You are on page 1of 12

Bei Ksh.

10

Kwa Haki Twagawana, Pamoja Twastawi
Wananchi wapendwa, Tunawashirikisha katika baadhi ya makusudio yetu ya kutaka kujenga Kenya yenye ustawi, demokrasia na usawa. Kutokana na maneno haya ya uwajibikaji tunaamua kutafuta njia ya kuondoa siasa za utengamano, usaliti na utumiaji mbaya wa mali asili. Wakenya wengi wamevumilia mchanganyiko mchungu wa umaskini, ubaguzi na ukosefub wa usawa. Kuna tofauti kubwa za kiuchumi katika eneo mbali mbali nchini. Mapendekezo yetu ya kuwajibika, kutawanya nguvu za kisiasa, kufanya ugatuzi wa huduma za nchi na kuunga mkono jamii za sehemu mbali mbali yatasaidia kupunguza tofauti za usawa. Haya mabadiliko yanaangazia maswala ambayo yanadhuru nchi yetu leo. Serekali ya Kibaki haina suluhisho kwa sababu wao ni sehemu ya tatizo. Hawapaswi kukubaliwa kufanya kazi kwa niaba ya watu wachache nchini na hasara ya Wakenya wengine. Tarehe 27 Desemba, nyote mtapewa nafasi ya kutathmini kazi ya Kibaki. Nawakazania nyote mumpe barua ya kwenda nyumbani. Kazi bure ya Kibaki iishe kabisa; Kazi bora ya ODM ianze. Chama cha ODM ndicho chama cha kipekee kitakacholeta ustawi, hakikisha usawa na zaidi kabisa itawahakikishia uwajibikizaji. Hii ndio nyororo ambayo inatuunganisha sote kama cham,a na nyinyi. Mkituamini hatuta waangusha katika utumishi wetu kwenu. Mola awabariki; Mola aibariki Kenya

Mheshimiwa Raila Amolo Odinga

Nakala ya Pwani

Ahadi Kwa Watu Wa Pwani
Mkoa wa Pwani umekuwa ukisahauliwa na kuachwa nyuma katika maendeleo tangu siku za Kenyatta, Moi na sasa Kibaki. Serikali zotye hizo zimeahidi, lakini zimeshindwa kutatua tatizo la ardhi huku pwani. Watu wengi wa pwani ni masquota. Mkoa huu unachangia pakubwa katika kujenga uchumi kupitia sekta ya utalii na huduma za mandari. Lakini kati ya pesa hizo ni kidigo sana hurudishwa katika mkoa huu kugharamia ukarabati wa mabararabara na vitu vingingine vya msingi ilhali kiwango cha umaskini kinazidi kuongezeka. masoko kubwa. Utawekeza pesa katika mipango mikubwa ya unyunyiziaji wa maji mashambani.

Mabadiliko ya sera ya ardhi
Tutaanzisha mageuzi makubwa ya sera za ardhi ili kuhakikisha kuwa watu wote wa pwani wanafurahia usawa na haki katika mambo yanayohusu ardhi na makao. Tutaweka sawa sheria na sera mpya ili kuhakikisha kuwa wasio na ardhi katika mkoa huu wapate makao.

Serikali ya ODM ita:-

Utawala
Kupitia ugatuzi, itawawezesha wananchi kufaanya maamuzi kuhusu mipango ya maendeleo ambayo inaambatana na mahitaji yao. Itahakikisha kuwa mkoa huu utapata mgao sao wa pesa zinazotokana na mapato ya nchi na pia usaidizi wa kutosha ili kuiwezesha kusawazisha ukosefu wa maendeleo uliopo.

Uchumbaji wa Madini
Tutatumia pesa ili kuboresha uchumbaji wa madini ya thamani katika sehemu ya Taita Taveta.

Ukulima na uvuvi
Tutaendeleza na kukuza viwanda vya mazo ya biashara. Sekta za korosho na minazi zitafufuliwa kupitia uwekezaji wa mali katika viwanda vya utengenezaji wa idhaa kutokana na mimea hiyo ili kuzidisha mapato ya wakulima. Tutawekeza pesa katika uvuvi wa samaki walio kina cha chini baharini ili kuongeza kiwango cha sasa cha samaki cha tani 6000. Tutafufua viwanda vyote vilivyofifia kama vile Kampuni ya sukari ya Ramisi, Bixa na viwanda vya korosho.

Utalii
Itaimarishi uendeshaji wa vifuo vya Nyali, Vipingo, Kikambala, Mtwapa, Takaungu na Shanzu ilikuziwezesha kutoa huduma za kimataifa. Zindua sera itakayowawezesha wamiliki wamahoteli Katika miji ya Lamu, Malindi na Mombasa kuweza kupata bima na mikopo kwa nei nafuu ili kuendeleza utalii. ODM itaimarisha Pwani Kaskazini kutoka ghuba la Kilifi mpaka kufikia kiwango ambacho kutawavutia watalii wa mzunguko wa yoti.

Afya na elimu
Tutawekeza pesa katika kutafuta elimu bora kwa kurekebisha vifaa vilivyochakaa au kuharibia na kutoa vifaa vya kuendelezea kazi na kutoa vitabu. Tutajenga zahanati mpya katika kila eneo la uchaguzi na kuhakikisha kuwa zinawafanyikazi wa kutosha na kuna vifaa vyote muhimu, pana chumba cha upasuliaji, maabara na kuna dawa muhimu za kutosha kwa wagonjwa. Tutatengeneza shule mbili nzuri za upili katika kila eneo la uchaguzi – moja ya vijana na moja ya wasichana. Shule hizi zitakuwa na mafunzo ya kisasa ya teknolojia na mawasiliano na maktaba zilizo na vitabu vya kutosha. Zitakuwa pia na viwanja za michezo mbali mbali. Tutaboresha na kuinua viwango vya hospitali na zahanati zilizoko. Tutahakikisha kuwa wakaazi wa zilizo na hospitali hizi wanateuliwa kuwa katika bodi za wakurugenzi za hospitali hizi.

Muundo msingi
Utawala utaipanua na kuiboresha bandari ya Kilindini. Tutaibadilisha mji wa Mombasa uwe kama ule wa Dubai. Uwe ni bandari huru ili ivutie wawekezaji rasilimali na kupata nafasi nyingi za kazi. Tutapanua na kuiboresha njia za reli ili kuweza kuongeza ufanisi wa biashara na kuimarisha usafiri wa abiria, mizigo na huduma. Tutajenga barabara zinazozunguka mji wa Mombasa ili kupunguza milolongo ya magari. Tutajega barabara ya kando ili kurahisisha upitaji wa wingi wa magari katika mlango wa bahari wa likoni ili kufunguliwa wawekezaji wapya kuzuru kusini ya Pwani. Utawala utainua kiwango cha barabara ya Mombasa-Malindi kifikie kiwango cha kimataifa:Tutaweka pesa katika upanuzi wa mawasiliano. Tutapanua mpango wa kueneza miradi ya umeme mashambani. Tutajenga vibanda vywa wafanyikazi wa jua kali katika sehemu za

Heshimaya haki za watu wa Pwani
Tutaheshimu haki za watu wa pwani wakiwemo waisilamu, wakristo, wahindu na wafuasi wa itikadi na utamaduni wa Miji Kenda . Tutatoa vitambulisho vya kitaifa na pasipoti kwa watu wote wa pwani bila ubaguzi au upendeleo.

Mazingira
Tutalinda misitu ya Taita taveta kwa kuiweka chini ya uhifadhi wa misitu ya serikali.

2

C h a n g e

i s

h e r e

Hakikisho la Katiba Mpya
Usaliti wa Raisi Kibaki
Desemba 2002, kulikuwa na furaha na tumaini kubwa ya mambo mazuri tuliyoyategemea Raisi Kibaki na serikali ya NARC walipochukua uongozi. Lakini mategemeo hayo hayakukawia. Mara moja Kibaki aliitupilia mbali MOU, mkataba ambao iliingia na wenzake wa NARC. Hii ndio njia ambayo aliamua kuanza uongozi wake, kwa usaliti wake aliziharibu ndoto za wakenya wote ambao walichagua serikali ya ujumla. Serikali ambayo ingeleta mageuzi ya kimsingi. Serikali ya ODM itarudisha imani mpya katika siasa zetu na kuonyesha uongozi bora ambao utakuwa wa ujumla na wa haki. Tutazingatia maswala ya usawa na umoja. Wakenya wamepigania katiba mpya kwa muda mrefu bila ya kukufa moyo. Kibaki aliwahakikishia Wakenya kuwa watapata katiba mpya siku 100 baada ya uongozi wake kuanza. Alivunja ahadi hiyo, kitendo chake cha pili cha usaliti. Katiba iliyo andikwa ‘Bomas’ iliwakilisha matakwa na maoni ya Wakenya wengi. Muda mwingi ulitumika, pesa na wataalamu wengi walitumika pia. Wakenya walisema wanataka nchi ilio na damokrasia ya kweli, inayowajibika na serikali ambayo inasikiliza maoni yao. Serikali ambayo itakuza amani katika jamhuri kwa usambazaji wa rasilimali na mamlaka. Jambo lilodhihirika ni kuwa Wakenya hawakutaka utawala wa kimabavu. Serikali ya ODM itahakikisha kuwa Wakenya wamepata katiba mpya ndani yamiezi sita ya utawala. Katiba hii itahakikisha kuwa kuna usawa, uwajibikizaji wa serikali na raisi na ugatuzi wa mamlaka. Masahibu wa Kibaki wamesikika wakisema kuwa katiba mpya ilikuwa tu ni njia ya kumuondoa Moi mamlakani, lakini kwa kuwa sasa ni “mmoja wao” ambaye yuko mamlakani hakuna haja ya katiba mpya. Katiba ambayo italeta usambazi wa kweli wa mamlaka. Badala ya kuwapa Wakenya “mswada wa Bomas” walizindua tafsiri mpya yaani “mswada wa Wako”. Huu ulikuwa ni usaliti wa Tatu wa Kibaki. Kibaki alishindwa katika kura ya maoni alipoipendekeza “Wako Draft” na baadaye akawafuta kazi watu ambao waliotaka sauti za raia zisikike na zifwatwe. Baada ya hapo alishiriakiana na watu wale ambao Wakenya waliwatupilia mbali walipompa kura zao mwaka wa 2002. Hivyo basi hilo lilikuwa tendo lake la nne la usaliti. Serikali ya ODM itawaletea mtindo wa utawala wa bunge ambayo itagawa mamlaka na sio kuamwachia mtu mmoja mamlaka yote. Mwisho wa yote, wafisadi na waonevu wameungana pamoja kisiasa katika uchaguzi huu. Raisi mstaafu Moi amekukuja na “mradi wake” Uhuru Kenyatta mfukoni akiambatana na kundi la wakora kama Biwott na Pattni ambao sasa ni vigogo wa PNU. Wafuasi wa Nyayo waliotorokea dirishani kutoka ikulu mwaka wa 2002 walipofukuzwa na Wakenya wamerudi sasa kupitia mlango wa mbele –bila aibu yoyote. Tendo kubwa la Usaliti! Usaliti wa saba kwa Wakenya walio mpigia kura. Ni Lazima Kibaki atoke! Serikali ya ODM itaangalia upya utendaji wa kazi na utoaji wa huduma za serikali za kupambana na ufisadi. Hii ni kwa sababu mabli na wajibu wetu, pesa nyingi zinatumika kupambana na shida hii bila ya matokeo yoyote. Chini ya uongozi wa Kibaki ufisadi mwingine mkubwa ulitokea – kashfa maarufu ya Ango-Leasing – ambapo mambo ya serikali yake kuhusika katika ulaghai wa kutoa zabuni ulifichuliwa. Iligunduliwa kuwa kama isingefichuliwa ingewagharimu Wakenya pesa nyingi. Kiwango hiki cha kukubali ufisadi wa hali ya juu katika serikali ya Kibaki ni kitendo chake cha sita cha usaliti. Serikali ya ODM itatafuta ukweli na kuanzisha Tume ya Urudishaji wa Mali ya Uma kama njia ya kumaliza huo ufisadi wa zamani kwa njia ya haki, ukweli, upatanishi na urudishaji wa mali. Hii itajumlisha urudishaji wa mali iliyotwaliwa na usameheaji wa hao wafisadi waliorudisha mali walioiba. Mambo haya yatafanywa kwa njia ya haki- kwa kuwalipa walioathirika kwa hali na mali. Tutasimamia mpango amaboutawasaidia Wakenya kurudishiwa kilicho chao. Mpango huu una mizizi katika mila zetu. Kati ya matendo yote mabaya ya Kibaki na serikali yake hakuna iliyo zidi kile kitendo chake cha kukubali ufisadi wa zamani na wa sasa. Aliapa kupigana na ufisadi hadi mwisho wake alipoingia mamlakani lakini sasa anaikubali bila kusita. Wimbo wa “Yote yawezekana bila Moi” imebadilika kuwa “Kama unataka kutawala nchi vibaya na kuiibia basi shirikiana na Moi.” Kibaki aliivunja ahadi yake kubwa na muhimu. Serikali yake imeshindwa kuwaleta watu waliohusika na uwizi mkubwa wa Goldenberg (ambao ilifanywa waklati wa Moi ambapo zaidi ya shillingi bilioni 18 za uma ziliibiwa) mahakamani. Ripoti ya Kroll iliyoagiziwa na serikali yake ili kutambua na kurudisha mali ambayo iliyoibiwa na Moi imewekwa tu bila kushughulikiwa. Huku kutochukuliwa hatua kwa watu hawa ni kitendo cha tano cha usaliti kwa Wakenya na matakwa yao.

C h a n g e

i s

h e r e

3

Kuishi na kibaki ni kuumia kwingi
Unga ya ngano-331% Des.2002 Sept. 2007 Okt. 2007 Ksh.35 Ksh.65 Ksh.116 Mafuta ya Taa-305% Des.2002 Sept. 2007 Okt. 2007 Ksh.22 Ksh.63 Ksh.67

Unga ya ugali-204% Dec.2002 Sept. 2007 Okt. 2007 Ksh.27 Ksh.50 Ksh.55

1/2l Maziwa- 187% Des.2002 Sept. 2007 Okt. 2007 Ksh.15 Ksh.20 Ksh.28

Mkate-176% Dec.2002 Sept. 2007 Okt. 2007 Ksh.17 Ksh.22 Ksh.30

sukari 1kg-407% Dec.2002 Sept. 2007 Okt. 2007 Ksh.27 Ksh.65 Ksh.110

Ni wakati wa kundoka bwana raisi

4

C h a n g e

i s

h e r e

Fostering Prosperity and Eradicating Poverty
The Problem: President Kibaki’s “growth” is for the few not all
Under Kibaki the rich have grown richer and the poor poorer. The top 10% of Kenya’s population continues to control nearly half our nation’s wealth. That means that for every 1 shilling earned by a poor Kenyan, the rich earned 56 shillings. This inequality has not altered even though Kibaki trumpets his positive economic record. The growth is not inclusive and is exclusive only to the rich. The richest 10% now earn 42% of the national cake as opposed to 36% five years ago. This demonstrates that the Kibaki Government is a government of the rich, by the rich and for the rich. The poor are, at best, bystanders. Solid economic growth is crucial for eradicating poverty, but getting economic growth to percolate or trickle down to assist the poor is a perennial challenge. How many very poor vulnerable children and adults have to die before the fruit of economic growth reaches them? ernment’s flagship poverty reduction programme, called, the “Usawa Programme”. The objective of the programme is to contribute to national efforts to reduce poverty and hunger in ultra poor households, increase school enrolment and attendance and improve the health, nutrition, protection and well-being of orphaned and vulnerable children and the very old. We will immediately undertake a budget cleansing exercise covering all Ministries in the Central Government to look for overall national savings which can go towards launching the Usawa Programme. This will help us to identify questionable debt, especially the commercial ones. It will also help in elimination of wastage that currently occurs through procurement, duplication in allocations, and questionable allocations. We have already identified a large amount of savings and are confident in achieving our pledge. We will achieve stable economic growth and pursue policies for equitable distribution of income, wealth and resources.

The Solution: ODM Government’s “Usawa Programme”
We are determined to fight inequality head on. ODM is a party that is responsive to people’s most basic needs. The Blair Commission for Africa recognised cash transfers as a key tool in tackling extreme poverty in Sub-Saharan Africa and recognises its potential impact on poverty and inequality as well as its contribution to promoting and distributing growth. The children from the households receiving cash transfers have an opportunity to break the inter-generational cycle of poverty. A few Kenyans have been generously assisted by our development partners in providing assistance to the very poor, such as, Orphans & Vulnerable Children Cash Transfer Programme and the Hunger Safety Net Programme delivering guaranteed cash transfers to chronically food-insecure households. We applaud these programmes and pledge to scale-up the efforts of our development partners by extending the programme nationally so that social protection investment contributes to overall economic growth. We will introduce a social protection programme for the very poor households by monthly cash transfers. This will reduce current poverty and inequality by providing a minimum level of income for extremely poor families. This will be ODM Gov-

C h a n g e

i s

h e r e

5

Investing in Infrastructure
Your ODM Government will: The Challenges:
Kenya’s population is projected to grow to over 60 million people by the year 2043. There will be a big challenge to provide optimal infrastructure and services to meet the demands of this population. Such challenges are already evident. A majority of the Kenyan population have no access to clean water, food and shelter. Infrastructure (transport, water, energy, telecommunications and information technology) is a central pillar in Kenya’s economic recovery programme. Good infrastructure is essential in lowering the costs of doing business and increasing competitiveness of Kenyan products, both locally, regionally and internationally. Road maintenance and development has been grossly under-funded by the Kibaki Government. • Construct a modern, electric, international standard 1.6m There has also been a lack of investment by both the government and the private sector on rail infrastructure. As a result, the existing Kenyan rail network is almost obsolete due to its outdated technology and aged condition. It is therefore not surprising that President Museveni recently stated that our railways should be in a museum as an artifact! • Increase electricity generation capacity to 10,000 megawatts in There is a direct link between electric power supply, job creation and poverty alleviation. Electrifying rural areas, towns and markets increases opportunities for employment in the centres and improve living standards. Under Kibaki the energy costs have remained high and this impacts negatively on the cost of Kenyan goods and services and hence their competitiveness. The latest information and communications technology (ICT) has enabled countries like India and China to change their destinies and future of their people. Kenya needs to learn from their experience and significantly invest in ICT. Access to water is the key to survival and access to sanitation is a fundamental issue of human dignity. Clean water and sanitation coverage remains very low. • Invest in sanitation facilities and irrigation schemes. • Ensure efficient and equitable delivery of clean water. • Invest in ICT infrastructure, especially, high-speed internet backbone networks across the country. • Develop solar power stations and wind farms as renewable sources of energy. • Expand rural electrification penetration through sufficient allocation of public resources. • Explore and exploit geothermal resources to increase electric power generation to meet the emerging demands for electricity. the next 10 years to attract foreign direct investment. gauge, high speed railway system to link key cities and towns in the country for rapid transit of passengers and bulky goods. This would protect our roads and lower costs for businesses. The opening of the new railway line will be ODM’s special pledge for Kenya’s 50th Anniversary Independence. • Create Road Maintenance Training Centres in the devolved regions to skill-up labourers through apprenticeship schemes. • Use labour-intensive methods in roads construction to create employment cells countrywide. Minimum wages will be set to stem overexploitation of women and youth. • Address the existing imbalance in the provision of road infrastructure that is concentrated on the so called “high potential areas” to improve accessibility for the development of all economic sectors and regions in Kenya. • Build good roads that will reach all Kenyans and cover all parts of the country, thus achieving our ambition to get Kenyans and Kenya “physically inter-connected”. • Introduce a special sovereign bond for the purpose of raising finance for rapid infrastructure development. • Invest at least 10% of our GDP on infrastructure development over the next 5 years.

6

C h a n g e

i s

h e r e

Whats in a name?
ODM
One Determined Movement One Decisive Man One Decent Movement One Devoted Man One Desirable Movement One Dedicated Man One Democratic Movement One Distinguished Man One Devolved Movement

PNU

Pinga Nyayo Uone Porojo Na Upumbavu Party of No Understanding Pitia Nyeri Ujionee Party of No Use Piga Nyang’anya Ua

C h a n g e

i s

h e r e

7

Creating Opportunities For Employment
President Kibaki’s Statistical Distortions:
There is no link between the high level of economic growth reported by Kibaki Government in various years and the creation of employment. His Government has reported (via various paper adverts by the Treasury and his own Kenyatta day speech) that about 467,000 new jobs have been created since Narc came to power and that this amounts to about 93% delivery of their 500,000 new pledge of jobs. This statistic is a misrepresentation and distortion of facts. There is strong evidence showing that the Kenyan economy has over time and history been able to create between 400,000 and 450,000 new jobs on average — regardless of the party in power and regardless of whether the economy is booming or stagnant. Between 1999 and 2002 (when the economy was in doldrums) there were still 454,000 new jobs created within the context of only 1.7% average economic growth. It demonstrates that even when the economy is growing rapidly, the rate of job creation has neither been proportionate nor commensurate with a booming economy. The sectors that are creating jobs are not linked at all with the people who need employment most, that is, young university and college graduates, youths in urban and rural areas, and those who are laid off because of retrenchment and industry closures. • Help and target youths and adults without work and with poor employability skills move into sustained employment. • Provide basic employability training for jobless people with severe literacy and numeracy problems to remove their barriers to employment and enable them to gain employment. • Promote the role of SMEs in sustainable job creation and provision of goods and services which are better adapted to local market needs through progressive reform to boost production and distribution capacities of SMEs. • Implement policies and programmes to create decent jobs and entrepreneurial opportunities to assist JuaKali workers and employers to move into the formal economy. • Create and strengthen an enterprise culture which favours initiatives, enterprise creation, productivity, environmental consciousness, quality, good labour and industrial relations, and adequate social practices which is equitable. • Open “Jobseeker” offices in major cities and towns before going nationwide for assisting those that have completed secondary school education and graduates. This will be our new government initiative to deal with unemployment. It will provide an active service to help people move from joblessness into work. The offices will be manned by job advisers who will register jobseekers, provide training and individual guidance in job searching techniques, including providing traini ng, interview skills and assistance in the preparation of curriculum vitae. • Ensure polytechnics become “Skills Academies” as these institutions will be a key driver in improving vocational education at a national, regional and local level. They will provide training programmes for young people and adults aimed at meeting potential employers’ current and future skills needs. Thus, these academies will be employer-led.

The ODM Government’s initiatives to create real jobs
We will: • Change the anomalies created by past regimes and the current Kibaki Government that has failed to reconcile and link the realities of Kenya’s growth process with its labour and human resource potential. • Employ local labour in key public works, infrastructural and development projects. • Implement policies that reduce barriers to work – including education, skills and training – to create an adaptive, flexible and productive workforce. • Pursue active labour market policies – providing tailored and appropriate help for those without work, to prevent long term detachment from the labour market.

8

C h a n g e

i s

h e r e

Cost of corruption
The billions of shillings that have been wasted on corruption scandals in this country are more than enough to improve the lot of our citizens - by providing education, access to safe water, employment and proper roads. See the figures below:

C h a n g e

i s

h e r e

9

Fighting Crime & Insecurity
charges against suspected criminals-as per law, we have seen very many alleged executions and disappearances. About 500 bodies of young men have been dumped in various mortuaries by police and reports suggest that other bodies were thrown in the wild. Almost all bear classic execution signs of a bullet in the head. These extrajudicial killings are the first step in creating a police state by Kibaki, by throwing away the law and using police as killing squads.

President Kibaki’s failure in providing safety and security for all
Kenyans have a right to sleep safely in their homes, walk safely on the streets and drive safely on the roads. The Government’s duty is to maintain that security. However, crime is rising fast under Kibaki while some members of the police have been involved in political activities on behalf of his government. The recent exposure of two policemen dumping “hate literature” in Rift Valley shows clearly Kibaki’s priority – using the police for his own political survival, not protecting all Kenyans from crime. Kibaki’s disregard of his duty to protect all Kenyans was most evident in the “Mamluki” affair, whose presence and sordid saga was revealed by ODM Presidential Candidate, Raila Odinga. The notorious Armenian brothers were state guests, given police IDs of Deputy Commissioner rank. They were blatantly defended then gently escorted out of Kenya without the Government taking them to court to discover why they were here! The independent parliamentary committee report on the Mamlukis identified key members of Kibaki’s family, government and State House officials as directly involved with the Artur brothers. To date there has been no action taken against anyone! It is obvious that Kibaki’s justice system protects the few but not many. There is insecurity in many regions of Kenya with shocking images of death and destruction from Kuresoi, Molo and Mount Elgon. Sadly, Kibaki remains silent and does not bother to visit the affected areas. However, in September 1994 as Leader of Opposition he did visit the victims of the infamous Enoosupukia ethnic violence. He shed tears at the Maella Catholic Church with his inspirational words, “guutiri utuku utakiaga (there is no night that does not see the light of day). This Kikuyu idiom is usually used to lift sadness and comfort victims when no immediate solutions are available. But Kibaki did nothing in 5 years as President for victims of Enoosupukia. The victims of ethnic clashes have multiplied in his Presidency but now he has no time for words of comfort let alone action. The crime wave in and around Nairobi has caused fear within our society as Kibaki unleashes “special police squads” to tackle the Mungiki problem. Rather than investigate, arrest and bring

Your ODM Government will never take your security for granted
We will never take for granted the security of Kenyans. It will be our legal duty to protect citizens from crime and conflict and ensure that the rule of law is upheld in criminal investigations. We will strengthen Councils of Elders and other community tribunals to adjudicate in land disputes and assist internally displaced people. We will: • Boost numbers of police vehicles, communication equipment and officers to enhance crime prevention and investigative capacity. • Increase overall spending on crime prevention and ensure that the resources are devolved to local police stations. • Map crime “hotspots” in urban and rural areas and deploy more police officers to enhance police visibility and physical presence. • Deploy close circuit television cameras in central business districts of Nairobi and major cities as a tool detect and deter crime. • Use the nation’s defence forces to provide extra support in policing our national borders to help stop illegal flow of small arms. • Set up a Metropolitan Police Authority in Nairobi based on South Africa’s Scorpion force. The new “crack force” will be better educated, trained and equipped to tackle rising gun crime and murder and be the basis of a genuine accountable police force. • Review current police remuneration, housing, office facilities and training with a view to significantly enhancing them.

10

C h a n g e

i s

h e r e

The Rise Of Tribalism Under Kibaki
Tribalism is a national disease knowing no regional boundaries and not confined to any one community. It rules our national politics and divides us unnecessarily. Kibaki has compounded the ethnicity factor and deepened it in our public service by appointing people from his own community. Thus, the reorganization in his government post-Moi was dictated by prejudice and not equity. Under Kibaki kazi iendelee means let the status quo prevail – public jobs for the chosen few and not all.

We Pledge
Below are some of the other pledges we have made in our Plan for Government.

Urban Renewal
We will ensure Nairobi becomes a regional hub for commerce and finance. We will showcase our capital as a 24-hour city by investing in infrastructure, ICT, security and planning. We will invest in urban regeneration and renewal.

Health
We will provide free health care to all children under the age of 5 years. We will expand safe motherhood programmes in all districts by ensuring that these centres are adequately equipped and have improved referral system, communications systems and transportation facilities. We will provide free ante-natal, maternity and postnatal care for expectant mothers. These are first few steps in our ambition to provide free universal health care for all.

Education
We will introduce free quality secondary education within a system of a comprehensive basic education from early childhood to Form Four.

The Fall Of Tribalism Under ODM
An ODM Government will: • Ensure that we represent all the people, not just one interest group. We will actively seek to remove those obstacles which hinder individual achievement – obstacles emanating from tribe, gender, or economic condition. • Guarantee to build a Kenyan society based on fairness and equality of opportunity for all where merit comes before privilege. • Introduce an independent Presidential Public Appointments Commission whose task is to ensure that appointments to public offices are based on merit and reflect the ethnic diversity of Kenya in its overall representation.

Gender
We will intensify efforts and actions to redress the existing persistent gender disparities in Kenya which hamper the full integration of women in our society. There will be no glass ceilings on the aspirations of women as we strive progressively towards realising a 50:50 gender ratio in all public bodies.

Environment
We will combat escalating environmental degradation and desertification by ensuring that environmental policy is built into every economic decision in all areas of government policy.

Sports
We will develop a progressive sports policy, expand opportunities for excellence in sports; streamline sports administration; develop and maintain sports facilities and bestow honour on high achievers in the sporting arena.

C h a n g e

i s

h e r e

11

President Kibaki has no constant guiding principles - no moral, social or political compass. He has been integral in all postcolonial administrations – his future is his past. He has flipflopped, reneged, prevaricated, or sat on the fence on all fundamental issues that concern Kenyans during his entire political career. He has lost all credibility and failed to lead from the front. He is unfit to return to work. He must be denied another chance to work for the few at the expense of working for all Kenyans.
-Raila Amolo Odinga

Vote for

Raila Amolo Odinga
For President

C h a n g e

i s

h e r e