You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
KWA WANANCHI NA WADAU WOTE
YAHUSU MABADILIKO YA ANWANI YA WIZARA
Wizara ya mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kuwatangazia wananchi na
wadau wote kuwa anwani ya Wizara imebadilika na sasa inaandikwa kama
ifuatavyo:

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
9 Barabara ya Ohio,
S.L.P 9223,
11483 DAR ES SALAAM.


Imetolewa na:

Isaac J. Nantanga
MSEMAJI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI