You are on page 1of 2

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) RASIMU YA RATIBA YA KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA UMMA KUANZIA

TAREHE 19/08/2013 HADI TAREHE 24/08/2013 UKUMBI NAMBA 126 OFISI NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM ____________________________________

SIKU/TAREHE

SHUGHULI

MHUSIKA

KUNDI LA KWANZA

UKUMBI WA JUMA JAMALDIN AKUKWETI (126)

Jumatatu 19 Agosti 2013

Fungu 46 - Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Fungu 21 Hazina

Wajumbe wa Kamati Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

Jumanne 20 Agosti 2013

Fungu 48 - Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mhasibu Mkuu wa Maendeleo ya Makazi Serikali (AcGen) Fungu 34 - Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Maafisa Masuuli wa Fungu 69 - Wizara ya Maliasili na Utalii Fungu 41 Wizara ya Katiba na Sheria Wizara, Idara, Wakala na Tawala za Mikoa Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali (DGAM)

Jumatano 21 Agosti 2013

Alhamisi 22 Agosti 2013

Fungu 98 - Wizara ya Ujenzi

Ijumaa 23 Agosti 2013

Fungu 22 Deni la Taifa na huduma za ujumla

Jumamosi na Jumapili
24-25 Agosti 2013

Wajumbe kuelekea Dodoma

Katibu wa Bunge

KUNDI LA PILI

UKUMBI KUTANGAZWA BAADAYE

Jumatatu 19 Agosti 2013

Benki ya Twiga Shirika Hodhi la Rasilimali za Mashirika ya Umma (CHC) Wajumbe wa Kamati Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Msajili wa Hazina (TR) Wenyeviti wa Bodi na Menejimenti za Mashirika ya Umma

Jumanne 20 Agosti 2013

Shirika la Hifadhi ya Bahari Tanzania Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Madawa (TPRI)

Jumatano 21 Agosti 2013

Mfuko wa Mafao ya Watumishi wa Umma (PSPF) Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima

Alhamisi 22 Agosti 2013

Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)

Ijumaa 23 Agosti 2013

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

Jumamosi na Jumapili
24-25 Agosti 2013

Wajumbe kuelekea Dodoma

TANBIHI: Vifupisho: PAC = Public Accounts Committee; CAG = Controller and Auditor General; AcGen = Accountant General; DGAM = Director of Government Asset Management.