You are on page 1of 17

HABARI

HabariZAza
NISHATI
nishati&MADINI
&madini

NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Toleo No.162
Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi
Limesambazwa kwana Idaranazote
Taasisi MEM
Idara zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015
Machi 10 - 16, 2017

u n g e
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA RASMI BODI YA TANESCO -Uk2

b
WADAIWA WA UMEME,
W a
HALI TETE
Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA
Somahabari Uk.2

REA Awamu ya Tatu yazinduliwa


Waziri wa Nishati Naibu Waziri wa Nishati na Naibu Waziri wa Nishati na
Mkurugenzi Mtend-
aji wa TANESCO,
Mkurugenzi Mkuu wa

rasmi kitaifa mkoani Tanga


na Madini, Profesa Madini, anayeshughulikia Madini anayeshughulikia REA, Dk. Lutengano
Sospeter Muhongo Mhandisi Felchesmi UK
Mwakahesya
Madini Stephen Masele Nishati, Charles Kitwanga Mramba
>>4

JWTZ wapongezwa kunusuru mtambo wa Msimbati-Uk4


Ofisi ya M awasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
kwa ajili ya News Bullettin hii ya Wizar a ya Nishati na Madini
Ofisi ya Mawasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
kwa ajili ya News Bullettinau Fika hii
Ofisina Jarida laGhorofa
ya Mawasiliano Wizarya
a Tano
ya Nishati
(MEM) na Madini
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: badra77@yahoo.com
NewsBulletin
Habari za nishati/madini

2
http://www.mem.go.tz

Machi 10 - 16, 2017

WADAIWA WA UMEME, HALI TETE


Na Mwandishi Wetu, kwamba umeme unapaswa kukatwa
Mtwara hata Ikulu. Nikilala gizani, halafu

R
maafisa wa Ikulu ambao hawajalipa
ais wa Jamhuri watawajibika na sio wewe, alisema
ya Muungano wa Rais Magufuli.
Tanzania Dkt. John Alisema ili TANESCO imudu
Pombe Magufuli kuendesha shughuli zake kama
ameliagiza Shirika la inavyopaswa ni lazima wadaiwa
Umeme Tanzania (TANESCO) wote wakalipa madeni wanayodaiwa
kuwakatia umeme wateja wote na hivyo aliziagiza wizara zote
wenye madeni ya umeme. zinapopokea fedha kwa ajili ya
Agizo hilo alilitoa hivi karibuni umeme zilipe madeni husika.
Mkoani Mtwara wakati wa uwekaji Ni kwa njia hii tu tunaweza
wa jiwe la msingi la ujenzi wa kuhakikisha kwamba pesa
vituo vya umeme vya msongo wa zilizotengewa wizara kwa ajili
132/33kv vyenye uwezo wa 20 ya umeme zinatumiwa kama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
MVA na Njia kuu ya kusafirisha ilivyopangwa ili TANESCO katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa
umeme wa 132KV Mtwara- Lindi. iweze kuendesha kazi zake na Sospeter Muhongo (wa pili kulia) na Menejimenti ya Shirika la Umeme
Akizungumza kabla ya kuweka kushughulikia matatizo ya umeme, Tanzania (TANESCO). Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,
jiwe la msingi, Rais Magufuli alisema alisema Rais Magufuli. Halima Dendego.
Wizara na Taasisi zote za umma Aidha, Rais Magufuli alimuagiza
zinapaswa kuhakikisha zinalipa Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO,
madeni ya TANESCO la sivyo Dkt. Alex Kyaruzi kuhakikisha
wakatiwe umeme. anasimamia vyema matumizi
Alisema TANESCO haipo mazuri ya fedha ikiwemo kufuatilia
kisiasa bali kiutendaji kwahiyo suala la uingiaji wa mikataba ya
wadaiwa wote wakatiwe umeme huduma mbalimbali zinazotolewa
hata kama ni Ikulu inayodaiwa. kwa shirika hilo.
Rais Magufuli aliongeza kuwa TANESCO muwe wazalendo,
taarifa alizonazo ni kwamba Serikali mnao uwezo wa kuliendesha shirika
ya Zanzibar nayo ni miongoni mwa nyinyi wenyewe badala ya kutumia
wadaiwa wa umeme na kwamba watu wengine, alisema Rais
inadaiwa shilingi bilioni 121 na hivyo Magufuli.
kuiagiza TANESCO kuhakikisha Uwekaji wa jiwe la msingi
inafuatilia bila kurudi nyuma. katika ujenzi wa vituo vya umeme
Msiogope mnapaswa kukata vya msongo wa 132/33kv vyenye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
umeme kwa taasisi yoyote uwezo wa 20 MVA na Njia kuu katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa
ambayo hailipi bili zake. Nataka ya kusafirisha umeme ya 132KV Sospeter Muhongo (wa pili kulia) na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika
kumwambia waziri wa Nishati na Mtwara- Lindi ulifanyika Tarehe 5 la Umeme Tanzania (TANESCO). Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Madini Profesa Sospeter Muhongo Machi, 2017. Mtwara, Halima Dendego.

Baadhi ya
wafanyakazi
wa Shirika
la Umeme
Tanzania
(TANESCO)
wakifuatilia
tukio la
uwekaji Jiwe
la msingi
NewsBulletin 3
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 10 - 16, 2017

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

TAHARIRI TAARIFA KWA


UMMA KUHUSU
Uchimbaji madini UKUSANYAJI MADENI YA UMEME
ulete tija Buhemba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma na wateja
wake wote kwa ujumla kuwa, linakusudia kuendesha Zoezi kabambe
Ili kuhakikisha kuwa sekta ya madini inakuwa na la ukusanyaji wa madeni ya bili za Umeme zilizolimbikizwa na wateja
mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi, mbalimbali wa Shirika Nchi nzima. Madeni hayo yanajumuisha madeni
Wizara ya Nishati na Madini imekuwa ikiwasaidia
wachimbaji wadogo kwa kuwapatia ruzuku kupitia ya wateja wadogo, Wizara, Taasisi za mbalimbali za Serikali pamoja na
Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali za Madini Makampuni binafsi.
(SMMRP), mafunzo kuhusu sheria na kanuni za usalama
migodini, huduma za lesseni za madini kwa njia ya Malimbikizo hayo ya madeni yamekuwa yakikwamisha jitihada
mtandao (OMCTP) na mazingira. za utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya msingi ndani ya Shirika
Mbali na ruzuku pamoja na mafunzo, Wizara imekuwa
ikitenga maeneo mbalimbali yaliyofanyiwa utafiti wa kwa wakati ikiwemo shughuli za Uendeshaji Shirika, Matengenezo ya
kijiolojia kwa wachimbaji wadogo ili uchimbaji wao wa Miundombinu pamoja na utekelezaji wa miradi mbalimbali.
madini uwe wenye tija.
Hivi karibuni Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Zoezi hili litaambatana na utoaji taarifa (notice) kwa wadaiwa wote
Madini iliahidi kutoa eneo linalomilikiwa na Shirika la kulipa madeni yao ndani ya kipindi cha siku 14, baada ya hapo Shirika
Madini la Taifa (STAMICO) Buhemba, Mkoani Mara litachukua hatua ya kusitisha Huduma kwa Wateja watakaoshindwa
kwa wachimbaji Wadogo wa Madini baada ya kufanyika
kwa tathmini na taratibu za kumilikishwa eneo ili kuanza kulipa madeni yao pamoja na hatua zingine za kisheria.
wachimbaji hao wafanye shughuli hizo kwa kuzingatia
Sheria, Kanuni na Taratibu ikiwemo kulipa kodi. Aidha, hadi kufikia kipindi cha Januari, 2017, Shirika linawadai
Ahadi hiyo ilitolewa na Waziri wa Nishati na Madini, Wateja wake wote jumla ya shilingi 275,381,708,253.66. Deni la Wizara
Profesa Sospeter Muhongo na Meneja wa Shirika la na Taasisi za Serikali ni Tshs. 52,534,910,207.22, Makampuni binafsi
Madini la Taifa (STAMICO), Lukas Mlekwa wakati wa
ziara ya Waziri mgodini hapo kwa lengo la kuangalia na wateja wadogo ni 94,973,062,736.94 pamoja na Shirika la Umeme
shughuli za uokoaji, kufuatia ajali ya kufukiwa na kifusi Zanzibar (ZECO) ambalo linadaiwa jumla ya Tshs. 127,873,735,309.50
kwa Wachimbaji 18 iliyotokea tarehe 13 Februari 2017,
ambapo wachimbaji 13 waliokolewa siku hiyo hiyo. Ni matarajio ya Shirika kuwa kulipwa kwa malimbikizo haya ya
Wachimbaji hao ambao hawakuwa na vibali madeni, kutasaidia TANESCO kujiendesha kiushindani na kwa ufanisi
walikuwa wanaendesha shughuli za utafutaji na uchimbaji
wa dhahabu katika eneo hilo linalomilikiwa kisheria mkubwa zaidi na hivyo kuendelea kuchochea kasi ya ukuaji sekta
na STAMICO kwa leseni Namba PL N0. 7132/2011, mbalimbali zinazotegemea nishati ya umeme hapa Nchini.
kinyume na sheria.
Katika hatua nyignine, Waziri Muhongo alizuia
shughuli zote za uchimbaji kufanyika katika eneo hilo IMETOLEWA NA:
na kusema kinachofanyika sasa ni kuutafuta mwili wa
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
mchimbaji mmoja ambaye bado haujatolewa.
Katika maandalizi ya uchimbaji madini katika
eneo jipya la Buhema Profesa Muhongo aliwashauri
wachimbaji hao kuunda vikundi pamoja na kuvisajili ili
kuwezesha shughuli zao kufanyika kwa kuzingatia taratibu KWA HABARI PIGA SIMU Five
za uchimbaji. kitengo cha mawasiliano Pillars of
Reforms
TEL-2110490
Tunachukua fursa hii kumpongeza Waziri Muhongo
kwa kuwapatia eneo wachimbaji wadogo wa madini ili

FAX-2110389
waweze kuendesha shughuli za uchimbaji madini na
kujiingizia kipato. increase efficiency

MOB-0732999263
Aidha, tunawaomba wachimbaji wadogo kutumia fursa Quality delivery
hiyo kuanzisha vikundi vidogo na kuvisajili ili kuomba of goods/service
ruzuku na mikopo na kuwezesha uendeshaji wa shughuli
za uchimbaji madini kufanyika kwa kuzingatia sheria na satisfAction of
the client
taratibu, hivyo kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji Bodi ya uhariri
wa uchumi wa nchi. satisfaction of
Pia tunawaomba kuzingatia sheria, taratibu na kanuni Msanifu: Lucas Gordon business partners
za usalama migodini ili kuepuka ajali zinazoweza kutokea Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
migodini. Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James , satisfAction of
Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya shareholders
Habari za nishati/madini

4 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 10 - 16, 2017

REA Awamu ya Tatu yazinduliwa


rasmi kitaifa mkoani Tanga

Wakazi wa kijiji cha Zingibari wilayani Mkinga mkoani Tanga wakisikiliza hotuba ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani (
hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa mradi wa usambazaji wa umeme vijijini unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Awamu ya
Tatu, kwa kushirikiana na TANESCO.

Na Zuena Msuya, Tanga Tanga, Dkt.Kalemani alisema kuwa,

N
mradi huo wa REA Awamu ya Tatu
aibu Waziri wa Nishati utatekelezwa kwa miaka mitano hadi
na Madini Dkt. kufikia 2021.
Medard Kalemani Dkt. Kalemani alifafanua kuwa,
amezindua rasmi mara baada ya uzinduzi rasmi
mradi wa usambazaji wa kitaifa wa mradi huo mkoani
wa umeme vijijini, Awamu ya Tatu, Tanga, mikoa mingine itaendelea
unaotekelezwa na Wakala wa Nishati kuzindua mradi huo katika mikoa
Vijijini (REA) kitaifa kwa kushirikiana yao kulingana na makubaliano ya
na Shirika la Umeme Tanzania mikataba ya wakandarasi husika
(TANESCO), utakaosambaza katika mikoa hiyo.
umeme kwa vijiji vyote ambavyo REA Awamu ya Tatu
havikupata huduma hiyo wakati wa imezinduliwa rasmi hapa mkoani
REA, Awamu ya Kwanza na ya Pili. Tanga, mradi huu sasa utamaliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani,(katikati),
Akizungumza katika uzinduzi kazi ya kuunganisha huduma ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela( kushoto) na Naibu Waziri,
huo uliofanyika katika kijiji cha umeme katika vijiji vyote 7867 Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhaga Mpina(kulia)
wakiwa katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tanga, Mawaziri hao walikuwa
Zingibari wilayani Mkinga mkoani nchini vilivyoachwa katika Awamu
mkoani humo kwa ziara ya kikazi.

ya Kwanza na ya Pili ya mradi kutekeleza majukumu yao kwa


huo, ili kufikia idadi ya vijiji vyote wakati kwa kuzingatia uhitaji wa
12,262,Tanzania bara ifikapo mwaka huduma ya umeme nchini ili kutimiza
2021, alisema Kalemani. azma ya Serikali ya kuwa nchi ya
Akizungumzia mradi huo kwa viwanda.
Mkoa wa Tanga, Dkt. Kalemani Kwa upande wake, Mkuu wa
alisema kuwa REA Awamu ya Tatu Mkoa wa Tanga, Martin Shigela
itasambaza huduma ya umeme aliwataka wakazi wa mkoa huo
katika vijiji 166, ambapo vijiji 20 kati waliokosa huduma hiyo katika miradi
ya hivyo ni vile ambavyo vilipitiwa na iliyotangulia, kutandaza nyaya za
Mradi wa REA Awamu ya Kwanza umeme katika nyumba zao ili kuweza
na ya Pili lakini havikuunganishwa kuunganishwa na huduma ya umeme
na huduma ya umeme , na vijiji ambayo hupatikana kwa bei nafuu ya
146 ambavyo havikupitiwa kabisa shilingi elfu 27 .
wala kuunganishwa na Mradi Aidha aliwataka wananchi hao
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani akikata wa usambazaji wa umeme vijijini kulinda na kuitunza miundombinu
utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa usambazaji wa umeme vijijini
iliyopita. ya mradi huo kwa maslahi ya taifa
unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Awamu ya Tatu,
kwa kushirikiana na Shirika la Umeme nchini (TANESCO).Mradi huo Aidha , Dkt. Kalemani alitoa wito na wananchi kwa ujumla kwa kuwa
umezinduliwa rasmi kitaifa katika kijiji cha Zingibari wilayani Mkinga kwa wakandarasi watakaotekeleza miundombinu hiyo ni ya gharama
mkoani Tanga. Mradi wa REA Awamu ya Tatu, kubwa.
NewsBulletin 5
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 10 - 16, 2017

RAIS AAGIZA DANGOTE APEWE ENEO LA KUCHIMBA MAKAA

R
ais wa Jamhuri Rais Magufuli alisema kampuni hiyo
ya Muungano wa ilipewa zabuni ya kuchimba makaa
Tanzania Dkt. John ya mawe na Shirika la Maendeleo ya
Pombe Magufuli Taifa (NDC) lakini haina vifaa vya
ameiagiza Wizara ya kutosha na hivyo haifanyi vizuri.
Nishati na Madini kuhakikisha kuwa Ndani ya siku saba Dangote
Kampuni ya Saruji ya Dangote ya apewe eneo ili achimbe mwenyewe;
Mtwara inapatiwa eneo kwa ajili Tancoal ni kampuni ya hovyo
ya kuchimba madini ya Makaa ya imeshindwa kufanya vizuri,
Mawe kwa ajili ya matumizi ya ikiwezekana wafukuzwe kabisa,
kiwanda chake. alisema Rais Magufuli.
Rais Magufuli alitoa agizo hilo Aidha, Rais Magufuli aliliagiza
hivi karibuni Mkoani Mtwara Shirika la Maendeleo ya Petroli
kwenye kiwanda hicho wakati wa (TPDC) kuhakikisha kiwanda cha
uzinduzi wa magari 580 ya Kiwanda Dangote kinapata Gesi Asilia kwa
hicho yatakayotumika kwa shughuli ajili ya kuendeshea mitambo yake ili
mbalimbali ikiwemo kubeba makaa kuongeza uzalishaji.
ya Mawe. Alisema TPDC inapaswa kuwa Miundombinu ya kusafirisha Gesi Asilia
Aidha, Rais Magufuli, aliiagiza na utaratibu mzuri unaoeleweka wa
Wizara ya Nishati na Madini kutoa utoaji wa gesi asilia bila kutegemea
kibali ndani ya siku saba ili Kiwanda kampuni nyingine ambazo zimekuwa
cha Dangote kichimbe madini husika zikivuruga utaratibu wa uendeshaji
na Serikali ikusanye mapato yake wa kiwanda hicho na hivyo
moja kwa moja kutoka kwa kampuni kusababisha kiwanda kuzalisha chini
hiyo ya Dangote. ya uwezo.
Akizungumzia kampuni ya Alisema ni jambo la kushangaza
Tancoal inayochimba madini hayo, imewezekana kusafirisha Gesi Asilia

Makaa ya Mawe

kwa umbali wa kilomita 500 hadi


Dar es Salaam lakini ishindikane
kusafirishwa umbali wa kilomita 10
hadi kufika kwenye kiwanda cha
Dangote.
Haiwezekani Gesi inatoka
Mtwara kilomita 500 hadi kufika
Dar es Salaam lakini ishindwe kufika
hapa kwenye umbali wa kilomita 10;
tumalizane hapa hapa, gesi isipite
kwenye kampuni nyingine yoyote;
TPDC zungumzeni moja kwa moja
na Dangote mwenyewe, aliagiza
Rais Magufuli.
Kwa upande wake Mkurugenzi
wa Kampuni hiyo ya Dangote, Alhaj
Aliko Dangote alisema kwamba
matarajio ya kiwanda hicho cha
saruji ni kuzalisha tani milioni tatu
kwa mwaka na kuongeza kuwa
kiwanda hicho ni kikubwa kuliko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akielekeza jambo wakati wa uzinduzi viwanda vyote vya saruji Afrika
wa magari 580 ya kiwanda cha saruji cha Dangote. Kulia ni mmiliki wa kiwanda hicho, Alhaj Aliko Dangote. Mashariki.
Habari za nishati/madini

6 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 10 - 16, 2017

PROFESA MUHONGO AITAKA KAMPUNI


KUANZA UZALISHAJI MADINI ADIMU
Na Veronica Simba - aliyemtembelea ofisini kwake Akifafanua umuhimu wa Mkurugenzi Hammond aliongeza
Dodoma mjini Dodoma hivi karibuni kuwa, kubainisha Mpango Kazi wa kuwa, kupitia Mradi huo wa madini
Serikali imedhamiria kuachana na Kampuni hiyo, Profesa Muhongo adimu wa Ngualla, upo uwezekano

S
erikali imeitaka Kampuni utamaduni au mazoea ya kujikita alibainisha kuwa, baadhi ya wa Tanzania kuwa msambazaji
ya PR NG Minerals kwenye uzalishaji wa madini ya wawekezaji katika sekta ya madini mkubwa wa kimataifa wa madini
Limited ya Australia, kawaida pekee badala yake inataka hapa nchini, wamekuwa wakishikilia hayo.
inayofanya utafiti wa kuanza uzalishaji wa madini adimu leseni za madini kwa muda mrefu Madini adimu yanajumuisha
madini adimu (rare earth pia ili kuendana na Soko la Dunia. pasipo kuzifanyia kazi hivyo kundi la metali muhimu 17 ambazo
Hivi sasa Dunia nzima inageukia kuilazimu Serikali kuwanyanganya ni pamoja na Neodymium,
elements), eneo la Ngualla mkoani
kwenye uzalishaji wa madini adimu, kwa mujibu wa Sheria ya Madini. Praseodymium, Scandium na
Songwe, kukamilisha utafiti huo hivyo nasi ni lazima tuanze uzalishaji Kwa upande wake, Mkurugenzi Thulium. Mojawapo ya matumizi
haraka ili waanze uzalishaji mapema wake mapema iwezekanavyo. huyo aliyeambatana na Meneja yake ni katika magari yanayotumia
iwezekanavyo. Aidha, Waziri Muhongo aliitaka wa Masoko wa Kampuni husika, umeme pamoja na kutengenezea
Waziri wa Nishati na Madini, Kampuni hiyo kuwasilisha Mpango Ismail Diwani, alimhakikishia Waziri vifaa vya kisasa vya kielektroniki.
Profesa Sospeter Muhongo Kazi wake ambao pamoja na Muhongo kuwa watakamilisha utafiti Kwa Tanzania, madini adimu
alimwambia Mkurugenzi wa mambo mengine utaonesha ni lini wao na kuanza uzalishaji mapema yanapatikana katika mikoa ya
Kampuni hiyo, Dave Hammond, uzalishaji utaanza. iwezekanavyo. Songwe, Mbeya na Morogoro.

Mkurugenzi wa Kampuni ya PR NG Minerals Limited, Dave Hammond


(wa pili kutoka kushoto), akifafanua jambo kwa Waziri wa Nishati na
Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) wakati wa mazungumzo
yao yaliyofanyika jana ofisini kwake Makao Makuu ya Wizara
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), mjini Dodoma. Wengine kutoka kulia ni Kaimu Kamishna wa Madini,
akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya PR NG Minerals Mhandisi Rayson Nkya, Mjiolojia Mkuu kutoka Wakala wa Jiolojia
Limited, Dave Hammond (kulia), jana, ofisini kwake Makao Makuu Tanzania (GST), Alphonce Bushi na Meneja wa Masoko wa Kampuni
ya Wizara, mjini Dodoma. husika, Ismail Diwani.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto),


Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akiagana na Mkurugenzi wa Kampuni ya PR NG Minerals Limited,
akisisitiza jambo kwa Ujumbe kutoka Kampuni ya PR NG Minerals, Dave Hammond, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu uzalishaji
waliomtembelea ofisini kwake jana Makao Makuu ya Wizara, wa madini adimu (rare earth elements). Ujumbe kutoka Kampuni hiyo
mjini Dodoma. ulimtembelea Waziri Muhongo ofisini kwake mjini Dodoma jana.
NewsBulletin 7
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 10 - 16, 2017

Kaya 1600 Njombe kupata umeme 2017


Na Greyson Mwase, kuongeza kuwa mradi huo upo
Njombe katika maeneo mawili ambayo

K
ni Luhololo na Igola yote yakiwa
aya 1600 katika mkoani Njombe.
vijiji kumi mkoani Akizungumzia ujenzi wa mradi
Njombe zinatarajiwa huo, Maxwell alieleza kuwa mradi
kupata umeme wa umegawanyika katika awamu mbili
uhakika mara baada na kuendelea kusema kuwa awamu
ya kukamilika kwa mradi wa ya kwanza inahusisha usambazaji
uzalishaji wa umeme kwa kutumia wa umeme wa uhakika katika vijiji
maporomoko ya maji wa Luponde saba vyenye kaya 1120, shule tisa na
Hydro Ltd unaotekelelezwa na vituo vya afya vitano Sister Richardis Chiwinga kutoka katika mradi wa kuzalisha umeme
kampuni ya Rift Valley Energy. Aliongeza kuwa, awamu ya pili kwa kutumia maji wa Benedict Sisters of Saint Agnes Chipole
Hayo yalielezwa na Meneja inahusisha usambazaji wa umeme (kushoto) akiwaeleza jambo watalam kutoka Idara ya Nishati Jadidifu,
Wizara ya Nishati katika eneo la mradi.
Mradi wa Luponde Hydro, wa uhakika katika vijiji vitatu vyenye
Mugombe Maxwell wakati wa ziara kaya 180.
ya wataalam wa nishati jadidifu Kuhusu hatua iliyofikiwa ya
kutoka Wizara ya Nishati na Madini utekelezaji wa mradi huo, Maxwell
katika mkoa wa Njombe ili kujionea alisema kuwa, kazi katika eneo la
maendeleo ya miradi midogo ya Luhololo imekamilika kwa asilimia
umeme wa maporomoko ya maji 60 kwa kazi za kawaida na asilimia
na Nishati Jadidifu inayotekelezwa 40 katika ujenzi wa mitambo.
katika mkoa huo. Aliongeza kuwa katika eneo
Maxwell alisema kuwa la Igola mradi umekamilika kwa
kampuni ya Rift Valley Energy ina asilimia 40 na kusisitiza kuwa
miradi miwili ambayo ni Mwenga kampuni itahakikisha kuwa ujenzi
Hydro Grid wenye uwezo wa katika maeneo yote unakamilika
Megawati 4.1na Luponde Hydro ifikapo mwakani ili wananchi wapate
Ltd utakaokuwa na uwezo wa umeme wa uhakika.
kuzalisha Megawati 3 mara baada ya Alisisitiza kuwa lengo la mradi ni
kukamilika kwa ujenzi wake hivyo kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa
kuwezesha vijiji kumi katika mkoa na umeme wa uhakika na kuchangia Sehemu ya bwala la maji katika mradi wa kuzalisha umeme kwa
huo kupata umeme wa uhakika ukuaji wa uwekezaji kwenye kutumia maji wa Benedict Sisters of Saint Agnes Chipole, Mbinga
ifikapo mwakani. viwanda hususan katika maeneo mkoani Ruvuma.
Akielezea mradi huo wa Luponde ya vijijini, hivyo kuwa na mchango
Hydro Ltd, Maxwell alisema kuwa mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi
mradi ulianza mwaka 2016 na wa nchi. Moja ya mitambo ya
kuzalisha umeme
kwa kutumia maji
katika mradi wa
kuzalisha umeme
kwa kutumia maji
wa Benedict Sisters
of Saint Agnes
Chipole.

Meneja Uendeshaji kutoka kampuni ya kuzalisha umeme kwa kutumia


Mtaalam kutoka Sehemu ya Nishati Jadidifu, Wizara ya Nishati na maporomoko madogo ya maji ya kampuni ya Rift Valley Energy,
Madini, Mhandisi Stephan Kashushura (kulia) akibadilishana mawazo Joel Gomba (kulia) akielezea hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa mradi
na Sister Richardis Chiwinga katika ziara ya wataalam wa nishati wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa Luponde Hydro Ltd kwa
jadidifu katika mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa mtaalam kutoka Sehemu ya Nishati Jadidifu, Wizara ya Nishati na
Benedict Sisters of Saint Agnes Chipole, Mbinga mkoani Ruvuma. Madini, Emillian Nyanda (kushoto) mkoani Njombe.
Habari za nishati/madini

8 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 10 - 16, 2017

Dkt. Kalemani aagiza Vituo vya kufua umeme wa maji kukarabatiwa


Na Zuena Msuya Morogoro ukarabati wa mashine hiyo usiku na

N
mchana ili kuweza kukamilisha kazi
aibu Waziri wa hiyo ifikapo mwishoni mwa mwezi
Nishati na Madini, Aprili mwaka huu.
Dkt. Medard Wakati huu tunahitaji umeme
Kalemani ameagiza mwingi sana , hivyo hatuwezi kupoteza
kuwa ifikapo Megawati 51 kila siku kwa sababu ya
mwishoni mwa mwezi Machi mwaka ubovu wa mtambo mmoja ambao
huu, mazungumzo kati ya Kituo cha unaweza kukarabatiwa, naagiza
kufua umeme wa maji cha Kidatu mazungumzo yakamilike ndani ya
na Mkandarasi atakaye karabati mwezi huu (Machi) na Mkandarasi
mtambo mmoja wa kuzalisha umeme aanze kazi mara moja na aikamilishe
wa Megawati 51 ulioharibika, yawe mwishoni mwa mwezi Aprili ili tuweze
yamekamilika na kuanza kazi ya kupata Megawati zote 204 hapa
ukarabati. Kidatu, alisema Dkt. Kalemani.
Akizungumza wakati wa ziara yake Aidha, aliwataka watalaam
ya kukagua vituo vya kufua umeme wa wa kituo hicho kuwa na utaratibu
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani,( katikati) na
maji, katika mikoa wa Morogoro na wa kufanya ukarabati mdogo na Meneja wa Kituo cha Kuzalisha Umeme wa maji cha Kidatu Mhandisi
Tanga,Dkt. Kalemani alisema kuwa, mkubwa ili kupunguza gharama za Justus Mtolera( kulia) wakijadiliana jambo juu ya kituo hicho kinavyofanya
Serikali haiwezi kuendelea kuvumilia matengezo ya mitambo hiyo pindi kazi ,wakati Naibu Waziri alipotembelea kituo hicho.
kupoteza Megawati 51 kila siku katika inapoharibika,kwa kuwa uwezo
huo wanao na kwa kufanya hivyo Kilombero ili kurahisisha upatikanaji Megawati 10.5 katika kituo cha Hale
kituo hicho kutokana na kuharibika
kutakuwa kunawajengea uwezo zaidi wa huduma ya umeme wa uhakika na awe amepatikana na kufanya kazi
kwa mashine moja ambayo inaweza
kutengenezwa kwa kipindi cha muda wa kitaaluma. wa kutosha kwa wakazi wa eneo hilo atakayoikamilisha mwezi Julai mwaka
mfupi. Vilevile, aliagiza Shirika la Umeme ifikapo mwezi Juni mwaka huu. huu.
Dkt. Kalemani aliweka wazi kuwa Tanzania (TANESCO) kukamilisha Kituo cha Kidatu kina uwezo Sio rahisi kutengeneza mashine ya
mara baada ya mazungumzo hayo, ujenzi wa Kikata Umeme (Switch wa kuzalisha umeme wa maji wa kuzalisha umeme wa Megawati 10.5
mkandarasi huyo afanye kazi ya Gear) katika eneo la Kibaoni wilayani Megawati 204 kwa kutumia mitambo ukiwa mbali, ni nyema mkandarasi
minne, ambapo mmoja kati ya hiyo mshauri awepo hapa nchini ili
uliharibika mwezi Desemba mwaka hiyo kazi ifanyike kwa haraka, na
jana ( 2016) ikifika mwezi Mei mkandarasi wa
Katika hatua nyingine, Dkt. kutengeneza mashine hiyo awe
Kalemani aliagiza kurejea nchini kwa amepatikana aanze kujenga, tunataka
Mkandarasi mshauri anayeandaa
ikifika mwezi Julai, Mkoa wa Tanga
zabuni ya kuweza kumpata
uwe unapata umeme wa uhakika,
Mkandarasi wa kukarabati kituo cha
alifafanua Dkt. Kalemani.
kufua umeme wa maji cha Hale,
chenye uwezo wa kuzalisha Megawati Pia, alitumia ziara hiyo kuwaasa
21 za umeme ambapo kwa sasa wale wote wanaofanya shughuli
huzalisha Megawati 5 kutokana na za kijamii katika vyanzo vya maji
miundombinu yake kuwa chakavu; na mito inayotiririsha maji yake
Kituo cha Hale kilianza kufanya kazi katika mabwawa ya kufua umeme,
ya kufua umeme wa maji mwaka kutambua thamani na umuhimu wa
1964. matumizi ya maji hayo kwa kuzingatia
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani, (katikati), Pia, Dkt. Kalemani aliagiza sheria za utumiaji wa maji nchini,
akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mwandamizi Uzalishaji wa ili kudhibiti maji yanayopotea na
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Costa Rubagumya kuwa, ifikapo mwezi Mei mwaka
(kulia) wakati alipotembelea kituo cha kufua umeme wa maji cha huu, mkandarasi wa kutengeneza athari ya kukauka kwa mabwawa ya
Hale mkoani Tanga. mashine ya kuzalisha umeme wa kuzalisha umeme.

Mkuu wa Kituo cha Kuzalisha Umeme wa maji cha Kidatu Mhandisi Sehemu ya Mtambo ulioharibika katika kituo cha kufua umeme wa
Justus Mtolera( kulia) akitoa maelezo mafupi ya namna kituo hicho maji cha Kidatu, wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 51 kwa siku.
kinavyofanya kazi kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Mazungumzo yanaendelea ili kumpata Mkandarasi atakayetengeneza
Kalemani, (katikati),na ujumbe wake walipotembelea kituo hicho. mtambo huo.
NewsBulletin 9
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 10 - 16, 2017

RAIS MAGUFULI AMPONGEZA PROFESA MUHONGO

R
ais wa Jamhuri kumteua Profesa Sospeter Muhongo
ya Muungano wa kuwa Waziri wa Nishati na Madini
Tanzania Dkt. John kutokana na uchapakazi wake tangu
Pombe Magufuli alipoteuliwa kwenye Serikali ya
amempongeza Waziri Awamu iliyopita.
wa Nishati na Madini, Profesa Tangu wakati mimi nikiwa
Sospeter Muhongo kwa uchapakazi. Waziri wa Ujenzi, nilikuwa
Pongezi hizo alizitoa hivi karibuni naona namna ambavyo Profesa
wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi Muhongo alivyokuwa akichapakazi;
la ujenzi wa vituo vya umeme nilishuhudia jitihada zake za
vya msongo wa 132/33kv vyenye kuhakikisha umeme unasambaa nchi
uwezo wa 20 MVA na Njia kuu nzima, alisema Rais Magufuli.
ya kusafirisha umeme wa 132KV Aliongeza kwamba anaelewa
Mtwara- Lindi. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akizungumza vyema kuwa kuna baadhi ya watu
Rais Magufuli alisema aliamua
wakati wa tukio la uwekaji wa jiwe la msingi. wanarudisha nyuma jitihada za
Profesa Muhongo lakini alimuagiza
kutorudi nyuma badala yake aongeze
kasi ya utekelezaji wa shughuli zake.
Nilipoteuliwa kuwa Rais
sikuona mtu mwingine anayefaa
kama Muhongo, nikamrudisha
hapa hapa sababu mimi nilipokuwa
nikihesabu kilometa za barabara
yeye alikuwa anahesabu kilometa za
nyaya, kwa hiyo nilifahamu kazi yake
na saa zingine ukifanya kazi vizuri
unakuwa kama hupendwi pendwi
hivi, lakini kwa nini wakupende?
Hata mke wako anaweza asikupende
siku zingine, wewe chapa kazi,
alisisitiza Rais Magufuli.
Rais Magufuli alisisitiza kuwa
kiubinaadamu haiwezekani
ukapendwa na kila mtu na hivyo
alimuagiza Profesa Muhongo
aendelee kuchapa kazi na asitishike
na habari za mitandao.
Aidha, Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) akisaini kitabu cha alilipongeza Shirika la Umeme
wageni mara baada ya kuwasili kwaajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi. Kulia ni Waziri wa Nishati na Tanzania (TANESCO) kwa jitihada
Madini, Profesa Sospeter Muhongo. zake katika kuhakikisha kunakuwa
na umeme wa uhakika na unafika
maeneo mengi nchini.
Kwenye ilani ya Uchaguzi
kwa mwaka jana ilikuwa asilimia
thelathini na kitu nyinyi mkafika
mpaka asilimia arobaini, na sasa
hivi mko zaidi ya asilimia 46 sasa
nisipowapongeza nitakuwa mtu
mbaya wa moyo mbaya. Na mimi
na moyo mzuri kweli ndiyo maana
nawapongeza wizara pamoja na
Tanesco, alisema Rais Magufuli.
Rais Magufuli aliweka jiwe la
msingi katika ujenzi wa vituo vya
umeme vya msongo wa 132/33kv
vyenye uwezo wa 20 MVA na Njia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa mkono Waziri wa Nishati kuu ya kusafirisha umeme ya 132KV
na Madini, Profesa Sospeter Muhongo mara baada ya kuweka jiwe la msingi. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mtwara- Lindi Tarehe 5 Machi,
wa Mtwara, Halima Dendego 2017.
Habari za nishati/madini

10 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 10 - 16, 2017

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


WIZARA YA NISHATI NA MADINI WIZARA YA NISHATI NA MADINI

TAARIFA KWA UMMA NAFASI ZA MAFUNZO YA UKATAJI


VITO KWA WANAWAKE
Kamati ndogo ya kusimamia Mfuko wa Maendeleo
KUKARIBISHA MAOMBI MAPYA YA ya Wanawake (Women Foundation Fund) iliyo chini
LESENI ZA UCHIMBAJI MDOGO WA ya kamati ya Maandilizi ya Arusha Gem Fair (AGF)
inatangaza nafasi 18 za mafunzo ya muda mfupi katika
MADINI KATIKA MIKOA YA IRINGA, fani ya ukataji na usanifu wa madini ya vito (Lapidary
MBEYA NA SONGWE training course). Mafunzo hayo yatatolewa katika Kituo
cha Jimolojia Tanzania (TGC), kilicho chini ya Wizara ya
Nishati na Madini, kilichoko eneo la Themi, jijini Arusha
kuanzia mwezi Mei, 2017. Atakayechaguliwa kujiunga
Ofisi ya Madini Kanda ya Kusini Magharibi inakaribisha atalipiwa ada ya mafunzo hayo pekee. Hivyo muombaji
maombi mapya ya leseni za uchimbaji mdogo wa madini atajitegemea kwa chakula pamoja na malazi kwa muda
kwenye maeneo yaliyoachwa wazi kutokana na kufutwa wote wa masomo.
kwa maombi 1,168 ya leseni (PML) ambayo hayakulipiwa
Lengo la Mafunzo
kwa muda mrefu. Aidha, kuna leseni (PML) 101 ambazo Lengo la mafunzo haya ni kuwawezesha wanawake
zimefutwa kutokana na kushindwa kurekebisha makosa kujiajiri au kuajiriwa katika fani ya ukataji na usanifu
mbalimbali na maeneo hayo yako wazi kuanzia tarehe madini ya vito ili kuongeza thamani ya madini hayo.
13/02/2017. Orodha ya maombi na leseni zilizofutwa
inapatikana kwenye ofisi za Madini Mbeya na Chunya; Muda wa Mafunzo
na pia itapatikana kwenye Ofisi za Wakuu wa Wilaya zote Muda wa mafunzo ya cheti cha Lapidary Technology
za Mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe. utakuwa miezi sita (6).

Maelekezo zaidi ya taratibu za kumiliki leseni za madini Sifa za Muombaji


yanapatikana katika Ofisi za Madini na pia kwenye Tovuti - Awe mwanamke Mtanzania mwenye umri usiozidi
ya Wizara ya Nishati na Madini: https://mem.go.tz/ miaka 30; na
- Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea
mineral-sector/
mwenye kufaulu masomo ya Kiingereza na Hisabati.
Barua za maombi, CV na vyeti vitumwe kwa:-Mwenyekiti,
Imetolewa na; Kamati ya AGF Women Foundation Fund, S.L.P 641,
Mhandisi John Nayopa Arusha; au yaletwe kwa mkono katika ofisi za Madini
KAMISHNA MSAIDIZI WA MADINI Kanda ya Kaskazini zilizopo Themi,Njiro. Kwa maelekezo
KANDA YA KUSINI MAGHARIBI Zaidi piga simuNamba 027 254 4079. Mwisho wa kupokea
7 Machi, 2017 maombi ni tarehe 06/04/2017.

MATUKIO PICHANI

Wajumbe wa Chama cha Wanawake tawi la Wakala wa Jiolojia Tanzania


(GST) wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya Hospitali ya
Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma baada ya kushirika katika kazi ya
usafi ndani ya Hospital hiyo,siku ya Wanawake Duniani ambayo kilele
chake kiliadhimishwa tarehe 08/03/2017, mkoani Dodoma ambapo
sherehe hizi kimkoa zilifanyika Wilaya ya Kongwa .
NewsBulletin 11
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 10 - 16, 2017

Tanzania, Ujerumani zajadili


uwekezaji Sekta yaMadini

W
afanya biashara za kiuchumi jambo litakalopelekea
kutoka Ujerumani mafanikio baina ya wawekezaji na
wamehakikishiwa taifa kwa ujumla.
usalama wa Akizungumza katika mkutano
uwekezaji wao nchini, ili kuendelea huo, Msaidizi wa Balozi katika
kuimarisha Sekta ya Madini kwa ubalozi wa Ujerumani nchini, John
kuweka sera na taratibu za kisheria Reyels alisema wamekutana katika
zitakazowanufaisha wawekezaji na kikao hicho ili kupanua wigo wa
taifa kwa ujumla. ushirikiano baina ya Tanzania na
Hayo yamebainishwa na Naibu Ujerumani kibiashara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Alisema ushirikiano huo
na Madini anayeshughulikia Nishati, umekuja baada ya kuwa na
Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo, mahusiano kwa miongo kadhaa
alipokuwa akihitimisha hotuba yake baina ya mataifa hayo mawili katika
ya ufunguzi wakati wa mkutano Nyanja za kisiasa, kidiplomasia na
uliowakutanisha wafanyabiashara kijamii ambapo kwa sasa wanaingia
kutoka nchini Ujerumani, Wazawa, katika ukurasa mpya wa masuala ya
na watendaji wa serikali katika kiuchumi.
sekta za madini ili kujadili fursa za Reyels alibainisha kuwa
kiuchumi nchini, uliofanyika katika ushirikiano baina ya nchi hizi mbili
hoteli ya Double tree jijini Dar es umekuwepo katika masuala ya
Salaam mwanzoni mwa wiki. kijeshi, kufundisha askari lakini pia Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
Katika hotuba yake Pallangyo, katika masuala ya kubadilishana Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo akifungua mkutano
aliwakaribisha wawekezaji kuwekeza uzoefu ambapo kwa kipindi cha uliowakutanisha wafanyabiashara kutoka Ujerumani, Wafanyabiashara
katika sekta ya madini katika miaka 10 vijana wa kijerumani wazawa na watendaji wa serikali kujadili fursa za uwekezaji nchini.
maeneo yote ya utafutaji, uchimbaji, 250 wamekuwa wakifika Tanzania
uchakataji na uongezaji wa thamani na kufanya kazi katika hospitali ni baadhi ya mambo yatakayopelekea madini ya aina zote nchini ni kubwa
wa madini ili kuepusha usafirishwaji na katika nyumba za wazee na uimara wa ushirikiano wetu katika na kuwasihi wawekezaji kufika na
wa madini hayo yakiwa ghafi. hivyo kuwawezesha kuzungumza biashara, alisisitiza. kuwekeza ili kuchangia katika kuinua
Alieleza kuwa kwa mwaka 2015 Kiswahili kizuri pindi warudipo Akizungumzia kuhusu teknolojia pato la taifa.
Sekta ya Madini ilichangia pato Ujerumani. ya uchimbaji kwa wachimbaji wadogo, Kwa upande wake Kaimu Meneja
la taifa kwa asilimia 4.3 ambayo Reyels alisema nia hiyo Reyels alisema wanatumia vifaa duni anayeshughulikia Wachimbaji Wadogo
ni asilimia 50 ya mapato yote ya kuimarisha ushirikiano wa hivyo kuna uhitaji wa Wawekezaji kutoka Shirika la Madini la Taifa
yaliyopatikana kwa mwaka 2015. kibiashara imekuja kipindi wenye ujuzi mkubwa ili kuweza kutoa (STAMICO), Denis Silas, alielezea fursa
Shughuli za uchimbaji wa sahihi kwani wanashuhudia madini chini ya ardhi na kuwawezesha za uwekezaji zilizopo kuwa ni pamoja
madini nchini si jambo jipya. Historia mabadiliko makubwa ya kiuongozi wazawa kunufaika na rasilimali hiyo. na Mgodi wa Makaa ya Mawe Kiwira
inatueleza kuwa mradi wa kwanza yanayowahakikishia wawekezaji Aidha alibainisha kuwa uhaba uliopo Nyanda za Juu Kusini, kilomita
wa madini ulifanyika mwaka 1930 usalama na uhakika wa kupata faida wa pesa za uwekezaji ni changamoto 100 Kusini Mashariki ya Jiji la Mbeya.
na tangu hapo, Tanzania imekuwa kutokana na uwekezaji wao. nyingine inayowakabili wachimbaji Aidha alibainisha uwepo wa mgodi
na mafanikio makubwa ikiwa ni Ahadi za mabadiliko katika wadogo jambo linalosabaisha wafanye wa dhahabu wa Buhemba wenye akiba
pamoja na ugunduzi wa aina tofauti masuala ya uwekezaji, Tanzania kazi chini ya kiwango. ya kiasi cha tani 995,500 za dhahabu
kujitoa katika utegemezi wa mataifa Alibainisha kuwa hifadhi ya unaohitaji wabia kuwekeza kwa
tofauti za madini nchini, Pallangyo
yaliyoendelea katika kuendesha nchi kushirikiana na STAMICO katika eneo
alisisitiza.
Akizungumzia juu ya Sera ya hilo.
Madini ya mwaka 2009, Pallangyo Akihitimisha mada katika mkutano
alisema, Tanzania watashirikiana na huo, Denis aliwakaribisha wawekezaji
wawekezaji kuendelea kuimarisha kufika na kujionea fursa zinazopatikana
ushirikishwaji wa wazawa katika kupitia Shirika hilo na kuwahakikishia
shughuli za uchimbaji wa madini ushirikiano ili waweze kupata kile
na kuimarisha uhusiano baina ya wanachotarajia katika uwekezaji wao.
Sekta ya Madini na sekta nyingine Akizungumza katika kikao
hicho Katibu Mtendaji wa Taasisi ya
Msaidizi wa Balozi
Uwezeshaji ya Taifa chini ya Ofisi
wa Ujerumani John ya Waziri Mkuu, Bengi Issa alieleza
Reyels, akiwasilisha uwepo wa fursa nyingi kwa wawekezaji
mada katika mkutano nchini na kusisitiza ushiriki wa tasiasi
uliokuwa ukijadili hiyo katika kufanikisha malengo ya
fursa za kibiashara wawekezaji nchini.
katika Sekta ya Madini Alieleza kuwa ushirikishwaji wa
zitakazowavutia wazawa katika masuala ya kiuchumi
wafanyabiashara yatawasaidia katika kufanikisha
toka Ujerumani kuja malengo yao.
kuwekeza nchini.
Habari za nishati/madini

12 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 10 - 16, 2017

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI WA UJENZI WA VITUO NA NJIA


KUU YA KUSAFIRISHA UMEME YA 132KV MTWARA- LINDI

R
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe
la msingi la ujenzi wa vituo vya umeme vya
msongo wa 132/33kV vyenye uwezo wa 20
MVA na Njia kuu ya kusafirisha umeme ya
132kV Mtwara- Lindi.
Tukio hilo la uwekaji jiwe la msingi lilifanyika
Tarehe 5 Machi, 2017 na kushuhudiwa na Viongozi
mbalimbali wa Serikali akiwemo Waziri wa Nishati na
Madini, Profesa Sospeter Muhongo, Wabunge wa Mkoa
wa Mtwara, Viongozi wa Mkoa wa Mtwara na viongozi
wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Mradi huo wa kusafirisha na kusambaza umeme
wenye msongo wa Kilovolti 132 utaondoa tatizo la
umeme kuwa mdogo (low voltage) na kukatika katika
kwa umeme mara kwa mara kwenye Mikoa ya Mtwara Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (katikati)
na Lindi, kwani hapo awali hapakuwa na njia ya akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa vituo vya umeme Mtwara na Lindi.
usafirishaji umeme ya Msongo wa Kilovolti 132, zaidi Wengine katika picha ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa
ya njia za zamani za usafirishaji umeme zilizopo zenye pili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wa pili kushoto).
uwezo wa kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti
33.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli


Baadhi ya viongozi wa dini na siasa waliohudhuria tukio la uwekaji jiwe akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa vituo vya umeme vya msongo
la msingi katika ujenzi wa vituo vya umeme vya msongo wa 132/33kv wa 132/33kV vyenye uwezo wa 20 MVA na Njia kuu ya kusafirisha
vyenye uwezo wa 20 MVA na Njia kuu ya kusafirisha umeme ya 132KV umeme ya 132kV Mtwara- Lindi. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa
Mtwara- Lindi. Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli


(katikati) katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo (wa pili kulia) na Menejimenti ya Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO). Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Halima Dendego. wakifuatilia tukio la uwekaji wa jiwe la msingi.
NewsBulletin 13
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 10 - 16, 2017

MATUKIO WIKI HII

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani, akiwasili katika Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani, (kulia), Mkuu
ofisi za TANESCO mkoani Tanga ili kuzindua rasmi mradi wa Usambazaji wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela (katikati), na Mkurungezi Mtendaji
Umeme ya Vijijini kitaifa unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wa REA, Gissima Nyamo-Hanga (kushoto), wakifuatilia jambo wakati
Awamu ya Tatu, kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini (TANESCO) wa uzinduzi rasmi wa kitaifa wa mradi wa Usambazaji Umeme ya Vijijini
katika kijiji cha Zingibari wilayani Mkinga mkoani Tanga, kushoto ni unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Awamu ya Tatu, kwa
Meneja TANESCO Kanda ya Kaskazini, Stella Hiza na Mkurungezi kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika kijiji cha
Mtendaji wa REA, Gissima Nyamo-Hanga (kulia). Zingibari wilayani Mkinga mkoani Tanga.

Kaimu Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Nishati na Madini


anayeshughulikia umeme, Mhandisi Salum Inegeja akiagana na Mkuu wa
Mkoa wa Tanga Martin Shigela, mara baada ya uzinduzi rasmi wa kitaifa
wa Mradi wa Usambazaji Umeme ya Vijijini unaotekelezwa na Wakala Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani, (wa pili kulia),
wa Nishati Vijijini (REA) Awamu ya Tatu, kwa kushirikiana na Shirika la akipata maelezo kutoka kwa Mbunge wa Korogwe vijijini Steven Ngonyani
Umeme Tanzania ( TANESCO) katika kijiji cha Zingibari wilayani Mkinga (wa pili kushoto) wakati alipotembelea kituo cha kufua umeme wa maji
mkoani Tanga. cha Hale mkoani Tanga.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani, (katikati),


akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro
wakati wa kukagua kituo cha kufua umeme wa maji cha Kidatu Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani,( katikati)
wilayani Kilombero, kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Dkt. Kebwe Steven akisikiliza jambo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, James
Kebwe, na Kaimu Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Nishati na Madini Ihunyo (wa pili kushoto) wakati alipotembelea Kituo cha kufua umeme
anayeshughulikia Umeme, Mhandisi Salum Inegeja. cha Kidatu wilayani Kilombero mkoani Morogoro.
Habari za nishati/madini

14 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 10 - 16, 2017

MAJADILIANO MRADI WA BOMBA LA


MAFUTA SAFI- TANZANIA ZAMBIA YAANZA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin
Ntalikwa ameongoza Ujumbe wa Tanzania kushiriki katika
Mkutano wa Kujadili Kuendeleza Mradi wa Bomba la Mafuta Safi
la TAZAMA, uliofanyika Chinsali, nchini Zambia, mwezi Februari,
2017.
Mkutano huo unafuatia makubaliano ya Marais wa nchi za
Tanzania Dkt. John Magufuli na Rais wa Zambia Edgar Lungu
waliyoyafanya nchini Novemba, 2016. Katika mazungumzo pamoja
na mambo mengine, Marais hao walijadili kuhusu kuboresha
TAZAMA na mapendekezo ya ujenzi wa Bomba jipya la kusafirisha
Mafuta Safi lililotolewa na Rais Lungu.
Mkutano wa mwezi Februari, 2017 uliofanyika nchini Zambia
uliwahusisha Makatibu Wakuu na Watendaji Wakuu wa sekta husika
kutoka pande zote mbili, lengo likiwa ni kuendeleza majadiliano ya
kuanza kwa Utekelezaji wa mradi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta
Safi kutoka Dar es Salaam hadi Ndola nchini humo.
Mradi wa Bomba la Mafuta Safi unatarajiwa kuleta manufaa ya
kiuchumi na kijamii kwa Tanzania na Zambia ikiwemo kuendelea
kuimarisha uhusiano wa nchi hizo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa
(katikati) akieleza jambo wakati wa kikao cha kujadili Utekelezaji wa
Mradi wa Bomba Safi la Kusafirisha Mafuta. Wa kwanza kushoto ni
Kaimu Kamishna wa Nishati na Masuala ya Petroli, Mhandisi Innocent
Luoga. Kulia ni Kaimu Kamishna Msaidizi wa Nishati anayeshughulikia
masuala ya Petroli, Mhandisi Mwanamani Kidaya.

Ujumbe wa Tanzania, ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati


na Madini (katikati) wakiendelea na kikao cha majadiliano hukusu Mradi
wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Safi kutoka Dar es Salaam Tanzania
hadi Ndola nchini Zambia. Kwa upande wa Zambia, ujumbe huo Wajumbe wa Mkutano wa Kuendeleza Mradi wa Bomba la Mafuta Safi
uliongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Maendeleo Zambia, la TAZAMA, wakiendelea na mkutano wa kujadili Utekelezaji wa Mradi
Brigedia Mstaafu, Emelda Chola. husika. Mkutano huo ulifanyika nchini Zambia mwezi Februari mwaka huu.

Wajumbe wa Mkutano wa
Kuendeleza Mradi wa Bomba la
Mafuta Safi la TAZAMA wakiwa
katika picha ya pamoja mara
baada ya kumaliza mkutano. Wa
tatu kutoka kushoto waliokaa ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini, Prof. Justin Ntalikwa.
Anayefuatia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Maendeleo
Zambia, Brigedia Mstaafu, Emelda
Chola. Wa pili kulia waliokaa
ni Kaimu Kamishna wa Nishati
na Masuala ya Petroli, Mhandisi
Innocent Luoga na wa kwanza
kulia ni Kaimu Kamishna Msaidizi
wa Nishati anayeshughulikia
masuala ya Petroli, Mhandisi
Mwanamani Kidaya.
NewsBulletin 15
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 10 - 16, 2017

KIKAO CHA TATU CHA WATALAAM KUTOKA TANZANIA NA UGANDA


WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA NCHINI UGANDA HADI
BANDARI YA TANGA NCHINI TANZANIA WAKIJADILI MASUALA MBALIMBALI
YAKIWEMO MASUALA YA KODI KATI YA NCHI HIZO MBILI

Mratibu wa Mradi wa Bomba


la Mafuta ghafi upande wa
Tanzania, Salum Mnuna
kutoka Wizara ya Nishati
na Madini (anayeongea)
akiwakaribisha wataalamu
kutoka Tanzania na Uganda
ili kujadili mambo mbalimbali
ya utekelezaji wa Bomba
la Mafuta Ghafi kutoka
Hoima nchini Uganda hadi
Bandari ya Tanga nchini
Tanzania. Kushoto kwake
ni Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini
anayeshughulikia Nishati,
Dkt. Mhandisi Juliana
Pallangyo na wengine katika
picha ni watalaam kutoka
pande zote mbili Uganda na
Tanzania.
<<<<<<<

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Mratibu wa Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi upande wa Tanzania,
Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (anayeongea) akiwapongeza Salum Mnuna kutoka Wizara ya Nishati na Madini (anayeongea)
watalaam kwa kazi nzuri waliyoifanya baada ya siku tatu ya majadiliano akielezea hatua waliofikia baada ya majadiliano ya siku tatu baina yao
baina yao kuhusu utekelezaji wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima na watalaam kutoka Uganda. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania. Kushoto kwa Dkt. na Madini anayeshughulikia nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (wa
Pallangyo ni Afisa Mwandamizi wa Nishati, Adam Zuberi na kushoto ni pili kutoka kushoto), Afisa Mwandamizi wa Nishati , Adam Zuberi (wa
Mratibu wa Mradi upande wa Tanzania, Salum Mnuna kutoka Wizara ya kwanza kushoto) na upande wa kwanza kulia ni Mratibu wa Bomba la
Nishati na Madini. Mafuta ghafi kutoka upande wa Uganda John Bosco.

Naibu Katibu Mkuu


wa Wizara ya
Nishati na Madini
anayeshughulikia
Nishati, Dkt. Mhandisi
Juliana Pallangyo
(aliyesimama)
akihutubia watalaam
wa Mradi wa Bomba
la Mafuta ghafi kutoka
Hoima nchini Uganda
hadi Bandari ya Tanga
nchini Tanzania.
Wanaofuatilia ni
watalaam wa mradi
huo wa mafuta ghafi
kutoka nchi hizo mbili
Uganda na Tanzania.

<<<<<<<
Habari za nishati/madini

16 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 10 - 16, 2017

ELIMU KUHUSU MFUMO WA


TREIMS YATOLEWA NJOMBE
Wizara ya Nishati na Madini kupitia Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imeendesha mafunzo kuhusu mfumo
mpya wa uhifadhi data na utoaji taarifa kwa ajili ya nishati jadidifu ujulikanao kama Tanzania Renewable Energy Information Management
System (TREIMS) kwa wadau wa nishati jadidifu wenye lengo la kutangaza fursa za uwekezaji katika nishati jadidifu nchini, mjini Njombe.

Msimamizi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Wataalam wa Nishati na Tasnia ya Uziduaji (CADESE), Paul Kiwele (kushoto)
akielimisha moja ya wadau katika mafunzo hayo

Msimamizi wa Mradi
wa Kuwajengea
Uwezo Wataalam
wa Nishati na
Tasnia ya Uziduaji
(CADESE), Paul
Kiwele akisoma
hotuba ya ufunguzi
kwa ajili ya
mafunzo kuhusu
TREIMS kwa wadau
wa nishati jadidifu
kwa niaba ya
Kamishna Msaidizi-
Nishati Jadidifu
kutoka Wizara ya
Nishati na Madini
Mhandisi, Styden
Rwebangila
Sehemu ya wadau wa nishati jadidifu wakifuatilia mada mbalimbali
zilizokuwa zinawasilishwa katika mafunzo hayo.
NewsBulletin 17
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 10 - 16, 2017

You might also like