You are on page 1of 9

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu. o.!" #a$: 255-22-211%425

PRESIDENTS OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM.

Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA (PENTECOSTAL COUNCIL OF TANZANIA) KUTOKUWA NA UWALIKILISHI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA

1.

Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba unafanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 8 !The Const t!t on"# Re$ e% A&t' C"( )*". Sheria hii inaweka mamlaka ya uteuzi, ma#harti, taratibu, $igezo na mambo mengine yote yanayo%a#wa kuzingatiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba. Kwa mujibu wa Kifungu &ha '' !'(" na !'B" $igezo hi$i $inajumui#ha umri, jin#ia, uzoefu, #ifa na mahali ana%otoka mjumbe hu#ika.

'.

Sheria hii imeaini#ha aina tatu za Wajumbe wa Bunge la Katiba kama ifuata$yo) !i" !ii" Wabunge wote wa Bunge la *amhuri ya Muungano+ Wajumbe wa Baraza la Wawakili#hi la ,anzibar+ na

!iii"

Wajumbe +,- kwa mujibu wa Kifungu -a. ''!1&" &ha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ambayo inaonye#ha makundi mbalimbali 1. yanayohu#ika.

Kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, wajumbe '.1 wanatakiwa kuteuliwa kutoka katika makundi yafuatayo) !i" !ii" !iii" !i$" !$" !$i" !$ii" !i4" !4" /aa#i#i zi#izokuwa za Ki#erikali !'." /aa#i#i za Kidini !'." 0yama $yote $ya Sia#a $yenye U#ajili wa Kudumu !1'"+ /aa#i#i za 2limu !'."+ Watu wenye Ulema$u !'."+ 0yama $ya Wafanyakazi !13"+ 0yama $ina$yowakili#ha Wafugaji !1."+ 0yama $ya Wakulima !'."+ na 0ikundi $ya Watu wenye Malengo yanayofanana !'.".

!$iii" 0yama $ina$yowakili#ha wa$u$i !1."+

1.

M&hakato wa uteuzi ulianza kwa kutoa /angazo la Mwaliko katika 5azeti la Serikali, T"n."/o #" Se0 1"# N"2 33* #" t"0ehe -* 4ese56"' +,-* . /angazo hilo lilitolewa kwa lugha ya Ki#wahili na Kiingereza ili kuyaalika makundi yaliyotajwa ki#heria kuwa#ili#ha ma%endekezo ya majina kwa ajili ya uteuzi katika Bunge Maalum la Katiba. (idha, /angazo hilo lilitangazwa %ia katika magazeti mbalimbali yanayo#omwa ha%a n&hini. 6amoja na mambo mengine, /angazo hilo lilitamka ukomo wa muda wa taa#i#i na makundi kuwa#ili#ha ma%endekezo ya majina ya wajumbe kuwa ni tarehe ,+ 7"n!"0 +,-3.

7.

Ma%endekezo hayo yalitakiwa kuwa#ili#hwa kwa K"t 6! M1!! K on.o/ wa Serikali ya *amhuri ya Muungano wa /anzania au kwa K"t 6! M1!! K on.o/ wa Serikali ya Ma%induzi ,anzibar. Ma%endekezo hayo yalitakiwa kuwa#ili#hwa kwa njia ya 6"0!" 8" (ost" "! 6"0!" n"8o#et%" 1%" 51ono. Sheria haikutoa njia nyingine ya kuwa#ili#ha ma%endekezo. N n"9"h"5!' %en. ne %"n.e%e/" 1!t!5 " 6"0!" (e(e "! h"t" !:!56e 59!( %" 5"neno2 Sheria hai#emi hi$yo8

9.

Kufuatia mwaliko huo, taa#i#i ;;3 kutoka /anzania Bara na -<) kutoka ,anzibar ziliwa#ili#ha ma%endekezo yao. Ma%endekezo hayo yalijumui#ha majina +'<=+ kwa u%ande wa /anzania Bara na kwa u%ande wa ,anzibar ma%endekezo hayo yalihu#i#ha watu )<3. :i$yo ba#i, taa#i#i na makundi mbalimbali yali%endekeza jumla ya majina *'=*=. (idha, watu --) waliji%endekeza wenyewe kinyume na matakwa ya ki#heria na kufanya idadi ya majina yaliyo%endekezwa kuwa *'<;3.

;.

Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imeweka ma#harti katika uteuzi wa wajumbe +,- wa Bunge Maalum la Katiba. Ma#harti hayo, ni %amoja na wajumbe wa#io%ungua the#!th 5o:" wanatakiwa kutoka Z"n/ 6"0 na the#!th 56 # kutoka T"n/"n " B"0". Kwa #ababu hiyo, katika wajumbe +,-, wajumbe =< wanatakiwa kutoka ,anzibar na wajumbe -*3 wanatakiwa kutoka /anzania Bara. (idha, uteuzi huo unatakiwa kuzingatia >"> 8" %":!56e 1!to1" 1"t 1" 1 #" 1!n> 1"5" # $8o" n sh%" 1 she0 " . 0ile$ile, mgawanyo wa wajumbe wanawake na wanaume unatakiwa uwe n!s! 1%" n!s!. 6amoja na hayo, wajumbe hao wawakili#he #ura ya wanan&hi wa /anzania kwa ufua#i wa $yama $ya #ia#a, dini, umri, na maeneo wanayotoka.
3

8.

<ai# wa *amhuri ya Muungano wa /anzania aki#hirikiana na <ai# wa ,anzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Ma%induzi ,anzibar walikamili#ha uteuzi wa wajumbe +,- na majina ya walioteuliwa yalitangazwa tarehe < Fe60!"0 +,-3. Majina hayo yalitangazwa ku%itia taarifa kwa $8o56o $8" h"6"0 na %ia G"/et #" Se0 1"# kwa T"n."/o #" Se0 1"# N"2 +? la tarehe < Fe60!"0 +,-3.

BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA 3. /arehe 11 =ebruari '.11, Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania lilitoa taarifa kwa $yombo $ya habari kuhu#u uteuzi wa Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba. Baraza liliomba $yombo $ya habari lifiki#he ma#ikitiko ya Baraza kwa $iongozi na waamini wa Ki%enteko#te wote na jamii ya wa%enda haki ha%a n&hini, kutokana na kitendo &ha Serikali wanayoihe#himu, wanayoi%enda na kuiombea, kwa 1!# 6".!" na 1!# ten." Baraza li#ihu#ike na B!n.e M""#!5 #" K"t 6". 1.. Katika /aarifa yake kwa $yombo $ya habari, Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania limeeleza kuwa kwa >?utaratibu tuliojiwekea katika utawala wa Baraza letu, hakuna Kanisa moja, mchungaji binafsi, mwamini, anaweza kujitwalia heshima, kuchukuliwa au kupewa haki na chombo chochote cha Serikali katika nchi yetu kwa nia ya kuwakilisha wapentekoste, bila kupata idhini toka kikao halali cha Kamati Kuu ya Utendaji ya PC ! aifa?. 11. Kwa kuzingatia utaratibu huu @Kamati Kuu ya Utendaji ya PC ! aifa katika kikao chake cha tarehe "#$%#%&$' ilipendekeza kwa (heshimiwa )ais majina ya wajumbe wake iliowaona kuwa wanafaa kuchaguliwa katika Bunge (aalum la Katiba, lakini cha kusikitisha kati ya hao hakuna jina la mjumbe hata mmoja ambaye alichaguliwa na (heshimiwa )ais katika Bunge (aalum la Katiba?. 1'. /aarifa hiyo imeeleza %ia, *+ Serikali imeona hatufai na hatuna sifa za kuweza kuchaguliwa katika Bunge (aalum la Katiba, na badala yake ikaamua kuteua majina ya wajumbe toka katika taasisi nyingine za kidini zenye hadhi kama yetu za ,aislamu, ,akatoliki, ,aprotestanti na ,ajumbe
5

wengine binafsi kwa ,apentekoste+.

anzania Bara na -isiwani na kuwaacha

UFAFANUZI WA SERIKALI 1 . Kwanza kabi#a, na%enda kuwahakiki#hia watanzania na ha#a wale waliolengwa na taarifa ya Baraza, kwamba Serikali haikuu%uzia kundi lolote lililoani#hwa kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kuwa#ili#ha ma%endekezo ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba. Serikali inalihe#himu Baraza na tunali#hukuru #ana katika juhudi inazozifanya kwa %amoja na Serikali katika kuwaendeleza wanan&hi wa /anzania. 11. Kutokana na umuhimu wa makundi mbalimbali, jumla ya 5"1!n> );, yaliwa#ili#ha ma%endekezo ya 5": n" *'=*=. Katika makundi haya 87., kulikuwa na ma%endekezo kutoka t""s s "! 5"1!n> 8" 1 > n <+ ambayo yali%endekeza jumla ya 5": n" 3+?. Kwa u%ande wa /anzania Bara, taa#i#i za 1 > n ;; ziliwa#ili#ha ma%endekezo yenye jumla ya 5": n" *33. (idha, Serikali ili%okea 5"(en>e1e/o --) kutoka kwa walioji%endekeza wenyewe8 :i$yo, #iyo kweli kuwa Serikali ili%uuza ma%endekezo kutoka kundi fulani ikiwa ni %amoja na Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania. Serikali hii ni kwa ajili ya watu na makundi yote. (idha, Katiba yetu haibagui watu au makundi ya watu kwa lengo la kuwanyima au kuwako#e#ha haki. 17. Kufuatia taarifa ya Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania kwa $yombo $ya habari kuwa ma%endekezo yao yame%uuzwa, kwa kuanzia Serikali imefuatilia kama kweli Baraza hilo liliwa#ili#ha ma%endekezo. Kwa kuwa ma%endekezo yote yaliyowa#ili#hwa yaliwekwa katika kanzi data ya m#ingi !primary data base/ kwa ajili ya u&hambuzi, utafutaji kwa kutumia
6

kom%yuta 0computer search or find/ ulifanywa ili kubaini kama kulikuwa na ma%endekezo kutoka Baraza kati ya ma%endekezo 87. yaliyowa#ili#hwa. 19. Kwa kuwa hakukuwa na taarifa za majina ya walio%endekezwa, jina la taa#i#i na majina ya maa#kofu watano !7" walio#hiriki katika utoaji taarifa kwa $yombo $ya habari yalitumika katika kubaini kama wao %ia walikuwa miongoni mwa walio%endekezwa. Utafutaji wa huu haukubaini kuwa Baraza ilikuwa moja ya taa#i#i zilizowa#ili#ha maombi. (idha, ha%akuwa na jina hata moja la $iongozi wa Baraza walioiti#ha $yombo $ya habari kutoa taarifa. 1;. 6amoja na kwamba haikutarajiwa kuwa $iongozi wa taa#i#i hii kuji%endekeza wenyewe, na hi$yo kuwa 5 on.on 5%" %"t! --) walioji%endekeza wenyewe, juhudi za Serikali zilijielekeza kutafuta enda%o kulikuwa na ma%endekezo kundi hili. :ata hi$yo, utafutaji haukubaini majina ya $iongozi hawa kuwe%o katika orodha hiyo. 18. Kulikuwa na uwezekano %ia, Baraza liliwa#ili#ha ma%endekezo ambayo yalifika kwa Katibu Mkuu Kiongozi nje ya muda ulio%angwa ki#heria wa tarehe + 7"n!"0 +,-3. U&hambuzi wa 5"(en>e1e/o ;+ "56"8o 8"# %"s # sh%" n:e 8" 5!>" h"!1!6" n 1!%e(o 1%" 5"(en>e1e/o kutoka Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania. 13. :i$yo, juhudi za Serikali katika kufuatilia uwe%o wa ma%endekezo kutoka B"0"/" #" M""s1o9! %" K (ente1oste T"n/"n " hazikuweza kuthibiti#ha kuwa Baraza lilituma ma%endekezo yake kama ili$yokuwa imeagizwa na Sheria ya mabadiliko ya Katiba8

UWAKILISHI WA MA4HEHEBU YANAYOUN4A BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA '.. Kwa kufahamu umuhimu wa makundi mbalimbali ya kidini ikiwa ni %amoja na Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania unaoundwa na Maa#kofu Wakuu wa madhehebu ya ki%enteko#te ya%atayo ;7, uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ulihakiki#ha kuwa makundi ya kidini yanawakili#hwa i%a#a$yo. '1. Mgawanyo wa idadi ya %":!56e +, kutokana na makundi ya kidini baina ya /anzania Bara na ,anzibar kwa kuzingatia uwiano wa moja ya tatu ya wajumbe kutoka ,anzibar ulimaani#ha kuwa katika kundi hili, %":!56e < wangekuwa wanatoka ,anzibar na %":!56e -* wangekuwa wanatoka /anzania Bara. Uteuzi wa wajumbe katika kundi hili umezingatia kigezo hiki. ''. Kufuatia uteuzi uliofanywa tarehe < Fe60!"0 +,-3, u&hambuzi wa majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba umebaini kuwa kati ya %":!56e -* kutoka taa#i#i za kidini wa /anzania Bara walioteuliwa, mjumbe mmoja !1" aitwaye B 6 Res(" M .!5" A>"5 ameteuliwa kutoka E$"n.e# st & Asse56# es o9 Go> T"n/"n " (EAGT)' 6atmo# 0i#ion, Kigamboni Ahur&h2 E$"n.e# st & Asse56# es o9 Go> T"n/"n " ni moja ya madhehebu ambayo maa#kofu wake wakuu wanaunda Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania. ' . :i$yo, tamko la Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te kuwa wanabaguliwa halina ukweli kwa kuwa u&hunguzi tulioufanya haujathibiti#ha kuwa Baraza lilileta ma%endekezo. -i $yema Baraza likafanyia kazi kwa nini kama kulikuwa na ma%endekezo, hayakufiki#hwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi
8

!Bar e# Salaam" au Katibu Mkuu Kiongozi !,anzibar". -inaamini kabi#a kama ma%endekezo hayo yangekuwa yamewa#ili#hwa, Mhe. <ai# ange&hagua mwakili#hi kutokana na ma%endekezo hayo. HITIMISHO '1.Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba uliofanywa na Mhe. <ai# wa *amhuri ya Muungano wa /anzania kwa ku#hirikiana na Mhe. <ai# wa ,anzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Ma%induzi ,anzibar tarehe ; =ebruari '.11, 1%" n"5n" 8o8ote #e h"!1!%" n" n " 8" 1!# 6".!" B"0"/" #" M""s1o9! %" K (ente1oste T"n/"n ". '7. Kuna kila #ababu ya kuamini kuwa ma%endekezo ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania hayakuwa#ili#hwa kwa K"t 6! M1!! K on.o/ kama #heria ili$yohitaji. '9. 6amoja na kuwa Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania hawakuweza kuwa#ili#ha ma%endekezo yao kama ili$yotakiwa, tunaamini kuwa Baraza, kama ili$yo kwa wanan&hi wote, litawakili#hwa $yema na wajumbe walioteuliwa ambao wanajumui#ha mjumbe aliyeteuliwa kutoka moja ya madhehebu yanayounda Baraza la Maa#kofu wa Ki%enteko#te /anzania.
I5eto#e%" n") Kurugenzi ya Mawa#iliano ya <ai#, I1!#!. Bar e# Salaam.

-? Fe60!"0 +,-3