HALI NA NYAKATI MBALIMBALI

MARANDA- BUNYORE 2013
Tambua na eefeze hali zinazojitokeza katika sentensi ulizopewa.(AIama 2)
i) Ukichelewa hutanipata
ii) Kalale mtoto wewe!
hali ya KI- masharti 'A / hu- Ukanushi 'A
hali ya Ka - amri Vi
KIBWEZI 2013
Sentensi zinaweza kuwa katika hali tatu. Kwa kila sentensi andika hali zilizokosekana.
( alama 4)
(i) Goma lililotumiwa katika sherehe zile ni zuri.
(ii) Mwizi aliyeiba alipatikana amejificha kando ya mto.
Ngoma iliyotumiwa katika sherehe zile ni nzuri
Kigoma kilichotumiwa katika sherehe zile ni kizuri.
- Jizi lililoiba lilipatikana limejificha kando ya jito.
- Kijizi kilichoiba kilipatikana kimejificha kando ya kijito.
MATUNGULU 2013
Tunga sentensi moja yenye kuonyesha hali isiyodhihirika. (alama 2 )
- Atoa maagizo tena.
- Chakula chote chaliwa 2 x 1 = 2
LAIKIPIA 2013
Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali timilifu: (alama 1)
Lugha ya kiswahili ilienea Afrika kote.
Lugha ya kiswahili itakuwa imeenea Africa kote. (alama 2)
RABAI 2013
Tambua ni hali gani inayowasilishwa katika sentensi hii.
Osama auawa.
Hali isiyodhihirika (hali ya a). alama 1

(alama 1) Kibofu hupaa angani. (2 x 1) = 2 SUBUKIA 2013 Andika sentensi ifuatayo katika hali ya ‘a’ (alama 1) Shule yetu imepokea walimu wengi . NANDI KUSINI. (alama 1) NANDI KUSINI –TINDIRET 2013 Eleza tofauti baina ya sentensi hii. Kuna uwezekano – Nge Hakuna uwezekano – Ngeli (alama 1 kwa nge. (ii) Ungalisoma kwa bidii ungalipita mtihani. (alama 2) Ningekuwa na pesa ningenunua gari. Kibofu chapaa angani. bebora atakuwa amenunua pikipiki (alama 2) KIHARU 2013 Tofautisha kati ya: (alama 2) (i) Ungesoma kwa bidii ungepita mtihani. Shule yetu yapokea walimu wengi al 1 NANDI YA KATI 2013 Andika sentensi ifuatayo katika hali ya -a. (alama 1) Mf Mwalimu afunza Kiswahili. Muda umepita na kitendo hakiwezekani. √1 Ondoa nusu ya alama kwa kila kosa la sarufi na hijai. 1 kwa ngeli). Ningalikuwa na pesa ningalinunua gari. (i) Ungesoma kwa bidii ungepita – Kuna uwezekano kuwa akisoma kwa bidii atapit (ii) Hakuna uwezekano.RABAI 2013 Bebora alinunua pikipiki. .TINDIRET 2013 Tunga sentensi katika wakati usiodhihirika.

(al 1) KCSE 2012 Tunga sentensi moja katika wakati uliopita hali timilifu (alama 2) Watoto walikuwa wameketi ilipoanza kunyesha. ii) Kerich angalisoma angalipata kazi . (alama 2) i) Mueni angali anasoma.Hali ya kuendelea. (ii) Kutowezekana / hamna matumaini. i) Mueni angali anasoma .Kutowezekana kwa kitendo . (alama 2) (i) Mueniangalianasoma (ii) Kerich angalisoma angalipata kazi: (i) Hali ya kuendelea / kitenzi kishirikisha kikamilifu. (al 1) (ii) Hali isiyodhihirika. (i) Mfululizo wa kitenzi wakati uliopo. ii) Kerich angalisoma angalipata kazi.Wakati uliopita.(al 1) Anasimama akaimbe.KASSU 2013 Andika katika hali ya mazoea: (alama 2) Mtambo ambao unakarabatiwa leo utatufaa Mtambo hukarabatiwao hutufaa SUPAJET 2013 Eleza hali katika sentensi zifuatazo:. KWANZA 2012 . (2 x 1 = alama 2) KISUMU KASKAZINI 2012 Tofautisha matumizi ya ngali katika sentensi zifuatazo. Wakulima wapanda ngano. Maisha yalikuwa yamemwendea vyema 1x2=2 NANDI KATI 2012 Tofautisha matumizi ya ngali katika sentensi zifuatazo.

Tukilala sana tutachelewa kwenda shuleni. (i) Mwanafunzi ameenda nyumbani. (alama1) Wizi ulikwisha na usalama ukarudi Wizi utakuwa umekwisha na usalama utakuwa umerudi.Iweke sentensi ifuatayo katika wakati uliopita hali timilifu. (ii) Wakati usiodhihirika Alama 2 KURIA MASHARIKI 2012 Andika sentensi ifuatayo upya ukizingatia maagizo uliyopewa. EMBU 2012 Tambua wakati nahali katika sentensi ifuatayo:Ali amekuwa akisomatangu asubuhi (alama 2) i) wakati .1) Ua limealo vizuri limetiwa mbolea/huwa limetiwa mbolea KISII KUSINI 2012 Andika sentensi ifuatayo iwe katika hali ya -ki. (alama1) (ii) Sisi twala wali. (Geuza katika wakati ujao hali timilifu) Wakulima watakuwa wamekula kwa pupa nchini Kenya. (alama 2) KILUNGU 2012 Andika kwa wakati ujao hali timilifu. (alama 2) Wakulima wala kwa pupa nchini Kenya. (alama1) (i) Wakati timilifu / wakati uliopita si muda mrefu. Alikuwa ameomba msamaha kwa kuchelewa. 1×2 = 2 MBOONI MAGHARIBI 2012 Tambua wakati uliotumika katika sentensi zifuatazo. 1x1=1 BURETI 2012 Andika sentensi ifuatayo katika mazoea. Ua linalomea vizuri linietiwa rnbolea.uliopita ii) hali – timilifu (alama 2 x 1 = 2) .ya masharti (ala 2) Tulilala sana tukachelewa kwenda shuleni. (Alama 1) Aliomba msamaha kwa kuchelewa. (ala.

(al 2) (a) (-takuwa . (alm1) Vukeni barabara! Usivuke mpaka huu! MBITA.hali ya kuendelea (al 2 ) Mumias 2011 Andika sentensi ifuatayo kwa udogo. . (Alama 2) Wakati uliopita .takuwa -.takuwa. . Wachezaji walikuwa wanafanya mazoezi.) (b) (.ki -) (a) Mwaka ujao mitihani itakuwa imekwisha . ..me . . (alm1) Aliimba akioga.ki – (wakati ujao timilifu) (b) Akarani atakuwa akiandika .takuwa -. .a.usiodhihirika. Nyakati – li Hali – nge Wakati.KASSU 2012 Tunga sentensi ukitumia vibadala vya hali na wakati uliyopewa kwa mabano.ki – (wakati ujao hali ya kuendelea) Kassu 2012 Bainisha nyakati na hali katika sentensi hizi (alama 3) Walimwomba awasamehe.SUBA 2012 Tumia kitenzi ‘vuka’ kutunga sentensi katika hali ya kuamrisha. (alama 3) MBITA.SUBA 2012 Andika sentensi katika hali isyodhihirika. Yule angekuwa mwalimu. Aimba akioga KITUI MAGHARIBI 2011 Tambulisha nyakati na hali katika sentensi .

2) Tumia – Amekula (al. 1x1 = 1 (ii) -Ninapocheza kandanda watu hunishangilia. (alama 2) . 2) BARINGO 2013 Tunga sentensi kubainisha nyakati na hali zifuatazo. ( ala. (alama 2) (i) Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.2) (i) Naja (ii) Nilikuwa nimeketi alipotembelea (i) Wakati uliopo (ii) Waakti uliopita hali timilifu (2x1=al.Mtu yule haachi kuandamana na mbwa wake aliyedhoofika kiafya. (i) Nichezapo kandanda watu hunishangilia. 2) Sotik 2011 Tambulisha nyakati au hali za sentensi zifuatazo. (al. (alama 2) (ii) Matunda yanayoiva ndiyo yanayotundwa.2) Kijitu kile hakiachi kuandamana na kijibwa chake kilichodhoofika kiafya Mutomo 2011 Geuza sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea huku ukiondoa -amba (alama 2) Mtoto ambaye alikula ndiye ambaye alilia Mtoto alaye ndiye aliaye ( Alama 2) Nyamira 2011 Tunga sentensi sahihi ukitumia – la. .wakati maalum MSURURU WA TOP STUDENT 2009 Geuza sentensi zifuatazo katika hali ya mazoea: (i) Mtoto unavyomlea ndivyo anavyokuwa.Wakati wowote. . (alama 2) SIAYA UGENYA 2009 Tambua nyakati katika sentensi hizi.katika hali timilifu. (i) Masharti yasiyowezekana (ii) Wakati uliopita hali ya kukanusha (alama 2) Masharti yasiyowezekana – Ningalikuwa na pesa ningalinunua gari. (alama 2) (ii) Matunda yaivayo ndiyo yatundwayo. (alama.

KCSE 2006 Onyesha hali katika sentensi zifuatazo: i) Henda mvua ikanyesha leo. (alama 1) ii) Miti hukatwa kila siku duniani. (alama 1) (i) Uwezekano/ haliya kutenda (ii) Mazoea/ hali ya kutendwa .

utapokelewa Mtoto amelifunga dirisha lililokuwa Mtoto atalifunga dirisha litakalokuwa 1 likiingiza hewa likiingiza hewa. zimechanganyika 1 Tutauona wema wake Bwana Mungu. huzilinda 1 Dkt.m: anaugua. 2 Mchungwa ule ulizaa machungwa matamu. Pia hutumika kurejelea kitendo kifanyika baada ya kingine. tukazichukua. k.m: achukua. Mchungwa ule huzaa machungwa matamu.. yanametameta. zapepea. Akawanyeshea mana wakiwa jangwani . Matumbo hutibu wagonjwa. husoma.. 2 Nyumba zote zilibomolewa mwaka jana Nyumba zote zinabomelewa mwaka huu Wakati Ujao => TA Huchukua kiambishi 'TA' na hurejelea kitendo ambacho bado hakijafanyika lakini kinatarajiwa kufanyika.m: atakupa. 2 Vitabu vyako vyote vimechomeka Vitabu vyako vyote vyachomeka Wakati Timilifu Usiodhihirika => KA Hutumia kiungo 'KA' kurejelea kitendo ambacho kinakamilika katika wakati usiojulika.Wakati Uliopita => LI Hutumia kiambishi 'LI' na hurejelea kitendo kilichokamilika muda mrefu uliopita. k. Dkt. k. Wakati Usiodhihirika => A Hutumia kiambishi cha ngeli au nafsi pamoja na kiungo 'A' kurejelea kitendo kinachoendelea kutendeka katika wakati usiodhihirika.m: ikawalemea. tulilima. Matumbo alitibu wagonjwa.m: hutembea. ulienda sokoni juzi? Je. k. k. Tumeuona wema wake Mungu wetu. Baba atusubiri nyumbani. nimewachagua. likampendeza Latifa aliangalia mvunguni na kumwona 1 Latifa akaangalia juu akamwona nyoka. 2 Aliwanyeshea mana wakiwa jangwani. kitajulikana. k. walikufukuza 1 Mama ataenda sokoni Mama alienda sokoni 2 Ndoto hiyo imenisumbua usiku kucha Ndoto hiyo ilinisumbua usiku kucha Wakati Timilifu (Uliopita Muda Mfupi) => ME Hutumia kiambishi 'ME' na hurejelea kitendo ambacho kimekamilika muda usio mrefu. nyoka. Hutumiwa katika masimulizi. Ifuatayo ni mifano katika sentensi. unatisha 1 Nilikupenda kwa yale uliyonitendea Ninakupenda kwa yale unayonitendea.k.m: nilikwenda. 2 Dada yake alipagawa Dada yake amepagawa Wakati Uliopo => NA Hutumia kiambishi 'NA' kurejelea jambo linalotendeka sasa hivi. k. twaangamia 1 Baba alitusubiri nyumbani.m: amepona. 2 Je. utaenda sokoni kesho kutwa? Wakati wa Mazoea => HU Hutumia kiambishi 'HU' na hurejelea kitendo ambacho hufanyika mara kwa mara au kila siku n.