano wa kisiasa, )atika mkutano wetu wa )ampala tulikubaliana kuwa n%hi wana%hama ambazo hazijakamilisha kutoa maoni yao, zifanye hi"yo kisha

37

baa!a ya hapo tuzungumzie jambo hilo na kulipa mwelekeo. Ndugu Wananchi; 1ile"ile katika kikao %hetu %ha )ampala, tuliri!hia mpango wa utekelezaji wa uamuzi wetu wa awali wa kuanzisha 'imaya Moja ya Coro!ha ya -umuiya ya $frika Mashariki. 9engo la mfumo au utaratibu huu ni kufanikisha utekelezaji wa malengo na ma!humuni ya &moja wa Coro!ha wa $frika Mashariki. &taratibu huu utarahisisha na kuharakisha uingizaji na utoaji wa bi!haa katika ban!ari na mipaka ya n%hi za $frika Mashariki. (ia, utaon!oa "ikwazo "isi"yokuwa "ya ko!i katika uingizaji na usafirishaji wa bi!haa kutoka n%hi wana%hama kwen!a n%hi nyingine. )wa jumla, 'imaya Moja ya Coro!ha itasai!ia biashara kukua na hi"yo u%humi wa n%hi wana%hama kukua na kuboresha ustawi wa wanan%hi wa $frika Mashariki. Naru!ia kuwakumbusha wenzetu wa $frika Mashariki na izara ya Ce!ha izara ya kutengeneza izara ya

utaratibu mzuri wa kuelimisha jamii kuhusu &moja wa Ce!ha na 'imaya Moja ya Coro!ha. Nawataka

3:

Ce!ha,

izara ya 1iwan!a na 3iashara, izara ya Mambo ya N!ani,

izara ya $frika izara ya &jenzi,

Mashariki,

izara ya &%hukuzi, Mamlaka ya 3an!ari, Mamlaka ya Mapato na -eshi la (olisi, kuhakikisha kuwa taratibu zote husika kuhusu 'imaya Moja ya Coro!ha zinakamilishwa mapema. Nia yangu na yetu sote ni kuona utekelezaji 'ili ni jambo lenye maslahi unaanza mara moja. makubwa kwa n%hi yetu. M48an# $a K#'ata#)a Ndugu Wananchi; )atika me!ani za kimataifa, mwaka 2013 ulikuwa mzuri kwa #anzania. Nyota ya n%hi yetu ilien!elea kuangaza "izuri. #umeen!elea kuwa na uhusiano mwema na mataifa yote !uniani na hakuna n%hi ambayo tuna ya ua!ui nayo. (ia tuna uhusiano mzuri na mashirika

kimataifa na kikan!a yanayoshughulikia masula ya siasa, fe!ha na maen!eleo. 1ile "ile, tuna uhusiano mzuri na watu mashuhuri na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yanayoshughulikia kibina!amu. masuala ya maen!eleo na ya

3;

)wa

sababu na

hiyo ya

tumepata

misaa!a

mingi

ya

maen!eleo

kibina!amu

iliyo%hangia

katika

mafanikio tuliyoyapata katika maen!eleo ya kiu%humi na kijamii mwaka 2013. Napen!a kwa niaba yenu nitumie nafasi hii kutoa shukrani zangu za !hati kwa n%hi, mashirika na watu walio%hangia katika maen!eleo ya n%hi yetu mwaka huu. kuwakumbusha kuwa akati tukiwashukuru, napen!a misaa!a yao ba!o tunaihitaji

mwaka ujao A2014B na miaka inayofuatia. Ndugu Wananchi; )wa upan!e wa wageni, mwaka huu ulikuwa wa baraka sana kwa #anzania. #umepata heshima ya aina yake ya kutembelewa na >ais wa @hina, Mheshimiwa Ei -iping tarehe 24 F 20 Ma%hi, 2013 na >ais wa Marekani Mheshimiwa 3ara%k 4bama tarehe 01 = 02 -ulai, 2013. (ia tulitembelewa na >ais wa 5ri 9anka Mheshimiwa Mahin!a >ajapaksa tarehe 27 F 2: -uni, 2013. aziri Mkuu wa #hailan!, Mheshimiwa Ginglu%k 5hinawatra tarehe 30 -ulai mpaka $gosti 1, 2013 (amoja na hao, tulipokea akuu wa N%hi na 5erikali 1, waliokuja

3<

kushiriki

mkutano

wa

Smart

Partners ip

Dialogue

uliofanyika .ar es 5alaam tarehe 2; -uni, 2013. Ndugu Wananchi; 1ile"ile, tulitembelewa na Marais astaafu wa Marekani, Mheshimiwa 3ill @linton na Mheshimiwa 2eorge . 3ush. N%hi yetu inanufaika na misaa!a inayotolewa na mashirika yao katika nyanja za afya na kilimo. Napen!a kutumia nafasi hii kuwashukuru wageni wetu wote hao kwa uamuzi wao wa kuja kututembelea. ameipa n%hi yetu heshima kubwa. Ni matumaini yetu kuwa mwaka 2014 utaen!elea kuwa wa baraka kama huu tunaoumaliza leo. (ia nawashukuru sana wenzangu kwa kuwapokea wakiwa "izuri na ameon!oka n%hini furaha atanzania wetu. na kubwa wageni

kumbukumbu nzuri kuhusu n%hi yetu. 9i%ha ya kutembelewa, mimi na "iongozi wenzangu akuu wa N%hi yetu tulialikwa na kufanya ziara katika n%hi mbalimbali !uniani. (ia tumeshirikishwa katika ?iara hizo zimekuwa mikutano mbalimbali ya kimataifa. Ndugu Wananchi;

na manufaa makubwa kwa n%hi yetu.

40

)atika kikao %ha

akuu wa N%hi wa &moja wa $frika akuu wa N%hi za $frika ya

kili%hofanyia mwezi -anuari, 2013 nili%haguliwa kuwa Mwenyekiti wa )amati ya kushughulikia masuala ya maba!iliko ya tabia n%hi. Mwenyekiti wa )amati hiyo n!iye huwa mwakilishi na msemaji wa 3ara la $frika katika majukwaa ya kimataifa ambapo masuala hayo yanazungumzwa au kushughulikiwa. )wa ajili hiyo nilikwen!a arsaw, (olan! kuhu!huria )atika Mkutano Mkuu wa 1, wa Maba!iliko ya #abia N%hi uliofanyika tarehe 11 F 22 No"emba, 2013. mkutano huo hatukufanikiwa "ya kutosha. 'i"i sasa matumaini yetu yapo katika mkutano wa mwakani A2014B n%hini (eru. 2010 8wapo tutafanikiwa tutakuwa tumejenga kupatikana ziwajibike Mkataba kisheria wa kwa )imataifa masuala msingi mzuri utakaowezesha Mkutano wa (aris mwaka kufanikiwa n%hi unaozifanya

yahusuyo kupunguza athari za maba!iliko ya tabia n%hi. 8kishin!ikana (eru na kama mataifa yataen!elea kukai!i katika mkutano wa (aris, hatma ya !unia yetu itakuwa mashakani kwani hali si nzuri hata ki!ogo.

41

N!ugu

anan%hi,

Mwaka huu tunaoumaliza n%hi za 5$.@ tumepoteza mmoja wa "iongozi wetu mashuhuri, shujaa Nelson Man!ela. Nilipata nafasi ya kuwawakilisha katika sala ya kitaifa, kutoa heshima za mwisho na mazishi yake. )ule Hunu, nilipewa nafasi ya kuzungumza ambayo niliitumia kuelezea uhusiano wetu na shujaa Man!ela, $N@ na m%hango wa #anzania kwa ukombozi wa kusini mwa $frika. 'otuba yetu ilipokelewa "izuri sana na wenyeji atu wengi wa $frika )usini na !uniani kwa #uen!elee kwani niliwaelezea baa!hi ya mambo ambayo walikuwa hawayajui. jumla sasa wanaufahamu "izuri m%hango mkubwa wa n%hi yetu kwa ukombozi wa $frika )usini. roho ya shujaa Nelson Man!ela. M#a2a /0 %a Ma5#n8!$# na M!!n an7 Ndugu Wananchi; Mwaka ujao A2014B ni wa aina yake katika historia ya n%hi yetu. Ni mwaka ambao tunatimiza miaka 00 tangu Mapin!uzi Matukufu ya ?anzibar ya -anuari 12,1<74 na miaka 00 ya -amhuri ya atu wa ?anzibar na -amhuri ya kumuomba Mwenyezi Mungu ailaze mahala pema, peponi

42

#anganyika ziungane na kuzaliwa -amhuri ya Muungano wa #anzania, $prili 27, 1<74. Ni mwaka wa kutambua na kusheherekea mafanikio tuliyoyapata. 9akini, ni mwaka wa kuweka na!hiri ya kupata mafanikio makubwa zai!i miaka 00 ijayo na kuen!elea. #utakiane heri katika kusheherekea siku hizo a!himu. S(!2!:an# Ndugu Wananchi; Napen!a ku%hukua nafasi hii a!himu kuwashukuru kwa !hati Makamu wa >ais, Mheshimiwa .kt. Mohame! 2harib 3ilal, >ais wa ?anzibar na Mwenyekiti wa 3araza la Mapin!uzi, Mheshimiwa .kt. $li Mohame! 5hein, aziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo (in!a, Makamu wa )wanza wa >ais wa ?anzibar, Mheshimiwa Maalim 5eif 5harif 'ama! na Makamu wa (ili wa >ais wa ?anzibar, Mheshimiwa wenzangu 3alozi 5eif $li 8!!. kwa 1iongozi msaa!a akuu mkubwa hao nawashukuru

walionipa na wanaoen!elea kunipa katika kuiongoza n%hi yetu mwaka 2013. Naomba tuen!elee hi"yo mwaka 2014 kwa maslahi ya n%hi yetu na watu wake.

43

Nawashukuru pia Mawaziri na "iongozi wengine wa 5erikali zetu na mbili kwa kazi nzuri waliyofanya wa mira!i ya na kuongoza kusimamia utekelezaji

shughuli mbalimbali za 5erikali.

)azi yao nzuri n!iyo

iliyotupatia mafanikio tunaoji"unia leo. Naomba sote tutambue kuwa ba!o zipo mbele yetu kazi nyingi na %hangamoto kubwa na nzito za kushughulikia katika jitiha!a zetu za kuwaletea wanan%hi na n%hi yetu maen!eleo. #unao wajibu wa ku!umisha umoja, 'atuna mshikamano, amani na utuli"u wa n%hi yetu.

bu!i kuen!elea kushirikiana na kusai!iana pamoja na kufanya kazi kwa bi!ii zai!i mwaka ujao 2014 kwa niaba na kwa maslahi ya watu waliotu%hagua. Ndugu Wananchi; )wa namna ya pekee nawashukuru sana atanzania wote po pote pale walipo kwa kuunga mkono juhu!i za 5erikali na kufanya kazi kwa bi!ii na maarifa kujiletea maen!eleo. 'ali ka!halika nawapongeza kwa uelewa wenu ulioiwezesha n%hi yetu kuen!elea kuwa kisiwa %ha amani. Nawaomba tuen!elee na moyo huo wa kuipen!a

44

n%hi yetu na kujitolea kwa ajili ya utuli"u wake na maen!eleo yake na yetu sote. Naomba pia nimalize kwa kuwashukuru "iongozi wetu wa !ini wa ma!hehebu mbalimbali pamoja na waumini wao kwa sala na maombi katika kipin!i %hote %ha mwaka unaoisha leo. 5ala zao na maombi yao yametupa ngu"u na faraja katika "ipin!i "igumu amba"yo tume"ipitia. Naomba muen!elee kuliombea taifa letu ili lipate baraka na neema ya Mwenyezi Mungu. M3#&(7 Ndugu Wananchi; Naomba tuzi!i kuombeana heri ili mwaka ujao uwe wa baraka na mafanikio makubwa zai!i. #wen!eni mwaka mpya wa tukasherehekee mwaka mpya kwa amani na utuli"u. Nawatakia heri na fanaka tele katika 2014. M!n ! I9a:#2# Tan$an#a, M!n ! I9a:#2# A):#2a. $santeni sana kwa kunisikiliza.