You are on page 1of 16

1

HOTUBA YA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KILELE CHA
MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI,
TAREHE 12 MEI, 2014 - MKOANI ARUSHA
Mheshimiwa Dkt. Kebwe Stephen Kebwe(Mb) Naibu Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii
Mheshimiwa Stans!aus Ma"esa Mu!#n"# $ Mkuu wa mk#a wa Arusha
N%u"u &au! Ma"esa $ 'ais wa (hama )ha Wau"uzi *anzania
N%u"u (!a+ery Mpan%ana Muu"uzi Mkuu wa Serika!i
Daktari Kha%i,a Ma!ima- Mwenyekiti wa .araza !a Wauu"uzi *anaznia
na (hama )ha Wau"uzi *anzania
/i#n"#zi wa Serika!i na /yama +ya Siasa
Wa"eni Waa!ikwa
Mabibi na Mabwana
Nakushukuru sana Ndugu Rais na viongozi wenzako wa Chama cha
Wauguzi na Wakunga (TANNA) kwa heshima kubwa mliyonipa ya kuja
kujumuika nanyi kaika maadhimisho ya mwaka huu ya !iku ya Wauguzi
"uniani# Nakupongeza pia $heshimiwa $agesa $ulongo% $kuu wa $koa
wa Arusha na wananchi woe wa Arusha kwa kuupokea vizuri na kwa
kukubali kuwa wenyeji wa sherehe hii na kushiriki kwa ukamili&u kaika
ku&anikisha maandalizi yake#
Nawapongeza nyoe kwa maandalizi mazuri ya maadhimisho haya#
'akika yame&ana sana# Nime&urahishwa na maonesho kuhusu baadhi ya
shughuli zinazo&anywa na wauguzi kaika kuwahudumia Waanzania#
$aonesho ya aina hii husaidia sana kukuza uelewa wa wananchi kuhusu
2
majukumu yenu% wajibu wenu na mchango wenu kaika kuimarisha a&ya za
Waanzania# (amoja na kuembelea mabanda ya maonyesho% nimeshuhudia
maandamano yenu na kusoma ujumbe kwenye mabango ya washiriki# (ia
nimesikiliza Risala yenu iliyosomwa kwa u&asaha na uulivu mkubwa na Rais
wa Chama cha Wauguzi Ndugu (aul $agesa# )wa ujumla% maadhimisho
haya yanadhihirisha kuwa wauguzi ni kiungo muhimu sana kaika uoaji na
maendeleo ya huduma ya a&ya nchini na ni nguvu habii ya mabadiliko#
Kaul M!u
N%u"u 'ais wa (hama )ha Wau"uzi
N%u"u Wau"uzi na n%u"u wanan)hi
Nilipopaa mwaliko kuoka kwenu sikusia kukubali kuja kujumuika
nanyi siku ya leo kwa sababu kuu mbili# )wanza% kwamba wauguzi ni kada
muhimu sana kaika uoaji na maendeleo ya huduma ya a&ya nchini# *ila ya
kuwepo wauguzi huduma ya a&ya iayumba# Naambua kuwa Wauguzi ni
zaidi ya a"l#a $0 ya waumishi woe wa seka ya a&ya na huekeleza
a"l#a %0 ya shughuli zoe za a&ya# Aidha% $uuguzi ndiye mwenye
kuandaa mazingira mazuri kwa dakari kuekeleza majukumu yake# "akari
anapomaliza kumuona mgonjwa% na kuoa maelekezo yake% $uuguzi
husimamia uekelezaji wa maelekezo hayo pamoja na iba yenyewe#
$uuguzi ndiye anaye&anya kazi ya kuuguza mgonjwa# !oe ni mashahidi
kuwa wagonjwa wanaumia wakai mwingi zaidi mikononi mwa wauguzi
kuliko muda wanaouumia mikononi mwa wahudumu wengine wa a&ya#
N%u"u 'ais wa (hama )ha Wau"uzi
N%u"u Wau"uzi
3
!ababu ya pili ni kwamba nimevuiwa na kauli mbiu ya maadhimisho
ya mwaka huu isemayo+ &Wau'u( ) N'u*u +a Ma!a,l-. )a Ra"l#al
Mu/#u +a A0+a12 Ni kauli mbiu sahihi na mwa&aka kabisa# Ni ukweli ulio
wazi kuwa wauguzi wanayo na&asi maalum kaika maendeleo ya huduma ya
a&ya na seka yenyewe kwa jumla# Ni chachu muhimu ya mabadiliko kaika
seka ya a&ya% na ndiyo rasilimali ya kuwezesha mabadiliko hayo kuokea na
ku&anikiwa#
'uwezi kuzungumzia mabadiliko kaika seka hii bila kuambua
mchango wa Wauguzi na kuwahusisha# ,jenzi wa miundombinu ya viuo vya
kuoa huduma ya a&ya% ununuzi na usambazaji wa madawa% ununuzi wa
viendea kazi vya kisasa kaika hospiali zeu viakuwa na maana u pale
ambapo wauguzi wapo na wanaimiza wajibu wao ipasavyo# Tunaweza
kusema kwa uhakika kabisa kuwa hakuna mbadala wa wauguzi#
N%u"u Wanan)hi
,angalizi unaoolewa na wauguzi% upendo na huruma yao husaidia
sana kurejesha maumaini ya wagonjwa na wau wengine wanaojishughulisha
na maendeleo ya huduma ya a&ya# 'uongeza ari ya mapambano dhidi ya
maradhi na kulea maumaini kwamba ushindi uapaikana# Ninyi ndiyo kioo
cha huduma ya a&ya# Ndiyo wau wa kwanza mnaokuana na wagonjwa
wanapo&ika hospiali% na ni wau wa mwisho kuwaona wanapooka baada ya
maibabu#
4
Mheshimiwa Naibu Waziri
'ais wa (hama )ha Wau"uzi
N%u"u Wau"uzi na n%u"u Wanan)hi
)uboresha huduma ya a&ya ni moja ya vipaumbele vya juu vya !erikali
ninayoiongoza na ndiyo maagizo ya -lani ya ,changuzi ya Chama Tawala .
CC$# )wa sababu hiyo ulipoingia madarakani mwaka /001 ulioa
umuhimu wa pekee kwa zoezi la kupiia upya !era ya A&ya ya mwaka 2334
kwa lengo la kuihuisha# $aokeo yake ni kupaikana kwa !era $pya ya A&ya
ya mwaka /004 na $pango wa $aendeleo ya A&ya ya $singi wa mwaka
/004 ulioengenezwa maalum kuongoza uekelezaji wa !era hiyo#
)ama mjuavyo huu ni mpango wa miaka kumi mpaka mwaka /024
unaolenga kulea mageuzi na maendeleo makubwa kaika seka ya a&ya# )wa
muhasari umepanga ku&anya mambo makuu mawili# )wanza% kusogeza
huduma ya a&ya karibu na wanapoishi wananchi kwa kujenga na kuimarisha
viuo vya kuolea huduma za a&ya# (ili% kuimarisha ubora wa huduma ya a&ya
inayoolewa kwa wananchi kwa kuvipaia viuo hivyo vi&aa vya uchunguzi na
iba vilivyo bora pamoja na dawa za kuosha# (ia kuvipaia rasilimali wau%
kwa maana ya $adakari% Waganga% Wauguzi% Wakunga na Waaalamu
wengine wa a&ya#
N%u"u Wau"uzi na N%u"u Wanann)hi
5eo miaka karibu saba baadae ninyi ndiyo mashahidi wa ma&anikio
uliyoyapaa kaika uekelezaji wa $pango huu# Tume&anikiwa kwa kiasi cha
kuia moyo ingawaje bado unayo kazi kubwa mbele yeu# )wanza kabisa
umeongeza sana bajei ya a&ya kuoka "/l)' !l.) 231 mwaka
5
/0016/007 hadi "/l)' 45l.) 124 mwaka /0286/029# -mekuwa bajei ya
au kwa ukubwa baada ya elimu na miundombinu kuoka ya sia# )wa
sababu ya ongezeko hilo umeshuhudia mambo mengi mazuri yaki&anyika
kaika kuboresha huduma ya a&ya nchini# )wa m&ano% zahanai ziko 6,7$0
ukilinganisha na 4,780 zilizokuwepo mwaka /004# :iuo vya a&ya viko 31$
ukilinganisha na 6$6 na hospiali ziko 247 ukilinganisha na 280 wakai ule#
)azi kubwa ime&anyika kuimarisha hospiali za Wilaya% $ikoa% )anda
na 'ospiali ya Tai&a $uhimbili# )azi bado inaendelea na unaweza
kusema ndiyo kwanza imechanganya# $iundombinu imeongezwa na
majengo mengine yanaendelea kujengwa# 'uduma zinaendelea kuboreshwa
na nyingine ambazo hazikuwepo zimeanzishwa# 'ali kadhalika vi&aa iba na
uchunguzi vya kisasa vimeendelea kuwekwa na uwezo wa hospiali
kuchunguza na kuibu maradhi umekuwa mkubwa#
Tumeendelea kupanua &ursa za ma&unzo na ajira kwa $adakari%
Wauguzi na Waaalamu wengine wa a&ya# )wa upande wa ma&unzo kwa
m&ano $adakari waliojiunga na ma&unzo wameongezeka kuoka 620 mwaka
/001 hadi 1,063 hivi sasa# )wa Wauguzi na Wakunga wameongezeka
kuoka 1,6%$ mwaka /001 hadi 8,6$7 hivi sasa% kwa jumla kila kada
imeongezeka# ,jenzi wa )ampasi mpya ya Chuo )ikuu cha Tiba na !ayansi
!hirikishi cha $uhimbili pale $loganzila iaongeza sana uwezo weu wa
ku&undisha $adakari na Wauguzi kuoka Chuo hicho kuoka 8,000 mpaka
16,000# ,kiongeza na wana&unzi 6,000 wa Chuo cha Tiba kaika Chuo
)ikuu cha "odoma aizo la rasilimali wau nchini liapaiwa u&umbuzi
miaka michache ijayo# Tayari ujenzi wa 'ospiali ya )u&undishia ya vianda
6
$00 umeanza pale $loganzila# 'ospiali hiyo nayo iaimarisha ubora wa
huduma ya uchunguzi na iba ya maradhi kwa namna yake hapa nchini# 'ali
kadhalika ujenzi wa 'ospiali ya )u&undishia pale ,";$ unaarajiwa
kukamilika mwaka huu#
'ivyo hivyo% kwa upande wa ajira nako kumekuwa na ongezeko# -dadi
ya $adakari waliosajiliwa imeongezeka kuoka 1,887 mwaka /007 hadi
8,188 na Wauguzi kuoka 20,116 mwaka /004 hadi 84,340 hivi sasa# Aidha%
kaika kipindi cha miaka 8 iliyopia% umeajiri wauguzi %,$67 na unaarajia
kuajiri wengine 1,162 kabla ya <ulai% /029# Tuaendelea ku&anya hivyo
mwaka ujao wa &edha na miaka inayo&uaia# 'ii iasaidia kupunguza mzigo
wa kazi mlio nao sasa hivi ambao mmeuaja kwenye risala yenu#
N%u"u 'ais wa (hama )ha Wau"uzi
N%u"u Wau"uzi
)wa upande wa maslahi nako% umejiahidi kuboresha% najua bado
unayo kazi kubwa ya ku&anya mbele yeu# *ado mishahara ni midogo lakini
hauja&ika mwisho% unaendelea kuboresha# Tumekuwa unaongeza kila
mwaka na uaendelea ku&anya hivyo mwaka huu na miaka ijayo#
R"ala +a Wau'u(
N%u"u Wau"uzi-
Nimesikiliza kwa makini risala yenu iliyowasilishwa vizuri na Ndugu
(aul $agesa% Rais wa Chama cha Wauguzi na Wakunga# Namna ambavyo
ameiwasilisha% lugha aliyoumia kuiwasilisha na jinsi mlivyoishangilia
inahibiisha kuwa risala hii ni shirikishi% na yaliyosemwa ni mambo muhimu
7
kwa wauguzi kwa ujumla wenu# Ni risala iliyosheheni ukweli kuhusu
ma&anikio uliyoyapaa na mambo yanayowaaiza mnayoaka yapaiwe
u&umbuzi# )una ushauri mzuri ulioolewa kuhusu nini ki&anyike kuboresha
mazingira ya kazi ya Wauguzi na huduma ya a&ya nchini# 5azima nikiri kuwa
nimeguswa sana na ahadi yenu ya kuendelea ku&anya kazi kwa mujibu wa
viapo vyenu% licha ya changamoo zilizopo#
Napenda kuwahakikishia kuwa !erikali inaelewa mchango wenu
muhimu na inauhamini sana hivyo basi% sisi uakuwa wau wa mwisho
kupuuza mambo ya wauguzi# )ama kuna jambo halija&anyika haiokani na
kupuuza au ukose&u wa dhamira ya kuyashughulikia bali kuna sababu &ulani
&ulani za msingi zinazoukwaza kaika uekelezaji wake#
Nime&urahishwa sana na dhamira yenu njema ya kuaka kuona
mabadiliko yana&anyika kaika seka ya a&ya na ninyi kuwa sehemu kamili ya
mabadiliko hayo# Ndiyo maana sehemu kubwa ya risala yenu ina
mapendekezo ya mambo ya kubadilisha ili kuboresha uoaji wa huduma ya
a&ya# Nawaunga mkono kwa msimamo wenu huo# Nime&arijika sana kusikia
kuoka Wizara ya A&ya na ,sawi wa <amii na Wizara nyingine za !erikali
kuwa mambo mengine yameekelezwa na yapo ambayo unaendelea
kuyaekeleza# 'aa hivyo% bado yapo mambo ambayo unayavuia pumzi kwa
maana ya kujenga uwezo wa kuyaekeleza#
N%u"u Wau"uzi+
'ii ni mara ya au napaa na&asi ya kukuana na kuzungumza na
viongozi wa Wauguzi# $ara ya kwanza ilikuwa $nazi $moja mwaka jana%
8
mara ya pili -kulu arehe /3 Aprili% /029 na leo ndiyo mara ya au hapa
Arusha# <ambo mojawapo muhimu nililoji&unza ni kuwa mambo mengi
yanayowaaiza wauguzi% ambayo pia yameainishwa kaika risala yenu leo%
yanaweza kumalizwa kwa kuboresha mawasiliano na mahusiano kai yenu na
Wizara zinazohusika na kai yenu (wauguzi) na kada nyingine kaika seka ya
a&ya# Naamini kama hayo yaki&anyika mambo mengi yaapaiwa u&umbuzi na
kwamba yaabaki machache yanayohiaji msaada wa ngazi za juu# 'ii
iasaidia kuondoa kuiliana mashaka% kuokuaminiana na hisia za kupuuzwa
kwa wauguzi# Nimeona niumie &ursa ya maadhimisho haya ya leo kuoa
u&a&anuzi kwa baadhi ya masuala uliyozungumza siku zilizopia na
yaliyoibuliwa hapa leo kwenye mabango na risala#
Ma,a +a Wau'u(
N%u"u 'ais wa (hama )ha Wau"uzi
N%u"u Wau"uzi-
)aika risala yenu mmezungumzia mambo yahusuyo muundo wa
uumishi% ma&unzo% posho% huduma ya makazi na mambo mengineyo
muhimu# $ambo yoe haya ni ya msingi na napenda kuwahakikishia kuwa
uayachukulia kwa uzio unaosahili na uaya&anyia kazi ipasavyo ili
uwaengenezee mazingira mazuri ya ku&anya kazi zenu#
Muu),. 9a U4u#"/ 9a Uu'u(
N%u"u 'ais wa (hama )ha Wau"uzi
N%u"uWau"uzi
9
)wanza kabisa nawapongeza kwa kukamilisha mapendekezo ya
$uundo wa ,umishi# Niawasaidia ku&uailia kwa mamlaka husika ili
uamuzi u&anyike mapema iwezekanavyo# )ukamilika kwa zoezi hilo kuaoa
u&umbuzi kwa mambo mengi yanayowaaiza hivi sasa# -ayaweka sawa
masuala ya upandishaji wa vyeo# -awezesha kuambuliwa ipasayo kwa
wauguzi wanaomaliza shahada za uzamili na uzamivu# )wa kweli nashangaa
kwa nini wau waliojiendeleza kiasi hicho wapae aabu ya kuambuliwa
inavyosahili kaika uumishi wa uuguzi#
'ivyo hivyo nashangaa ena napaa aabu kuamini kuwa mumishi
akienda masomoni kuongeza ujuzi anasimama kupanda cheo au haa
kushushwa cheo# 'aya ni ya kusaajabisha mambo ambayo hayasahili
ku&anyika# Naomba Wizara na mamlaka husika zihakikishe kuwa uonevu
huu hauendelei ku&anyika# -weje leo kujiendeleza iwe ni balaa kwa
m&anyakazi na mwajiri badala ya kuwa jambo jema kwa woe#
N%u"u Wau"uzi
Nadhani suala la uanzishwaji wa )urugenzi ya ,uguzi ndani ya Wizara
ya A&ya lime&ikia haua nzuri# Nimeambiwa kuwa Wizara iliridhia maombi
yenu na kuyawasilisha ;&isi ya Rais% $enejimeni ya ,umishi wa ,mma#
Waaalamu wa $i&umo kaika -dara )uu ya ,umishi walichoshauri ni kuwa
!ehemu ya ,uguzi sasa ipandishwe hadhi na kuwa )iengo cha ,uguzi
kiakachoongozwa na $kurugenzi# Nimeambiwa pia kwamba Wizara ya
A&ya imekubali na ayari ime&anya marekebisho na kuwasilisha upya
pendekezo hilo# Nimesikia kuwa jambo hili liakamilishwa muda si mre&u na
10
huenda muundo huo ukaanza arehe 2 <ulai% /029 hivyo kuhiimisha maombi
yenu# Niruhusuni niwapongeze kwa haua iliyo&ikiwa mpaka sasa#
Ma"la/ +a Wa4u#"/
N%u"u 'ais wa (hama )ha Wau"uzi
N%u"u Wau"uzi
)uboresha maslahi ya Waumishi wa ,mma% hususan mishahara na
posho mbalimbali ni mambo ambayo !erikali imeyapa kipaumbele#
Tumekuwa yuna&anya hivyo kila mwaka na uaendelea ku&anya hivyo#
$aombi yenu umeyapokea na uaya&anyia kazi# Napenda kusema haa
kaika *ajei ya mwaka ujao wa &edha haua kiasi &ulani ziachukuliwa#
Nimesikia kilio chenu kuhusu posho zilizoamuliwa kuokuekelezwa na
ile ya sare za kazi ambayo imeahidiwa na kuongezwa kuoka "/l)'
160,000 na kuwa S/l)' 800,000 kuokamilishwa mpaka sasa# Niaoa
maagizo kwa mamlaka husika kaika !erikali ku&uailia na kuwabana%
waakaokaidi# 'ivyo hivyo% kwa posho ya ku&anya kazi usiku% kama
ilishaamuliwa ilipwe% mamlaka husika ziaakiwa kuekeleza bila ajizi#
N+u#!a (a Wau'u(
!erikali inaambua umuhimu wa wauguzi kuwa na makazi karibu na
maeneo yao ya kazi# )wa kuambua umuhimu huo !erikali imekuwa
inaenga &edha za kujenga nyumba za madakari na wauguzi kila mwaka#
'aa hivyo kasi ya ujenzi ni ndogo ukilinganisha na ukubwa wa mahiaji kwa
sababu ya u&inyu wa bajei# Tuaa&ua njia nyingine za kuharakisha ujenzi
wa nyumba hizo# $ipango hiyo ikikamilika maona maokeo yake# )wa
11
sasa uaendelea na kazi ya ujenzi wa nyumba kaika mikoa ya $wara%
Rukwa% Tabora na $ara#
Nimelipokea pendekezo lenu la kuaka msaidiwe kupaa viwanja vya
kujenga nyumba# Niaagiza Wizara ya Ardhi% Nyumba na $aendeleo ya
$akazi wawasaidie# $iaka miwili iliiyopia niliagiza uengenezwe mpango
maalum wa mikopo ya nyumba kwa waumishi wa umma# $aayarisho
yanaendelea% ukikamilika uasaidia wa&anyakazi wa umma wakiwemo
Wauguzi kujipaia nyumba za kuishi#
U,/a#) 9a Ma0u)(.
N%u"u 'ais wa Wau"uzi
N%u"u Wau"uzi-
Nimesikia rai yenu ya kuaka !erikali ioe udhamini kwa wana&unzi
wanaosomea shahada ya kwanza ya uuguzi kama unavyo&anya kwa wale
wanaosomea udakari# Nakubali maombi yenu% niaagiza mamlaka husika
wali&anyie kazi# )ama hivi sasa wana&unzi hao siyo wengi unaweza kuanza
haa bajei ijayo lakini kama ni wengi iabidi uanze mwaka wa &edha wa
/021627 lazima ujipange vizuri kwani inahusu pesa#
Naamini uamuzi huu uahamasisha wauguzi kujiokeza kwa wingi
kujiendeleza kiaaluma# Wauguzi wasiishie kwenye Chei na "iploma bali
waende zaidi ya hapo# Napenda kuwahakikishia pia kwamba pamoja na
uamuzi huu% !erikali bado iaendelea kudhamini wauguzi wanaosomea
12
shahada ya uzamili na uzamivu kama u&anyavyo sasa# Nimesikia uayari
wenu wa kupewa na&asi za uongozi kaika Wizara ya A&ya na kwingineko
kama ulivyo&anya kwa $kuu wa $koa wa Tanga#
W4. -9a Wau'u(
N%u"u 'ais wa (hama )ha Wau"uzi
N%u"u Wau"uzi-
Tunapoadhimisha siku ya wauguzi% unakumbuka pia siku ya kuzaliwa
kwa *i# =rorence Nighlingale% mwanzilishi wa aaluma na &ani hii adhimu ya
uuguzi# $ama Nighlingale aliyeishi kai ya mwaka 2>/0 hadi 2320 ndiye
aliyeanzisha shule ya kwanza ya wauguzi huko 5ondon kaika 'ospiali ya
$akai&u Thomas# Alianzisha huduma hii baada ya uzoe&u wake kaika
kuwashughulikia majeruhi wa kivia% na wanajeshi wagonjwa wakai wa via#
!i&a yake kubwa ilikuwa ni wio na moyo wa kujiolea na huruma viu
ambavyo aliamini ndio misingi ya kuwa muuguzi# Alipaa kunukuliwa
akisema% 0Kama muu"uzi ataka)ha kut#a hu%uma kwa sababu y#y#te i!e
au kusema haimuhusu- basi uu"uzi kwake si# wit#1. )uokana na maisha
yake ya kuwaangazia nuru wagonjwa na kuwaembelea usiku akiwa na aa ya
kandili kuwa&ariji na kuwahudumia% alipewa jina la &M9a)a#-: M9:)+:
Ku4:#!:a )a Nu5u12
N%u"u Wau"uzi
13
Ninyi ni wau wenye dhamana kubwa juu ya maisha ya wau na
mnaegemewa sana# Nawapongeza kwa kazi kubwa na nzuri mui&anyayo#
)wa sababu yenu mmeokoa maisha ya wau wengi na kuwapunguzia
maumivu wagonjwa# Wakai mwingine moyo wenu kuonyesha kujali%
upendo na huruma huoa maumaini kwa mgonjwa na kumrejeshea siha yake#
'ivyo% nawaomba muendelee kuwa na kauli nzuri na nyuso zenye abasamu
na nyoyo za huruma na upendo kwa wagonjwa# Tabia hiyo ni iba ya aina
yake#
Nimeona niikumbushe hadihi ya muasisi $ama =lorence Nighngale
ili kuwaomba wakai woe iwaongoze na muendelee kukumbushana
kuizingaia# $inong?ono kuwa mienendo ya baadhi yenu inalalamikiwa na
wagonjwa kuwa hailingani na ma&undisho ya muasisi wa kazi hii adhimu
inanisumbua sana# )ama nilivyosema awali% ninyi ndiyo wau wa kwanza
mnaokuana na mgonjwa aki&ika hospiali na ni wau wa mwisho anapooka
hospiali baada ya maibabu# -kiwa makuwa na nyuso za ukaili na ulimi
mkali au wa kebehi% makuwa mnawakwaza wagonjwa na haa kuongeza
ukali wa maumivu yao# Wengine wanaweza kukaa amaa na haa kupoeza
uhai# $si&anye wau wajuie ku&ika zahanai au hospiali# Narudia kuwasihi
mzingaie kiapo chenu na maudhui ya kauli mbiu yenu ya kuaka mabadiliko#
)wa maana nyingine naomba mambue kuwa kauli mbiu yenu ya mabadiliko
inawahusu na nyie pia kama inavyouhusu soe# 5azima mabadiliko yaanze
na ninyi wenyewe#
H.#a +a D:)'u:
N%u"u Wanan)hi
14
)abla ya kumaliza houba yangu naomba nizungumzie ugonjwa mpya
wa 'oma ya "engue uliojiokeza kaika jiji la "ar es !alaam hivi karibuni#
'uu si ugonjwa asili kweu# Ni ugonjwa wa huko Asia na *ara la Amerika
lakini ndiyo umesha&ika# )wa mara ya kwanza ugonjwa huu ulijiokeza
<ijini "ar es !alaam mwaka /020 na kuahiri wau 90 ambao walipaiwa
maibabu na kupona# ,gonjwa huu ulioweka lakini ukaibuka ena $ei na
<uni% /028 ulipojiokeza ena na kuwakumba wau 1322 $waka huu ugonjwa
huo umerudia ena kwa kasi kubwa zaidi# )ai ya <anuari na Aprili 7% mwaka
huu wagonjwa 877 wamehibiika kuugua kaika <iji la "ar es !alaam# )ai
ya wagonjwa hao 822 walioka Wilaya ya )inondoni% $1 Wilaya ya -lala na
1$ Wilaya ya Temeke# )wa bahai mbaya wawili kai yao walipoeza maisha#
N%u"u wanan)hi
Waaalamu wa a&ya wanasema kuna aina au za ugonjwa wa dengue#
Aina ya kwanza ni 'oma ya "engue% aina ya pili ni "engue ya "amu na aina
ya au ni "engue ya )upoeza =ahamu# 'apa kweu 'oma ya "engue ndiyo
ugonjwa uliohibiika kuahiri wagonjwa woe# 'oma hii ina dalili kubwa
au@ homa kali ya gha&la% kuumwa kichwa% na maumivu ya viungo au
uchovu# )wa vile dalili za ugonjwa huu zina&anana sana na dalili za ugonjwa
wa malaria% ipo haari kwa wau waliozoea kuumia dawa bila kupima
kumeza dawa za malaria wakai wanaugua 'oma ya "engue# Waki&anya
hivyo waahaarisha maisha yao# Naoa wio kwa mu yeyoe anayejisikia
dalili hizi aende hospiali akapimwe+ asinywe dawa bila kupima kama baadhi
yeu ulivyozoea# Ni haari kwa maisha yeu#
N%u"u Wanan)hi
15
,gonjwa huu unaambukizwa na mbu aina ya Aedes akishamuuma
binadamu# Tena huuma mchana# 'aua za kupambana na mbu huyu ni sawa
na zile zinazochulikuwa kupambana na mbu wa Anopheles anayeambukiza
malaria# Wau waendelee kuumia vyandarua vilivyoiwa dawa% kupaka
dawa za kuzuia kuumwa na mbu na kuharibu maeneo ya mazalia ya mbu#
Nimeoa maelekezo kwa Wizara ya A&ya na ,sawi wa <amii
kuhakikisha kuwa *ohari )uu ya $adawa ya !erikali ($!") wanalea kits
za kupimia maradhi haya (Dengue Rapid Test Kits) za kuosha na
kuzisambaza kwenye hospiali na viuo vya a&ya# Nimeambiwa hivi sasa
vipimo hivi havipo vya kuosha# 'ii ni dharura ya kiai&a ambayo lazima
ipewe uzio na uharaka unaosahili na Wizara ya A&ya na 'azina#
H4#"/.
N%u"u 'ais wa (hama )ha Wau"uzi
N%u"u Wau"uzi
Niruhusuni nimalize houba yangu kwa kurudia kuwashukuru kwa
kunialika na kwa risala yenu nzuri# Nimeji&unza mengi na kama nilivyosema%
nakwenda kui&anyia kazi risala yenu na yoe niliyosikia na kuona
yanayohiaji kuchukuliwa haua# Aale masuala ya kimuundo na mengineyo
niakwenda kuyakwamua huko yalikokwama% ili uekelezaji uanze# Aale
yahusuyo posho% kama nilivyoeleza% baadhi yake yaashughulikiwa kaika
bajei ijayo na mengine uaendelea kuyashughulikia kadri uwezo
uakavyoruhusu#
16
Ninachoweza kusema kwa uhakika kabisa ni kuwa unawapenda%
unaambua umuhimu wenu na unawahamini sana# )au hakuna upungu&u
wa dhamira bali unakwazwa na uwezo mdogo wa mapao ya !erikali
kuweza kuosheleza mahiaji yoe ya kuboresha huduma ya a&ya na maslahi
kwa waumishi wa a&ya nchini# Narudia kusisiiza kuwa kamwe sio kuokana
na kukosekana kwa uayari wa kuaua changamoo zinazowakabili wauguzi
au waumishi wengine wa umma#
,po ushahidi wa wazi wa juhudi za !erikali ninayoiongoza ya ku&anya
mambo mengi makubwa na madogo ya kuboresha mazingira ya kazi kwa kila
kada na seka kadiri uwezo unavyoruhusu# $akubaliana nami kuwa hali ya
kada ya wauguzi ilivyo leo% si sawa na ilivyokuwa miaka 20 iliyopia#
Tumepiga haua kiasi chake lakini bado una sa&ari nde&u na uaendelea
ku&anya zaidi# Ni dhahiri kwamba umesogea kuoka pale ulipokuwa%
ingawa hauja&ika unapodhamiria kwenda# )wa vile msimamo na muelekeo
weu ni sahihi% naamini baada ya muda si mre&u ua&ika# (enye nia pana njia#
-nawezekana Timiza Wajibu wako#
Mu)'u I!a5- A05-a,
Mu)'u I!a5- Ta)(a)a2
Asaneni sana kwa kunisikiliza#