You are on page 1of 3

Makampuni ya umma ‘Public Limited Companies’ ni mfumo wa kuendesha shughuli za kiuchumi kwa kuruhusu idadi kubwa ya watu kuchangia

mtaji wa kampuni kwa kununua hisa . Hata hivyo yapo mambo kadhaa yanayosababisha watu, hususani watanzania kutotumia mfumo huu baadhi yake ni:• • • • • Kutotolewa kwa elimu juu ya namna ya kuanzisha na kuendesha makampuni. Watu wengi hawajui faida ya kufanya shughuli za kiuchumi chini ya mfumo wa makampuni. Uhaba wa makampuni ya aina hiyo katika nchi. Usimamizi wa makampuni haya kuwa chini ya watu wengine yani mameneja badala ya wenye mali. Hofu ya kupungua kwa masilahi ya mtu kwa sababu ya kugawana faida na wamiliki wengine na haja ya kuacha sehemu ya faida ndani ya kampuni kwa ajili ya ukuaji. Kwa sababu maamuzi ya mmiliki yanategemea idadi ya hisa alizonazo kwenye kampuni upo uwezekano wa wamiliki wakuu kutoa maamuzi yaliyo kinyume na matakwa ya wamiliki wadogo. Kwa wafanyabiashara ambao wameanza kama wajasiriamali wadogo wadogo, wanazo siri kadhaa za namna walivyofaulu ambazo ni muhimu katika uendeshaji wa shughuli zao lakini hawawezi kuzitoa kwa washirika wao kama wakiamua kuanzisha biashara.

Iko haja ya Elimu ya uendeshaji wa makampuni kutolewa kwa wananchi wote kwa sababu ya faida mbazo zinapatikana kwa uchumi wa Nchi endapo suala hili litakubalika miongoni mwa jamii nzima. Baadhi ya faida ni kama zifuatazo: Wamiliki wa kampuni wanakuwa na kinga ya mali zao binafsi dhidi ya madeni ya kampuni endapo kampuni likifilisiwa. Kwa hakika wazo hili lilizaliwa huko Ulaya baada ya utaratibu wa kufanya biashara bila kinga kuleta madhara makubwa kwa uchumi na watu binafsi waliokuwa wanaendesha shughuli zao kufilisika. Tukio la kupata hasara katika biashara ni jambo la kawaida na yamkini ya kupata hasara ni nusu na nusu nyingine ndiyo yamikini ya kupata faida. Mafanikio ya miaka mingi ya mtu yanaweza kufutika kwa tukio au kosa moja tu, mathalani imewahi kutokea mtu aliyeanza kuanguka katika shughuli zake na hatimaye kuuza mali zake zote ikiwa ni pamoja na nyumba yake ya kuishi kwasababu mtaji wake uliozea msituni baada ya kununua kiasi kikubwa cha mbao na kushindwa kuzisafirisha kwasababu mvua kubwa ambayo haikutarajiwa ilianza mapema kabla ya majira yake ya kawaida. Madhara makubwa zaidi ya kufilisika ni ya kisaikolojia. Kama mtu amewahi

Imeelezwa hapo juu kwamba watu wengi wanaweza kuwa na hofu ya kimaslahi au kutengwa katika uendeshaji wa shughuli. Hapa tatizo letu kubwa ni kuliangalia kampuni kama lengo kamili badala ya kuwa njia ya kufikia lengo. Hati ya kwanza inakuwa utambulisho wa kampuni hiyo kwa watu wa nje ambapo jina la kampuni. Wakati ambapo tutakuwa na makampuni mengi katika Nchi ambayo hisa zakezinaweza kuuzwa na kununuliwa kwa uhuru kabisa hasa katika masoko ya hisa. Makampuni yanaweza kutoa hisa zenye haki na masharti tofauti ili kukidhi mahitaji wa wawekezaji wa aina na uwezo mbalimbali. tutafanikiwa kukusanya akiba nyingi na kuzielekeza katika uzalishaji mali na hatimaye kuinua uchumi wetu. katika hili mfumo wa makampuni unaipita mifumo mingine yote ya uendeshaji.kuwa karibu na mtu aliyepata kuwa na mtaji mkubwa baadaye akafilisika anaweza kuelewa zaidi kinachosemwa hapa. mahali ofisi yake kuu ilipo. Inafahamika kuwa biashara hupanda na kushuka kwa vipindi maalumu kwenye mzunguko wa kiuchumi. Ili kukidhi mahitaji ya kisheria ya kuanzisha kampuni inabidi watu wenye nia ya kuanzisha kampuni waandae hatia ‘memorundum’ za aina mbili. Kwa hakika bado tunaziangalia Biashara na shughuli zetu kwa mtazamo ule ule ambao wafugaji wa kwetu wanavyoyaangalia makundi yao ya mifugo. Hakuna sababu ya kung’ang’ana na kampuni ambalo linaelekea kushuka kibiashara. hali ya kibiashara ina mtindo wa kubadilika badilika na mbinu za uendeshaji zinahitaji kubadilika kulinga na hali ya wakati huo. hili ni muhimu kwa uchumi kwa sababu kutetereka kwa mtu binafsi hakupaswi kuathiri maisha ya mtu au kikundi cha watu wengine. Hofu hii ni ya kweli na inaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa wakati wa kuanzisha kwa kampuni. Wafugaji wa aina hii wanaweza kuwa na idadi kubwa ya mifugo lakini hawawezi kuiuza ili kufikia lengo hasa linalotakiwa hususani kwa hali ya uchumi wa kisasa linaloweza kumfanya mtu kujisumbua kufuga.  Faida nyingine kubwa ya makampuni ni uwezo wake wa kukusanya mtaji mkubwa. Ingawa kinga hii ipo pia kwa makampuni binafsi ‘ Private Limited Liability Companies’ Sheria za kufilisi makampuni zinafanya kinga ya makampuni ya aina hiyo kutokuwa imara zaidi kwa sababu ya uwezekano mkubwa wa kuvuliwa kwa uvuli wa kinga hiyo na matokeo yake madeni ya kampuni kuweza kuwafikia wamiliki wake mmoja mmoja.  Faida nyingine ni uwezekano wa kuuza na kununua hisa bila kuathiri shughuli za kampuni. kiasi cha mtaji wake kwa mchanganuo wa .  Kampuni linaendelea kuwepo hata kama waanzilishi wake wote wataondoka. Kama hali inaashiria kuuza hisa au hata kampuni lote na kufanya shughuli nyingine uamuzi wa aina hiyo unatakiwa kufanyika bila kusitasita.

Aina ya shughuli au biashara. hofu hii inatokana na kutowaamini watu ambao watakuwa wasimamizi mameneja chini ya Mkurugenzi mtendaji wa kampuni. Hofu hii itawezwa kupunguzwa kwa kuweka mfumo mzuri wa udhibiti kitu ambacho kinawezekana kabisa hasa kwa makampuni. na ainisho kwamba wanahisa wa kampuni hiyowana kinga dhidi ya madeni ya kampuni zinaelezwa bayana katika aya kuu tano. Tayari tunao wataalamu wa kutosha katika fani za biashara ambao wanaweza kutumika katika kufanikisha azma ya watu kuanza kutumia mfumo wa ‘Limited Liability Company’. Kwenye hati hii maslahi ya wakurugenzi pia yanatakiwa kuwekwa bayana. Hati ya pili inaeleza kwa undani jinsi shughuli na taratibu za ndani zitakavyokuwa zinaendeshwa. Ni wakati huu ambao ni muafaka kwa waanzilishi kuhakikisha kuwa mgogoro wa kimasilahi unatiliwa maanani ili kupunguza hofu ya watu ya kupunguka kwa maslahi kama wakiacha biashara walizokuwa wanaendesha kila mmoja peke yake na kujiunga katika kampuni. Hofu nyingine iliyotajwa ni kutengwa katika usimamiziwa kampuni. Ni muhimu kusisitiza hapa kwamba kwa vyovyote vile nafasi ya kupata maslahi zaidi kutokana na kuwa mwanahisa na hasa kuwa Mkurugenzi ni kubwa sana ukilinganisha na mtu kufanya biashara pekee. Kwenye kanuni za udhibiti uwe wa Fedha au mwingine Makampuni haya yana uwezo zaidi kwa sababu ya kuwa na kigezo kikuu cha kufanikisha lengo la udhibiti dhahiri zaidi ambapo ni ‘kuwa na mtu ambaye hatapata usingizi kamwe kama habari za kampuni zikiwa mbaya’ kwa maana hiyo atachukua hatua vinginevyo awe kichaa maana hataweza kuishi bila kupata usingizi. Katika kufanya shughuli zao za kibiashara na kiuchumi kwa ujumla .aina ya hisa. Kimsingi katika uchumi wa soko huru ni muhimu sana kuwa mwaminifu Meneja asiye mwaminifu hataweza kusalia katika ajira ni tofauti sana na utumishi katika sekta ya umma kama Serikalini kwa sababu uhai wa kampuni uko mikononi kabisa mwa wenye hisa.