Professional Documents
Culture Documents
HabariZA
za
NISHATI
nishati&MADINI
&madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Toleo
No.119
51
Toleo No.
Limesambazwa
kwa Taasisi
naTaasisi
Idarana
zote
MEM
Limesambazwa
kwa
Idara
zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015Mei 12 - 18, 2016
e
g
n
u
b
a
W
Megawati 100
Jotoardhi kuzalisha
Somahabari Uk.2
Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo
Mkurugenzi Mkuu wa
REA, Dk. Lutengano
Mwakahesya
>>
UK. 4
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya Nishati, Dk. Mhandisi
Juliana Pallangyo (katikati - waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara
baada ya ufunguzi.
Na Greyson Mwase,
Dar es Salaam
nchi.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar
es Salaam na Naibu Katibu Mkuu
wa Wizara ya Nishati na Madini
anayeshughulikia masuala ya Nishati,
Dk. Mhandisi Juliana Pallangyo
katika mkutano uliokutanisha
wataalam kutoka nchi mbalimbali
kwa ajili ya kujadili taarifa ya Mtaalam
Mwelekezi kuhusu utafiti uliofanywa
NewsBulletin
Habari za nishati/madini
http://www.mem.go.tz
TAHARIRI
TEL-2110490
FAX-2110389
MOB-0732999263
Bodi ya uhariri
Msanifu: Lucas Gordon
Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James ,
Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya
Five
Pillars of
Reforms
increase efficiency
Quality delivery
of goods/service
satisfAction of
the client
satisfaction of
business partners
satisfAction of
shareholders
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
kitakachohudhuriwa na watendaji wa
Mgodi na Wabunge wa mkoa huo na
kutoa uthibitisho wa kimaandishi kuhusu
eneo lililotengwa kwa shughuli hiyo
godi wa Dhahabu wa pamoja na Cheti kutoka NEMC cha
Geita (GGM) uliopo uthibitisho kuwa eneo hilo linafaa au
mkoani Geita umeridhia halifai kwa shughuli za uchenjuaji madini
ombi la Serikali la kufanyika.
kutoa mabaki ya mawe
Aidha alieleza kuwa katika kikao
ya dhahabu kwa wananchi ili kuweza hicho
cha tarehe 30 Juni GGM itapaswa
kuyachenjua na kupata dhahabu.
pia
kutoa
uthibitisho wa kimaandishi
Hayo yameelezwa mjini Geita na
kuwa
imekubali
kutoa magwangala hayo
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa
kwa
wananchi.
Sospeter Muhongo mara baada ya
Baada ya Eneo hilo na Cheti cha
kumaliza vikao vya majadiliano kati ya
mazingira
kupatikana, sasa katika kikao
watendaji wa GGM, Ofisi ya Mkuu wa
hicho
mtaweza
kujadiliana kuhusu
Mkoa wa Geita, baadhi ya Wabunge
usafirishaji
wa
magwangala
hayo kutoka
na Wakuu wa Wilaya za mkoa huo,
eneo
la
Mgodi
hadi
eneo
lililotengwa,
Wawakilishi wa Wachimbaji Wadogo
hapo mtakubaliana nani atachukua
na Watendaji wa Wizara ya Nishati na
Madini, Wakala wa Ukaguzi wa Madini jukumu la kusafirisha magwangala
hayo,alisema Profesa Muhongo.
Tanzania (TMAA) na Shirika la Madini
Aliongeza kuwa Leseni za uchenjuaji
la Taifa (STAMICO).
madini
zitakazotolewa mara baada
Tatizo la Magwangala sasa
ya
eneo
hilo kupatikana, zitakuwa
limetatuliwa kwani Mgodi umekubali
katika
vikundi
na si mtu mmoja mmoja
kuyatoa kwa wananchi ila kinachotakiwa
kufanywa kabla ya kuyatoa magwangala ambapo Ofisi ya Mkuu wa mkoa ndiyo
itakayoratibu suala hilo huku jukumu la
hayo ni Serikali ya Mkoa huu kwa
Wizara likiwa ni kutoa Leseni hizo.
kushirikiana na Wadau mbalimbali
Ni vizuri pia mkashirikiana na
kuhakikisha kuwa kwanza wanapata
eneo ambalo uchenjuaji wa magwangala viongozi wa Wachimbaji Wadogo katika
kuratibu uundaji wa vikundi hivyo na
utafanyika, alisema Profesa Muhongo.
lazima vikundi hivyo vielezwe kuwa ni
Aidha aliongeza kuwa eneo hilo
lazima walipe kodi stahiki kwa Serikali
litakalotengwa na Ofisi ya Mkuu wa
mkoa wa Geita lazima lifanyiwe tathmini kama ilivyo kwa shughuli nyingine za
uchenjuaji madini, alisema Profesa
ya mazingira na Baraza la Hifadhi na
Muhongo.
Usimamizi wa Mazingira (NEMC)
Kwa nyakati tofauti Wabunge wa
ili kuweza kuthibitika kama eneo hilo
mkoa huo walieleza kuwa utoaji wa
linafaa kwa shughuli hizo bila kuleta
Magwangala hayo kwa wananchi,
athari kwa wananchi na mazingira.
utasaidia wanachi hao kujiajiri,
Profesa Muhongo alitoa agizo
kujiongezea kipato na kuwaepusha katika
kuwa kazi hizo zinatakiwa kukamilika
kushiriki matendo ya uhalifu.
tarehe 30 Juni, mwaka huu ambapo
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa itafanya kikao
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Ofisi ya Mkuu wa
Mkoa wa Geita, baadhi ya Wabunge na Wakuu wa Wilaya za mkoa huo, Wawakilishi wa Wachimbaji Wadogo na Watendaji wa Wizara ya Nishati na
Madini, Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) mara baada ya kumaliza kikao kilichofanyika mjini
Geita. Wa Pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Meja Jenerali Mstaafu, Ezekiel Kyunga.
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Serikali kushindanisha
wawekezaji Sekta ya Nishati
Na Veronica Simba
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt Mhandisi Juliana
Pallangyo (Kulia), akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KOYO kutoka Japan, Norio Shoji,
baada ya kikao baina ya Waziri wa Nishati wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na
Kampuni husika, kilichofanyika Mei 10 mwaka huu Makao Makuu ya Wizara jijini Dar es Salaam.
Kampuni ya KOYO imeonesha nia kuwekeza katika sekta ya nishati nchini.
Waziri wa Nishati na
Madini, Profesa Sospeter
Muhongo (Katikati),
akiwa katika kikao na
Ujumbe kutoka Kampuni
ya KOYO ya Japan
(Kushoto). Kulia ni baadhi
ya Viongozi na Maofisa
wa Wizara na Taasisi
zake walioshiriki kikao
hicho kilichofanyika Mei
10 mwaka huu, Makao
Makuu ya Wizara jijini
Dar es Salaam. Kampuni
hiyo imeonesha nia
kuwekeza katika sekta ya
nishati nchini.
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati), Mkuu wa Mkoa wa Geita,
Meja Jenerali Mstaafu, Ezekiel Kyunga (kulia) na Katibu Tawala mkoa wa Geita, Selestine Gesimba
(kushoto) wakiwa katika kikao kilichofanyika mjini Geita kilichojumusha baadhi ya Wabunge na
Wakuu wa Wilaya za mkoa huo, Wawakilishi wa Wachimbaji Wadogo na Watendaji wa Wizara ya
Nishati na Madini, Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) na Shirika la Madini la Taifa
(STAMICO).
Baadhi ya Wakuu wa
Wilaya za mkoa wa
Geita, Wawakilishi wa
Wachimbaji Wadogo na
Watendaji wa Wizara
ya Nishati na Madini,
Wakala wa Ukaguzi wa
Madini Tanzania (TMAA)
na Shirika la Madini
la Taifa (STAMICO)
wakiwa katika Kikao
kilichofanyika mjini
Geita ambacho
kililenga kujadili suala la
magwangala na maeneo
ya Wachimbaji Wadogo
kilichoongozwa na
Waziri wa Nishati na
Madini, Profesa Sospeter
Muhongo, (hayupo
pichani).
NewsBulletin
Habari za nishati/madini
http://www.mem.go.tz
Wadau wa Mradi wa Kusindika Gesi Asilia nchini (LNG) wakifuatilia warsha hiyo.
Habari za nishati/madini
MAKALA
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Watalaam kutoka GST wakiwa juu ya mlima Mtungulu wilayani Handeni wakichukua sampuli na takwimu
mbalimbali za Jiosayansi katika mwamba kwa ajili ya uchunguzi katika Maabara ya uchunguzi Madini ya
GST.
ramani zake hutumika katika
Na Samwel Mtuwa GST ni kwa ajili ya kuchora ramani
mbalimbali za jiolojia na upatikanaji
kuboresha ramani za upatikanaji
wa madini , njia hii hutumika hususan madini pamoja na kubainisha maeneo
taalamu wa sayansi
katika maeneo yenye miamba
ya utafiti wa Madini
yenye viashiria vya uwepo wa madini
(Jiosayansi) unahusisha
iliyojitokeza juu ya uso wa ardhi.
kwa usahihi zaidi.
hatua mbalimbali za
Kwa upande wa Jiokemia,
Baada ya hatua ya awali ya
uchimbaji wa madini
utafutaji huu hufanyika katika
utafutaji wa madini kujiridhisha kwa
unaotumia gharama kubwa hivyo
maeneo makubwa kwa kuchukua
uwepo wa viashiria vya madini hatua
ni lazima ufanyike kwenye maeneo
sampuli mbalimbali za miamba
inayofuata ni utafutaji wa madini
yaliyothibitishwa kwa taarifa za
katika ukubwa tofauti tofauti, udongo, hatua ya kati (Minearal Prospecting).
Jiosayansi kuwa, eneo husika lina
mchanga wa vijito, maji au mimea.
Utafutaji huu hufanyika katika eneo
aina fulani ya madini ya kutosha na
Sampuli hizi hupelekwa kwenye
dogo lililoainishwa kwenye hatua ya
kwamba yatachimbwa kwa faida, ili
maabara kwa uchunguzi wa viasili
kwanza ya utafutaji wa madini kwa
kupunguza uwezekano wa kupata
vya madini yaliyomo , taarifa zitakazo kawaida njia zinazotumika katika
hasara katika uchimbaji madini.
patikana hutumika kuchorea ramani
hatua hii zinafanana za zile za hatua
Kwa ujumla kuna njia kuu Tatu
za jiokemia , njia hii hutumika zaidi
za utafutaji madini katika taaluma ya
ya kwanza, lakini uchukuaji wa taarifa
jiosayansi zinazotegemeana ambazo ni katiaka maeneo ambayo miamba yake
mingi imeishamongonyoka na kuwa
Jiolojia , Jiokemia na Jiofizikia.
udongo.
Katika kila njia kuna hatua
Katika utafutaji wa miamba
mbalimbali za kufanya kwa kulingana
yenye
asili ya sumaku yaani Jiofizikia
na aina ya madini , tabia za miamba ,
hufanyika
kwa kutumia vifaa maalum
mazingira ya eneo husika, ukubwa wa
vinavyopitishwa
kwenye uso wa dunia
eneo.
(ground
Geophysical
Survey) au
Katika hatua ya kwanza ya utafutaji
angani
(Airborne
Geophysical
Survey),
wa madini wa awali (Reconnaissance
majini
ili
kubaini
miamba
yenye
asili
Survey), utafutaji huu hutumika katika
ya
sumaku
(magnetic),
mawimbi
ya
maeneo makubwa kwa kutumia njia
umeme ,mionzi, pamoja na mawimbi
mbalimbali kama vile utafutaji kwa
kutumia vifaa vilivyo angani ( Remote ya mitetemo kwa ajili ya kubaini
mipasuko na mikanda inayoashiria
Sensing) kama vile satellite, ndege, na
helikopta ili kupata taarifa au takwimu uwepo wa madini katika miamba ,
taarifa za hizi hutumika kutengeneza
za eneo kubwa kwa haraka na
ramani za jiofizikia , pia taarifa hizi
gharama nafuu zinazoashiria uwepo
hutumika kubaini tabia za miamba
wa madini yanayotafutwa.
kwenye vina virefu chini ya ardhi .
Kwa upande wa utafutaji wa
Jiolojia, hutumika kuainisha tabia
Njia hizi tatu zinafanywa kwa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania Prof. Abdulkarim
mbalimbali za miamba na madini
kiasi kikubwa na Wakala wa Jiolojia
Mruma, akiangalia mlalo wa miamba katika andaki la machimbo ya
kwenye eneo husika, taarifa ambazo
Tanzania (GST) na taarifa, takwimu,
madini lililo chini ya milima ya Endabash wilayani Karatu.
NewsBulletin
Habari za nishati/madini
http://www.mem.go.tz
zinazotekelezwa na kampuni za
utafiti na uchimbaji wa madini nchini,
Profesa Muhongo aliziagiza kampuni
hizo kushirikisha viongozi wa
sehemu husika kabla ya kutekeleza
aziri wa Nishati
miradi mbalimbali ili kuepusha
na Madini,
malalamiko yanayoweza kutokea
Profesa Sospeter
Muhongo amesema baada ya miradi hiyo kutekelezwa.
Halmashauri zinapaswa kutoa
kuwa Ushuru
vipaumbele vyao kuhusu miradi
wa Huduma Unaolipwa kwa
wanayotaka itekelezwe kwenye
Halmashauri zinazozungukwa na
eneo lao, na migodi hii inapaswa
Migodi ya Madini nchini unatakiwa
kutoa kipaumbele kwa kampuni za
kutolewa mbele ya wananchi wa
kitanzania katika kutekeleza miradi
eneo husika.
hiyo, alisema Profesa Muhongo.
Alitoa agizo hilo mjini Geita
Kuhusu maeneo ya uchimbaji
wakati wa kikao kilichojumuisha
madini kwa wachimbaji wadogo
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita,
nchini, Profesa Muhongo alisema
baadhi ya Wabunge na Wakuu wa
Wilaya za mkoa huo, Wawakilishi wa kuwa maeneo ambayo yameshikiliwa
kwa muda mrefu yatataifishwa na
Wachimbaji Wadogo na Watendaji
kupewa wachimbaji wadogo ili
wa Wizara ya Nishati na Madini,
wayaendeleze.
Wakala wa Ukaguzi wa Madini
Aidha aliwaasa wachimbaji
Tanzania (TMAA) na Shirika la
wadogo wa madini nchini kuwa
Madini la Taifa (STAMICO).
tayari kufanya kazi sehemu yoyote
Mgodi unapaswa kutengeneza
nchini ambayo itatengwa na serikali
mfano wa hundi ambayo itatolewa
kwa ajili ya shughuli za uchimbaji
mbele ya hadhara ili wananchi
wa madini badala ya kungangania
wafahamu Halmashauri husika
kuchimba madini katika vijiji, wilaya
imepata kiasi gani cha Fedha na
au mikoa wanayoishi.
hivyo kuweza kufuatilia matumizi
Awali Kamishna Msaidizi
ya fedha hizo, alisema Profesa
anayeshughulikia Leseni katika
Muhongo.
Wizara ya Nishati na Madini,
Alisema kuwa utoaji wa ushuru
huo ambao ni asilimia 0.3 ya mapato Mhandisi John Nayopa, alisema
kuwa katika mkoa wa Geita kuna
yote yanayotokana na shughuli za
maeneo matano yaliyotengwa na
mgodi katika eneo husika unapaswa
Wizara kwa ajili ya wachimbaji
kuhudhuriwa pia na Katibu Mkuu
wadogo ambayo ni Lwenge A,
wa Wizara ya Nishati na Madini
Lwenge B, Shenda Kaskazini,
na Tawala za Mikoa na Serikali za
Kanegele 2, na Nyangalata
Mitaa (TAMISEMI).
Aidha kuhusu Huduma za Jamii Mashariki.
10
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Lot
No.
1
2
unit
Qty
Each
Each
Various
Various
The above items constitute TWO LOTS. Bidders may bid for one or both lots,
each lot shall be considered separately and bidders shall quote all items and
respective quantities. Bids not quoting all items and quantities will be considered non responsive and rejected for evaluation.
3. Bidding will be conducted through the National Competitive Bidding
(NCB) procedures specified under the Public Procurement Act No.7 of
2011: (Procurement of Goods, Works, Non Consultant Service and Disposal of Public Assets by Tender) Regulations, 2013 and are open to all
eligible bidders as defined in the Regulations.
4. Interested eligible bidders may obtain further information from the
Secretary, Ministerial Tender Board, Ministry of Energy and Minerals
(MEM), 5 Samora Avenue, 6th floor Room No. 10 Wing B, 11474 Dar es
Salaam and inspect the bidding documents during office hours from 09.00
to 15.00 hours local time, Mondays to Fridays inclusive, except public
holidays.
5. A complete set of Bidding Document in English language may be purchased by interested eligible bidders upon submission of a written application to the Secretary, Ministerial Tender Board, Ministry of Energy
and Minerals (MEM) Samora Machel Avenue, 6th floor Room No. 10
Wing B, 11474 Dar es Salaam and upon payment of a nonrefundable
fee of TZS 150,000/= (Tanzania Shillings One Hundred Fifty Thousand
only) or equivalent amount in any interfreely convertible currency. The
payment will be made through NMB Bank, Account No. 2011100072 in
favor 0of Permanent Secretary, Ministry of Energy and Minerals.
6. Bids in one original plus two (2) copies, properly filled in and enclosed
in plain envelopes, addressed to the address below and to be delivered to
the Secretary, Ministerial Tender Board, Ministry of Energy and Minerals (MEM) at 5 Samora Machel Avenue, 6th floor, Room 611, Wing
A, 11474 Dar es Salaam at or before 10.00 hours, East African time on
Thursday, 2nd June, 2016. Bids will be publicly opened in the presence of
the bidders designated representatives and anyone who choose to attend
immediately after the deadline of bids submission.
7. All bids must be accompanied by a Bid Securing Declaration in the format provided in the relevant bidding document.
8. Late Bids, Portion of Bids, Electronic Bids, Bids not received, Bids not
opened and not read out in public at the bid opening ceremony shall not
be accepted for evaluation irrespective of the circumstances.
Permanent Secretary,
Ministry of Energy and Minerals,
5 Samora Machel Avenue
P. O. Box 2000,
11474 Dar Es Salaam, Tanzania
Tel: 255-22-2121606/7
Fax: 255-22-2121606
E-mail: ps@mem.go.tz
unit Qty
Each Various
Each
Various
Each
Various
The above items constitute THREE LOTS. Bidders may bid for one, two or all
lots, each lot shall be considered separately and bidders shall quote all items
and respective quantities in each lot. Bidder not quoting the all items and quantities will be considered non responsive and rejected for evaluation.
3. Bidding will be conducted through the National Competitive Bidding
(NCB) procedures specified under the Public Procurement Act No.7 of
2011: (Procurement of Goods, Works, Non Consultant Service and Disposal of Public Assets by Tender) Regulations, 2013 and are open to all
eligible bidders as defined in the Regulations.
4. Interested eligible bidders may obtain further information from the Secretary, Ministerial Tender Board, Ministry of Energy and Minerals (MEM),
5 Samora Machel Avenue, 6th Floor Room No. 10 Wing B, 11474 Dar
es Salaam and inspect the bidding documents during office hours from
09.00 to 15.00 hours local time, Mondays to Fridays inclusive, except public holidays.
5. A complete set of Bidding Document in English language may be purchased by interested eligible bidders upon submission of a written application to the Secretary, Ministerial Tender Board, Ministry of Energy and
Minerals (MEM) Samora Avenue, 6thfloor Room No. 10 Wing B,11474
Dar es Salaam and upon payment of a nonrefundable fee of Tanzania
shillings One Hundred Fifty Thousand (TZS 150,000/=) only or equivalent amount in any internationally freely convertible currency. Payment
will be made through NMB Bank, Account No. 2011100072 in favor of
Permanent Secretary, Ministry of Energy and Minerals.
6. Bids in one original plus two (2) copies, properly filled in, and enclosed in
plain envelopes to the address below and to be delivered to the Secretary,
Ministerial Tender Board, Ministry of Energy and Minerals (MEM) at 5
Samora Machel Avenue, 6th floor, Wing A, Room No. 611, 11474 Dar es
Salaam at or before 10.00 hours, East African time on Thursday 2nd June
2016. Bids will be immediately publicly opened in the presence of the bidders designated representatives and anyone who choose to attend immediately after the deadline of bids submission.
7. All bids must be accompanied by a Bid Securing Declaration in the format
provided in the relevant bidding document.
8. Late Bids, Portion of Bids, Electronic Bids, Bids not received, Bids not
opened and not read out in public at the bid opening ceremony shall not
be accepted for evaluation irrespective of the circumstances.
Permanent Secretary,
Ministry of Energy and Minerals,
5 Samora Avenue P. O. Box 2000,
11474 Dar es Salaam, Tanzania
Tel: 255-22-2121606/7
Fax: 255-22-2121606
E-mail: ps@mem.go.tz
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
11
BUSINESS PERSPECTIVE
Email: salum.mnuna@gmail.com
By Salum Mnuna
12
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
bunge wa Jimbo
la Musoma Vijijini
ambaye pia ni Waziri
wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter
Muhongo amezindua Tovuti ya Jimbo
la Musoma Vijijini ambapo wadau
mbalimbali wa ndani na nje ya nchi
watapata taarifa mbalimbali kuhusu
Jimbo hilo.
Uzinduzi wa Tovuti hiyo
ulifanyika katika Kijiji cha Saragana
wilayani Musoma ambapo wananchi
mbalimbali na Viongozi mbalimbali
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
13
umla ya Vikundi 15
vinavyojishughulisha na Kilimo
katika Jimbo la Musoma Vijijini
vitafaidika na Fedha za Mfuko wa
Jimbo hilo kwa kununuliwa vifaa
vya kazi vitakavyowawezesha kufanya
shughuli hizo.
Hayo yalisemwa na Mbunge wa Jimbo
hilo ambaye pia ni Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa Sospeter Muhongo
wakati wa kikao cha uidhinishaji wa
matumizi ya pesa za Mfuko wa Jimbo
hilo ambacho kilijumuisha Mwenyekiti,
Mkurugenzi na Madiwani wa
Halmashauri ya Musoma Vijijini. Kikao
kilifanyika katika kijiji cha Suguti, Jimbo la
Musoma Vijijini.
Alisema kuwa vikundi hivyo
vinavyojumuisha wanachama kati ya 15
na 33, vinatoka katika kata mbalimbali
za Jimbo hilo ambazo ni Nyegina,
Nyakatende, Kiriba, Busambara,
Bugwema, Bukima, Bwasi, Musanja na
Suguti. Kata nyingine ni Makojo, Bukumi,
Etaro, Mugango, Murangi na Nyambono.
Fedha hizi za Jimbo, hazitasaidia
Kilimo peke yake bali zitatumika pia katika
ukarabati wa madarasa na ukamilishaji
wa Wadi ya Wazazi katika kituo cha Afya
cha Murangi ili kina mama wengi zaidi
waweze kuhudumiwa na Kituo hicho,
alisema Profesa Muhongo.
Profesa Muhongo alisema kuwa
Fedha hizo za Mfuko wa Jimbo
hazitatolewa moja kwa moja kwa makundi
yatakayofaidika na Mfuko huo bali
vitanunuliwa vifaa vitakavyotumika katika
kuendeleza miradi hiyo na hivyo kuepusha
matumizi mabaya ya Fedha hizo.
Alisema kuwa baadhi ya vifaa
vitakavyotolewa kwa vikundi hivyo ni
pamoja na pampu ya kupeleka maji umbali
wa mita 60, mbegu za mazao, mipira ya
kumwagilia, Jenereta na dawa za mazao.
Vilevile Profesa Muhongo alivitaka
vikundi hivyo kufanya kazi kwa bidii
kwani tathmini ya utekelezaji wa miradi
hiyo ya kilimo itafanyika tarehe 1Desemba,
2016 ambapo kikundi kitakachofanya kazi
vizuri kitapewa motisha.
Aidha alimuagiza Afisa Kilimo
wa Halmashauri ya Musoma vijijini
kuanza kutafuta soko la mazao hayo
yanayozalishwa na vikundi hivyo vya
Kilimo ili kuepusha mazao yao kuharibika
kwa kukosa Soko.
Kwa upande wake Mwenyekiti
na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo
kwa nyakati tofauti walitoa shukrani
kwa Profesa Muhongo kwa kutekeleza
masuala mengi aliyoahidi jimboni humo
na kujitolea kwa dhati katika kusaidia
Jimbo, kwa kutoa Fedha za kununulia
vitabu vinavyosambazwa katika shule za
msingi na sekondari za Jimbo hilo pamoja
utengenezaji wa madawati yenye ubora
wa hali ya juu ambayo yanagawiwa katika
shule za Jimbo hilo.
Madiwani wa Halmashauri ya
Musoma Vijijini, na wawakilishi
wa vikundi 15 vitakavyofaidika
na Fedha za Mfuko wa Jimbo la
Musoma Vijijini, wakimsikiliza
Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia
ni Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo
(hayupo pichani) wakati wa kikao
cha kujadili Mgao wa Fedha hizo
kilichofanyika katika kijiji cha
Suguti, Jimbo la Musoma Vijijini.
Mbunge wa Jimbo la Musoma
Vijijini, ambaye pia ni Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo (wa Pili
kulia) akikabidhi Pampu
yenye uwezo wa kupeleka
maji umbali wa mita 60 na
Jenereta kwa moja ya vikundi
15 vitakavyofaidika na vifaa
vya kilimo vitakavyonunuliwa
kutokana na Fedha za Mfuko
wa Jimbo hilo.Vifaa hivyo
alivikabidhi baada ya kikao cha
kujadili Mgao wa Fedha hizo
kilichofanyika katika kijiji cha
Suguti, Jimbo la Musoma Vijijini
na kuhudhuriwa na Madiwani,
Mwenyekiti na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Musoma Vijijini.
Mbunge wa Jimbo la Musoma
Vijijini, ambaye pia ni Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja
na Madiwani, Mwenyekiti na
Mkurugenzi wa Halmashauri
ya Musoma Vijijini mara baada
ya kumaliza kikao kilichojadili
Mgao wa Fedha za Mfuko
wa Jimbo hilo kilichofanyika
katika kijiji cha Suguti, Jimbo
la Musoma Vijijini ambapo pia
alikabidhi vifaa vya kilimo
kwa moja ya vikundi 15
vitakavyofaidika na Fedha za
Mfuko wa Jimbo hilo.
14
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
15