You are on page 1of 16

www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/181751-ripoti-ya-uchunguzi-binafsi-juu-yaugonjwa-wa-dr-harison-mwakyembe-12-10-2011-a.

html#post2636022

Jason bourne
Yesterday 18:59 #1

JF Senior Expert Member Join Date : 3rd July 2011 Posts : 981 Rep Power : 23

Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 Baada ya kushauriwa na afisa mwandamizi wa JF bwana PAW kuwa niifanyie marekebisho kidogo hii ripoti na mimi bila hiyana nimefanya hivyo. Ni matumaini yangu kuwa japo uhalisia kamili wa ripoti utakuwa umepungua lakini nitawaomba kuweni wavumilivu. Vilevile nitawaomba radhi wale mtakao kerwa na mpangilio mbovu wa hii ripoti, hii ni kwa kuwa mimi si mtaalamu sana wa uandaaji wa ripoti.

RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 JASON BOURNE TEL:********* ID************
Hatua ya kwanza: Niliamua kujua kama ni kweli kalishwa sumu au laa. Na watu nilio wahusisha katika kujua huko ni TISS. Katika uchunguzi niliweza kuzungumza na LTK wapatao kumi na tano. Maboharia wawili

Wapanga mikakati wawili Mkuu wa LTK Vijana wa kazi kumi Wote maelezo yao yalifanana kwa maana ya (walishiriki kupanga na kutekeleza kumlisha sumu Dr Harison Mwakyembe) Hatua walizopitia: Kwa mujibu wa maelezo ya LTK/D00/B1 mkuu wa kitengo hicho ambae kwa kweli niliongea nae kama rafiki yangu wa karibu ndie aliyenipa mwangaza wakufanikisha kazi yangu. Katika misheni hii watu wengi wanatakiwa KUFA, nitawataja wale muhimu tu: 1. Wilblod Slaa 2. Samweli Sitta 3. Harison Mwakyembe 4. Said Kubenea 5. Mark Mwandosya Mnamo ijumaa ya tarehe 01/10/2010 saa 4:25, kikao kikuu cha mikakati kilikalika Moven Pick kikihudhuriwa na watu sita, TISS/A001 XXX TISS/B1 TISSB32 TISS/B5 TISS/A6 TISS/F5 Baada ya mjadala wa saa moja uliogusa magumu inayokumbana serikali na watu walio waona wao ni vikwazo na waliosababisha magumu hayo, ndipo wakaibuka na listi ya wanaotakiwa kusalimisha uhai wao: Bada ya hapo kesho yake TISS/B1 alikutana na LTK/D00/B1 na kumpa amri ya misheni hiyo na orodha kamili ya watuhumiwa bila kumwambia sababu za mauaji hayo, zaidi alisema nahitaji ripoti ya utekelezaji.

Baada ya amri kuwa chini ya LTK, mikakati ya aina ya kifo kwa kila mtuhumiwa ilipangwa ambapo walipamgwa katika makundi matatu, 1 Samweli Sitta 2 Harison Mwakyembe 3 Mark Mwandosya Hawa wamepangiwa vifo vya aina mbili kwanza ajali na ikishindikana watalishwa sumu.

1 Said Kubenea Kumwagiwa tindikali, baada ya kufeli ile ya kwanza imeagizwa nyingine toka Bulgaria yenye kuua baada ya masaa kumi na mbili tu! 1.Wilblod Slaa Huyu anatakiwa kufa kwa shabaha ya risasi (snipers) ndio wanao andaliwa tu kwa sasa. Waliopewa kipaumbele kufa ni Samweli Sita, Mark Mwandosya na Harison Mwakyembe ambapo LTK/D00/B10, LTK/D00/B14, LTK/D00/B17 na LTK/D00/B21 walipewa kazi hiyo. Kikwazo kikuu walichokumbana nacho vijana wa kazi, ni kuwa, Sita, Mwandosya na Mwakyembe wote ni majasusi na kwapamoja walifanikiwa kufumbua njama hizo chafu za mauaji kwa siri. Mitego ya ajari 16 kwa Mwakyembe yote imemkosa, 12 kwa Sita nayo ikamkosa,7 kwa Mwandosya nae kakoswa. Walipoona mbinu zote za vifo vya ajali zimefeli wakahamia kwenye aina ya pili ya vifo vya kulishwa sumu:

Katika aina hii ya mauaji kwa muujibu wa vijana wa kazi wanashangaa uimara wa Samweli Sita na Mwakyembe kwani wameshalishwa aina nyingi za sumu lakini bado wanadunda tu, kwanza sumu ya kwanza kuwalisha ni katika kikao cha kwanza cha bunge mwa 2011, hawakupata madhara yoyote.

Wakabadilishiwa aina ya sumu, hakika hii ilimpata zaidi Mwandosya kwani ilipandikizwa katka simu yake ya mkononi bila yeye kujua saa 4:40 asubuhi ofisini kwake tarehe 7/3/2011. Aina hii ya sumu (jina sikupata kujua lakini hapa huitwa LTK/XXX) nayo ilishindwa kuzaa matunda kwa Mwakyembe na Sita licha ya kupewa katika mazingira tofauti,hii ilitokana na kuwa kidogo.

Zoezi hili zito na la hatari baada ya kuwa gumu kupita kiwango kwakuwa hata Mwandosya hakudhurika sana, ilibidi uhitajike msaada toka nje ya nchi na ndipo jasusi mashuhuri wa kitanzania Exaveri H.Limo akaenda Urusi kutafuta aina nyingine ya sumu kali. Tarehe 11/7/2011 akafanikiwa kukutana na Zudrav Ghev mmoja wa wakemia wa KGB katka kituo cha Moscow akapata Polonium 236, kutokana na unyeti na hatari ya sumu hiyo ilimlazimu bwana Zudrav Ghev kuchukua ndege ya watu wa tano na kuruka mpaka tz .

Baada ya kufika tz bwana Zudrav alitoa mafunzo ya wiki moja jinzi ya kuhifadhi na kutumia kisha akatokomea kurudi kwao na vijana wake wanne.

Baada ya Mrusi kuondoka misheni zikaendelea na mnamo tarehe 24 /7/ 2011 wakati afya ya Mwandosya ikiendelea kuzorota mmoja wa LTK/D00/B10 wa kike alifanikiwa kumuwekea Polonium 236 katika chai nyumbani kwake akiwa ni miongoni mwa watu waliokwenda kumjulia hali, Na Mwakyembe alikuja kuwekewa ktk maji ya kunywa na kwenye kitambaa cha kufutia uso LTK/D00/B17 siku ya uzinduzi wa kikao cha Makandarasi,Wahandisi na Wakadiriaji majenzi pale Mlimani City kilichohudhuriwa na rais. Kuonyesha kuwa Mwakyembe ni jasusi aliye kubuhu siku hiyo maji hakuyanywa wala kugusa kabisa lakini mungu si athumani kitambaa akakitumia, jambo la kushangaza nikuwa baada ya kama dakika 20 kukitumia kile kitambaa alikitupa wakati anatoka eneo la Mlimani City. Hivi sasa LTK wameshamaliza kazi yao kwa watu wawili na anayefuata ni Samweli Sita Na uwezekano wa kupona kwa India ni mdogo ila wanaweza kupunguza makali na kusogeza mbeli mauti yao hiyo ni kwa mujibu wa mkuu wa LTK. Slaa maandalizi yake yanaangalia zaidi uchaguzi ujao ingawa kumeingia aina ya mabishano makali juu ya kumuua hasa wakihofia kutokea kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kwakuwa jamii ya kitanzania na kimatafa inamtambua.

Said Kubenea amekabidhiwa LTK/D00/B21 ambae anasubiri kitendea kazi toka Bulgaria ambapo jasusi Yugrov Dittzov ndie atakae ileta.

Huu ndio uchunguzi wangu binafsi baada ya kupata taarifa juu ya hali ya Dr Harison Mwakyembe kuwa ni tete. Nasema kuwa serikali ya Tanzania inafanya mauaji ya rai wake hasa viongozi wenye mtazamo tofauti na serikali. Naiomba serikali ya Mh rais isikilize kilio cha watanzania isisikilize kilio cha wa kwasi na mafisadi. Nina waomba watanzania tuungane pamoja bila kujali dini zetu,makabila yetu wala rangi zetu kulikataa kundi hili la wahalifu lisilozidi watu 30.

Huu ni uchunguzi wangu, unahaki ya kusubiri uchungu wa madaktari wa India ASANTENI SANA:

JASON BOURNE

You, wilbald, Joss and 13 others like this. Reply Reply With Quote

VoiceOfReason
Yesterday 19:07 #2

JF Senior Expert Member Join Date : 4th November 2010 Location : Everywhere Posts : 5,080 Rep Power : 72

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 Duh...!!!!!! ; That's all I can Say

Mkuu huu uchunguzi wako na sources zako kwenye scale ya 1 - 10 (unaweza ukaupa ngapi?)

Like Even a Genius Asks Questions....


Reply Reply With Quote

Jason bourne
Yesterday 19:12 #3

JF Senior Expert Member Join Date : 3rd July 2011 Posts : 981 Rep Power : 23

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 Ninaomba ieleweke kuwa Huu ni uchunguzi wangu binafsi ambao hauwezi na hautaweza kuvuruga

uchunguzi wa kisayansi pale INDIA. Like mshikachuma likes this.


Reply Reply With Quote

Mamzalendo
Yesterday 19:15 #4

JF Senior Expert Member Join Date : 29th December 2010 Posts : 389 Rep Power : 21

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 Ndugu umenitisha embu tuambie majina ya wanaohusika na matendo haya maovu,Mungu awalaani kabisa yeyote anayehusika,na pia malipo ni hapa duniani na walipwe hapa hapa,imeniuma sana,

Like
Reply Reply With Quote via Mobile

JoJiPoJi
Yesterday 19:17 #5

JF Premium Member Join Date : 8th August 2009 Posts : 1,297 Rep Power : 25

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 Najivunia kuwa mtanzania

Like
Reply Reply With Quote via Mobile

SMU
Yesterday 19:20 #6

JF Premium Member Join Date : 14th February 2008 Location : Mavurunza Posts : 2,638 Rep Power : 30 By Jason bourne

Ninaomba ieleweke kuwa Huu ni uchunguzi wangu binafsi ambao hauwezi na hautaweza kuvuruga
uchunguzi wa kisayansi pale INDIA.

Sawa. Nini kirefu cha LTK?


Like
Reply Reply With Quote via Mobile

Mwita Maranya
Yesterday 19:22 #7

JF Premium Member Join Date : 1st July 2008 Location : Nyamuma Kijijini!!! Posts : 2,150 Rep Power : 28

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011

Sasa kama rais JK ameamua ''kuwapumzisha'' watanzania wenzake kwa sababu ya kuwa na mitazamo tofauti kwanini aliwateua kuwa mawaziri? Sasa wakishauawa ndo inakuwaje? Hajui kwamba wataibuka wengine? Hii tabia ni mbaya sana, si ajabu akahamia JF akishawamaliza walioko kwenye list yake ya sasahivi.

Like
Reply Reply With Quote via Mobile

Crashwise
Yesterday 19:23 #8

JF Premium Member Join Date : 23rd April 2008 Location : Arusha Posts : 5,161 Rep Power : 34

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 asante kwa uchunguzi wako..

Like
Reply Reply With Quote via Mobile

menyidyo
Yesterday 19:23 #9

JF Senior Expert Member Join Date : 9th October 2010 Location : dsm Posts : 645 Rep Power : 23

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 ndugu inatisha hii. how comes u hv all information frm both sides. anyway kwa hali hii tanzanian we should join hands.

Like
Reply Reply With Quote via Mobile

Mwita Maranya
Yesterday 19:25 #10

JF Premium Member Join Date : 1st July 2008 Location : Nyamuma Kijijini!!! Posts : 2,150 Rep Power : 28 By Jason bourne

Ninaomba ieleweke kuwa Huu ni uchunguzi wangu binafsi ambao hauwezi na hautaweza kuvuruga
uchunguzi wa kisayansi pale INDIA.

Mkuu naomba unifute tongotongo, LTK ndio kitu gani?

Like
Reply Reply With Quote via Mobile

JS
Yesterday 19:27 #11

JF Premium Member Join Date : 29th September 2009 Posts : 1,382 Rep Power : 25

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 Kama movie vile tunazoangalia zile za kijasusi wajuzi wa movie watanisaidia.....aisee hii ni hatari kubwa

Like JF Rocks!!!!!!!!!!!!
Reply

Reply With Quote

Jason bourne
Yesterday 19:32 #12

JF Senior Expert Member Join Date : 3rd July 2011

Posts : 981 Rep Power : 23

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011
By Mwita Maranya

Mkuu naomba unifute tongotongo, LTK ndio kitu gani?

License to Kill au Leseni ya Kuua Like mshikachuma likes this.


Reply Reply With Quote

simplemind
Yesterday 19:33 #13

JF Senior Expert Member Join Date : 10th April 2009 Posts : 520 Rep Power : 24

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 Stori imekaa ki-bourne identity movie series. Baada ya identity,supremecy na ultimatum,tunasubiri Bourne Legacy.

Like Kibanga Ampiga MKoloni and mikatabafeki like this.


Reply Reply With Quote via Mobile

Jason bourne
Yesterday 19:34

#14

JF Senior Expert Member Join Date : 3rd July 2011 Posts : 981 Rep Power : 23

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011
By SMU

Sawa. Nini kirefu cha LTK?


License to Kill au Leseni ya Kuua Like


Reply Reply With Quote

MTAZAMO
Yesterday 19:34 #15

JF Senior Expert Member Join Date : 8th February 2011 Posts : 738 Rep Power : 22

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 mh!!!!!!!!

Like
Reply Reply With Quote via Mobile

Topical
Yesterday 19:34

#16

JF Senior Expert Member Join Date : 3rd December 2010 Posts : 1,772 Rep Power : 23

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 Story za kikao cha kamati ya siasa ya chadema Nzuri sana hii kwenye campaign kwenye jimbo la uchaguzi 2015 ok

Like
Reply Reply With Quote

RussianRoulette
Yesterday 19:37 #17

JF Premium Member Join Date : 15th December 2010 Posts : 1,042 Rep Power : 2023

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 Aisee...

Like

Every moment you live is a gift, that's why it is called "the present"
Reply Reply With Quote

MTAZAMO
Yesterday 19:38 #18 JF Senior Expert Member Join Date : 8th February 2011 Posts : 738 Rep Power : 22

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 hii itachomolewa ghafla humu na mods baada ya mkwara mzito! Subirini muone,nikifika hm naisave kabisaaa!

Like
Reply Reply With Quote via Mobile

Preta
Yesterday 19:44 #19

JF Premium Member Join Date : 28th November 2009 Location : yaeda chini Posts : 6,877 Rep Power : 35

Re: Ripoti ya Uchunguzi Binafsi juu ya Ugonjwa wa DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011
nilikuwa nasoma vitabu vya Willy Gamba na Joram Kiango nikijua ni simulizi pekee....kumbe inaweza kuwa katika uhalisia.....duh....nimechoka.....

Like Bigirita likes this.


Reply

Life is too short to waste time hating anyone.........


Reply With Quote

Mwita Maranya
Yesterday 19:44 #20

JF Premium Member Join Date : 1st July 2008 Location : Nyamuma Kijijini!!! Posts : 2,150 Rep Power : 28 By Jason bourne License to Kill au Leseni ya Kuua

Mweeeeh. Hiyo ni nouma! Zinapatikana wapi hizo makitu?