You are on page 1of 1

HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA

TANGAZO
UTOAJI WA LESENI ZA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016.
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA ANAWATANGAZIA WAFANYABIASHARA WOTE KUWA:LESENI ZA BIASHARA ZILIZOTOLEWA KUANZIA TAREHE 1 JULAI, 2014 ZITAFIKIA UKOMO WAKE TAREHE 30 JUNI, 2015
NA KUANZA KUTOZWA RASMI TAREHE 01 JULAI, 2015 KWA MFUMO WA KUHUISHWA (RENEWAL).
ZOEZI LA KUHUISHWA (RENEWAL) KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16 UTAANZA RASMI TAREHE 01 JULAI, 2015 CHINI YA
SHERIA YA LESENI ZA BIASHARA NA. 25 YA MWAKA 1972, PAMOJA NA MAREKEBISHO YAKE.
KILA MFANYABIASHARA ATATAKIWA KUJAZA FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA (BUSINESS LICENCE
APPLICATION FORM) KIKAMILIFU NA KUAMBATANISHA:1.
2.
3.

NAKALA YA LESENI YA BIASHARA KIPINDI CHA 2014/15


NAKALA YA HATI YA KUJIANDIKISHA KAMA MLIPA KODI TRA (TAX PAYER DENTIFICATION NUMBER (TIN).
URAIA: PHOTOCOPY YA PASSPORT YA TANZANIA AU CHETI CHA KUZALIWA AU HATI YA KIAPO (AFFIDAVIT)
KUONYESHA KUWA NI MTANZANIA. NA KAMA MGENI ALETE HATI YA KUISHI NCHINI DARAJA LA A
(RESIDENCE PERMIT CLASS A) INAYOMRUHUSU KUWEKEZA KATIKA BIASHARA HIYO. (PROOF OF TANZANIA
CITIZENSHIP E.G. PHOTOCOPY OF PASSPORT) BIRTH CERTIFICATE OR IN CASE OF NON-CITIZEN. RESIDENCE
PERMIT CLASS A SHOWING THE HOLDER TO E INVESTOR IN THAT COMPANY/BUSINESS).

4.

ENDAPO WENYE HISA WOTE WA KAMPUNI WAPO NJE YA NCHI ITABIDI MAOMBI YAAMBATANE NA HATI YA
KIWAKILI (POWER OF ATTORNEY). (IN CASE THE SHAREHOLDERS OF THE COMPANY ARE NON-RESIDENTS.
POWERS OF ATTORNEY TO A CITIZEN/RESIDENT SHOULD BE SUBMITTED/ATTACHED).

5.

ALETE USHAHIDI WA MAANDISHI KUWA ANA MAHALI PA KUFANYIA BIASHARA (PROOF BY THE APPLICANT
HAVING A SUITABLE BUSINESS PREMISES FOR THE BUSINES APPLIED. (THE FOLLOWING CAB BE SUBMITTED
AS A PROOF A COPY OF TITLE DEED TENANCY AGREEMENTS. RECEIPTS OF RENT OR PROPERTY PAYMENT.
FOMU ZA MAOMBI YA LESENI ZA BIASHARA ZINAPATIKANA KATIKA OFISI YA BIASHARA ZILIZOPO
ARNATOGLOU MNAZI MMOJA NA KWENYE MTANDAO http://Ilala.Kpk.fi/e business.
MWISHO:
MWISHO WA KUHUISHA LESENI ZA BIASHARA BILA ADHABU NI TAREHE 21/7/2015
WAFANYABIASHARA WATAKAOCHELEWA KUHUISHA (RENEWAL) LESENI ZAO WATALIPIA ADA PAMOJA NA
ADHABU.
UKAGUZI WA LESENI ZA BIASHARA UTAANZA BAADA YA MUDA ULIOTOLEWA KUMALIZIKA.
IMETOLEWA NA:FOMU ZA MAOMBI YA LESENI ZA BIASHARA ZINAPATIKANA KATIKA OFISI YA BIASHARA ZILIZOPO
ARNATOGLOU MNAZI MMOJA NA OFISI ZA KATA.

MWISHO WA KUHUISHA (RENEW) LESENI ZA BIASHARA BILA ADHABU NI TAREHE 21/7/2015. WAFANYABIASHARA
WATAKAOCHELEWA KUHUISHA(RENEWAL) LESENI ZAO WATALIPIA ADA PAMOJA NA ADHABU.
UKAGUZI WA LESENI ZA BIASHARA UTAANZA BAADA YA MUDA ULIOTOLEWA KUMALIZIKA, AMBAO NI TAREHE 21/7/2015
IMETOLEWA NA:ISAYA M. MNGURUMI
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA.