Jarida la Wizara ya Habari

Utamaduni Sanaa na
Michezo

TOLEO 001 LA MTANDAONI OKTOBA, 2017

Uk. NDANI
TANZANIA kuwa Mwenyeji Tamasha la
01 JAMAFEST 2019

Uk. Mhe. Juliana Shonza Naibu Waziri Mpya wa
03 Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

www.habari.go.tz
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

DAWATI LA UHARIRI
MSANIFU JARIDA
Benedict J. Liwenga

WAANDISHI
Lorietha Laurence
Anitha Jonas
Genofeva Matemu
Shamimu Nyaki
Eleuteri Mangi

WAANDAAJI
Jarida hili limetolewa na
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Jengo la LAPF
Mtaa wa Makole Uhindini
S.L.P 25
DODOMA-TANZANIA
Simu : 026-2322129
Faksi : 026-2322128
Barua Pepe:km@habari.go.tz
Tovuti: www.habari.go.tz

i
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

YALIYOMO
HABARI KURASA
Tanzania iko tayari kuwa Mwenyeji Tamasha la JAMAFEST 2019 ..................................................1

Mhe. Juliana Shonza ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Habari .........................................................3

Majadiliano ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii ....................................5

Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Kimataifa Bagamoyo ..............................................................7

Mkandarasi Mpya wa Utoaji Tiketi Uwanja wa Taifa-Dar es Salaam................................................9

Tamasha la Utamaduni Tukuyu-Mbeya ............................................................................................11

Matumizi ya Kiswahili Fasaha kwa Watangazaji .............................................................................13

Naibu Waziri Shonza aahidi kusimamia Maadili ya Mtanzania ......................................................14

Matukio mbalimbali katika Picha .....................................................................................................16

ii
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Dkt. Harrison Mwakyembe:
Tanzania iko Tayari kuwa Mwenyeji
wa Tamasha la JAMAFEST 2019

mwaka 2017 ambapo wenyeji Waziri Mwakyembe aliezea
Na. Benedict Liwenga kwa mwaka huu ilikuwa ni nchi kufurahishwa kwake kwa
ya Uganda. kujionea ngoma mbalimbali
W aziri wa
Utamaduni, Sanaa na
Habari,

Michezo. Mhe. Dkt. Harrison
Mhe. Mwakyembe alizipongeza
za kitamaduni toka kwa nchi
wanachama ambazo zinaakisi
nchi Wanachama wa Jumuiya ya uhalisia wa utamaduni wa nchi
Mwakyembe alisema kwamba,
Afrika Mashariki (EAC) ambazo hizo, pia alifurahishwa na kwa
Tanzania iko tayari kuwa wenyeji
zilihudhuria tamasha hilo kwa kujionea bidhaa mbalimbali
wa Tamasha la Utamaduni na
ushirikiano wa hali ya juu katika adimu toka kwa nchi hizo, jambo
Sanaa Afrika Mashariki maarufu
kubadilishana uzoefu na ujuzi ambalo alisisitiza kwamba,
kama JAMAFEST kwa mwaka
juu ya masuala mbalimbali nchi wanachama hazinabudi
2019.
yanayohusu utamaduni na kuendelea kushirikiana katika
sanaa kwakuwa yameongeza kuzilinda tamaduni hizo na
Kauli hiyo aliitoa Mjini Kampala
mahusiano mapya ya karibu kuendelea kujifunza ujuzi
nchini Uganda wakati wa
baina ya nchi hizo. mbalimbali wa kazi za sanaa.
Ufungaji wa Tamasha hilo kwa

1
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

nchi wanachama kujitahidi Dkt. John Pombe Magufuli.
kushiriki pasipo kukosa wakiwa
na bidhaa zao za kutosha huku Tamasha la JAMAFEST
“Nilipotembelea Maonyesho ya akiwaahidi kuwa pindi wajapo lilianzishwa mwaka 2013 nchini
Tamasha hili pale katika viwanja Tanzania watafurahia mambo Rwanda na baadhi ya Viongozi
vya Kololo nilifurahi sana mengi na kujionea namna wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
kujionea ngoma za kitamaduni Watanzania wanavyo chapa kazi ambapo kwa mwaka huu
toka kwa vikundi mbalimbali vya kutokana na kaulimbiu ya ‘HAPA tamasha hilo limefanyika mjini
nchi wanachama wa Jumuiya KAZI TU’ iliyoasisiwa na Rais wa Kampala nchini Uganda na
yetu ya Afrika Mashariki, hakika Awamu ya Tano wa Jamhuri ya kwa mwaka 2019 linatarajiwa


inapendeza sana, kwakweli Muungano wa Tanzania, Mhe. kufanyika nchini Tanzania.
tuzidi kuzilinda tamaduni zetu na
kushirikiana kwa karibu zaidi”,
Kwakuwa mwaka 2019 ni mzunguko wa
alisema Mhe. Mwakyembe. Tamasha kama hili niwaambie kwamba,
Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji wa
Akiongelea kuhusu suala la
Tanzania kukubali kuwa wenyeji
Tamasha hili na nawakaribisheni kwa dhati
wa Tamasha lijalo litakalofanyika kabisa mje kujionea nchi yetu na namna
mwaka 2019, Dkt. Mwakyembe tunavyofanya kazi kwa bidii, lakini pia mje na


alisema kwamba, Tanzania
iko tayari kuwa wenyeji katika
bidhaa nyingi zaidi kwa ajili ya kuwaonyesha
tamasha hilo lijalo na akazitaka Watanzania;- Dkt. Mwakyembe

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nuru Millao (kushoto)
akipatiwa maelezo na Mjasiriamali wa Kitanzania kuhusu ubora wa nguo za Batiki wakati alipotembelea
mabanda ya Watanzania katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki maarufu kama
JAMAFEST 2017 lililofanyika Mjini Kampala nchini Uganda mapema Septemba mwaka huu.
Inaendelea Uk. 2
21
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Mhe. Juliana Shonza ateuliwa kuwa
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari
Na. Mwandishi Wetu
Jaffo na Waziri Ofisi ya Rais,
R ais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli aliwaapisha
wa Dini, pamoja na viongozi wa
vyama vya siasa. Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora George
Mawaziri saba, Manaibu Waziri Katika hafla hiyo, Mawaziri Mkuchika.
16 wa Wizara mbalimbali pamoja walioapishwa ni pamoja na
na Katibu mpya wa Bunge hivi Waziri wa Wizara ya Mifugo na Nanaibu Mawaziri walioapishwa
karibuni. Uvuvi, Luhaga Mpina, Wizara ni pamoja na Mhe. Juliana
ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi D. Shonza ambaye ni Naibu
Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Jijini Isack Kamwelwe, Wizara ya Waziri wa Wizara ya Habari,
Dar es Salaam na kuhudhuriwa Nishati Dk. Medard Kalemani, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
na Makamu wa Rais, Mhe.Samia Wizara ya Madini, Angellah Stella Alex Ikupa Sera wa Bunge,
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu, Kairuki, Wizara ya Maliasili Kazi, Ajira na Walemavu, William
Mhe. Kassim Majaliwa, Mhe. Jaji na Utalii, Hamis Kigwangalla, Ole Nasha wa Wizara ya Elimu
Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Wizara ya Kilimo Dk. Charles Sayansi na Teknolojia, Kangi
Juma, Mhe. Spika wa Bunge Job Tizeba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Lugola wa Ofisi ya Makamu wa
Ndugai, Katibu Mkuu Kiongozi Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Rais Mazingira na Muungano,
Balozi Kijazi, Mawaziri, viongozi za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Elias John Kwandikwa wa

3
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na familia ya Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza mara
baada kumalizika kwa hafla ya kiapo Ikulu hivi karibuni Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa
Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan na wa pili kulia ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa.
Ujenzi, pamoja na Mhandisi pia alimuapisha Bw. Stephen Hii siyo mara ya kwanza kwa
Atashasta Nditiye Naibu Waziri Kagaigai kuwa Katibu wa bunge Mhe. Rais Dkt. John Pombe
wa Uchukuzi na Mawasiliano. ambaye amechukua nafasi Magufuli kufanya mabadiliko
ya Dkt. Thomas D. Kashilila katika Baraza hilo tangu aingie
Wengine walioapishwa ni Mawaziri na Manaibu Waziri madarakani mwaka 2015,
alikuwa Dkt. Faustine. Ndugulile walioapishwa tayari wameanza kwani amekuwa akifanya
Naibu Waziri Wizara ya Afya, majukumu yao mara moja baada mabadiliko madogo madogo
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, ya kumalizika kikao cha Baraza pale inapolazimu.
Wazee na Watoto, Dkt. Mary la Mawaziri kilichofanyika Ikulu
Machuche Mwanjelwa Wizara mara baada ya kuapishwa kwao.
ya Kilimo, Abdala Ulega Wizara
ya Mifugo na Uvuvi, Subira Mabadiliko ya Baraza la
Hamis Mgalu Wizara ya Nishati, Mawaziri yameongeza idadi ya
Haruni Nyongo Wizara ya Mawaziri kutoka 19 hadi 21, na
Madini, Ngailonga Josephat Naibu Mawaziri kutoka 16 hadi
Kashunga Wizara ya Maliasili na 21, ambapo iliyokuwa Wizara ya
Utalii, Injinia Stella Manyanya Nishati na Madini imegawanywa
Wizara ya Viwanda Biashara na na kuwa Wizara ya Nishati na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Uwekezaji, Josephati Kandenge Wizara ya Madini na iliyokuwa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe
na George Kakunda Ofisi ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Magufuli akiagana na Mhe. Juliana
Rais, Tawala za Mikoa na Uvuvi imegawanywa na kuwa Shonza mara baada ya kumuapisha
Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Wizara ya Kilimo pamoja na kuwa Naibu Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo
Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Ikulu, Dar es Salaam
Katika hafla hiyo Rais Magufuli

4
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Majadiliano ya Kanuni za
Maudhui ya Utangazaji na
Mitandao ya Kijamii

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na Wamiliki,
Wawakilishi wa Vyombo vya habari pamoja na watendaji mbalimbali wa Serikali katika Mkutano uliohusu majadiliano
ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii hivi karibu Jijini Dar es Salaam.

Na. Mwandishi Wetu Ole Gabriel amesema kuwa, na Televisheni na Kanuni za
katika kufanya hivyo ni wajibu Maudhui Mtandaoni.

S erikali imesema kwamba,
kasi kubwa ya maendeleo
ya teknolojia ya habari na
wa wadau wote kushirikiana
kutumia vyema maendeleo hayo
ya teknolojia kwa ajili ya ustawi
“Ni wajibu wetu kama taifa
linalosimamia maadili na ambalo
mawasiliano ambayo imeikumba wa jamii na maendeleo ya taifa. lingependa kudumisha amani na
sekta ya habari inalazimu jamii mshikamano, kutunga kanuni
kufanya maboresho ya mara Profesa Elisante aliyasema ambazo zitahakikisha kuwa
kwa mara ya Sera na Kanuni ili
hayo hivi karibuni wakati kunakuwa na matumizi mazuri,
kuepusha matumizi mabaya ya akifungua Mkutano wa siku sahihi na salama ya maudhui
vyombo vya habari. moja wa majadiliano miongoni ya mtandaoni”, alisema Profesa
mwa wadau wa sekta ya habari Elisante.
Katibu Mkuu wa Wizara ya kuhusu mapendekezo ya Kanuni
Habari, Utamaduni, Sanaa za maudhui yanayorushwa na Aliwaambia washiriki wa
na Michezo, Profesa Elisante vituo vya Utangazaji vya Redio mkutano huo kuwa, kuweka

5
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (aliyekaa
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji mbalimbali wa Wizara na Taasisi za Serikali mara
baada ya kikao cha kujadili Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii kilichofanyika
hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.

kanuni ni suala muhimu na “Ni kweli kwamba, teknolojia hii iliongeza muda wa siku saba kwa
kuwakumbusha matumizi ya ina changamoto katika usimamizi wadau wa sekta ya Utangazaji
mfumo wa habari mtandaoni lakini hakuna uhuru usio na na Mitandao kuwasilisha
wakati mwingine umetumika mipaka. Kwa hiyo, imekuwa ni maoni yao kuboresha kanuni
kupotosha jamii, kujenga chuki, wajibu wa kila nchi kutafakari zilizopendekezwa.
kutoa habari za faragha za mahitaji na umuhimu wa kutoa
watu binafsi au habari zilizoleta miongozo itakayosaidia jamii na Akifunga mkutano huo, Profesa
sintofahamu miongoni mwa Taifa”, Alisema, Profesa Elisante. Elisante alisema kuwa, ni vyema
jamii. wadau wakaitumia fursa hiyo
Mapema akimkaribisha Katibu kuwasilisha maoni yao kwa
Aliongeza kuwa, kufanyika kwa Mkuu, Mkurugenzi wa Idara maandishi ili kuboresha kanuni
mkutano huo ni jambo muhimu ya Habari na Msemaji Mkuu hizo hatimaye Taifa kuwa na
kwa kuwa washiriki watapata wa Serikali Dkt. Hassan kanuni bora kwa faida ya jamii
fursa ya kujadili kanuni hizo Abassi aliwaeleza washiriki yote.
ambazo baadhi zinadaiwa wa mkutano huo kwamba,
kuwa zimepitwa na wakati na mkutano huo ni muhimu katika Aidha, Profesa Elisante
pia haziendani na utendaji kazi historia ya maendeleo ya tasnia aliwashukuru washiriki kwa
katika ushindani wa soko. ya habari nchini kwa kuwa kutoa maoni yao na kuahidi
umelenga kuweka kanuni bora kuwa Serikali itayafanyia kazi
Akiwa kama Mwenyekiti wa zitakazoratibu tasnia ya habari. maoni hayo.
Mkutano huo, Profesa Elisante
aliongeza kuwa, pamoja na “Tumeitana hapa kushauriana Alisisitiza kuwa, ni ukweli
kuwa bado kumekuwepo na kuhusu kanuni hizi, hivyo hakuna kwamba, Vyombo vya habari
mijadala mikali katika nchi haja ya kueneza wasiwasi kuwa vinafanya biashara na pia vina
nyingi zikiwemo za Magharibi katika mitandao ya kijamii kuwa wajibu wa kuelimisha jamii, hivyo
kuhusu uwekaji kanuni lakini Serikali imedhamiria kudhibiti vitu viwili havina budi kwenda
ukweli unabaki kuwa nchi hizo Vyombo vya habari”, alsiema sambasamba bila kuathiri
zimeweka Sheria na Kanuni Dkt. Abbassi. upande mwingine.
zinazosimamia matumizi ya
intaneti. Wakati huo huo, Serikali

6
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Tamasha la Sanaa na Utamaduni
la Kimataifa Bagamoyo ladhamiria
kuleta tija kwa Wasanii ndani na
nje ya Nchi Michezo, Mhe. Dkt. Harrison
Mwakyembe wakati wa uzinduzi
wasanii wetu na Taasisi yetu”,
alisema Dkt. Mwakyembe.
wa tamasha la 36 la Sanaa
Na. Genofeva Matemu na Utamaduni la kimataifa Aidha, Mhe. Dkt. Mwakyembe
Bagamoyo jana katika Taasisi aliipongeza Bodi, Menejimenti,
B odi ya Ushauri ya Taasisi
ya Sanaa na Utamaduni
Bagamoyo (TaSUBa) imeagizwa
hiyo mjini Bagomoyo. Wafanyakazi na Wanachuo wote
wa TaSUBa kwa kazi kubwa
“Tangu kuanzishwa kwa wanayoifanya kila mwaka ya
kukaa na kufanya tathmini ya tamasha hili mwaka 1982, kuandaa na kuendesha Tamasha
kina kuandaa mpango mkakati Tamasha limeendelea kuwa hilo kwa kipindi cha miongo
mzuri wa namna ya kuliendesha kivutio kikubwa kwa Wasanii na mitatu na nusu mfululizo na
Tamasha la Sanaa na Utamaduni wadau wa sanaa ndani na nje ya kuwataka kutembea kifua mbele
ili liweze kuwa na tija zaidi kwa nchi na wananchi kwa ujumla, kwa rekodi hiyo iliyotukuka ndani
wasanii na Taasisi kwa ujumla. hivyo ni vyema Bodi ya Ushauri na nje ya nchi.
ya TaSUBa ikapanga mikakati
Rai hiyo ilitolewa na Waziri wa yenye tija zaidi kwa maslahi ya Dkt. Mwakyembe alisema kuwa,
Habari, Utamaduni, Sanaa na

7
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

lengo la Tamasha hilo ni pamoja
na kutunza na kuenzi sanaa
na utamaduni wa mtanzania,
kutengeneza jukwaa ambalo
wanafunzi wa TaSUBa
wanalitumia kupima
kiwango chao cha
umahiri katika
sanaa kwa mwaka,
kukutanisha watu
wa tamaduni
mbalimbali
kutoka sehemu
tofauti Duniani
ili kuonyesha
utajiri wao
wa sanaa na
utamaduni,
pamoja na
kutengeneza jukwaa
ambalo ni kiungo cha
kujenga mahusiano ya
wasanii wa ndani na nje
ya nchi kupitia maonyesho ya
sanaa na kubadilishana uzoefu
na uwezo katika kuendeleza
tasnia ya sanaa.
wakiuonyesha katika na Utamaduni la Kimataifa la
Kwa upande wake Mtendaji kushirikiana na taasisi hiyo katika Bagamoyo lililokuwa na kauli
Mkuu wa Taasisi ya Sanaa kuendeleza na kuthamini sanaa mbiu isemayo “Sanaa na
na Utamaduni Bagamoyo na utamaduni wa mtanzania. Utamaduni katika kupiga
(TaSUBa) Dkt. Herbert Makoye vita madawa ya kulevya”
alisema kwamba, taasisi yake Naye Chifu wa Unyanyembe lilishirikisha wasanii kutoka
inajivunia mafanikio makubwa na Mwenyekiti wa Chama Kenya, Ufaransa, Uingereza,
wanayoendelea kuyapata kupitia cha Machifu Tanzania, Mhe. Zimbabwe na Visiwa vya Mayyote
tamasha hilo kwani kwa sasa Msagati Fundikira aliwapongeza na lilihudhuriwa na Mabalozi
tamasha linajumuisha wasanii watendaji wa TaSUBa kwa kutoa mbalimbali akiwemo Balozi wa
wa ndani na nje ya nchi pamoja wataalam wazuri katika fani Malawi, Balozi wa Palestina,
na wanafunzi waliosoma katika ya sanaa na utamaduni kwani Balozi wa Uholanzi pamoja na
taasisi hiyo miaka ya nyuma na kwa kufanya hivyo wamekua wawakilishi kutoka Ubalozi wa
waliopo mafunzoni. wakiendeleza na kudumisha Zambia, Saudi Arabia, Msumbiji,
utamaduni wa mtanzania kwa Japan, Ujerumani, Marekani,
Dkt. Makoye aliwashukuru vizazi vya leo. India, Urusi na Angola.
wakazi wa Bagamoyo kwa
ushirikiano ambao wamekua Tamasha hilo la 36 la Sanaa

8
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Dkt. Harrison Mwakyembe:
“Nataka Mkandarasi Mpya wa
Kutoa Tiketi Uwanja wa Taifa”
wakati alipotembelea Uwanja wa inasababishwa na urataibu
Na. Benedict Liwenga Mpira wa Miguu wa Nangwanda mbovu wa utoaji tiketi.
ili kujionea miundombinu ya
uwanja huo ikiwemo baadhi Akiongea na Uongozi wa Uwanja
W
Dkt.
aziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Mhe.
Harrison Mwakyembe
ya changamoto zinazozikabili
kiwanja hicho.
huo wa Nangwanda Mkoani
hapo alisema kwamba, kwakuwa
alisema kwamba, pindi Uwanja sasa Uwanja wa Taifa uko katika
wa Taifa Dar es Salaam Dkt. Mwakyembe alisema ukarabati, pindi utakapokamilika
utakapokamilia kufanyiwa kwamba, kumekuwa na Mkandarasi mpya lazima
ukarabati atahakikisha changamoto ya kutofahamika apatikane ili pindi mtu anunuapo
anapatikana Mkandarasi Mpya idadi kamili ya watu tiketi yake iendane na kiti chake
mwenye vigezo na ambaye wanaoingia ndani ya uwanja atakachokaa na sio vinginevyo
ataleta mabadiliko hususani hali inayopelekea watu kukaa kwakuwa kwa kufanya hivyo
katika utoaji tiketi kulingana na ovyo katika sehemu zisizo kutasaidia kuboresha sura za
namba za viti vilivyopo ndani ya rasmi na wengine kulundikana viwanja nchini.
Uwanja huo. nje ya uwanja wakati pesa za
viingilio wamelipia ambapo “Napenda kusisitiza suala
Kauli hiyo aliitoa Mkoani Mtwara ameweka wazi kuwa hali hiyo hili kuwa, ntahitaji apatikane

98
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Mkandarasi atakaetoa tiketi changamoto za uwanja huo katika Viongozi wa Juu wa Chama cha
kulingana na siti atakayokaa Mapinduzi (CCM) ili waweze kushirikiana kwa pamoja kuona namna
mtazamaji wa mpira, kwasababu ya kuzitatua baadhi ya changamoto hizo.
kumekuwa na kero kubwa katika
utoaji tiketi hapo mwanzo jambo Uwanja wa Nagwanda ulianzishwa miaka ya 1980 ambapo awali
ambalo halileti sura nzuri kwa ulikuwa ukiitwa jina la Uwanja wa Umoja Mtwara na baadaye
jamii”, alisema Dkt. Mwakyembe. kupewa jina la Uwanja wa Nagwanda lililotokana na jina la mtu
maarufu wakati huo.
Aliongeza kuwa, Watanzania
hawanabudi kuiga mifano ya nchi
nyingine ambazo zimejidhatiti “Napenda kusisitiza kuwa, nitahitaji
katika masuala ya utoaji tiketi apatikane Mkandarasi atakaetoa tiketi
wakati wa michezo. kulingana na siti atakayokaa mtazamaji
Sambamba na hayo, Waziri wa mpira, kwasababu kumekuwa na kero
Mwakyembe aliupongeza kubwa katika utoaji tiketi hapo mwanzo
uongozi wa uwanja huo kwa jambo ambalo halileti sura nzuri kwa jamii”
kazi kubwa wanayoifanya ya
kuutunza uwanja wa Nangwanda -DKT. HARRISON MWAKYEMBE
huku akiaihidi kuzifikisha

10
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Tamasha la Utamaduni
Tukuyu chachu ya kukuza na
kuendeleza Utamaduni nchini
sanaa yao ili waweze kujijengea
Na. Eleuteri Mangi Tukuyu Mkoani Mbeya wakati wa
jina na kutambulika ndani na nje
ufunguzi wa Tamasha la Ngoma
ya nchi.
K atibu Mkuu wa Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Prof. Elisante Ole
za Jadi linaloratibiwa na Taasisi
ya Tulia Trust inayoongozwa
na Naibu Spika wa Bunge “Vijana muendelee kuthamini
Gabriel amewataka Watanzania la Jamhuri ya Muungano wa utamaduni wetu, tusiposimamia,
kuenzi na kuimarisha Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kuwekeza na kuthamini
utamaduni wao ili kuepukana inayojishughulisha na masuala utamaduni wetu, utamaduni wa
na chamgamoto ya utamaduni ya kukuza na kuendeleza nchi za Magharibi utawachukua
kutoka nchi za magharibi utamaduni nchini. vijana wetu na kuacha tunu yetu
unaoletwa ukuaji wa sayansi na ya asili tangu enzi za babu zetu”,
teknolojia. Prof. Elisante aliwahakikishia alisema Prof. Elisante
vijana kuwa kuwekeza mahali
Prof. Elisante aliitoa kauli hiyo salama, hivyo waendelee kukuza Prof. Elisante aliwahakikishia

11
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

pia waandaaji wa tamasha hilo
kuwa, Serikali ipo pamoja nao
na kuwataka wapanue wigo wa
tamasha hilo ili liweze kuwa na
matawi na kuwafikia watu wengi
zaidi nchi nzima.

Akifungua tamasha hilo, Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya , Mhe.
Amos Makala alisema kwamba,
tamasha hilo limekuwa
kichocheo cha kukuza na
kuendeleza utamaduni wa
Mtanzania hatua inayoongeza
fursa ya ajira kwa vijana mkoani
Mbeya.

“Utamaduni ukitumika vizuri una Ackson alisema kuwa, tamasha Bagamoyo (TaSUBa) na mwaka
fursa nyingi kwa vijana katika hilo linafanyika kwa mara ya pili huu walishapeleka vijana 27 na
maeneo mbalimbali ikiwemo ambapo mwaka huu limekuwa kupatiwa ujuzi utakaowasaidia
tasnia ya sanaa ambayo na wigo mpana kwa kushirikisha kufanya shughuli zao kwa tija.
itawasaidia vijana kujipatia ajira vikundi vya ngoma kutoka
hatua inayowasaidia kuinua maeneo mbalimbali nchini. Tamasha hilo linahusisha mikoa
kipato chao na uchumi wa taifa” mbalimbali ikiwemo Mwanza,
alisema Mkuu huyo wa Mkoa. Kuhusu manufaa ya tamasha Lindi, Katavi, Dodoma, Kagera,
hilo, Dkt. Tulia alisema kuwa, Tanga, Mtwara, Kigoma na
Kwa upande wake Mwasisi wa mwaka jana taasisi hiyo ilipeleka wenyeji mkoa wa Mbeya.
Taasisi ya Tulia Trust ambaye vijana 20 kupata mafunzo
pia ni Naibu Spika wa Bunge ya kitaalamu kwenye fani ya
la Jamhuri ya Muungano wa sanaa na utamaduni katika
Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Taasisi ya Sanaa na Utamaduni

Naibu Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akipokea
zawadi ya DVD kutoka kwa
Mchungaji Damian Matipa
wa Kanisa la Uponyaji
Mbeya Mjini yenye
nyimbo za kumpongeza
Naibu Spika kwa kazi
anazofanya.

12
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Waandishi wa Habari na
Watangazaji watakiwa kutumia
Kiswahili fasaha
Na. Shamimu Nyaki Kiswahili ili kukitangaza na muda wa ukomo uliotolewa
kukiendeleza kama adhma ya kumalizika kulingana na Sheria

S erikali imewataka Waandishi
wa Habari na Watangazaji
kutumia Lugha ya Kiswahili kwa
Serikali inavyosema.

“Nyie ni Mabalozi wa lugha
ya Habari ya mwaka 2016
inavyosema.

ufasaha wanapofikisha ujumbe yetu ya Kiswahili kwa kuwa Akizungumzia Sekta ya
kwa hadhira na kuzingatia mnakitumia kila siku katika Sanaa na Utamaduni, Dkt.
kuwa Kiswahili ndio lugha kufikisha ujumbe kwa hadhira Mwakyembe alieleza kuwa,
inayotambulisha Taifa letu. yenu, hivyo mnapaswa kukitumia Serikali inaendelea kuandaa
kwa ufasaha kuleta maana Sera nzuri itakayoleta matokeo
Hayo yalisemwa na Waziri wa ambayo mmeikusudia”. Alisema chanya kwa Wasanii kupitia
Habari, Utamaduni, Sanaa na Dkt. Mwakyembe. kazi zao hususani suala la wizi
Michezo, Mhe. Dkt. Harrison wa kazi hizo pamoja na kuwa
Mwakyembe alipotembelea Aidha, amewataka waandishi na Hati Miliki ya kazi zao kwa
Kituo cha Redio cha Times FM na watangazaji ambao bado kushirikiana na COSOTA.
ambapo amewataka Waandishi hawakizi vigezo vya kuwa
na Watangazaji kuzingatia katika tasnia hiyo kwenda Kwa upande wake Meneja
Utamaduni wa nchi yetu hasa shule kuongeza elimu na ujuzi wa Vipindi wa Redio hiyo, Bw.
matumizi sahihi ya lugha ya unaotakiwa katika fani hiyo kabla Amani Missana alisema kuwa,

13
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

redio hiyo inashiriki kikamilifu katika kuhamasisha Watanzania kuunga mkono Sera ya Tanzania ya
Viwanda kupitia vipindi mbalimbali ikiwemo kipindi cha “Hatua Tatu” kinachorushwa kila siku za wiki
asubuhi.

Hata hivyo, ameishukuru Serikali kwa ushirikiano inaowapatia katika kutekeleza wajibu wao wa
kuwaelimisha na kuwaburudisha wananchi na kuahidi kuendelea kufanya hivyo kwa uzalendo bila
kuvunja Sheria ya kanuni za Utangazaji na uandaaji wa vipindi vyenye kutoa mtazamo chanya kwa
wananchi.

Naibu Waziri Shonza aahidi
kusimamia maadili ya Mtanzania

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wa pili kushoto) akiongea
na baadhi ya Viongozi wa Wizara hiyo akiwemo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.
Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kushoto) mara baada ya kuwasili ofisini mjini Dodoma. Wa
kwanza kulia ni aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Anastazia Wambura.

14
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Na. Eleuteri Mangi

N aibu Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa
Michezo, Mhe. Juliana Shonza
na

ameahidi kushirikiana na
Watendaji wa Wizara, wadau
pamoja na wananchi kwa ujumla
kusimamia maadili ya Mtanzania
ili kuendelea kuwa na taifa bora.

Mhe. Shonza aliyasema hayo
wakati alipowasili katika ofisi za
Wizara hiyo mapema wiki hii mjini
Dodoma, ambapo alipokelewa
na Waziri mwenye dhamana,
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe,
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
viongozi wa Wizara pamoja na
Juliana Shonza (kushoto) akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa
watumishi wa Wizara.
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Nuru Millao
(kulia) mara baada ya kuwasili ofisini mjini Dodoma.
“Wizara hii ni muhimu sana kwa
kuwa inajenga taswira ya Taifa
kupitia sekta zake ambazo ni Naye aliyekuwa Naibu Waziri Naibu Waziri nakukabidhi kijiti
Habari, Utamaduni, Sanaa na wa Wizara hiyo, Mhe. Anastazia endelea na safari, endelea
Michezo, hivyo nitahakikisha Wambura amempongeza Naibu kuwatumikia Watanzania kama
tunashirikiana kwa karibu katika Waziri Shonza kwa kuteuliwa ambavyo ilani ya Chama Tawala
kuwatumikia wananchi “, alisema kushika wadhifa huo na pia inavyoeleza”, alisema Mhe.
Mhe. Shonza. amemshukuru Mhe. Rais wa Wambura.
Jamhuri ya Muungano wa
Aliongeza kusema kuwa, Tanzania, Dkt. John Pombe Kwa upande wake Waziri wa
atahakikisha suala la maadili Magufuli kwa kumuamini Habari, Utamaduni, Sanaa na
bora kwa jamii linazingatiwa ili kuwatumikia Watanzania. Michezo, Mhe. Dkt. Harrison
kuendelea kujenga taifa imara Mwakyembe amemuahidi Naibu
kwa kuzingatia mavazi yenye Akizungumzia utendaji kazi, Waziri Shonza ushirikiano wa
heshima na nyimbo zenye Mhe. Wambura ameufananisha hali na mali katika kuwahudumia
kujenga. utumishi wa umma kama wananchi kupitia sekta za
chombo cha usafiri ambapo Habari, Utamaduni, Sanaa na
Mhe. Shonza alisisitiza kwamba, abiria hushuka kituo mara baada Michezo.
ni wajibu wetu kama watumishi wa ya kufika na dereva kuendelea “Wizara
Umma kuhakikisha tunatekeleza na safari. hii ni muhimu
Ilani ya Chama Tawala ambacho sana kwa kuwa inajenga
taswira ya taifa kupitia
kiliahidi kuwatumikia watanzania “Mhe.Waziri, viongozi wenzangu
sekta zake”
ili kuhakikisha kuwa, malengo ya na ndugu zangu watumishi wa -; Mhe.Shonza
Serikali yanafikiwa kwa wakati. Wizara, mimi nimefika kituoni,

15
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Harrison Mwakyembe akishiriki matembezi ya mapambano Mhe. Juliana Shonza akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri
dhidi ya Saratani ya matiti kwa wanawake yaliyofanyika hivi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
karibuni Jijini Dar es Salaam. hivi karibuni Ikulu Jijijni Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akipokelewa na
familia ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Michezo, Mhe. Juliana Shonza mara baada ya Mhandisi. James Kilaba ili kujadili Kanuni za Maudhui
kumuapisha hivi karibuni Ikulu Jijijni Dar es Salaam. ya Utangazaji katika Redio na Tevelisheni, na Kanuni za
Maudhui mtandaoni hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akionyesha picha Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na Wamiliki,
yake iliyochorwa na Mjasiriamali aliyebobea masuala Wawakilishi wa Vyombo vya habari pamoja na watendaji
ya sanaa ya uchoraji wakati alipotembelea Tamasha la mbalimbali wa Serikali katika Mkutano wa majadiliano ya
Sanaa na Utamaduni la Kimataifa la 36 Bagamoyo.
16 Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii
Jijini Dar es Salaam.
Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.
Harrison Mwakyembe (kulia) akipewa maelezo yanayohusu Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akipewa maelezo
Mashujaa wa Ukombozi waliopigana vita nchini Msumbiji na Mtangazaji wa Vipindi yanayohusu namna vipindi
wakati alipotembelea Makaburi ya Mashujaa hao eneo la vinavyoendeshwa ndani ya Studio ra Redio ya
Naliendele Mkoani Mtwara. Times FM iliyopo Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt.
Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (aliyevaa mashuka ya Harrison Mwakyembe akiangalia ngoma ya kitamaduni toka
Kimasai) akiongea na washiriki wa tamasha la Ngoma za jadi kwa Kikundi cha Sanaa na Utamaduni cha Taasisi ya Sanaa
linaloratibiwa na Taasisi ya Tulia Trust leo wilayani Tukuyu na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) wakati wa Tamasha la
mkoani Mbeya. Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson. Sanaa na Utamaduni Afrika Mashariki (JAMAFEST), Uganda.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.
Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na wadau mbalimbali Juliana Shonza akiongea na wadau wa Riadha Tanzania
wa sekta ya Utamaduni kuhusu Tamasha ya Usiku wa wakati alipokutana nao kwa lengo la kujitambulisha na
Kitendawili kilichofanyika Jijini Dar es Salaam kufahamu namna wanavyofanya kazi ikiwemo kutambua
siku za hivi karibuni
17 changamoto zao hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
www.habari.go.tz