You are on page 1of 6

M O T O WA MA BA DI L I K O UM E ANZ A . . .

Cheche za Fikra
J U ZU U 4 TO LE O 15

N O VE M B A 25 , 2 0 08

KIJARIDA CHA BURE— UKISHASOMA MPE MWINGINE—USIBANIE!


KASHFA YA EPA

KAMPUNI YA KAGODA AGRICULTURE LTD

NI ROSTAM!
NA WASHIRIKA WAKE Benjamin. G. Mwalukasa

pichani.

Pamoja na familia Kijarida Ulichoshika


hiyo watu wengine
mashuhuri wenye • Kinatoka kila Ju-
kuguswa na kam- manne
puni hiyo ni pamoja
na aliyekuwa Mkuu • Ni cha bure kabisa!
wa Taasisi ya Usalama wa Taifa
• Kisichofungamana na
chini ya Utawala wa Rais Mkapa
Bw. Cornel Apson Mwang’onda chama chochote au
pamoja na kikundi cha wafanyabi- fisadi yeyote!
ashara na watumishi wengine wa • Kiko huru, kinathu-
kisiasa na wa umma.
butu, na hakiogopi
Uchunguzi wetu unaweza kuone- mtu au hoja yoyote.
sha kwa uhakika mkubwa kuwa • Ni kijarida chako!
kinyume na kauli nyingi za kisiasa
Na. Fred Katunzi inatuhumiwa kuiba mabilioni kuhusu fedha za EPA, kiasi kikubwa • Haki zote za kuchapa
PASIPO shaka yoyote ki-
ya shilingi kutoka Akaunti ya cha fedha zilizochotwa na Kagoda na kunakili zimeru-
jarida chako ukipendacho
Malimbikizo ya Madeni ya Nje hakikuenda kwenye kampeni za husiwa!
cha “Cheche” kinaweza kuri-
(EPA) Benki Kuu ina uhusiano Chama cha Mapinduzi bali kili-
poti kwa uhakika wa asilimia
wa moja kwa moja na familia tumika kama mtaji mkubwa wa bi-
100 kuwa Kampuni ya Ka-
ya Mbunge wa Igunga Mhe. nafsi kwa wahusika hao ambao
goda Agriculture ambayo
Rostam Abdulrasul Aziz (CCM) tayari walikuwa na (inaendelea)
Ndani ya Toleo Hili

HOJA YA MWANAKIJIJI — LAZIMA TUFUNGE HUU MJADALA Kagoda na Rostam 1, 2

Ni lazima tufike mahali tufunge Kama Taifa tuna mambo men- hatuna budi kuiangalia Benki Lazima tufunge mjadala 1
huu mjadala wa wizi wa fedha gine muhimu na ya msingi ya Kuu nzima kwa kipindi cha mi-
za wananchi wa Tanzania toka kujadili, kuamua, na kufanya. aka mitano (2000—2006) na Rostam na Kagoda 2
Benki Kuu. kufumua kila siri iliyopo kabla
Hata hivyo wakati mwaka hatujatangaza ushindi. Rostam na Kagoda 3
Mwendoa tunaotumia ku- jana tulikuwa tumetekwa na
shughulikia ni wa kinyonga na Buzwagi, mwaka huu Suala la Kagoda limekuwa liki- Rostam na Kagoda 4
ambao unahakikisha kuwa sisi tumezama kwenye EPA na zungukwa kama mbuyu wa
kama Taifa tunaendelea kuzun- kwa wiki sasa tumezama uchawi. Wahusika wanajulikana Hoja ya Nguvu 5
gumza suala la Benki Kuu hadi kwenye Kagoda. na sasa kazi iko kwa wenye
kiyama! Kama tunataka kuanza upya ubavu kunyosha mikono yao! Picha na Katuni 6
PAGE 2 CHECHE ZA FIKRA

KASHFA YA EPA
FAMILIA YA ROSTAM NA KAGODA
nafasi kubwa ya kuweza kupata mitaji mpango huo ufanikiwe inavyopasa ilibidi Mkapa na Benki Kuu na akaandika kila
halali ya kibiashara. wahusika wote wawe kwenye ukurasa kitu na makubaliano hayo yana nguvu ya
mmoja. “Yawezekana wapo watu wen- kisheria” anasema mchunguzi wetu.
Mchunguzi wetu aliyefuatilia suala hili gine ambao walifanikisha mpango huu ni “Hata hivyo makubaliano hayo
kwa takribani mwaka mzima tangu lili- uchunguzi huru unaweza kuonesha hilo” yanawaumiza watu kichwa; inajulikana
poibuliwa anasema kuwa wizi wa EPA amedokeza mchunguzi wetu. nakala ya makubaliano hayo ipo kwa
ulikuwa ni mpango uliobuniwa, ku- Maregesi (Mwanasheria aliyehusika na
jaribiwa na baadaye kutekelezwa na Kwa mujibu wa uchunguzi huo wahusika pia kunufaika na fedha za EPA) na Bi.
genge la watu kadhaa waliokuwa na wa mwanzo waliokaa chini na kuku- Komu (mtumishi wa Benki Kuu). Lakini pia
nafasi Ikulu, Benki Kuu, Vyombo vya baliana kufanikisha mpango huo ni mtu mwingine anayejua kilichofanyika
Usalama na sekta binafsi na wanasiasa. pamoja na Gavana Ballali, aliyekuwa Rais upande wa Benki Kuu ni Bw. Mwakosya
Wizi wake ulifanywa kwa uthubutu na Benjamin Mkapa, Kingunge Ngombale ambaye naye bado yuko rumande.
umakini mkubwa lakini pia ukiacha Mwiru, na Apson Mwang’onda. Rostam
alama za uhalifu kila kona. Aziz wakati huo alijua kinachoendelea “Hata hivyo kuna mtu wanne ambaye
lakini wakati huo huo tayari kampuni ya hayuko Tanzania na ambaye alipata
Mchunguzi wetu anasema “mara baada ndugu zake ilikuwa tayari kwenye mcha- nafasi ya kukaa na Ballali mwenyewe na
ya kujua kuwa fedha za EPA hazitaweza kato wa kujipatia bilioni 13 (kama uta- kupata maelezo yote ya kile kilichojiri na
kamwe kurudia kwa makampuni halali kavyoona hapa chini), toka Benki Kuu kwa Kagoda na jinsi gani Mhe. Rostam alivyo-
ya kigeni yaliyokuwa na madeni Benki njia hiyo ya udanganyifu na yawezekana shiriki tangu mwanzo hadi mwisho.”
Kuu, na ya kuwa ni fedha nyingi sana ndiyo ilikuwa ni mfano wa makampuni Zaidi ya yote “kuna nyaraka zilizoon-
taarifa ilipatikana kwa viongozi wa kisi- mengine baadaye. dolewa BRELA (Wakala wa Usajili wa
asa ambao walifanya vikao vyao vya siri Makampuni na Leseni za Biashara) ku-
vilivyohusisha watu wenye nyadhifa Vile vile Rostam husu Kagoda na kuondolewa kwake ina-
nyeti. Mpango huo uliweza kusukwa hakuweza ku- tosha kuwa kashfa kubwa kwani BRELA
baada ya kuonekana kizuizi kikubwa cha hudhuria mku- waliruhusu faili lenye ‘originals’ kutoka
kisiasa kilikuwa hakipo tena (kifo cha tano huo kwani pale kwa kumuamini huyo mfanyabi-
Mwalimu 1999) yeye mwenyewe ashara mkubwa”.
alikuwa na deni
Mpango Unasukwa jingine Benki Kuu Kwa mujibu wa mchunguzi huyo,
na kulikuwa na mpango ulipokuwa tayari kuna majaribio
Baada ya kugundulika kuna kiasi ki- “ubaridi” wa aina ya awali ya kuona jinsi gani mpango huo
kubwa cha fedha ambacho kimesalia fulani kati yake ya aliyekuwa Gavana Bw. ungeweza kufanikiwa bila kushtukiwa.
kwenye akaunti ya EPA na akaunti ny- Daudi Ballali. Yalitafutwa makampuni katika kundi lao
inginezo na baada ya kufanya utafiti wa la kufanya kile kinachojulikana kama
makampuni mbalimbali ya kimataifa am- “Hatujui hasa nani alitangulia kufikiria wizi “majaribio” ili kuona kama hizo fedha
bayo yalikuwa yamekufa, kuungana au wa fedha hizi; Benki Kuu, kina zingeweza kweli kutoka Benki Kuu na
kwa namna fulani kuwa na mabadiliko Mwang’onda au wanasiasa. Hata hivyo kuishia mikononi mwao. Mojawapo ya
makubwa baadhi ya wafanyabiashara vyovyote vile ilipofika katikati ya 2000 makampuni yaliyofanya hivyo ni ile
wakishirikiana na viongozi wa kisiasa na timu nzima ilikuwa tayari na mpango uli- ijulikanayo kama Afritainer.
watumishi wa Benki Kuu walibuni jinsi kuwa uanze kutekelezwa”
ya kuchota fedha hizo. Jaribio la Afritainer lilivyofanikiwa.
Mchunguzi wetu anaelezea juu ya timu
Kitu kimoja ambacho walijua ni kinga hiyo. “Benki Kuu kulikuwa na mtu wao Kampuni ya Afritainer ilifanikiwa kucho-
yao ni mafuriko ya misaada ya kigeni Gavana Daudi Ballali ambaye naye ali- tewa karibi shilingi Bilioni 13 kutoka
hasa baada ya Tanzania kusamehewa kuwa amewaweka sawa watu wake akaunti ya EPA na mafanikio yake yakawa
madeni na hivyo Benki Kuu kujikuta na wachache. Ikulu kulikuwa na Rais Mkapa ufunguo wa wizi mkubwa kabisa wa
kiasi kikubwa cha fedha ambazo awali ambaye alijua kwa kina juu ya fedha za fedha kutoka katika taasisi ya umma.
kilikuwa kiende kwenye kuhudumia EPA. Mwanasheria Mkuu akiwa ni Andrew Mchunguzi wetu anaelezea jinsi Afritainer
madeni ya kigeni lakini kutokana na Chenge (ambaye alishakuwa na rekodi ya ilivyofanikiwa.
msamaha serikali ilitakiwa iweke kipaum- mikataba ya kisheria yenye matundu ya
bele kwenye masuala ya kijamii. Misaada ajabu), Wizara ya Fedha yupo Basil “Kwanza kabisa ni lazima kutambua Afrit-
hiyo ya kigeni na msamaha wa madeni Mramba ambaye ni mzazi mwenza wa ainer ni akina nani. Kampuni hii waku-
ndiyo ulikuwa mwamvuli wa kuweza Rais Mkapa kupitia mama Mkapa na kundi rugenzi wake wawili ni Bahram Abdura-
kuchota fedha nyingine benki kuu bila la wafanyabiashara mbalimbali wanao- sul Chakaar na Gulam Abdurasul
kusababisha pengo kubwa katika daiwa kuongozwa na Rostam Aziz, Jeetu Chakaar. Kwa kuyaweka majina yao hivyo
shughuli mbalimbali za kiuchumi au ma- Patel, na Andy Chande.”
tumizi ya kawaida ya serikali.
“Gavana Ballali alihakikisha kuwa kuna- KARIBU MWANAKIJIJI.COM
Mchunguzi wetu anaelezea kuwa ili kuwa na makubaliano kati ya watu wa
JUZUU 4, TOLEO 15 PAGE 3
KAGODA
ni vigumu kujua nini kinaendelea.” wakati wanafanya hivyo hawakuwa wa- pata majina ya baadhi ya wafanyakazi wa
Anafafanua mchunguzi wetu. kurugenzi halali kwa hiyo moja kwa moja Caspian ambao pia wanaitumikia Dowans
fedha hizo zilichukuliwa kihalifu” Holdings S.A.”
“Hawa wawili majina yao kamili ni Bah-
anachambua mchunguzi wetu katika
ram Abdurasul Chakaar Aziz na Gulam taarifa yake ndefu na ya pekee kwa Ingawa Mhe. Rostam hakupata nafasi ya
Abdurasul Chakaar Aziz; ni ndugu wa “Cheche”. kutoa maelezo yake kuhusu ushiriki wa
damu (baba mkubwa kwa mdogo) na watumishi wake wa Caspian kwenye
Mbunge wa Igunga Mhe. Rostam Abdu- Pamoja na kuwa hawakuwa waku- Dowans au matumizi ya anwani ya posta na
rasul Aziz”. Anasema mchunguzi wetu. rugenzi, fedha zilizokuwa zimechotwa barua pepe (email) kwenye kampuni hiyo ni
ndio zikawa “zilichoenda kwa mganga”. baadaye tu alipohojiwa na gazeti la Tanza-
Kuonesha jinsi walivyokaribu Cheche Kufanikiwa kwa wizi huo ndio uliofun- nia Daima ndipo Mhe. Rostam alipoonesha
imeambiwa kuwa “watumishi wa kam-
gua wizi mkubwa wa fedha za Benki Kuu kuikana Richmond/Dowans. Alinukuliwa
puni ya Mhe. Rostam (ya Caspian Mining na ndio yakawa mafuriko ya kampuni za kusema “Nilipoomba kazi kama mkandarasi
and Construction (T) Limited) ndio walio- geresha na wanasiasa na wafanyabi- (kule Dowans), nilitakiwa kuacha anuani,
tumika kuchota fedha hizo bilioni 13 ashara wengine na wenyewe walipota- unapoomba kazi lazima uache anuani”.
kwa mtindo uliobuniwa na ambao mani kupata “mgao wao”. Lakini hilo lingetosheleza kuzima mjadala
baadaye ulirudiwa kwenye sakata la “tatizo ni kuwa walikuwa wanafanya kosa
Richmond na pia kwenye kashfa ya Ka- “Hapa ndipo makampuni mbalimbali ya- kubwa nyuma, kuacha ushahidi”.
goda na kurudiwa na makampuni zaidi kaanza kuundwa ndani na nje ya nchi ili Uchunguzi zaidi umebainisha kwamba, Ro-
ya 20 kuchotoa fedha za EPA mwaka kufanikisha wizi wa fedha toka Benki stam Aziz alituma kiasi cha Dola za
2005/2006”. Kuu” anasema mchunguzi wetu. Marekani Milioni 4 kutoka benki ya Exim ya
“Kampuni kama ya Deep Green Finance Dar es Salaam kwenda kulipia mitambo ya
Watumishi hao Tabu Omari na Barati S. watu wengi Richmond, jambo ambalo linamuengua ku-
Goda walitia saini kama wakurugenzi wanafikiria toka kwa mkandarasi (kama alivyodai) na
wa Afritainer kinyume cha sheria. Wali- zaidi kuhusu kuwa mmiliki halisi wa kampuni hiyo tata ya
fanya hivyo baadaya ya kina Aziz kujien- CCM, lakini umeme.
gua kwa muda na hivyo hawa uwezekano
watumishi wakaenda Benki Kuu kama mkubwa Kwa mujibu wa mchunguzi wetu, kitendo
wakurugenzi wa Afritainer na wakijitam- jina hilo siyo cha watumishi wa Caspian kuonekana ku-
bulisha kama Wakurugenzi kitu am- hasa CCM fanya kazi Dowans kama ilivyoripotiwa
bacho kilithibitishwa na Dr. Ringo Tenga
bali inatafsiri kwenye Kamati ya Bunge kunalingana
kama mlisha viapo (Notary Public). “majani ma- kabisa na kitendo cha Tabu Omari na Barati
(Wakati sakata la Epa linaendelea Dr. zuri” kwa Godda wa Caspian ambao nao walione-
Tenga amechukuliwa kuwa Wakili wa maana ya mahali penye malisho mazuri!” kana kujipa Ukurugenzi wa Afritainer.
Benki Kuu kumuondoa Mhe. Nimrod anaelezea mchunguzi wetu. Hata “hivyo si kweli kuwa Rostam alikuwa haijui
Mkono ambaye naya anahusishwa na makampuni ya Mwananchi Gold, Mere- kampuni ya Dowans au alikuwa na uhu-
kulipwa mabilioni toka Benki hiyo hiyo meta, n.k yanahusiana na CCM kwa sa- siano nayo wa mbali”. Hata baada ya
kwa kazi ya uwakili). babu moja kubwa nayo ni wahusika mkataba wa Richmond kuhamishiwa kwa
wake ni wana CCM lakini kwa maana ya Dowans (kampuni ambayo asili yake ina
Hata hivyo kampuni ya Dr. Tenga ime- fedha kiasi kikubwa kilichochotwa ni uta- utata kushinda wa Kagoda) na baadaye
toa tangazo kudai kuwa wao walicho- jiri wa watu wenyewe binafsi waliotumia mkataba wa Richmond kuonekana ni batili
fanya ni kuthibitisha tu sahihi kama wal- nafasi zao kujitajirisha. Kiasi kilichope- kampuni ya Dowans imeendelea kulipwa
isha viapo na siyo kuidhinisha malipo au lekwa CCM kilikuwa ni kama sadaka tu ya kama kampuni ya Afritainer ilivyoendelea
kubariki kilichofanyika. Kwa kufanya kufanikiwa wizi wao.” kutumia fedha zilizochukuliwa na watu am-
hivyo kampuni hiyo inathibitisha kuwa bao hawakuwa na haki ya kuwa Waku-
nyaraka hiyo ambayo nakala yake ina- Jaribio la Pili liliendana na kampuni ya rugenzi.
patikana mwanakijiji.com ni ya kweli na Richmond/Dowans
si ya kughushi. Ushahidi wa wazi au uliofichika?
Katika ripoti ya Kamati Teule ya Bunge
Kwa mujibu wa Mchunguzi wetu, Tabu iliyochunguza sakata la Richmond kuna Mchunguzi wetu alikabiriwa na swali la
Omari na Goda walichotewa kiasi hicho maelezo yafuatayo ambayo peke yake ni kwanza la jina la “Kagoda” na lina maana
cha fedha kutoka akaunti ya EPA. Katika vigumu kuyaelewa na hasa kuelewa ku- gani. Neno “goda” katika Kiswahili sanifu
kile ambacho kinaelezewa kuwa ni cha husika kwa Mhe. Rostam kwenye Rich- lina maana ya “kujitahidi” au “kujibidisha”
kushangaza, mwaka 2002 msajili wa mond/Dowans; “Mhe. Rostam Aziz ali- au “kujituma” hivyo kwa mujibu wa mchun-
makampuni (BRELA) aliiandikia kampuni takiwa atoe maelezo kuhusu uhusiano guzi wetu jina la “Kagoda” linaweza ku-
ya Afritainer kuijulisha kuwa mabadiliko wake na Kampuni za Richmond Develop- maanisha “kajituma”, “kajitahidi”, n.k Hata
yao ya Ukurugenzi yaliyofanywa karibu ment Company LLC na Dowans Holdings hivyo tafsiri yake hiyo ilipata utata alipoona
miaka miwili kabla yake hayakuwa sawa
S.A baada ya mashahidi zaidi ya watano
kisheria na hivyo kina Aziz walikuwa kumtaja kuwa ana uhusiano nazo. Aidha,
bado ni Wakurugenzi halali wa Afrit- alitakiwa na Kamati Teule aeleze kwanini
ainer.

“Kwa maneno mengine, kina Tabu na


anwani ya posta na anwani ya barua
pepe ya kampuni yake ya Caspian Con- Soma
bure
struction Company Ltd inatumiwa na
Barati walitumika kuchota hizo fedha Dowans Holdings S.A. Kamati Teule ili-
kwa niaba ya kampuni ya kina Aziz lakini
PAGE 4 CHECHE ZA FIKRA

MWANG’ONDA, KAGODA NA ROSTAM


jina la Barati Goda kwenye kampuni ya Uchunguzi wa Cheche umeonesha pia Mchunguzi wetu amesema kuwa kita-
Afritainer ambaye alijipachika Uku- kuwa mtindo huo uliobuniwa na ku- kachoishtua nchi siyo fedha za Kagoda/EPA
rugenzi kinyume cha sheria. tumiwa na kina Rostam wa kuunda kutumika kwenye uchaguzi mkuu (inadaiwa
“Tukumbuke kuwa katika majina ya kampuni na kutumia wakurugenzi fedha za EPA zilioishia CCM ni kati ya bilioni
kawaida hadi sasa ni huyu bwana hewa au watu wengine ndio ulio- 10 – 15 hivi ) kwani hilo watu wengi wame-
Barati ndiye anatumia ubin wa Goda tumiwa kwa makampuni mengine shaliona na kukubali ukweli wake, ni hayo
na ni jina lenye asili ya maeneo ya Irani yanayotuhumiwa kuiba fedha za EPA. matumizi mengine ambayo yanamhusisha
na Pakistani na kule Iran kuna mji aliyekuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa ndiyo
wenye jina hilo. Je kuna uhu- yenye kutishia nchi.
siano wowote wa Goda” wa
Afritainer na hii kampuni ya Ka- “Ndio maana hadi hivi sasa hujasikia lolote
Goda? Kuna mji mdogo kule kuhusu Bw. Cornel licha ya mtoto wake am-
Iran (nchi ya asili ya wazazi wa baye kampuni yake ilinufaika na fedha hizo
Rostam) ambao una jina la kurudisha karibu Bilioni 5!” alisema mchun-
Goda, je kuna uhusiano wa fa- guzi wetu. “Kile kilichofanywa na fedha hizi na
milia hiyo na mji huo? Hilo ha- kundi hilo la Apson ndicho kinachotishia
lieleweki kwa sasa, ila jambo usalama wa Taifa na maslahi ya wanasiasa
moja ni wazi kuwa jina hilo si la wengi kuliko kitu kingine chochote na hadi
bahati mbaya hata kidogo, lina hivi sasa haijapatikana jinsi hasa ya
maana fulani.” Mchunguzi wetu ‘kumwingia’ Apson”.
anasema.
“Apson na watu wake wamekuwepo tangu
“Hata hivyo kilichonishtua zaidi mwanzo wa jambo hili na hata sasa bado wa-
ni kuonekana kwa namba za simu am- Mchunguzi wetu ameendelea kusimu- nashikilia karata ya mwisho. Hiyo ndiyo sa-
bazo zimekuwa zikifuatana na familia lia kuwa mmojawapo wa wahusika babu kubwa ya kwanini Kagoda inawaumiza
ya kina Rostam na haiwezekani kuwa amekiri kufanya wizi wa EPA na alikiri kichwa sana kwani kuigusa na kuifumua jinsi
ni “kwa bahati mbaya kwani kwa miaka kutumia mfumo huo huo wa wizi. Kwa ilivyo ni sawa na kukata tawi ambalo mtu
karibu minane sasa namba hizo za simu mujibu wa Gazeti la Habari Leo mtuhu- amelikalia au kutingisha mti ulionyeshewa na
zionekane na watu hao hao tu makam- miwa huyo Maranda Rajabu Maranda wewe mwenyewe ukakaa chini yake.
puni tofauti.” Anasema mchunguzi (Mweka Hazina wa CCM huko Kigoma)
wetu. Hata hivyo uchunguzi wa Cheche bado un-
alitumia jina la Jaffer Hussein Jaffer na
kujigeuza kuwa Mkurugenzi wa wa aendelea na hasa kuuelewa kuhusishwa kwa
“Namba hizo 2861371 na 2861372, kampuni ya Rashhas na kwa kutumia watu ambao hawaonekani kwenye nyaraka
zimeonekana kwenye kampuni ya Afrit- yoyote ile (kati ya zilizopo) miongoni mwao ni
jina lake akaweza kuchota zaidi ya mili-
ainer, na pia kwenye kampuni ya Ka- oni 207. Yusuph Manji ambaye inadaiwa alirudisha
goda”. Anasema mchunguzi wetu. kiasi cha fedha Kagoda bila ya kuonekana
Hata hivyo hilo peke yake lisingeshtua Ni mtindo huo huo wa kutumia anuani moja kwa moja amehusika vipi katika uchotaji
isipokuwa “tulipoziona namba hizo au majina ya makampuni yaliyopo ku- wake, na matumizi yake. Na mtu mwingine
hizo kwenye kampuni ambayo Bw. Ro- weza kufanya vitendo vya ufisadi ulio- ambayee inaangaliwa atashughulikiwaje ni
stam Aziz mwenyewe akijitangaza tumika pia kwenye kampuni ya Rich- Bw. Meregesi ambaye inadaiwa kuwa endapo
kwenye tovuti ya Bunge la Muungano mond. Katika Richmond kampuni feki ya atafikishwa mahakamani (kwa kuchota fedha
amejitaja kuwa ni Mkurugenzi wa Richmond Development Corporation za EPA) basi watuhumiwa wa Kagoda nao
makampuni kadhaa mojawapo ni kam- iliweza kujipatia mkataba mnono baada watakuwa mbioni na hapo ndipo penye
puni ya Africa Trade Development. Ta- ya kutoa vielelezo vya kughushi, ugumu.
tizo ni kuwa namba za simu za Africa vielelezo ambavyo viliweza kuoneshwa
Trade Development awali kabisa ndizo kuwa havina msingi na Kamati Teule ya “Watanzania wasiruke ruke kwa furaha kwani
hizo hizo zilizotumiwa na Afritainer na Bunge. tatizo kubwa siyo hawa jamaa kufikishwa ma-
Kagoda na hivyo kumuunganisha moja hakamani au kufunguliwa mashtaka kwani
kwa moja Mhe. Rostam na kampuni ya Fedha za Kagoda zimeenda wapi? hilo ni rahisi zaidi; tatizo kubwa ni kuwashtaki
Kagoda”. kwa makosa ambayo watakutwa nayo na
Majawapo ya majibu ya kushtua zaidi ni hatia hata ikifika Mahakama ya Rufaa. Sasa
Baada ya habari za namba hizi kufichu- wapi fedha za EPA zimekwenda ku- hivi dalili zote zilizopo kama Cheche
liwa mwaka jana, kina Rostam walizia- tumika. Mchunguzi wetu akizungumza ilivyoandikwa matoleo kadhaa huko nyuma
chia namba hizi ili hatimaye ziweze ku- na mwandishi huyu alihoji kuwa Kesi hizi za EPA zimeandaliwa kushindwa
tumiwa na mtu mwingine. Jaribio hilo “kwanini kina Mwema walisema wizi ukiondoa kwa wale watumishi wa Benki Kuu
hata hivyo ni sawa na kukung’uta wa EPA ni kama Taifa limetekwa nyara? ambao inaonekana ndio watakuwa kafara
vumbi la mkononi wakati nguo zote Na kwanini kuifunua Kagoda imedaiwa halisi la EPA” alimalizia mchunguzi wetu am-
zimetapakaa matope. Rekodi za TTCL “kutailipua nchi” na kusemwa kuwa mti- baye amerudi katika kuendelea kufuatilia wizi
zinaonesha wazi jinsi namba hizo kisiko wa Kagoda utazidi wa Richmond huo wa kihistoria toka Benki Kuu ya Tanzania.
zilivyotumika kwa muda mrefu tangu na kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
wakati Dar ikiwa inatumia STD ya 051. Lowassa?” KARIBU MWANAKIJIJI.COM
JUZUU 4, TOLEO 15 PAGE 5

H O JA YA N G U V U

JUU YA VITU VYA LAZIMA— 2


Na. Ben Mwalukasa kwanza lakini ukweli ni kuwa serikali ile
ilitimiza jukumu lake kwa kiwango cha juu Naamini ni lazima turudi kufanya vitu vya
(Wiki iliyopita tumeangalia kuwa katika
kabisa (with flying colors) kwa kuhakikisha msingi sambamba na vile tunavyoendelea
maisha kuna vitu vya lazima, ili tufikie kuwa Tanzania kama Taifa linakuwepo, navyo. Vitu hivyo vya msingi (vya lazima)
“self-actualization”. Kwa nchi je?) katika usalama, mipaka yake intact na katika utawala wa kidemokrasia ni hivi vi-
Lengo langu siyo kuzungumzia mahitaji watu wake wamoja. fuatavyo:
ya mtu mmoja mmoja bali kuangalia
kama jamii na kama taifa hatuna budi Na katika kutimiza hilo Taifa likajaribu ku- a. Mgawanyo wa Madaraka na Mfumo wa
kujiuliza kama tunazingatia vitu vya fanya mambo kadhaa ya msingi kama Kusimamiana (separation of power and
"lazima" ili tuwe na taifa tunalolitaka elimu, kampeni ya UPE, kampeni ya Mtu ni the system of checks and balances). Kwa
(self-actualization). Yaani, ukiangalia Afya (nakumbuka "mtu ni afya mwananchi muda mrefu Tanzania tumekuwa tukizun-
mataifa yaliyoendelea utaona kuwa elewa"), kampeni ya Chakula bora gumzia kile tunachokiita kama "balance of
yamejaribu kwa kiwango kikubwa (nilikuwa namsikiiliza Mbaraka na wimbo power" ambapo tunasema kuwa tuna mi-
kutimiza mahitaji yale ya msingi ya watu wake wa "vyakula vya aine nne") na pia himili mitatu ya dola. Lakini kwa kiwango
na hata yale ya usalama, na kwa kiasi nakumbuka vizuri kampeni ya "Nyumba kikubwa hatujaweka mfumo mzuri wa
kikubwa yamejenga vizuri mahitaji ya bora" (tuliambiwa ni lazima iwe na choo)! kusimamiana kati ya pande hizi tatu. Rais
'kujiona" kiasi kwamba utaona watu Katika haya yote ukirudi nyuma utaona bado ana nguvu kubwa mno na Urais uko
wanaotoka kwenye mataifa hayo wao kuwa serikali ile ilikuwa inajaribu kulion- kama ufalme wa aina fulani hivi.
kama wananchi wanajiona vizuri zaidi goza taifa kutimiza mahitaji ya msingi. Hivi
kulinganisha na mataifa yanayohan- vilikuwa ni vitu vya lazima. b. Utawala wa Sheria (the rule of law). Mo-
gaika kuendelea. jawapo ya vitu ambavyo vinatofautisha
Ndipo hatuna budi kujiuliza kwa Taifa utawala wa kidemokrasia na ule wa kiimla
Hapa ndipo inanirudisha wakati wa changa kama la Tanzania ni vitu gani vya au wa kifalme ni kuwa sheria ndiyo Mbabe
Uhuru. Je sisi kama nchi ni vitu gani msingi ambavyo vingestahili kufanywa na (the tyranny of the law). Kwamba katika
tulitakiwa tuvifanye kwanza? Hofu vingine kusubiriwa kidogo? Ni vitu gani nchi hiyo Sheria ni kitu kinachotukuzwa
yangu ni kuwa tulianza vizuri sana vya lazima ambavyo tulitakiwa kuvifanya ili kuliko kitu kingine chochote. Hili nita-
(ingawa kuna watu hawataki kuamini kuliandaa taifa kwa mafanikio? fafanua katika makala yangu ya Tanzania
hivyo). Jukumu la serikali ya Mwalimu Daima wiki hii kuelezea kwanini Ofisi ya
ilikuwa siyo kutufikisha kwenye "self- Leo hii tunapoangalia mwelekeo wa Taifa Mwendesha Mashtaka siyo huru!
actualization" bali kuliandaa taifa letu inaonekana kana kwamba tuko
kutimiza mahitaji ya msingi (basic kwenye level ya juu kabisa ya mahitaji ya c. Uwazi wa vyombo vya Umma: Mo-
needs). Taifa (self actualization) na ya kuwa tume- jawapo ya vitu vya msingi katika demokra-
shatimiza mahi- sia ni kuhakikisha kuwa chombo chochote
Nakumbuka taji yetu ya cha umma kinachotumia kodi za wananchi
Mwalimu alikuja msingi kama de- hata senti moja tu ni lazima kiwe wazi kwa
na hilo wazo la Chombo chochote cha umma mokrasia. wananchi hao. Katika utawala wa de-
"Mahitaji ya mokrasia hakuna chombo/mtu/ofisi/
Msingi" ambayo kinachotumia fedha za walipa Mahitaji hayo ya taasisi/idara au chumba chochote am-
naamini yalito- msingi ambayo bacho kinatumia fedha za walipa kodi am-
kana na elimu hii kodi lazima kiwe wazi! tulitakiwa bacho ni "siri".
ya Maslow kuanza kuyaten-
kwamba Watan- geneza (siyo Leo hii nikitaka kujua Rais analipwa msha-
zania kabla hawa- kama nchi tu) hara wa kiasi gani itakuwa mbinde. Leo
jafikia kiwango fulani hawana budi katika nchi ya kidemokrasia (hasa baada ya mtu akisimama na kuuliza hivi wale waan-
kutimiza mahitaji fulani ya msingi am- utawala wa Rais Mwinyi) naamini hatu- dishi wa vyombo binafsi wanalipiwa na
bayo yalikuwa ni yale mahitaji ya msingi jafanya hivyo. Vile vitu vya lazima ambavyo serikali wakati Rais au Waziri Mkuu an-
ya mwanadamu ambayo ni Chakula vinahitajika kuwemo katika demokrasia aposafiri wanalipwa hivyo kwa misingi
(bora na chenye lishe), Mavazi (hifadhi hatukuvifanyia kazi ipasavyo. gani?, jibu lake itakuwa ni vurugu! Hivyo ni
ya mwili wake), Malazi (usalama wa lazima kufungua taasisi za serikali kwa
nafsi yake), na elimu. Leo hii naelewa kwanini baadhi ya sheria wananchi na hapa inanileta kwenye
zilianza kufanyiwa mabadiliko mwanzoni jambo la nne.
Lakini kwa kuangalia Taifa changa ju- mwa miaka ya 80 (wakati Mwalimu alipo-
kumu la kwanza kabisa ambalo naamini kuwa kweli amedhamiria kustaafu). Baadhi d. Uhuru wa vyombo vya habari. Sasa hivi
lilikuwa sahihi ni kuhakikisha kuwa Taifa ya sheria kali nyingi zilianza kufutwa wa- uhuru wa vyombo vya habari ni hisani tu
hilo linakuwepo (to ensure that the na- kati huo na matarajio ya sisi wengi ni kuwa ya Waziri wa Habari. Tanzania hakuna
tion survives). Leo hii sisi tunaweza wakati ule ndio ulikuwa wakati muafaka Uhuru wa kweli wa habari kuna habari
kupiga kelele na kuikosoa serikali na wa kuanza kweli kujenga demokrasia zinazotolewa kwa uhuru kwa sababu ya
kurusha kila madongo kwa serikali ya nchini. hisani ya watawala (itaendelea).
MOTO WA MABADILIKO UMEANZA...
Picha za Wiki
KATUNI ZA WIKI

Wanafunzi wa msingi wakiandamana dhidi ya serikali!

PATA HABARI MOTOMOTO NA MIJADALA

http://www.mwanakijiji.com

Jiandikishe kushiriki mijadala, kupata ha-


bari, kusikiliza muziki masaa 24 na matan-
gazo ya moja kwa moja kila mwishoni mwa
juma.
Ukizungumzia habari, unatuzungumzia sisi!

K ut oka kw enye m tand ao


Tatizo la viongozi wetu ni wapuuzi, wa- ni tajiri, ni kiongozi au raia. Kwa hiyo walio-
meshindwa kabisa kuweza maazimio husika na kagoda lazima wachukuliwe Cheche za Fikra
toka Nyerere alipoondoka. Sasa hivi kila hatua kama wengine wote. Achana na Mchapishaji na Mhariri Mtendaji
kitu tunapangiwa na IMF, hayo ya Mille- hiyo manaeo ya kijinga.– Jofu
nium sijui Kupunguza Umaskini na kad- M. M. Mwanakijiji
halika..lakini wapi bado tunavurunda Kuna haja ya watanzania kusimama imara
kishenzi.— Mkandara na kupinga uongo kuwa mafisadi waki- Timu ya Waandishi
fikishwa mahakamani nchi itayumba. Hii
“Kitu ambacho inatubidi tujue kuwa nchi ni ya watanzania wote siyo ya Kik-
Benjamin Mwalukasa— Mhariri
hawa watu ni waongo, wanakupigia wete, Richmond na Kagoda wala ANBEN
ramli eti upate utajiri wakati wao wanai- na Tanpower.– Sitaji Jina Freddy Katunzi—Habari za Siasa
shi katika mazingira magumu na ma-
baya na kusema kuwa ukileta kiungo Yeye DPP anahangaika bure;apende Mahmoud Rashid—Habari mbalimbali
cha albino utapatiwa dawa ya kupata asipende Kagoda watatajwa tu.Viongozi
pesa kwa haraka. Kwanini yeye asiji- wa umma kushiriki kuipora benki kuu ya Jessica L. Fundi – Makala
fanyie na kupata huo utajiri? - Salewi nchi ni skendo mbaya sana.DPP Bw Felesh
(RPC—Kagera) aendelee tu kuwalinda akina Kagoda—
Kwa kujiandikisha,
Matiku
Haki lazima ichukue mkondo wake, kila maoni, habari, na ushauri
aliyehusika bila kujari nafasi yake katika Mimi naunga mkono hoja zote zinazo-
jammi, nilazima awajibishwe, hiyo ma- tuelekeza kuhimiza mabadiliko ya kide- Tuandikie: Mhariri@klhnews.com
neno ya kusema nchi itayumba, sijui mokrasia ikiwa ni pamoja na vijana wajian-
uchumi utayumba mimi naona ni dae vema kuhakikisha wanapiga kura Tovuti: http://www.mwanakijiji.com
ujinga. Na kukosa mwelekeo. mwaka 2010.— Samson
Kiongozi mwenye uzalendo na nchi hii
hawezi kutamka maneno haya ya ki- Kanusho: Mawazo yanayonukuliwa hay-
jinga na kibaguzi. Watanzania waote CHAPA NA MPATIE MTU awakilishi msimamo au mawazo ya mchap-
tunahaki sawa bila kujari ni masikini au MWINGINE BURE ishaji na utawala wa kijarida hiki.