You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAOMBI YA KUANDIKISHA KUZALIWA KWA MTOTO

ALIYECHELEWA KUANDIKISHWA
(Sheria ya kuandikisha vizazi na vifo)

(Sura 108)

MAELEZO MUHIMU:

TAFADHALI JAZA FOMU HII KATIKA NAKALA MOJA (1) KWA HERUFI KUBWA AU KWA
CHAPA YA MASHINE .

BANDIKA PICHA YA MTOTO (PASSPORT SIZE ) KWENYE KISANDUKU KILICHOPO HAPO


JUU.

MSAJILI WA WILAYA WA VIZAZI NA VIFO ATAFANYA MAHOJIANO BAINA YA MTOTO


ANAYEOMBEWA NA MWOMBAJI (MZAZI AMA MLEZI ) ILI KUJIRIDHISHA NA UKWELI
WA TAARIFA ZILIZOTOLEWA KWENYE FOMU YA MAOMBI .

MSAJILI ANAPOANDIKISHA KIZAZI CHA AINA HII KATIKA CHUMBA KUMI NA MOJA
(11) CHA INGIZO INGIZO LINALOHUSIKA LAZIMA AANDIKE AS ,PER, APPLICATION
IN WRITING DEAD

AND SIGNED BY .(JINA LA MWOMBAJI NA


UHUSIANO WAKE NA MUOMBEWAJI ).

AMBATANISHA VITAMBULISHO MUHIMU KWA AJILI YA KUTHIBITISHA TAREHE YA


KUZALIWA ,MAHALI PA KUZALIWA MTOTO NA VITAMBULISHO HIVYO NI :-

a) KADI YA KLINIKI
b) CHETI CHA DAKTARI
c) PASI (ZILIZOTOLEWA NA OFISI KUU YA UHAMIAJI ) ZA MAMA,BABA NA MTOTO
d) CHETI CHA UBATIZO
e) CHETI CHA KUMALIZA SHULE YA MSINGI AU SEKONDARI
f) CHETI CHA FALAKI
g) HATI NYINGINE ZOZOTE ZINAZOTHIBITISHA TAREHE ALIYOZALIWA MTOTO