You are on page 1of 1

TAARIFA KWA WATEJA WETU

NA UMMA KWA UJUMLA


Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu na umma kwa ujumla
kuwa watajwa hapo chini walikuwa waajiriwa wa Benki ya NMB.
Kuanzia tarehe 20 Mei, 2016 waliotajwa katika picha sio
waajiriwa tena wa Benki ya NMB. Tunawatahadharisha wateja
wetu na umma kwa ujumla kutokujihusisha na watu hawa katika
miamala yoyote ambayo itahusishwa na Benki ya NMB. Benki
haitawajibika kwa muamala au makubaliano yoyote
yanayowahusisha watu hawa.

!
GODFREY OGENDO
Afisa Mikopo - Singida.

ERICK GAMA
Afisa Mikopo - Kondoa.

!!
!!!

OSIAS VUNGU

JOHNPIUS MPANGARUSYA

SAAD MWINSHEHE

Afisa Biashara - Kondoa.

Karani - Kondoa.

Meneja wa Tawi - Kondoa.

ZAKAYO JUSTINE

CHRISTOPHER MSAGATWA

Afisa Biashara - Kondoa.

Imetolewa na: MENEJIMENTI YA NMB

Afisa wa Benki - Kondoa.

EMMANUEL MHALU
Afisa Huduma kwa Wateja - Kondoa.