You are on page 1of 4

Kiswahili Songs 1

All Creatures Of Our God And King Asante Sana Yesu


McCall, Marty / Maddux, David / Mwenebulongo, Mmunga / Mukalay, Asukulu
'Yunu
Asante sana Yesu, asante sana Yesu,
asante sana Yesu moyoni. (x2)
Viumbe vyote vya Mungu wetu na Mfalme wetu!
(x2) Si ishi bila wewe, si ishi bila wewe,
Pazeni sauti, ilinasi twimbe! (x2) si ishi bila wewe moyoni. (x2)
All men, watu wote, All creatures, viumbe vyote,
Ev'rybody awaye yote, Praise the Lord! Sifu Ninakupenda Yesu, ninakupenda Yesu,
Mungu! (x2) ninakupenda Yesu moyoni. (x2)

All creatures of our God and King, O, sifuni Translation:


Thank you so much Jesusin my heart
Mungu! I cant live without youin my heart
Lift up your voice and with us sing! O, sifuni I love you Jesusin my heart
Mungu!
Thou burning sun with golden beam, Imbeni! Baraka za Mungu
Imbeni!
Thou silver moon with softer gleam; Pazeni sauti Baraka za Mungu Baba ni za (leader)
imbeni! ni za ajabu (x2)

Thou rushing wind that art so strong, O, sifuni zaweza kwenda juu
Mungu! zaweza kwenda chini
Ye clouds that sail in heav'n along, O, sifuni zaweza kwenda mbele
Mungu! zaweza kwenda nyuma
Thou rising morn in praise rejoice! Imbeni!
Imbeni! upande upande kwa mataifa yote (x2)
Ye lights of evening find a voice! Pazeni sauti
imbeni! Amani ya Mungu
Upendo wa Mungu
Thou flowing water, pure and clear, Hm hm hm Neema ya Mungu
hm
Make music for thy Lord to hear! Hm hm hm hm Translation:
Thou fire, so masterful and bright, Imbeni! The blessings of Father God are wonderful
That givest man both warmth and light; Imbeni!
they are above us, they are below us,
they are in front, they are behind,
(BRIDGE) they are all around us in this land.
Viumbe vyote vya Mungu wetu (x2)
The peace of the Lord
Pazeni sauti! Tusifu Mungu!
The love of the Lord
The grace of the Lord
Let all things their Creator bless, O, sifuni
Mungu!
And worship Him in humbleness! O, sifuni
Mungu!
O, praise the Father, praise the Son, Imbeni!
Imbeni!
And praise the Spirit, Three in One! Pazeni sauti
imbeni!

(ENDING)
O, sifuni Mungu! Imbeni! (x3) Tusifu Mungu!
(REPEAT)
Tusifu Mungu! (x2) Pazeni sauti na wote
imbeni!
O sifuni Mungu!
Kiswahili Songs 2

Hata Yesu Alipoketi Kanisa Litajengwa


Hata yesu alipoketi, mlima wa mzeituni, Kanisa litajengwa na akina nani (echo)
wanafunzi walimwendea wakamuuliza, I-oh-oh-oh-oh (x4) I-oh
nayo ni dalili gani ya kuja kwako Bwana nao vijana
naya mwisho wa dunia Yesu akawajibu. nao wamama
nao wazee
Angalieni, mtu asiwandanganye, nao watoto
kwasababu wengi watakuja kwa jina
langu. Translation:
The church will be built by who?
youth
Yesu kawambia tena, katika siku za mwisho, women
manabii wa uongo wotatokea, elders
na kwasababu hiyo, maasi yotaongezeka children
na upendo wa wengi nao utapoa.
Mambo Sawa Sawa
Translation:
As Jesus sat on the Mount of Olives Mambo sawa sawa, Mambo sawa sawa
His disciples went and asked Him,
What is the sign of You coming back? Yesu akiwa enzini
Jesus answered them, At the end of the world Mambo sawa sawa, Mambo sawa sawa
Mambo sawa sawa
Be watchful that no one deceives you
because many will come in My Name.
Things already better, things already better
Jesus told them again, At the end of the world For the Lord is on the throne
false prophets will come up, and because of this, Things already better, things already better
rebellion will come up and the love of many will cool. Things already better

Hakuna Mungu Moto Umewaka


Hakuna Mungu kama wewe Moto umewaka leo. Moto ni kazi ya Yesu.
hakuna Mungu kama we Moto umewaka leo. Tuimbe Hallelujah, moto
hakuna Mungu kama wewe umewaka.
hakuna na hatakuwepo
Na Yesu ni mshindi, moto umewaka.
Nimetembea kote kote Na tena ni mwokozi, moto umewaka.
nimezunguka kote kote Tusifu jina lake, moto umewaka.
nimetafuta kote kote
hakuna na hatakuwepo Translation:
The fire has been lit today. The fire is Jesus work.
Theres no one, theres no one like Jesus The fire has been lit today.
Lets sing Hallelujah, the fire has been lit.
Theres no one, theres no one like him
Theres no one, theres no one like Jesus And Jesus is the conqueror, the fire has been lit.
Theres no on, theres no one like him And He is the Savior again, the fire has been lit.
We praise His name, the fire has been lit.
I walked and walked all over over
I turned and turned all over over
I searched and searched all over over
Theres no one, theres no one like him
Kiswahili Songs 3

Mwamba Parapanda (not quite right)


Mwamba, mwamba, mwamba, mwamba Parapanda inalia kule mbinguni
Mwamba mwamba, Yesu ndiye mwamba. Denge denge mara iko Bwana mimi ya (x2)

Na vijana nao watasimama msingi wao ukiwa Mara iko Bwana mimi ya Bwana
kwenye mwamba. Mara parapanda inalia
Ninalia kwa sauti zulia shangwe
wamama Denge denge mara iko Bwana mimi ya
wababa
watoto Bwana Yesu mwanapiga parapanda
Translation: Sisi sotu tutapiga parapanda
RockJesus is the rock.
And the sons will stand on the foundation of the rock.

women
Tumsifu
men
children Tumsifu, tumsifu
Tumsifu asubuhi, tumsifu saa sita
Nishike Mkono Bwana Tumsifu, tumsifu
Tumsifu hata jioni.
Nishike mkono Bwana, nishike mkono. (x2)
Anaweza
Mimi na wewe Bwana, mimi na wewe. (x2) Tumwinue

Translation:
Twende pamoja Bwana, twende pamoja. (x2)
Praise Him, praise Him,
Praise Him in the morning, praise Him at noon time
Uniinue Bwana, uniinue. (x2) Praise Him, praise Him,
Praise Him when the sun goes down.
Translation:
Hold my hand Lord, hold my hand. He is able
Its You and I Lord, its You and I. We will lift Him up
Lets go together Lord, lets go together.
Lift me up Lord, lift me up.
Unastahili Bwana
Nitamwimbia Bwana Unastahili kuabudiwa
Unastahili ewe Bwana
Nitamwimbia Bwana kwa kuwa yeye ameniona. Unastahili kuabudiwa
(x2) Unastahili we
Ameniona, ameniona, ameniona, ameniona.
Bwana wa Mabwana
Nitamwabudu Bwana wa Majeshi
Nitamsifu Bwana wa Miungu
Nitamshukuru Bwana wa Wafalme
Nitamwinua
Translation:
Translation: You are worthy of our worship.
I will sing for the Lord, for He has seen me. You are worthy oh Lord.
I will worship You are worthy of our worship.
I will praise You are worthy.
I will thank
I will lift up Lord of Lords
Lord of armies
Lord of gods
Lord of Kings
Kiswahili Songs 4

Yesu ni Wangu
Yesu ni wangu wa uzima wa milele (echo) (x2)
wa uzimawa milele (x4)

Yahweh Yahweh Yahweh Yahweh


eh Yahweh Yahweh eh (eh Yahweh)
(x2)
eh Yahweh Yahweh eh (eh Yahweh)
(x4)

Anatupenda wa uzima wa milele (echo)


Anatujali wa uzima wa milele (echo)
wa uzimawa milele (x4)

Translation:
Jesus is mine forevermore, for eternity.
He is forevermorefor eternity.

He loves us
He cares for us

Yu Mwema Yesu
Yu mwema, yu mwema Yesu
Yu mwema, yu mwema Yesu
Yu mwema, yu mwema Yesu
Yu mwema, yu mwema Yesu

Translation:
Jesus is good.