You are on page 1of 2

TAREHE: 11 JUNI 2015

PRESS RELEASE
UZINDUZI WA BONGO STAR SEARCH 2015 JUKWAA NI LAKO
KUWA ORIGINAL.
Kipindi kikubwa cha kuvumbua/kuibua vipaji vya wanamuziki ambacho huwa
kinarushwa moja kwa moja hewani kupitia luninga kimerudi tena kwa msimu huu
kwa ubora wa hali ya juu zaid.
Baada ya miaka nane (8) ya mafanikio ya kuibua vipaji vya wanamuziki, Bongo
Star search inawaahidi kuteka tena hisia zenu kwa mwaka huu wa 2015.
Kwa kuyaangalia mafanikio ya washindi waliopita, majaji pamoja na mzinduzi wa
kampuni ya Benchmark Production-Madame Rita Paulsen anasema mwaka huu
wa 2015 utakuwa ni msimu mzuri na wakusisimuawa shindano la Bongo Star
Search kwa waangaliaji wa shindano letu hilo. Kwa mwaka huu Bongo Star Search
itakuwa kwenye mikoa ya Arusha, Mbeya na Mwanza. Pia Bongo Star Search
itarushwa hewani kupitia Clouds TV na Star Tv kwa wakati mmojapamoja na
kuwekwa kwenye You Tube na mitandao ya kijamii.
Kipindi cha bongo star search kitaaza tahere 19 Julai 2015.
Tarehe
4 -5

Julai

11 -12

Wilaya

2015

Mahala

Mwanza

La Kairo (Kirumba)

Julai 2015

Arusha

Triple A Hotel

18 -19

Julai

Mbeya

Club Vibes

24 -26

Julai 2015

Dar Es Salaam

kuvumbuliwa

2015

Bongo star search inawashukuru wafuatiliaji wake wote wa kipindi hicho kwa
mapenz yao na ufuatiliaji wao wa kipindi hikI kizuri kinachoibua vipaji vya
wanamuziki nchini Tanzania.
Kwa nini hakukuwa na Bongo Star Search kwa mwaka 2014?
Tulikuwa tufikia 2015. Tulichukua nafasi hiyo kwa kuiboresha zaid Bongo Star
Search kwa mwaka huu wa 2015.

Tutachukua washiriki watano (5) kutoka kila mkoa na wasahiriki kumi na tano (15)
tu kutoka mkoa wa Dar es salaam. Washiriki wote hawa watakutana Dar es
salaambaada ya uchanganuzi na uteuzi kutoka 50 bora hadi 20 boraambao
watapata nafasi ya kujiunga nachuo.
Kwa mwaka huu wadhamini wakubwa wa shindano la Bongo Star Search ni PSI .
Bongo Star Search ndicho chombo muafaka cha kuibua vipaji hivyo na kuwapa
nafasi vijana ya kungara. (amesema meneja mauzo wa PSI) Gaston Shayo.
Muziki wa Bongo star search umevuks mipaka ya afrika mashariki na kujuulikana
sehemu nyingi duniani kote. Kwa mwaka huu BSS itashirikiana na timu ya
washindi ya tip top connection
Kampuni ya kusimamia wanamuziki ambayo inamsimamia Diamond Platnumz,
Shaa, Chegge ,Madee na Ya Moto Band. Tunayo furaha ya kuwaambia kwamba
kwa mwaka huu Bss tutafanya nao kazi pamoja kwa ajili ya kuwasimamia
washiriki watano (5) bora na kuwaratibu washiriki chini ya usimamizi wao.
(amesema mkubwa Fela mkurugenzi wa Tip Top Connection)
Staili mpya na yakufurahisha kwa msimu huu wa BSS ili kuzidisha hamasa kwa
Watanzania na waangalizi wote wa shindano la BSS ni pale muziki unakutana na
mitindo. Wabunifu wakubwa watashiriki katika kipindi kwa kuwabunia washiriki
mavazi yanayovutia na kuendena na kile wanachokiwasilisha. Pia tutakuwa na
mgeni mwanamitindo ambae atazungumzia juu ya vazi la kila mshiriki.
Kwa mwaka huu Tasnia ya Filamu Bongo pia itakutana na tasnia ya muziki kupitia
Bongo Star Search.
Napenda kutoa angalizo kwa serikali yoyote na asasi zaq kiraia kusaidia na
kuhamasisha vipaji vya vijana kwani kufanya hivyo kunatoa ajira kwa vijana na
muendelezo wa ukuwaji wa vijana.
Ndoto yetu ni kuunda na kuwa na kituo kitakachodumu baada ya BSS. (amesema
madame Rita Paulsen )