You are on page 1of 1

HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA

TANGAZO
UTOAJI WA VIBALI VYA TAKSI (REGISTRATION OF TAXI – CABS AND
PRIVATE HIRE VEHICLES) BY – LAW, 1968.
KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA
ANAWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA TAKSI WENYE VITUO VYA
KUEGESHEA NA WANAOFANYA SHUGHULI ZAO KATIKA MAENEO YA
MANISPAA YA ILALA KUWA:USAJILI WA TAKSI UTAANZA RASMI TAREHE 01 JULAI, 2015.
HIVYO BASI MNATAKIWA KUFANYA USAJILI WA TAKSI KATIKA OFISI
ZA BIASHARA ARNATOGLOU MNAZI MMOJA KULIPIA:(i)

USAJILI WA GARI

TSHS.

20,000/=

(ii)

ADA YA MAEGESHO TSHS.

36,000/=

(iii)

ADA YA KITUO TSHS.
JUMLA

TSHS.

5,000/=
61,000/=

IELEWEKE WAZI KWAMBA KILA TAKSI ITASAJILIWA BAADA YA
KUONYESHA KUWA NA ENEO LA KUEGESHA.
UKAGUZI RASMI UTAANZA BAADA YA MWEZI MMOJA KWA TAKSI
ZOTE ZINAZOKIUKA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA UENDESHAJI
WA BIASHARA YA TAKSI.
IMETOLEWA NA,
ISAYA M. MNGURUMI
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA.