You are on page 1of 4

RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT.

JOHN DAMIANO
KOMBA, (MB.) SIKU YA JUMATATU TAREHE 2 MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA
VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI
________________________________________
NA.

MUDA

TUKIO

MHUSIKA

1.

12:00 - 01:00

Familia na Waombolezaji kupata chai


nyumbani

Kaimu Katibu wa Bunge

2.

01:00 - 04:00

Misa ya kuaga mwili wa Marehemu

Kanisa Katoliki,
Parokia ya Bikira Maria
Mpalizwa

3.

04:00 - 04:30

Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili Katibu wa Bunge


katika Viwanja vya Karimjee

Viongozi wa Vyama vya Siasa,


Waheshimiwa Wabunge, Manaibu
Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi
katika nafasi zao

4.

04:33

Kiongozi wa Upinzani Bungeni kuwasili Kaimu Katibu wa Bunge

5.

04:36

Mhe. Naibu Spika kuwasili

Kaimu Katibu wa Bunge

6.

04:39

Mhe. Spika kuwasili

Mhe. Naibu Spika

7.

04:42

Mhe. Waziri Mkuu kuwasili

Mhe. Spika

8.

04:50

Mhe. Makamu wa Rais kuwasili

Mhe. Spika

9.

05:00

Mhe. Rais kuwasili

Mhe. Spika

10.

05:00

Mwili wa Marehemu kuwasili kwa


gwaride maalum la Sergeant-At-Arms

Katibu wa Bunge

11.

05:00 - 05:15

Sala fupi

12.

05:15 - 05:20

Wasifu wa Marehemu

Kanisa Katoliki,
Parokia ya Bikira Maria
Mpalizwa
Kaimu Katibu wa Bunge

13.

05:20 - 05:30

Salamu na Rambirambi za Chama cha


Mapinduzi (CCM)

Katibu Mkuu, CCM

14.

05:30 - 05:35

Salamu na Rambirambi kutoka kwa


Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Kiongozi wa Upinzani Bungeni

15.

05:35 - 05:45

Salamu na Rambirambi za Serikali

Waziri Mkuu

16.

05:45 - 05:55

Salamu na Rambirambi za Uongozi wa


Bunge

Mhe. Spika

17.

05:55 - 06:00

Neno la Shukrani toka kwa familia

Mwakilishi wa Familia

18.

06:00 - 06:15

Utaratibu wa safari

Kaimu Katibu wa Bunge

19.

06:15 - 07:15

Kuaga Mwili wa Marehemu kulingana na MC


Itifaki

20.

07:15

Mwili wa Marehemu kuondoka uwanjani MC


kuelekea Uwanja wa Ndege

21.

07:20 - 07:25

Viongozi wa Kitaifa kuondoka kulingana MC


na Itifaki

22.

07:40

Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja waKaimu Katibu wa Bunge


Ndege

23.

08:00

Mwili, Familia na Waombolezaji


kuondoka kuelekea Songea

24.

10:00

Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja waOfisi ya Mkuu wa Mkoa


Ndge Songea na kupokelewa na Mkuu
wa Mkoa

25.

10:00 - 10:15

Mwili wa Marehemu kuelekea Uwanja


wa Majimaji

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

26.

10:15 - 11:00

Mkuu wa Mkoa kuongoza wakazi wa


Ruvuma kuaga mwili wa Marehemu

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

27.

11:00 - 01:00

Mwili wa Marehemu kuondoka Uwanja


wa Majimaji kuelekea Lituhi, Nyasa

28.

01:00

Kaimu Katibu wa Bunge

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Kaimu Katibu wa Bunge


Mwili kuwasili nyumbani na taratibu za MC
kifamilia kuendelea

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA,


(MB.)
YATAKAYOFANYIKA LITUHI, NYASA, MKOANI RUVUMA
TAREHE 3 MACHI, 2015
______________________________________
NA.
1.

MUDA
04:00 - 05:00

TUKIO
Wananchi, Familia na Viongozi wa Kitaifa
kuwasili kulingana na Itifaki

MHUSIKA
Kaimu Katibu wa Bunge

Uongozi wa Wilaya na Halmashauri


Uongozi wa Mkoa
Viongozi wa Vyama vya Siasa
Waheshimiwa Wabunge
Waheshimiwa Manaibu Waziri
Waheshimiwa Mawaziri
Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Mhe. Naibu Spika
Mhe. Spika
Mhe. Waziri Mkuu
Mhe. Rais

2.

05:00 - 06:00

Chakula cha Mchana

Wote

3.

06:00 - 07:00

Misa

Kanisa Katoliki

4.

07:00 - 07:10

Wasifu wa Marehemu

Ofisi ya Bunge (Mwajiri)

5.

07:10 - 07:20

Salaam na Rambirambi kutoka Chama cha


Mapinduzi

Katibu Mkuu CCM

6.

07:20 - 07:25

Salamu na Rambirambi kutoka Kiongozi wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni


Upinzani Bungeni

7.

07:25- 07:30

Salamu na Rambirambi kutoka Mwakilishi


wa Serikali

8.

07:30- 07:35

Salamu na Rambirambi kutoka kwa Uongozi Mhe. Spika


wa Bunge

9.

07:35 - 08:00

10.

08:00 - 08:30

Msafara wa Waombolezaji kuelekea


Makaburini na Mwili wa Marehemu kwa
Mazishi
Ibada ya Mazishi

Mhe. Waziri Mkuu

Wote
Kanisa Katoliki

11.

08:30 -08:45

Kuweka Mashada ya Maua kulingana na


Itifaki

MC

12.

08:45 - 08:50

Shukrani kutoka kwa familia

Mwakilishi wa Familia

13.

08:50

Viongozi kuondoka kulingana na Itifaki

MC

14.

10:30

Viongozi kuondoka Uwanja wa Ndege


kuelekea Dar es Salaam

Mkuu wa Mkoa

Kaimu Katibu wa Bunge