You are on page 1of 1

LCM TANZANIA BRANCH

LIB E R AT I O N C I T Y M I N IS T R IE S
P.OBox7715,DaresSalaam
Tel: +255222627629
Mobile: +255789610 667
+255688081868
Email:lcmtb@gmail.com
Address:KinondoniA
(KimbokaStreet)

06/07/2017

HABARI KWA UMMA

Greater Liberation City Tawi la Tanzania Leo limempokea rasmi Kiongozi Mkuu Duniani wa
Liberation City Ministries and Miracle Nabii,Dkt Chris Okafor .

Nabii,Dkt.Chris Okafor amekuja kwenye kongamano la Wakati wa Utulizo mwaka 2017 ambalo
linafanyika katika kanisa la Greater Liberation City tawi la Tanzania Kinondoni A Kituo cha Basi
Mnayanya Kona ya Kwanza ya Ukumbi wa PJ Mtaa wa Kimboka Dar es Salaam

Nabii,Dkt Okafor atakuwa akiwahudumia watu wote kwa takribani siku 4hapa Tanzania,pia
kutakuwa na Prayer line ambayo itaongozwa na Mtumishi wa Mungu Nabii,Dkt Chris Okafor

Aidha akifungua kongamano hilo amesema,Kuwa Anaunga Mkono Juhudi za Mhe Rais Magufuli
kwa Kuboresha hali ya Uchumi wa Tanzani ikiwa ni pamoja na kuhakikisha ulipwaji wa Kodi
unalipwa kwa wakati kwani hiyo ndio Misingi ya Nchi yoyote Duniani.

Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana Tazama Watalii wote kutoka nje wanakuja kutalii
Tanzania,Mimi pia nimekuja kuwafundisha,Kuwatabiria na kuwahubiri habari njema za Yesu
Mwana wa Mungu kwa kuwa watanzani watanzania wanaupendo ule wa kweli wa Kiungu

Pamoja na hayo yote bado injili itasimama na kuweka misingi ya kweli ya nchi kama anavyofanya
Mheshimiwa Rais Magufuli.

Ndugu zangu watanzania sasa ni wakati wa kutafakali na kuchukua hatua hasa katika kongamano
hili ambalo linakuja kwa wakati wa utulizo katika maisha yako,katika biashara yako,katika familia
yako,katika mahusiano yako na pia katika Uchumi wako na katika Mahusiano yako

Idara ya Habari na Mawasiliano


Greater Liberation City Tanzania Branch

Enock Mark Nyanda


Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano

LIB E R AT I O NCI T YM I N IS T R IE S