You are on page 1of 3

TUHUMA THELATHINI (30) ZA UFISADI, UBADHILIFU NA MABAVU SHULE YA

SEKONDARI MWANZA(zimeainishwa na wanafunzi,wazazi,walimu,watumishi na


jumuia inayozunguka).
1) MAPATO NA MATUMIZI YA SHULE HAYAJAWAHI KUSOMWA WALA
KUBANDIKWA KATIKA KIKAO CHOCHOTE KWA ZAIDI YA MIAKA MINNE.
2) MKUU WA SHULE NA MAKAMU WAKE WANATENGENEZA MIGOGORO
ISIYO YA LAZIMA /MANTIKI NA WALIMU WA KIISLAMU KWA KUTUMIA
UBABE NA MABAVU ANAWAAMURISHA WALINZI WA GETI WAWATOE NJE
NA KUWAZUIA KWA NGUVU WALIMU WA KIISAMU WANAPOKUWA
WAMEVAA KANZU SIKU YA IJUMAA AMBAPO WENGINE HUWA NI WALIMU
WA MASOMO YA DINI HIYO.
3) WAMEWEKWA MAWAKALA WA MAKAMU NA MKUU WA SHULE
KUSHAWISHI WANAFUNZI NA WAZAZI WA SHULE JIRANI WAHAMIE
MWASECO NA WAZAZI WANATOZWA PESA INAYOITWA YA USAJIRI
TSH.100,000/= KAMA RUSHWA NA WAKUU WA SHULE ZA JIRANI
WANALALAMIKA.
4) ORIGINAL ENGINE YA GARI YA SHULE LANDROVER MALI YA SERIKALI
ILIUZWA/KUTOLEWA NA KUBADILISHWA AU KUUZA/KUNUNUA NYINGINE
NYAKATI ZA JANUAR-APRIL 2014 PASIPO KUFUATA TARATIBU NA SHERIA
ZA MANUNUZI YA UMMA. HAIJULIKANI ILIKO.
5) MKUU WA SHULE ANALAZIMISHA KIMABAVU KUCHAGULIA WALIMU
KIONGOZI WAO WA KUWAWAKILISHA (MFANO KIONGOZI WA C.W.T TAWI
KWA SASA NI SHINIKIZO LA MKUU WA SHULE KIKAO KILICHOFANYIKA
MWEZI MARCH, mwakilishi wa bodi aliyepigiwa kura nyingi na walimu na kushinda
mkuu wa shule kamtengua matokeo kimabavu na kibabe na kuagiza walimu kupendekeza
mtu mwingine apigiwe kura, siku ya kikao cha tarehe 17/4/15.
6) VYANZO VYA MAPATO HAVIJULIKANI , CAPTATION ZA KILA MWAKA ,
MICHANGO YA KITUO CHA MTIHANI P.0333/
NA SHULE YA JIONI
HAIJULIKANI MATUMIZI YAKE NA MMILIKI WAKE
7) MICHANGO YA TAALUMA (TSH.10,000/= KWA O-LEVEL) MAPATO NA
MATUMIZI YAKE HAYAJAAINISHWA SAMBAMBA NA MICHANGO YA
REMEDIAL TSH.20,000/= KWA VIDATO VYA MITIHANI KILA MWAKA KIASI
KINACHOKUSANYWA
HAKIJULIKANI,
PIA
HATA
WANAFUNZI
WANAPOKUJA CHUKUA VYETI HUDAIWA INGAWA WAKATI WA MITIHANI
WALIPOKOSA FEDHA WALIZUIWA WASIFANYE-PESA HIYO INAKWENDA
WAPI(mchanganuo haueleweki kwa wazazi inabadilika hovyohovyo kwa mwaka mara
kwa muhula mara mbili).
8) UKARABATI (UPAKAJI RANGI) SHULE JAN.2015 FEDHA YAKE /UFADHILI
ULITOKA SERIKALI KUU AU MICHANGO YA WAZAZI?PIA KUNA AFISA WA
SERIKALI ALIWAHI PIA AHIDI KUPAKA RANGI, JE MCHANGO WAKE UPO

HUMO?ilitangazwa katika baraza la wanafunzi kuwa ni michango ya wazazi, fununu


zinaonyesha pesa ilitoka serikalini.UKWELI UKO WAPI?
9) REAM ZINAZOTOLEWA NA MBADALA WAKE (YAANI PESA TASLIMU)
matumizi yake hayajawekwa wazi na wasioleta na wakatoa pesa taslimu haijulikani
inarekodiwa wapi?
10) IDADI YA WANAFUNZI ILIYOLETWA NA SERIKALI KIDATO CHA KWANZA
(mwaka 2015)HAIENDANI NA IDADI YA SASA, WANAFUNZI WAMEINGIZWA
KWA RUSHWA KUPITIA MAWAKALA.
11) MADAI YA WALIMU: walimu wengi wa o-level na A-level wana madai ya pesa za
remedial, wengine zaidi ya miaka mitatu ukizingatia kila mwaka michango hukusanywa.
12) MMILIKI WA SHULE YA JIONI ILIYO NDANI YA ENEO LA SHULE(shule ndani
ya shule) HAJULIKANI.
13) MAKUSANYO YA KODI ZINAZOTOZWA KWA WENYE BIASHARA
HAIJULIKANI YANATUMIKA VIPI.(HAYAPO WAZI)
14) MAPATO YA KITUO CHA MITIHANI HAYAJAWEKWA WAZI.
15) MICHANGO YA UKARABATI WA MIUNDOMBINU TSH.20,000/= KILA MWAKA
, HAKUNA UKARABATI UNAOFANYIKA PESA HAIJULIKANI MATUMIZI
YAKE.
16) TOFAUTI YA MICHANGO YA UKARABATI WA MIUNDOMBINU(20,000) NA
ULE WA HOSTEL(10,000/=) kwa kidato cha sita havijulikani wazazi wanachangia mara
mbili hapo.MAPATO YAKE HAYATUMIKI IPASAVYO.anayelipa 20,000/= pia
analipa na 10,000/.
17) UFADHILI WA MAHAFALI(GRADUATION) TSH. 2,000/= kwa o-level na 5,000/=
kidato cha tano, 10,000/= kwa kidato cha sita kuwachangia wahitimu kila mwaka, hesabu
zake haziwekwi wazi. BADALA YAKE WALIMU WANAODAI REMEDIAL
WANAAMBIWA fedha za remedia zimetumika kwenye bajeti ya maandalizi ya
mahafali matokeo yake kulimbikiza madeni kifisadi.(kiambatanisho-rejea fomu ya
wazazi iliyoandikwa maagizo na maelekezo kwa mwanafunzi wako kwa mwaka
2014 ya tarehe 2.11.214
18) VIKAO VYA BODI YA SHULE:walimu hawaulizwi matatizo yao kuwasilishwa
kwenye bodi, pia feedback haitolewi na maazimio ya bodi na bajeti zake vikaguliwe.
19) KUNA WANAFUNZI WAHUNI KUPINDUKIA AMBAO HUPIGA NGUMI
WALIMU NDANI YA OFISI YA MKUU WA SHUE NA MKUU WA SHULE
HACHUKUI HATUA YOYOTE NA WENGINE KUTUKANA MATUSI
MAZITOMAZITO KWA WALIMU.
20) TENDA ZA MADAWATI NA VITANDA KWA MWAKA 2014 IMEFANYIKA KWA
SIRI KUBWA NA GHARAMA ZA MATENGENEZO HAYO YANAZUIWA
KUHOJIWA.

21) TENDA ZOTE ZA VYAKULA KWA HOSTELI HAZITOLEWI KUFUATA


TARATIBU ZA MANUNUZI YA UMMA.ZICHUNGUZWE NA WANAOPELEKA
TENDA WABAINIKE NAMNA WALIVYOZIPATA.
22) MAPATO YA UKUMBI MKUBWA WA MIKUTANO NA SHEREHE WA SHULE NI
MRADI WA WATU WACHACHE.HESABU ZAKE ZIKAGULIWE.
23) MKUU WA SHUE AICHUKUA MADARAKA MIKONONI NA KUMPEEKA POLISI
(LOCKUP) PASIPO KUFUATA TARATIBU ZA UTUMISHI WA UMMA NA
UTAWALA BORA mmoja wa walimu kwa kuwa alikuwa akidai maslahi yake na
walimu walio wengi siku ya tarehe 17 april majira ya saa nane hadi kumi. Baada ya kikao
cha walimu wote alikamatwa na polisi.
24) MAMILIONI YA PESA AKAUNTI ZOTE ZA BENKI ZA SHULE KUNA FUNUNU
PESA IMEIBWA. HAKUNA MAELEZO YALIYOTOLEWA KUTOA UFAFANUZI.
25) MKUU WA SHULE ANAKIUKA MAADILI YA UONGOZI NA KUWA NA
MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WALIMU WA KIKE KITU AMBACHO
WANAFUNZI PIA WANAJUA NA WANASHUHUDIA. HALI ILIYOPELEKEA
HATA MGOGORO NA MKEWE KATIKA FAMILIA YAKE MWENYEWE.
26) MKUU WA SHULE NA MAKAMU WAKE WANAWAONDOA MA PS(PERSONAL
SECRETARY) wake bila sababu na kuwaathiri wengine kimaisha na kundi kubwa
lilitimuliwa miaka minne-sita iliyopita na baadhi ya walimu kuhamishwa.Hutumia mbinu
ya kuwafrustrate walimu na watumishi wengine ili wahame,kuacha kazi au wakasome
hali iliyopelekea hata mmoja wa watumishi(nurse) kufariki miaka minne sita iliyopita
pamoja na walinzi kuhamishwa hovyo kwa mambo binafsi.
27) MWANDAMIZI TAALUMA , MAKAMU MKUU WA SHULE NA MKUU WA
SHULE WAMEMNYANYASA,KUMDHALILISHA KATIKA VIKAO
NA
KUMLAZIMISHA MWALIMU WA KIKE AITWAE *** AHAMIE MILONGO SEC
KWA SABABU ZAO BINAFSI PASIPO KUHUSISHA MAMLAKA ZA
KINIDHAMU ZA ELIMU.
28) HADHARANI, KIPINDI CHA UMISETA MAENEO YA BUTIMBA 2014
WANAFUNZI WALISHUHUDIA MKUU WA SHULE YA MWANZA SEKONDARI
ALIPOKUWA KIONGOZI WA TAHOSSA AKIMTUKANA AFISA ELIMU WA
MAGU MATUSI NA KUTAMBISHIANA KUWA NA YEYE ANA MAGARI KTK
MGOGORO WA KIMASLAHI HALI AMBAYO WANAFUNZI WAMEIITA NI
KUIDHARIRISHA SHULE.
29) KUNA WALIMU HAWAPO KITUONI KWA MUDA MREFU LAKINI
MISHAHARA YAO INAKUJA NA MARA NYINGINE WANAANDIKWA KATIKA
KITABU CHA MAHUDHURIO.
30) KUNA FUNUNU KUWA BAADHI YA WATAHINIWA WATAKAOFANYA
MTIHANI WA KIDATO CHA SITA MAY 4, 2015 NI FEKI WAMESAJILIWA NA
SIO WANAFUNZI HALALI.

You might also like