Mzumbe kumejaa matatizo japo Prof. Kamuzora anakataa.

Kinachofanyika ni kupeleka majina feki bodi ya mikopo halafu yakipata pesa zinaliwa. Vilevile tunajaza fomu halafu jina likirudi unaambiwa husitahili kupata mkopo then pesa zinaishia tumboni kwa watawala. Vilevile watoto wa walimu wanapendelewa sana kwa kupewa maksi za juu na pengine kupewa maksi za bure. Watoto wa wakulima hawathaminiwi. Hakuna walimu wenye sifa hasa wale wa wazamani waende wakasome ni wazee wenye poor vision. Mzumbe imekuwa kijiwe na usanii mwingi sana. Wengi wa ma-dokta wamefoji PhD zao hilo liko wazi. Na wengine wanazirudia kwa sasa lakini bado wanapata mishahara ya rank za PhD

Sign up to vote on this title
UsefulNot useful