You are on page 1of 32

‘Ufunguo wa Mlango Wako. . .

’ Ufunguo wa
Mlango Wako. . .

Imedhaminiwa na . . .

Mwongozo wa Upangaji
Mzuri. . .

Kuwasaidia jamii za wakimbizi


kuelewa ‘upangaji wa kukodisha’

64

Iliyodhaminiwa na Utawala wa Makaazi ya Upangaji (RTA), Shirika la


Unganisho wa Makao na Usaidizi na Huduma za Ufikiaji.
Utangulizi Fomu ya Ukarabati na Utunzaji
(Weka) √ Ikiwa unahitaji ukarabati wa ...
Kijitabu hiki kimeundwa ili kuwasaidia wanachama wa
jamii mbalimbali zinazoibuka kwa kitamaduni na kwa
kisimu (CALD) katika maeneo ya Pwani mwa Logan/
Gold. kinalenga kuwasaidia kufahamu haki na majukumu
ya upangaji wa kukodisha.

Kimedhaminiwa na Utawala wa Makaazi ya Upangaji ya


Queensland (RTA) kupitia Elimu ya Jamii yao Mpango Mfereji jiko/meko Glopu ya mwangaza
wa Ruzuku ya Umma, Shirika la Unganisho wa Makao
na Usaidizi na Huduma za Ufikiaji, uchunguzi wa kijitabu
hiki ulikuwa kupata ufahamu wa kwanza kuhusu masuala
ya KWELI ambayo jamii za CALD hupitia wakati wa ku-
kodisha nyumba. Mradi huu ulisimamiwa na Shirika la
Unganisho wa Makao na Usaidizi.

Tumeshukuru sana kwa usaidizi kutoka kwa jamii sita za


wakimbizi kati ya maeneo ya Pwani mwa Logan/Gold
wakati wa mradi huu wote; habari muhimu zilizopatikana
kupitia mazungumzo, vidadisi na vikundi vya kuzingatia,
Bafu ya manyunyu Choo Kifuli
ambazo zilisaidia kuunda kijitabu hiki - habari ambayo
nia yake ni kuelimisha na kuwatia nguvu jamii za CALD,
na wazo la kuathiri vizuri jamii zote mara moja na kwa
upana.

Kanusho
Toleo hili ni mwongozo uliorahisishwa wa Sheria ya
Queensland ya kukodisha. Siyo taarifa kamili ya she-
ria. Unahimizwa kupata usaidizi ikiwa huna uhakika Maji Moto Mlango Dirisha
jinsi sheria hizi zinatumika katika hali yako.

Habari zilizojumuishwa zilikuwa sahihi wakati wa ku-


chapishwa na zinaweza kutumiwa na mashirika
yanayofaa yanayofanya kazi kati ya jamii za CALD.
Hata hivyo, Mashirika yanayotaka kutoa tena au ku-
badilisha hati hii kwa njia yeyote ile yanapaswa ku- Mwangaza wa Paa Paa mtambo/sehemu ya
wasiliana kwanza na Utawala wa Unganisho na
RIPOTI UKARABATI:
Makaazi ya Upangaji kwa idhini.
Miezi 0-6 – Interlink: 3808 2206 AU 0419 794 391
2 Miezi 6 na kuendelea – mpangishaji/ajenti au piga simu63
kwa nambari zilizoodhoreshwa kwa Makubaliano yako ya
kukodisha
Inaendelea: Mashirika Muhimu ya kujua . . . Faharasa
Utangulizi………………………………………………….....2
Faharasa……………………………………………..………3
⇒ Multilink 3808 4463 Shukrani……………………………………………….……..4
Kikundi……………………………………………………..…5

Sehemu ya 1
⇒ Tenancy Advice & Advocacy Habari muhimu ya Kupata mahali pa kukodisha
Service (TAAS) Logan 38261598 Unapowasili kwanza………………………………………...7
Kukodisha kutoka kwa Unganisho………………….……..8
Kukodisha katika Queensland—sheria za kukodisha.….9
Kukodisha katika Queensland – Haki na Majukumu…...10
⇒ Tenancy Advice & Advocacy Mahali unapoweza kupata nyumba mpya ya kukodisha.11
Service (TAAS) Gold Coast Kuomba nyumba mpya ya kukodisha...………………….12
Eneo mbili za huduma: Sehemu ya 2
Southport 5591 1102 Habari Muhimu kwa Upangaji Mzuri
Palm Beach 5598 3230 Kuanza upangaji………………………………….….…...15-17
Kulipa kodi………………………………………….…..….18-19
Ukarabati na utunzaji……………………………......…...20-25
⇒ Tenants Union Queensland (TUQ) Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje…………..…....26-34
Nje ya Brisbane 1800 177 761 Uchunguzi wa nyumba………………………………..…35-37
Eneo la Brisbane 3257 1108 Shida unazowezapata wakati wa upangaji…………... 38-40
Barua na mawasiliano………………………………….. 41-42

Sehemu ya 3
⇒ Translating & Interpreting Vidokezo vingine vya kukodisha na kuishi kwa nyumba
Services (TIS) 131 450 nchini Australia
Usalama ndani ya nyumba…………………………….. 44-46
⇒ Residential Tenancies Authority 1300 366 311 Bili za kaya…...…………..………………………………….48
Vizuizi vya maji ni muhimu…….….……………………….49

Sehemu ya 4
Maneno muhimu ya kuelewa
Mwanzo wa upangaji…………………………………….52-52
Wakati wa upangaji………………………………………53-54
Kama unashida na upangaji……………………………….55
62 Mwisho wa upangaji………………………………………..56 3
Vitu vingine muhimu vya kufahamu……………….57
Mashirika muhimu ya kujua………………………...…..59-62
Mashirika Muhimu ya kujua . . .
Jinsi ya kuwasiliana nao (Logan/Gold Coast)
Shukrani

Tungependa kushukuru mashirika yafuatayo


kwa usaidizi wao – kijitabu hiki hakinge- ⇒ Acces Services Inc. 3808 9299
wezekana bila hao:

⇒ Residential Tenancies Authority (RTA) — ⇒ Department of Housing 3884 9800


(Utawala wa Makaazi ya Upangaji) Logan
⇒ Acces Services Inc.—
(Shirika la Huduma za Ufikiaji)
⇒ Department of Housing 5583 2200
⇒ BCA’s (Bilingual Community Assistants) —
(Msaada wa Jamii ya Lugha mbili)
Gold Coast
⇒ Multicultural Families Organisation —
(Shirika la Familia za Tamaduni mbalimbali)
⇒ Gold Coast Housing 5528 6650
⇒ Tenant’s Union of Queensland — (Umoja wa Company
Wapangaji wa Queensland)
⇒ Multicultural Development Association —
(Shirika la Maendeleo ya Tamaduni mbalim- ⇒ Interlink Housing & Support 3808 2206
bali) Association Inc.
⇒ Youth Family Services — (Huduma za Vijana
wa Familia)
⇒ Anglicare Refugee and Migrant Services ⇒ Multicultural Families 5571 0381
(ARMS) — (Huduma za Utunzi wa Wakimbizi Organisation (MFO)
na Uhamiaji (ARMS))
⇒ Elder’s Real Estate Woodridge & others —
(Shamba la Wazee wa Woodridge na
zingine)

4 61
Inaendelea: Mashirika Muhimu ya kujua ... Kikundi
Wanachofanya ……
Timu hiyo ilijumuisha watu kutoka tamaduni
mbalimbali ambao walitoa ustadi maalum am-
Translation and Interpreting Service (TIS) bao uliboresha utengenezaji wa ‘Ufunguo wa
Huduma ya kuwasaidia wapangaji kuelewa habari Mlango wako: Mwongozo wa Upangaji Mzuri.’
katika lugha yao
Washirika wa kikundi walijumuisha:

Department of Housing - Sue Boothroyd (Mpangaji wa Mradi)


Nyumba za serikali kwa watu wenye mapato ya
chini - Jenny Schultz (Meneja wa Mradi)

- Anne Siakisini (IHSS Mfanyakazi wa Malazi)


Brisbane Housing Company
Nyumba za serikali kwa watu wenye mapato ya chini Shukrani maalum kwa:
⇒ Valentina Dimoska—Jamii Kuu Afisa wa
Interlink Housing & Support Elimu (Rental Tenancies Authority)
Association Inc.
Hutoa usaidizi, na nyumba za bei ya chini ⇒ BCA’s (Bilingual Community Assistants)
kwa watu wenye mapato ya chini kwa jamii ya Wabamisi, warundi,
Waafrika, Wasomali, Waafgani na jamii ya
Wasudanisi

⇒ Sylvia Vallender— Michoro

⇒ David Browning— Msaada wa ushauri na


ufundi

60 5
Mashirika Muhimu ya kujua . . .
Wanachofanya . . .

Residential Tenancy Authority (RTA)


RTA huakikisha kwamba mpangaji na mpangishaji wan-
aelewa na kufuata sheria za sheria ya 1994 ya Makaazi ya
Upangaji kwa kutoa habari kuhusu sheria za kukodisha na
Sehemu ya 1 uwekaji mzuri wa bondi ya kila mpangaji

Small Claims Tribunal (SCT)


Habari Muhimu ya ⇒ Mahakama/korti ambayo hushughulika na mizozo ya
kupata mahali pa mpangaji na mizozo zingine kuhusu pesa chini ya ki-
wango fulani.
⇒ Katika visa vingi lazima kwanza ujaribu kutatua
kukodisha. mzozo kupitia RTA kabla ya kuomba kwa Mahakama
ya Lawama Ndogo ili waamue kuhusu mzozo.

⇒ Unapowasili kwanza Centrelink


⇒ Kukodisha kutoka kwa Unganisho ⇒ Chombo cha serikali ambacho hutoa pesa ya ku-
⇒ Kukodisha kutoka Queensland — wasaidia wasiokuwa na kazi, wagonjwa, wazazi,
wahamiaji, wakimbizi, na wale walio na ulemavu
Sheria za kukodisha
⇒ Kukodisha katika Queensland — Tenant’s Union of Queensland (TUQ)
Haki na Majukumu ⇒ Chombo ambacho hutetea haki za wapangaji
⇒ Mahali unapoweza kupata nyumba
mpya ya kukodisha Tenant Advice and Advocacy Service (TAAS)
⇒ Kuomba nyumba mpya ya kukod- ⇒ Huduma inayotoa usaidizi na habari kwa wapangaji
⇒ Waliyofunzwa sheria ya kukodisha na inaweza kuku
isha saidia na habari
⇒ Na kuja nawe kwa Mahakama ya Lawama Ndogo
au RTA ikiwa unahitaji usaidizi wa kujadili shida zo-
zote unazo na mpangishaji wako
6 59
Unapowasili mara ya kwanza
Umefika Australia kama Mkimbizi?

* unganisho itakutafutia nyumba ya kukodisha.


Kwa miezi 0-6 — Kodisha kupitia Unganisho (Mkataba
Mashirika Muhimu ya wa Kukodisha wa Muda uliowekwa/miezi 6)
kujua . . . Utahitajika :
- kulipa kodi
- kulipa bili (k.v. stima)
- kulipa bondi ya kukodisha
- kutia sahihi makubaliano ya kukodisha (Fomu 18a)
- kutia sahihi Bondi ya kushtaki (Fomu 2)
- kujaza na kutia sahihi Ripoti ya Hali ya Ulivyoingia
(Fomu 1a)
Mwezi 1 kabla Mkataba wako wa Kukodisha kuisha,
……...Wanachofanya ...uk wa 60 INTERLINK itakusaidia kuamua kama unataka:
…...Jinsi ya kuwasiliana nao 1. Kuishi katika nyumba unayokodisha AU
...uk wa 62 2. Kutafuta nyumba nyingine ya kukodisha

Miezi 6 na kuendelea — Kodisha moja kwa moja kwa


kupitia mpangishaji/ajenti
Utahitajika :
- kulipa kodi
- kulipa bili (k.v. stima)
- kulipa bondi ya kukodisha
- kutia sahihi makubaliano ya kukodisha
- kutia sahihi Bondi ya kushtaki (Fomu 2)
- kujaza na kutia sahihi Ripoti ya Hali ya Ulivyoingia
(Upangaji kwa Kijumla) (Fomu 1a)
Vidokezo Vyema vya Wapangaji:
Ukiishi katika nyumba moja na utie sahihi Makubaliano
ingine ya Upangaji (Fomu ya 18a), HAUPASWI kujaza
58 7
Ripoti ingine ya Hali ya Ulivyoingia (Fomu ya 1a)
Kukodisha kutoka kwa Interlink Vitu Vingine Muhimu vya Kujua . . .

Kuna NJIA ya kulipa kodi yako. Makazi ya Umma


Nyumba au vizio vya kukodisha vya serikali
hukodishwa kwa wanaopokea mapato ya chini kwa kodi ya
⇒Wewe (mpangaji) utalipa Interlink chini zaidi ya sekta ya kibinafsi.
(kutoka kwa malipo yako ya Kituo cha Centrelink)
Kukodisha kwa Mali ya Kibinafsi
⇒Interlink itamlipa Ajenti Nyumba za kukodisha ambazo zinamilikiwa na watu am-
bao huzikodisha nje moja kwa moja au kulipa ajenti wa
⇒Ajenti atamlipa Mpangishaji/mwenyewe mali isiyohamishika ili kuzisimamia

Fomu ya Kudai Utunzaji


Fomu unayoweza kutumia kule kwa Interlink na
mpangaji wako ili kuripoti ukarabati ambao unahi-
taji kukamilishwa. Hii sio fomu halali ya RTA, lakini
inaweza kukusaidia kufafanua kwa mpangishaji/
ajenti wako nini kibaya.

Interlink Centrepay
Makao na Pesa ambazo unakubali zichukuliwe kutoka
Mpangaji Usaidizi kwa Malipo yako ya Kituo cha Interlink ili ulipe
bili ya kaya (mfano: kodi, Simu, stima).

Family Tax Benefit A&B


Malipo ya Kituo cha Interlink ili kusaidia kulea
Mpangishaji Ajenti mtoto/watoto.

Asiyeajiriwa
Mtu ambaye hana kazi ya kulipwa pesa.

8 57
Kukodisha katika Queensland
Inaendelea: Maneno muhimu ya
Kuelewa . . . Sheria za Kukodisha . . .
Iwe unakodisha kutoka Interlink, kutoka kwa makao
⇒ mwanzo wa upangaji mengine ya umma au ya kibinafsi, kuna sheria katika
Queensland kuhusu kukodisha.
Kurudishiwa Kodi ya Bondi (Fomu ya 4)
Fomu ya kudai bondi mwisho wa upangaji Sheria hii huorodhesha yale wapangishaji na wapan-
gaji wanaweza kufanya na yale hawawezi kufanya wa-
Ilani ya Kuondoka (Fomu ya 12) kati wa kukodisha.
Mpangaji hupokea fomu hii ikiwa amekiuka Makubaliano
ya Upangaji na HAJATATUA shida kwa siku saba - Hapa chini kuna baadhi ya maneno utakayoyasikia au
baada ya kupokea Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji kuyaona wakati unapokodisha au unapo-
(Fomu ya 11) soma kitabu hiki.

The Residential Tenancies Act 1994/


Ilani ya Nia ya Kuondoka (Fomu ya 13) Sheria ya 1994 ya Upangaji wa Makaazi
Fomu ya kusema kwamba mpangaji ana nia ya kuondoka Hii ni sheria ambayo inaweka maagizo ya
kwa nyumba anayokodisha. kukodisha katika Queensland:
⇒Makubaliano ya Muda Uliowekwa—mpangaji lazima
apeane ilani ya wiki 2, wiki 2 kabla ya tarehe ya
Agent/Ajenti
makubaliano kuisha Mtu ambaye huchunga nyumba ya mpangishaji/mwenyewe
⇒Makubaliano ya Muhula—mpangaji lazima apeane
ilani ya wiki 2 wakati wowote Real Estate Agent/Ajenti wa Mali Isiyohamishika
Husimamia nyumba ya mpangishaji/mwenyewe
Ripoti ya Hali ya Kuondoka (Fomu ya 14a)
Fomu ambayo mpangaji hujaza mwisho wa upangaji Tenant/Mpangaji
ambayo huonyesha hali ya mahali anapotoka.; kurekodi Mtu ambaye hulipa kodi ya kuishi halali katika nyumba
kama vitu kwenye nyumba ni safi, zinafanyakazi,
hazijaharibika (mfano: jiko/meko)) Fomu hii hulingan- Tenancy/Upangaji
ishwa na Wakati umetia sahihi makubaliano ya upangaji na unalipia
Ripoti ya Hali ya Kuingia. kodi nyumba yako, una upangaji. Upangaji wako una
mwanzo na mwisho.
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
Linda bondi yako—ukiharibu nyumba au haulipi
kodi yako, mpangishaji/ajenti ataweka baadhi ya Lessor/Mpangishaji
bondi AU yote! 56 Mwenye nyumba inayokodishwa 9
Kukodisha katika Queensland Inaendelea: Maneno muhimu ya
Kuelewa . . .
⇒ kama unashida na upangaji

Haki na Majukumu chini ya sheria Mzozo


MPANGAJI ana uwajibikaji wa: Kutopatana au utofauti wa maoni kati ya
watu wawili
⇒ Kuishi katika nyumba kulingana na masharti yaliyoku-
baliwa na mpangishaji katika Makubaliano ya Upangaji
Ukiukaji
⇒ Kulipa kodi kwa wakati unaofaa (kiwango
Wakati sheria za Makubaliano ya Kijumla ya
kilichokubaliwa katika makubaliano)
Upangaji hazijafuatwa na mpangaji au mpang-
⇒ Kuiweka nyumba safi NDANI na NJE
ishaji
⇒ Kutopiga kelele nyingi katika mtaa wako
⇒ Kuripoti uharibifu wowote au hitaji la utunzaji kwa
mpangishaji/ajenti Madeni ya Kodi
⇒ Kutotumia nyumba kwa kitu kingine ambacho ni Pesa za kodi ambazo hazijalipwa kwa muda
kinyume na sheria ya Australia unaofaa
⇒ Kuhakikisha wewe au wageni wako ha
waaribu nyumba kimakusudi Azimilio la mzozo
⇒ Kulipia uharibifu wowote unaosababisha Hii ni huduma ya bure na ya siri inay-
otolewa na RTA kwa wapangaji na Wa-
MPANGISHAJI/AJENTI pangishaji ambao wanataka kuzungumzia
ana uwajibikaji wa: mzozo wao na kufikia makubaliano. Un-
aweza ukaweka maombi ya azimio la
⇒ Kuiweka nyumba salama na katika hali ya
mzozo kwa kutuma Fomu ya 16 kwa RTA.
kukalika
Unaweza kuchagua kuwa na rafiki au
⇒ Kufanya marekebisho wakati yanahita- jika
mfanyakazi msaidizi azungumze kwa
⇒ Kukuruhusu wewe kuishi katika nyumba kama nyumba
niaba yako kwa RTA
yako kwa wakati uliyowekwa kwenye makubaliano
⇒ Kutoingia kwa nyumba yako bila kukupatia ilani sahihi
Ombi la Azimio la Mzozo (Fomu ya 16)
iliyoandikwa
Fomu inastahili kujazwa wakati unataka
⇒ Kupeana funguo za nyumba
RTA ikusaidie kuhusu mzozo
⇒ Kuhakikisha bondi iliwasilishwa na RTA
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
(RTA) hutumia huduma ya bure ya ukalimani. Kama Daima zungumza na mpangishaji/ajenti wako kama una
unahitaji kupigia simu RTA, piga simu kwa huduma ya shida wakati unapokomboa, au umtafute mtu ambaye
Ufasiri na Ukalimani (131 450 ) - uliza uunganishwe na 10 anaweza kuzungumza kwa niaba yako. 55
RTA katika Queensland.
Inaendelea: Maneno muhimu ya
kuelewa ………. MAHALI unapoweza kupata nyumba
⇒ wakati wa upangaji
mpya ya kukodisha:
⇒ Ajenti wa Mali Isiyohamishika
⇒ Gazeti
⇒ Rafiki
⇒ Ishara ya KUPANGISHA (TO LET ) au
Uchunguzi wa Nyumba KUKODISHA (TO RENT)
Mpangishaji/ajenti anaweza kuchunguza nyumba kila
miezi 3 ili kunakili jinsi mpangaji anavyochunga ⇒ Tovuti
nyumba na kuangalia kama marekebisho yanahita- Wakati Unapotafuta Nyumba Mpya
jika. Huu ni wakati mzuri kwa mpangaji kumjulisha Ya Kukodisha
mpangishaji/ajenti kuhusu marekebisho yoyote au
hoja zozote.

Ilani ya Kuingia (Fomu ya 9)


Fomu inayopewa mpangaji ili mpangishaji/ajenti aweze
kufanya:
1) uchungunzi wa nyumba
(ilani ya siku 7) au
2) ukarabati wa utunzaji (ilani
ya masaa 24) ⇒ Piga hesabu ni pesa ngapi unaweza kulipa
kodi
⇒ Muulize Ajenti wa Mali Isiyohamishika
orodha ya nyumba zao
Barua na Mawasiliano ⇒ Angalia nyumba hiyo ukiwa kwa barabara
Barua zilizopokewa kwenye sanduku la barua ⇒ Angalia kama unapenda mtaa ambao
nyumba hiyo iliyoko

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
Ikiwa huna gari, hakikisha kuwa nyumba unayotaka
Weka nyumba yako safi kila wakati, na wala sio tu wa-
kukodisha ni karibu na usafiri wa umma
kati kuna uchunguzi wa nyumba. 54 11
KUOMBA nyumba mpya ya kukodisha: Inaendelea: Maneno muhimu ya
kuelewa ……….

⇒ wakati wa upangaji

Kodi
Pesa zinazolipwa mara kwa mara ili kuishi kwa nyumba
ambayo mpangaji haimiliki

Sehemu ya Malipo ya Bondi ya Kukodisha


(Fomu ya 7)
Fomu ya kuonyesha kiasi cha bondi ya ziada ambayo
Jaza ‘fomu ya maombi’ pamoja na: mpangaji atalipa kodi ikiongezeka

⇒ Jina Utunzaji
⇒ Anwani ya sasa Uangaliaji wa kitu mara kwa mara (mfano: ukataji nyasi
⇒ Anwani ya kukodisha ya hapo awali au uvutaji vumbi kwa zulia mara kwa mara)
⇒ Maelezo ya mawasiliano
⇒ Ni watu wangapi watakaokuwa wakikodesha nyumba
(majina/umri) Ukarabati
⇒ Maelezo ya ajira/mapato Kurekebisha kitu ambacho kimevunjika
⇒ Vipengele 100 vya sifa za utambuaji (k.v. Kadi ya
Huduma ya afya, Kadi ya Kituo cha Interlink, paspoti, Ilani ya Nia ya Mpangishaji Kuuza Majengo
bili ya stima na jina lako juu yake) (Fomu ya 10)
⇒ Jina ya mnyama kipenzi na umri wake Fomu ya kumjulisha mpangaji kwamba mpangishaji/ajenti
⇒ Marejeo — kwa mfano: barua kutoka kwa mpangishaji/ ananuia kuuza majengo anayokodisha
ajenti wa hapo awali ikisema kama ulifuata sheria za
Makubaliano ya Upangaji wako (k.v. kama ulilipa kodi
yako kwa wakati unaofaa)

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Muulize mtu akusaidie kujaza fomu ya maombi Kama hauelewi kitu kuhusu kukodisha, muulize
kama unashida au unahitaji usaidizi mpangishaji/ajenti wako—wako hapo ili kukusaidia
12 53
Inaendelea: Maneno muhimu ya
kuelewa ……….

⇒ mwanzo wa upangaji

Mkopo wa Bondi
Pesa zilizokopwa kutoka kwa Idara ya Makaazi ili ku-
lipia Bondi ya Kukodisha. Pesa hizi LAZIMA zilipwe

Bondi ya Kushtaki (Fomu ya 2)


Fomu iliyotiwa sahihi na wewe na mpangishaji ambayo
hutumwa kwa RTA na mpangishaji na pesa zako za
bondi. Fomu hii hushikiliwa na RTA pamoja na pesa za
Sehemu ya 2
bondi ya mpangaji hadi mwisho wa upangaji – mpangaji
au mpangishaji anaweza kuomba alipwe bondi hiyo

Ripoti ya Hali ya Kuingia (Fomu ya 1a) Habari Muhimu ya


Hii ni fomu ambayo mpangaji hujaza mwanzo wa
upangaji ili kurekodi kama vitu ndani ya nyumba ni Kukodisha Vizuri
safi, zinafanyakazi hazijaharibika (mfano: jiko/meko)
Fomu hii hulinganishwa na Ripoti ya Hali ya
Kuondoka ya mpangani wa hapo awali na ⇒ Kuanza upangaji
kulinganishwa na Ripoti yako ya Hali ya Kuondoka ⇒ Ulipaji Kodi
mwisho wa upangishaji wako. ⇒ Ukarabati na utunzaji
Ukomboaji nyumba: Mwongozo wa mpangaji wa ⇒ Uchunguzi wa Nyumba
sheria za kukomboa katika Quuensland (taarifa ya ⇒ Shida unazoweza pata wakati wa
habari Fomu ya 17a) upangaji
Habari ya mpangaji kuhusu amri na sheria za ku-
komboa katika Queensland. Unapaswa kupewa
⇒ Barua na Masiliano
nakala ya Fomu hii na mpangishaji unapoanza
upangaji wako

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Uvutaji vumbi kwa zuli kila wakati hupunguza vumbi.
52 13
Maneno muhimu ya Kuelewa . . .
1. Kuanza upangaji …………………...15

Makubaliano ya Upangaji ⇒ mwanzo wa upangaji


Ripoti ya Hali ya Kuingia
Makubaliano ya Kijumla ya Upangaji
2. Kulipa Kodi ….………...18 (Fomu ya 18a)
Makubaliano ya halali kati ya mpangaji na mpangishaji/
Njia za kulipa ajenti. Wakati umetia sahihi makubaliano ya upangaji, una-
Vidokezo Muhimu kubali kuishi kwa nyumba hiyo kulingana na sheria zilizo
kwenye Makubaliano.
3. Ukarabati na Utunzaji …..……....20
Makubaliano ya Muda Uliowekwa
Ukarabati ...
Muda uliowekwa ambao mpangaji hukodisha nyumba
Kuripoti Ukarabati na Utunzaji
(mfano: Miezi 6 au 12)
Jinsi ya kuuliza Usaidizi
Fomu za Ukarabati na Utunzaji
Ukarabati wa Kawaida Makubaliano ya Muhula
Ukarabati wa Dharura Mpangaji hukodisha nyumba kwa MUDA AMBAO HAU-
JAWEKWA. Kuna tarehe ya mwanzo lakini HA-
Utunzaji … KUNA TAREHE YA MWISHO. Makubaliano ya mu-
Kuangalia nyumba yako ndani na nje hula huanza wakati makubaliano yaliyowekwa yan-
apoisha na mpangaji HATII sahihi upya makubali-
4. Uchunguzi wa nyumba ……….………….....35 ano yaliyowekwa.

Matayarisho……………… Bondi ya Kukodisha


Uchunguzi wa Nyumba… Pesa zilizolipwa mwanzo wa upangaji, na kutumwa kwa
Anaye RUHUSIWA RTA na mpangishaji. Hii SIYO kodi. Mwisho wa upan-
 NDIYO KUINGIA…
Nani ASIYERUHUSIWA
gaji unaweza kuomba RTA ikurudishie bondi yako.
Mpangishaji/ajenti pia anaweza kuomba aweke baadhi

 HAPONA KUINGIA… ya bondi au zote za uharibifu wa nyumba au ikiwa una


deni unapotoka kwa nyumba hiyo.
5. Barua na Mawasiliano ...……………..40
- Unachostahili kufanya na mawasiliano?
- Unayestahili kuzungumza naye Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
14 51
Sheria ya 1994 ya Maakazi ya Upangaji hulinda haki zako na haki za
mpangishaji
. Kuanza upangaji
Ili kuanza kukomboa nyumba yako utahitaji:

⇒ Kujaza na kutia sahihi Makubaliano ya


Kijumla ya Upangaji (Fomu ya 18a)

⇒ Kujaza na kutia sahihi Bondi ya kushtaki (Fomu ya 2)

⇒ Kuchukua funguo
Sehemu ya 4 ⇒ Kupanga kuwa na simu/stima au gesi iunganishwe

Maneno muhimu ya ⇒ Kupanga uhamisho

kuelewa... ⇒ kukagua nyumba unayoenda kukodisha – kisha ku-


jaza na kutia sahihi Ripoti ya Hali ya Kuingia (Fomu ya 1a)
na urudishe nakala moja kwa mpangishaji/ajenti kati
⇒ mwanzoni mwa Upangaji wako ya siku 3 za bi- ashara

⇒ wakati wa upangaji wako

⇒ kama unashida na upangaji wako

⇒ mwisho wa upangaji wako

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Kama hauelewi kitu kuhusu kukodisha, muulize
mpangishaji/ajenti wako—wako hapo ili kukusaidia Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
50 KILA WAKATI uliza usaidizi kama hauelewi! 15
Kuanza upangaji
VIZUIZI VYA MAJI NI
Makubaliano ya Upangaji wa Makaazi MUHIMU . . .
(Fomu ya 18a)
Hii ni makubaliano ya halali kati ya mpangaji na Mpangishaji/
ajenti.
Unapotia sahihi Sehemu ya 18a, unakubali kuishi katika TUMIA MAJI VIZURI . . .
nyumba hiyo kulingana na sheria zilizo kwenye Makubaliano.
Hakikisha unaelewa kile unachokubaliana nacho.
Kwa mfano:
JE! NINAWEZA?

Je! unajua wakati kodi yako inastahili? ⇒ Kumwagia maji bustani yangu au
kukata nyasi, kuosha gari, kuosha
Je! unajua wakati upangaji wako unakwisha? nyumba n.k.
Je! unajua kama ni jukumu lako kukata nyasi
na kuangalia bustani? Kwa maelezo PIGA SIMU . . .
Je! unajua kama umeruhusiwa kuwa na mnyama
kipenzi?
⇒ Logan City Council— 3412 3412
(Baraza la Jiji la Logan)

Ripoti ya Hali ya Kuingia (Fomu ya 1a) ⇒ Brisbane City Council— 3403 8888
(Baraza la Jiji la Brisbane)
Hii ni fomu ambayo mpangaji hujaza wakati wa kwanza wa
upangaji ili kurekodi kama vitu kwenye nyumba ni safi, zi- ⇒ Gold Coast City Council— 5582 8211
nafanyakazi, hazijaharibika (mfano: Jiko) (Baraza la Jiji la Gold Coast)
Kama hauelewi vitu katika fomu hiyo, muulize rafiki au mfanyi- UKIKIUKA VIZUIZI VYA MAJI UNAWEZA
kazi wa usaidizi akusaidie kuijaza KUPEWA FAINI YA KIASI FULANI CHA PESA
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
Piga picha ya uharibifu wowote kwa nyumba kabla Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
haujaingia – fomu hii na picha zinaweza kuwa USIWACHE mfereji ukimwaga maji wakati
dhihirisho muhimu ikiwa wewe na mpangishaji 16 hautumii 49
hamkubaliani kuhusu kupata bondi yako wakati wa
mwisho wa upangaji
Kuanza upangaji
Bili ya Kaya
Mahusiano...
Maeneo ya Logan na Gold Coast

Telstra Ph: 132200


Vidokezo muhimu vya
Origin Ph: 131253
kukumbuka . . .
Dharura (hakuna stima) Simu: 131253
Gesi ya Kawaida/mfano AGL
Simu: 1300 309 132
Gesi ya Chupa/ORIGIN Simu: 1300 308 624 1) USIJETIA SAHIHI FOMU TUPU
(Ada ya Utunzaji = ada ya wakati mmoja)

Stima Simu: 1300 308 624


2) USIJETIA SAHIHI KITU CHOCHOTE
ISIPOKUWA KAMA UNAELEWA
miezi 0-6— Interlink italipia ada ya simu yako, stima/ UNACHOTIA SAHIHI
uInterlink wa gesi au pesa za usalama

miezi 6 na kuendelea— utahitaji kulipa ada ya


simu yako, stima/uInterlink wa gesi au pesa za 3) WEKA NAKALA YA KILA KITU
usalama
UNA CHOTIA SAHIHI PAHALI PA-
ZURI

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Kumbuka kulipa bili kwa wakati unaofaa. Usipo fanya
hivyo, stima yako/gesi au simu inaweza KUKATWA. 48 17
Ulipaji Kodi . . . Kwa maelezo zaidi kuhusu usalama,
unaweza piga simu:

Njia za kulipa:

⇒ Brisbane Council— 3403 8888


⇒ Kadi ya Kodi (Baraza la Brisbanel)
(kutoka kwa mpangishaji/ajenti)
⇒ Gold Coast City Council 5582 8211
⇒ Kulipa kituo (kutoka kwa malipo ya Kituo cha (Baraza la jiji la Gold Coast)
Interlink)
⇒ Origin— 131253
Kutoa Moja kwa moja (kutoka kwa benki)

⇒ Department of Emergency Services—
3247 8100
⇒ Hawala ya fedha (kutoka kwa ofisi ya posta) (Idara ya Huduma za Dharura)

⇒ Kitabu cha Kuweka (kutoka kwa Ajenti)

⇒ Pesa taslimu (ikiwa mpangishaji/ajenti anakubali


pesa taslimu, jaribu kuwa na kiwango sahihi)

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Weka risiti ZOTE na makaratasi mahala pazuri Ni muhimu kuweka nyumba yako na familia yako
18 salama. 47
Inaendelea: Usalama ndani ya Nyumba ... Inaendelea: Ulipaji Kodi

Vifuli (X= HAPANA) (√ = NDIYO) Vidokezo Muhimu. . .


⇒ Funga milango na madirisha wakati haupo ⇒ DAIMA zungumza na mpangishaji/ajenti KWANZA
nyumbani
ikiwa unataka kubadili njia ya kulipa kodi (mfano:
⇒ Funga milango ya usalama wakati uko nyum- unalipa pesa taslimu ya kodi yako na unataka
kuanza kulipa kodi yako kupitia kutoa moja kwa
bani √ moja kwa akaunti yako ya benki)
⇒ KILA WAKATI weka funguo mahali pazuri

⇒ Kama hauwezi kulipa kodi yako, DAIMA zungumza na


Maji Moto mpangishaji/ajenti wako

⇒ Ikiwa hali yako imebadilika (mfano: ukipata kazi au ku-


⇒ USIWEKE mikono au mwili chini ya badilisha kazi, DAIMA eleze Kituo cha Interlink kwa sa-
maji moto (inaweza KUCHOMA) X babu hii inaweza kudhuru malipo yako ya Interlink

⇒ Mfereji wa maji ya moto unaovuja


unahitaji kurekebishwa √

Dharura PEKEE! Piga simu kwa 000

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Kama unashida ya kulipa kodi yako, ongea na mpang-
Kumbuka kuzima vifaa vyote vya stima kabla ya kutoka ishaji/ajenti wako ili mtengeneze mpango wa malipo
au kuenda kitandani 46 19
Ukarabati na Utunzaji . . . Inaendelea: Usalama ndani ya Nyumba ...
Vidokezo vya Usalama:
Utunzaji (kuchunga nyumba)
(X= HAPANA) (√ = NDIYO)
Mpangishaji/ajenti ana uwajibikaji wa :
⇒ Kuhakikisha kuwa majengo yako sawa kuishi ⇒ USITUMIE vifaa vya stima karibu na X
ndani wakati mpangaji anapoingia maji (mfano: Kikaushi nywele)
⇒ kuhakikisha kila kitu kinafanya kazi na katika hali ya ku-
kalika katika nyumba wakati wa upangaji. ⇒ USIWEKE vifaa vya chuma ndani ya
chombo cha kuchomea tosti X
USIWACHE mishumaa zinazowaka
X

bila kushughulikia

USIWEKE mablanketi au nguo


Mpangaji ana uwajibikaji wa :

KARIBU au JUU ya kikanza
X
⇒ Kuiweka nyumba safi na katika hali iliyokua wakati wa
kuingia mara ya kwanza. ⇒ USIKAE karibu na kikanza X
Ukarabati USIWEKE kamba ya stima kwa stima

ikiwa IMEWASHWA
X
Kama kuna uharibifu wowote kwa nyumba mpangaji anapaswa
kuiripoti papo hapo kwa mpangishaji. Kuna uharibifu mwingine ⇒ ZIMA kikanza unapotoka kwa
ambao mpangishaji anapaswa kurekebisha na kulipia. Kuna nyumba √
uharibifu mwingine ambao mpangaji anastahili kulipia.
Hakikisha unajua unayestahili kumwona wakati wa ⇒ ZIMA kikanza wakati ambao
marekebisho ya dharura. hauitumii √
⇒ Zima mishumaa kabla ya kutoka kwa
nyumba √
⇒ Washa gesi kwa kutumia kiwasha
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
Ripoti Ukarabati mara moja! Ukijaribu kuunda vitu gesi √
mwenyewe unaweza kuviharibu zaidi – kisha itakubidi
kulipia uharibifu huo
20 45
Inaendelea: Ukarabati na Utunzaji . . .
Usalama ndani ya nyumba . . .

Stima (X = HAPANA) (√ = NDIYO) Mifano ya uharibifu ambao mpangaji an-


astahili kulipia:
Sehemu za umeme ⇒ Uharibifu wa zulia—(mchomo wa pasi, mchomo
wa sigara, kukojoa kwa watoto/wanyama kwenye
zulia)
⇒ USIWASHE au KUZIMA sehemu za umeme ukiwa ⇒ Dirisha iliyovunjika (kutupa mpira kwa dirisha)
na mikono yenye unyevu X ⇒ Mashimo kwenye kuta
⇒ Muulize mpangishaji/ajenti kurekebisha sehemu za ⇒ Kupasua vioo vya milango/madirisha
umeme kama zimepasuka au kama zina alama ya ⇒ Mabomba kujifunga kwa sababu ya bidhaa zisizo-
faa kuwekwa ndani
hudhurungi/manjano √
⇒ USIWAHI kutumia vifaa vya stima karibu na maji X
Stovu Mifano ya uharibifu ambao mpangishaji
anastahili kulipia:
⇒ USITUMIE chombo cha plastiki
kwa stovu moto X Uharibufu wowote ambao wewe au wageni wako
HAWAJASABABISHA kwenye nyumba. Kwa
⇒ TUMIA chombo cha chuma kwa mfano:
stovu moto √
⇒ Paa linalovuja
⇒ Mabomba yaliyopasuka
⇒ Jiko, mfumo wa majimoto, stima kutofanya kazi
⇒ USIWAHI kuweka mkono wako juu, au ndani vizuri
ya stovu moto X

⇒ Wakati HAUPIKI, ZIMA kirungu cha stovu √

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Mifereji inayovuja MAJI CHAFU! Inaweza kukubidi ulipe USIWEKE misumari au viopoo kwenye kuta bila kupata
zaidi ukitumia maji zaidi 44 Idhini kwanza kutoka kwa mpangishaji/ajenti 21
Inaendelea: Ukarabati na Utunzaji . . .

Jinsi ya kuuliza usaidizi?


Mtafute mtu anayeweza kuzungumza ki-
ingereza na umuulize akusaidie kujaza fomu
ya utunzaji na uipeleke:
- Interlink (miezi 0-6)
- Kiongozi wa jamii (kila wakati)
- Mpangishaji/ajenti (baada ya miezi 6)
- BCA (kila wakati)
Sehemu ya 3
Kumbuka . . .
Vidokezo vingine vya
Kama hauelewi kitu;
uliza kwa USAIDIZI . . . kukodisha na kuishi
Wapi? kwa nyumba nchini
* Interlink (miezi 0-6)
* Mpangishaji/ajenti (baada ya miezi 6)
Australia...
* Kiongozi wa jamii (kila wakati)
* BCA (kila wakati) ⇒ Usalama ndani ya nyumba
* Acces Services Inc. (kila wakati)
* Multicultural Families Organisation (MFO)
(kila wakati) ⇒ Bili ya kaya
* Residential Tenancies Authority (RTA)
(kila wakati) ⇒ Vizuizi vya maji
* Tenant Advice and Advocacy Service
(kila wakati)
Tafadhalai kumbuka: Habari katika
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: sehemu hii SIO sheria ya upangaji lakini inatolewa ili
Utawala wa Makaazi ya Upangaji (RTA) hutumia huduma kuwasaidia wapangaji kuelewa baadhi ya vipengele
ya bure ya ukalimani. Ikiwa unataka kupigia RTA, pigia muhimu kuhusu kuishi kwa nyumba nchini
simu Huduma ya Utafsiri na Ukalimani (131 450 ) na uliza Australia.
uunganishwe kwa RTA katika Queensland 22 43
Inaendelea: Barua na Mawasiliano Inaendelea: Ukarabati na utunzaji . . .

Kuripoti ukarabati na utunzaji


⇒SmallClaims Tribunal (SCT)—
Mahakama ya Lawama Ndogo (SCT) 1.Wakati unapokodisha kutoka kwa Interlink (miezi
0-6 nchini Australia)
⇒Department of Housing—Idara ya Makazi
Unapokodisha kutoka kwa Interlink kuna NJIA ya ukarabati
⇒Centrelink na utunzaji.
Hatua ya 1: Mpangaji huripoti ukarabati na utunzaji kwa
Interlink
Unaweza kupokea barua kutoka kwa
Hatua ya 2: Interlink huripoti ukarabati na utunzaji kwa
Interlink ... Ajenti (Interlink inajukumu la kutengeneza
Kuhusu: uharibifu wa mpangaji TU)
Hatua ya 3: Ajenti huripoti ukarabati na utunzaji kwa
⇒Kukodisha kwako;


mpangishaji (Maajenti wanajukumu la kureke-
⇒Kodi yako;
bisha kila kitu kingine)
⇒Kusumbua majirani;
⇒Kuweka nyumba yako safi na nadhifu.
2. Unapokodisha kibinafsi kutoka kwa Mpangishaji/
Ajenti (miezi 6 na kuendelea)
Muhimu! Unapokodisha kibinafsi kuna NJIA ya ukarabati
na utunzaji.
Ukipokea barua kutoka kwa Hatua ya 1: Mpangaji huripoti ukarabati na utunzaji kwa
Mahakama ya Lawama Ndogo: Ajenti
Hatua ya 2: Ajenti huripoti ukarabati na utunzaji kwa
1) Hudhuria siku ya kusikilizwa kortini (unaweza mpangishaji
kutoa maoni yako)
2) Enda na mtu ambaye anaweza kuzungumza na Hatua ya 3: Mpangishaji huidhinisha ukarabati na Ajenti
kuelewa Kiingereza hupanga Vitu viundwe
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Mpangishaji au ajenti wako anaweza kuwa na fomu
⇒ Angalia kijisanduku cha muhimu ya kujaza ya kuripoti utunzaji. Pia, unaweza
Barua Kila siku!!! 42 kutumia fomu katika ukurasa wa 63 kama unaona 23
itakusaidia.
Inaendelea: Ukarabati na Utunzaji . . .
Barua na Mawasiliano
Ukarabati wa Kawaida

MUHIMU!
⇒Mfereji unaovuja/dondoka ⇒Jaribu na usome barua yako
⇒Ikiwa hauwezi kusoma barua yako,
zungumza na mtu ambaye anaweza
kukusaidia kati ya siku ifuatayo (masaa
24).
⇒ Hakuna mwangaza? Tufe ya mwangaza
inahitajika kubadilishwa Nani wa kuzungumza naye?...
⇒ Interlink wa Makao na Usaidizi (miezi 0-6)
⇒ Mpangishaji/ajenti (baada ya miezi 6)
⇒ Kiongozi wa jamii (kila wakati)
⇒Manyunyu kuanguka chini ⇒ BCA (kila wakati)
⇒ Mfanyakazi wa Kesi (kila wakati)
⇒ MFO (kila wakati)
⇒ Acces Services Inc.

⇒Kupasuka kwa kioo cha


Barua ya mpangaji unayoweza
kupokea. . .

⇒ Ilani ya Kuingia (Fomu ya 9)
mlango/ kioo
⇒ Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji (Fomu ya 11)
⇒ Ilani ya Kuondoka (Fomu ya 12)
⇒ Angalia kingora cha moshi baada ya
kila miezi 6 ⇒ Ilani ya Nia ya Mpangishaji Kuuza (Fomu ya 10)
⇒ Barua kutoka kwa mwenyewe/ajenti ikisema ku-
kodisha kwako kumekaribia kuisha
⇒ Badilisha betri kila miezi 6-12 kama inawezekana

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
Angalia kijisanduku chako cha barua kila siku!
kama umeamua kubadilisha balbu wewe mwenyewe
Kunaweza kuwa kuna habari muhimu ambayo unaweza
KILA WAKATI Kwanza zima stima 24 41
kushughulikia moja kwa moja.
Inaendelea: Ukarabati na Utunzaji . . .
Shida unazowezapata Wakati Ukarabati wa Dharura
wa upangaji — kile
Gesi au stima
unachoweza kufanya . . .
Kitu Kilichovunjika
Ukipokea Ilani ya Kuondoka (Fomu ya 11) au Ilani ya Suluhisho
la Ukiukaji (Fomu ya 16) na haukubaliani na mpangishaji kuhusu
shida hiyo, unaweza kuwasiliana na RTA na uombe Azimio la
Mzozo Choo iliyofunga/
Choo kuto foka

⇒ RTA inaweza kukusaidia na mzozo

⇒ Unaweza kuzungumza na RTA au unaweza


kuwa na mtu azungumze kwa niaba yako

⇒ Unaweza kutia sahihi fomu ya kumpa mtu Dirisha iliyopasuka


mwingine ruhusa ya kuzungumza kwa
niaba yako
KWANZA . . .
Hakuna Maji 1) enda kwa sanduku ya kipimo
⇒ RTA imefungwa na SHERIA YA SIRI Moto 2) Ikiwa swichi ya maji moto
IMEZIMWA, finya ili KUI-
⇒ Chochote utakachosema kitakuwa WASHA. Ikiwa swichi IME-
WASHWA: Subiri maji yapate
SIRI moto. Ikiwa maji hayapati moto,
ripoti kwa mpangishaji/ajenti.
3) Ikiwa swichi ya maji moto
IMEZIMWA, na unapo WASHA
haiwaki; ripoti kwa mpangishaji/
ajentii.
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
Ikiwa unahitaji usaiadizi wa kutatua mzozo au kuzun- Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
gumza na mpangishaji wako unaweza ku piga simu kwa Watu wa kuwasiliana nao kwa marekebisho ya
ushauri wa mpangaji na huduma ya utetezi iliyo orod- 40 dharura wanapaswa kuwa wameorodheshwa 25
heshwa nyuma ya kitabu hiki. kwenye Makubaliano yako ya kukodisha.
Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje. . Inaendelea: Shida unazowezapata
wakati wa upangaji . . . kile
Ni uwajibikaji wa mpangaji kuweka nyumba safi na katika hali
nzuri .Kila mmoja yuko na mawazo tofauti kuhusu umaana wa unachoweza kufanya
usafi, lakini kurasa chache zinazofuata zitakupa wazo la baadhi
ya vitu katika nyumba yako na njia ya kuzisafisha. Kumbuka
kwamba kuruhusu uchafu kuwa katika zulia au kuvu kuwa kwa
bafu inaweza kusababisha kupoteza bondi yako. Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji (Fomu ya 11)

Bidhaa za kusafisha Fomu hii inaweza kutumiwa na wapangaji na wapangishaji

⇒ inaweza kupewa mpangaji wakati hajafuata sheria za


Makubaliano ya Kijumla ya Upangaji (mfano: hajalipa
Ni wapi unaweza kununua bidhaa za kusafisha?
kodi kwa wakati unaofaa au kama wametatiza utulivu
⇒ Kutoka kwa duka kuu
wa mtaa.
Ni bidhaa zipi unazostahili kuzitumia kusafisha?
⇒ mpangaji ana siku 7 za kubadilisha shida hiyo
⇒ Bidhaa zilizoruhusiwa TU– angalia kibandiko
cha maelezo kwenye bidhaa, au uliza usaidizi
⇒ pia inaweza kupewa mpangishaji/ajenti na mpangaji
ikiwa hajafuata sheria za Makubaliano ya Kijumla ya
Bidhaa zinazofaa mazingira ……..
Upangaji (mfano: umeripoti metali ya bafu ya ma-
nyunyu iliyovunjika kwa mpangishaji mara nyingi na
Siki — iliyochanganywa na maji inaweza kusaidia
shida hiyo haijarekebishwa.
kuondoa kuvu
⇒ mpangishaji/ajenti ana siku 7 kureke-
Brashi ya kupakia rangi iliyo na unyevu — inaweza
bisha shida hiyo ikiwa umempa mpang-
kutumika kusafisha dirisha
ishaji Ilani ya
Suluhisho la Ukiukaji (Fomu ya 11)
Bikabonati ya soda — ikinyunyuziwa kwa kitambaa
chenye unyevu, inaweza kutumika badala ya kifaa cha
kusafishia malai

Bikabonati ya soda — nyunyuzia kwa zulia kabla ya Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
kuvuta vumbi ili kutoa harufu Ni wazo nzuri kuzungumza na mpangishaji/ajenti
wako KWANZA ili ujaribu na kurekebisha shida zo-
zote kabla haujampa Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji
26 39
(Fomu ya 11)
Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje
Shida unazowezapata wakati wa …… Sebule na Chumba cha Kulia . . .
upangaji . . .

Kunaweza kuwa na shida wakati wa upangaji


ikiwa kwa mfano:

Wewe . . .

⇒ umechelewa kulipa kodi


⇒ haujakata nyasi na nyasi ni kubwa sana

Mpangishaji . . .

⇒ anakuja kwa nyumba yako bila kukupatia ilani ili-


yoandikwa
⇒ hatengenezi kitu baada ya kumuuliza mara kwa mara
Vidokezo vya usafishaji na utunzaji . . .
Vitu kama hivi vikifanyika . . . ⇒ weka vitu mbali ukishavitumia
⇒ Safisha madirisha na milango ya kuteleza uki-
tumia nadhifishaji ya glasi (kwa mg’aro zaidi –
Wewe au mpangishaji anaweza: panguza madirisha ukitumia gazeti uliokunjana)
⇒ Panguza umwagikaji kwenye zulia mara tu un-
⇒ kuzungumziana na kujaribu kupata maelewano apotendeka – inaweza kuzuia uchafu
⇒ kumpatia mtu yule mwingine Ilani ya Kusuluhisha Ukiukaji ⇒ Jaribu kuvuta vumbi kutoka kwa zulia Kivuta vumbi
(Fomu ya 11) angalau mara moja kwa wiki
⇒ kuweka Azimio la Mzozo (Fomu ya 16) kwa RTA na ⇒ Safisha kuta kwa kutumia kifaa cha kusafisha malai
uone kama wanaweza kukusaidia wewe na mpang- au umaji uliopendekezwa (mfano sabuni ya sukari)
ishaji kutatua shida yako ⇒ Safisha madirisha na mlango wa kuteleza kwa
kutumia brashi iliyozeeka na kukauka na kisha
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Ukipokea Ilani ya Kuon- upanguze kwa kutumia brashi ya kupaka rangi.
doka au Suluhisho la Ukiukaji, zungumza na mpang-
ishaji/ajenti—unaweza kuzungumza na RTA au TAAS ili
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
kuona kwamba umepewa kiwango sawa cha ilani
38 Uvutaji wa vumbi kwa zuli mara kwa mara hupunguza27
vumbi na uchafu
Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje Inaendelea: Uchunguzi wa nyumba
. . Chumba cha kulala ...
KUJITAYARISHA KWA UCHUNGUZI WA NYUMBA

Safisha nyumba (nyumba yako) NDANI...


⇒Jikoni (mfano: Juu ya stovu na oveni)
Feni ya paa ⇒Sakafu Zote
⇒Zulia Zote
⇒Kuta Zote
⇒Kabati Zote
⇒Bafu
⇒Hodhi
Kitanda ⇒Vyumba vya kulala
⇒Chukua na uviweke mbali nguo kwenye
kabati

Safisha nyumba (nyumba yako) NJE...


⇒Pipa la taka lenye magurudumu (kila wakati funga mabaki
Meza na Taa kabla ya kuweka kwenye taka)
⇒Kata Nyasi
⇒Kata Bustani
⇒Safisha Madirisha


NDIYO

Kiti

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Osha na ubadilishe matandiko na foronya kila wiki
28
 37
HAPANA
Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje
ANAYERUHUSIWA KUINGIA; ASIYERUHUSIWA
KUINGIA KUCHUNGUZA NYUMBA? . . Jikoni ..
Mruhusu...

⇒Mtu unayemjua AU

⇒Mtu anayekuonyesha kitambulisho sahihi


(mfano: amevaa tepe au anakuonyesha kadi ya biashara)

Usimruhusu...

⇒Mtu ambaye hawezi kujitambulisha

⇒Mtu ambaye hajakupatia Ilani ya Kuingia (unaweza


kumruhusu mtu aingie bila Ilani ya Kuingia ikiwa TU
umekubali)

Kila wakati ANGALIA...

1. Aliyeandikwa kwenye Ilani ya Kuingiai (Fomu ya 9) Vidokezo vya usafishaji na utunzaji . . .


kufanya uchunguzi wa nyumba? ⇒ Jaribu kuweka jiko lako safi na nadhifu kila
siku
2. Mahali mtu huyo ametoka? ⇒ Osha na uweke vitu mbali ukisha vitumia
⇒ Osha kuta toka chini hadi juu
⇒ Fagia na uoshe sakafu kila wakati ili uchafu usikwame
⇒ Piga deki sakafu ya kigae na bidhaa iliyopendekezwa ya
kusafisha vigae (USITUMIE bidhaa kwa vigae ambazo
hazijapendekezwa kwa kusafisha sakafu ya mbao)

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Kama haujui aliye mlangoni mwako, unaweza Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
sema,‘Tafadhali Jina lako nani?’ “Unatoka wapi?" DAIMA weka chakula mbali ili isiwavutie SIAFU,
36 MENDE na PANYA 29
Uchunguzi wa nyumba . . .

NI FOMU GANI UTAKAYOPOKEA?


⇒ Ilani ya Kuingia (Fomu ya 9).
Wimbi maikro

Jiko friji
ITASEMA NINI?

⇒ Tarehe ya uchunguzi
Chano ya uokaji
⇒ Nani atakayekuwa akifanya uchunguzi
Chombo
Chungu cha kupikia cha ⇒ Mahali mtu huyo anatoka
kuchomea
tosti
Jagi ya stima

Vidokezo vya usafishaji na utunzaji . . . ILANI ITAKAYOTOLEWA?


Viti vya jikoni — kifaa cha kusafisha kitu chochote, ⇒ Uchunguzi wa Nyumba — ilani ya siku 7
kifaa cha kusafisha malai
⇒ Ukarabati wa utunzaji — ilani ya masaa 24
Jiko/vifaa vya kupika — kifaa cha kusafisha malai, kifaa cha
kusafisha kitu chochote

Jiko/oveni — kifaa cha kusafisha oveni, kifaa cha kusafisha kitu


chochote, dawa kali ya kusafisha iliyochanganywa na maji
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
Vyombo vya jikoni (mfano sahani, vikombe, sosi, Unapaswa kupokea Ilani ya Kuingia ya uchunguzi
vyombo) — dawa kali ya kusafisha wa nyumba siku 7 kabla ya uchunguzi
30 35
Utunzaji wa nyumba yako ndani na
Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje
nje ……… Bafu ...
. . Nje ya nyumba

Pipa la taka lenye Magurudumu …


KILA WAKATI funga au uweke mabaki ya jikoni ndani ya
kikapu KABLA ya kuweka ndani ya Pipa la takataka lenye
ma- gurudumu.

Vidokezo vya usafishaji na utunzaji


Kikoba cha vipodozi — kifaa cha kusafisha
malai, kifaa cha kusafisha kitu chochote
Vioo — kinadhifishaji glasi
Kioo cha bafu/glasi— kinadhifishaji glasi
Kuvu — pausha
Choo — safisha mara kwa mara kwa kutumia brashi ya choo na
utumie kifaa cha kusafisha malai, kipukusi, kisafisha choo
Sakafu ya kigae — bidhaa iliyopendekezwa kusafisha vigae
(USITUMIE bidhaa kwa vigae ambayo imependekezwa kusaf-
Pipa la taka Pipa la kuchakata isha sakafu ya mbao)
Bafu — kifaa cha kusafisha malai, kifaa cha kusafisha kitu
chochote
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Bafu ya manyunyu — kifaa cha kusafisha malai, kifaa cha
Muulize mpangishaji/ajenti wako ni lini unahitaji kuweka kusafisha kitu chochote
pipa la taka lenye magurudumu na pipa la kuchakata nje
ili itolewe.
Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:
34 Bikabonati ya soda—ikinyunyuziwa kwa kitambaa chenye un-
31
yevu, inaweza kutumika badala ya kifaa cha kusafishia malai.
Utunzaji wa nyumba yako Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje
ndani na nje . . Udobi . . . . . NJE ya nyumba


NDIYO
Maua


HAPANA

Vidokezo vya Kutun-


zaji nje
⇒ Wasiliana na mpangishaji wako ili uone kama ni jukumu
lako la kuangalia bustani na kukata nyasi
Mashine ya kufua na Kikaushaji ⇒ Kama ni jukumu lako la kukata nyasi na huna mashine
ya kukata nyasi, angalia kama unaweza kuomba moja
kutoka kwa rafiki

Mundu
Vidokezo vya usafishaji na utunzaji . . .

Nguo — poda ya kufua/umaji na kifaa cha kufanya nguo nyepesi Mashine ya


kukata nyasi
⇒ Tumia TU kiwango kilichopendekezwa cha poda/umaji
wa kufua kwa kufua nguo zako Torolli
Mti

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji:


Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Inaweza kuwa rahisi kumkomboa mtu akate nyasi kila
Ikiwa una kikausha nguo, safisha chujio yanyuzi za wiki 4-6. Kituo chako cha jamii cha mtaani kinaweza
pamba 32 kujua mtu anayeweza kukusaidia na suala hili. 33