HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA (Mb) KWENYE MKUTANO WAKUTANGAZA NIA UTANGULIZI:
 Ndugu viongozi, wana-CCM na Watanzania wenzangu; Kwanza nianze kumshukuru MwenyeziMungu aliyetufikisha hapa leo. akini pia niwashukuru nyote mlioweza kufika hapa leo.Kipekee niwashukuru CCM wenzangu na Watanzania kiu!umla am"ao wameendelea kuwamarafiki na kuniuunga mkono. #akika nime!awa na furaha. #ii ni siku muhimu kwangu na kwa n$hi yetu. eo nimeamua kuwaita ili kuwatangazia rasmiazma yangu ya kuom"a ridhaa ya $hama $hetu, Chama Cha Mapinduzi %CCM&, ili niteuliwekukiwakilisha $ha $hetu kuwa Mgom"ea 'rais wa (amhuri ya Muungano wa )anzania. Naamini historia itaihifadhi kama ni siku am"ayo kwa mara ya pili katika maisha yangu,nime!itokeza kuwania kuiongoza n$hi yetu kupitia $hama $hetu. Mara ya kwanza ilikuwa nimwaka *++ wakati wa u$haguzi wa kwanza wa vyama vingi hapa n$hini nilipo!itokeza nikiwa pamo!a na ais (akaya Kikwete;Wakati ule sote tulikuwa wanasiasa vi!ana. amo!a tulikwenda ku$hukua fomu na "aadaye kwa pamo!a tukazungumza na waandishi wa ha"ari. )ulileta hamasa ku"wa pale tulipofanya !am"oam"alo halikuzoeleka kwa Watanzania kwa kutangaza kwam"a yeyote atakayepita kati yetu,mwenzake am"aye hatafanikiwa angemuunga mkono.  Ningeweza ku!itokeza tena mwaka /00 lakini nikaamua kwa dhati kumuunga mkono ais(akaya Kikwete.  Nikiwa Mwenyekiti wa Kampeni niliwaongoza wenzangu kufanikisha ushindi mku"wa wamgom"ea wetu, na "aadaye ushindi mku"wa wa asilimia 10 kwa Chama Cha Mapinduzi kwenyeu$haguzi mkuu wa /00. Nitaeleza kwa nini nimeamua ku!itokeza tena, na kwa nini naamini mimi ndiye mtu sahihi wakuiongoza n$hi yetu wakati huu. Mpaka hapa itoshe tu kuwaeleza ni kwa nini naamini leo ni sikumuhimu. Ni siku muhimu kwa sa"a"u nina kiu ya kuona Watanzania wenzangu tuna!iungakuianza safari ya matumaini. Ni siku muhimu kwa n$hi yetu pia, kwa sa"a"u naamini ina!i"u wito wa mahita!i ya sasa yauongozi wa )aifa letu wa kumpata kiongozi imara atakayewaongoza Watanzania ku!enga taifaimara. Na hili nitalieleza kwa kina.
Hii ndiyo saa!i ya "a#$"aini%
 
HALI YA N&HI NA MATARA'IO YA WATU:
 N$hi yetu hivi sasa inapita katika kipindi kigumu, katika maeneo yote makuu ya kisiasa nakiu$humi.
Kisiasa
, tumeshuhudia kuongezeka kwa vuguvugu la mfumo wa vyama vingi, am"apo ushindanikati ya vyama vya siasa unazidi kuwa mkali. Kwa "ahati m"aya ushindani huo umefikia hatua yaku$hukua sura ya kuonekana kama vile ni mapam"ano ya watu "inafsi "adala ya kuwamapam"ano ya sera na dira ya kuongoza n$hi. )unashuhudia kuongezeka uhasama "inafsi kati ya wanasiasa ndani ya $hama kimo!a kimo!a, na pia kati ya wanasiasa wa $hama kimo!a dhidi ya kingine. Kadiri siku zinavyokwenda, hali inazidikuzorota na ikia$hiwa kuendelea n$hi yetu inaweza ku!ikuta mahali pa"aya. Kukua kwa ushindani ni !am"o !ema linalokomaza na kurutu"isha demokrasia yetu. )ukiwa naushindani wenye afya unaweza kuwa $ha$hu ya kuleta ma"adiliko mema kwa wanan$hi, naku$ho$hea kasi ya maendeleo ya kiu$humi na ki!amii katika n$hi yetu. )unahita!i uongozi imara katika kipindi hiki, ili kuondokana na siasa muflisi na ku!enga siasampya zinazoimarisha ushindani wenye ti!a unao!ikita katika kushindana katika kuwapatiahuduma "ora Watanzania.
Hii ndiyo saa!i ya "a#$"ainiKi$$"i
, tumeshuhudia ukua!i mzuri na kuongezeka kwa mapato ya ndani ya 2erikali nauimarisha!i wa mfumo wa uwa!i"ika!i na ulipa!i kodi. Kwa upande mwengine, 2erikali ya ais3en!amini Mkapa na ais (akaya Kikwete zimefanya kazi ku"wa katika uendeleza!i wa sekta yamafuta na gesi asilia am"apo kiwango kiku"wa $ha gesi asilia kimegunduliwa. )anzania sasaimekuwa ni miongoni mwa n$hi zinazovutia uwekeza!i mku"wa katika sekta hiyo am"ayoinata!wa kwam"a inaweza ku!a ku"adilisha ka"isa maisha ya Watanzania. #ata hivyo, kipindihiki kuelekea u!enzi wa u$humi wa kisasa kimeshuhudia kuongezeka kwa hofu na wasiwasimiongoni mwa wanan$hi kwam"a hawatonufaika na ukua!i huu wa u$humi na ugunduzi wauta!iri mku"wa wa gesi asilia. Kwa upande mwingine, vi!ana wanataka kuona ukua!i wa u$humi na ugunduzi wa uta!iri huounakwenda sam"am"a na uzalisha!i wa a!ira zenye maana ili waweze kuka"iliana na$hangamoto za maisha yao. Niliwahi kusema kwam"a tatizo la ukosefu wa a!ira likia$hiwa "ila ya kutafutiwa ufum"uzi ni "omu linalosu"iri kulipuka. 4i!ana wasio na a!ira hupoteza matumaini na ni rahisi kughili"iwakuingiza n$hi katika ma$hafuko. )unahita!i uongozi imara kuweza kuika"ili hali hiyo nakuitafutia suluhisho maridhawa.
Hii ndiyo saa!i ya "a#$"aini
 
WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO:
 Ndugu zangu, mnaweza ku!iuliza kwa nini nimeyaeleza yote hayo na yana mahusiano gani nadhamira yangu ya kutangaza nia ya kutaka kuiongoza n$hi yetu kupitia CCM5 Watanzania wanataka ma"adiliko yatakayowawezesha kuka"iliana na $hangamoto hizi nakuwaongoza ku!enga )aifa imara am"alo kila mwanan$hi wake anaishi akiwa na uhakika wausalama wa maisha yake, mali zake na mahita!i yake muhimu. apo hapo aki!iridhisha kwam"aleo yake ni "ora kuliko !ana yake, na kesho yake itakuwa "ora zaidi kuliko leo yake. Kwamaneno mengine, Watanzania wanahita!i ma"adiliko yatakayowapa uongozi imara, unaowezakuwaongoza ku!enga taifa imara.
Hii ndio Saa!i ya Ma#$"aini%
 Naamini kwam"a, hata katika kipindi hiki am"apo Watanzania wanataka ma"adiliko, nawanaendelea kuamini kwam"a CCM ina uwezo wa kusimamia ma"adiliko hayo. akini kama alivyotuusia 3a"a wa )aifa, Mwalimu (ulius Nyerere, mwaka *++, wakati wau$haguzi mkuu wa kwanza $hini ya mfumo wa vyama vingi hapa n$hini,
Wa#an*ania+asi,oya,a#a "abadi-i.o ayo ndani ya &&M +a#aya#a$#a n/0 ya &&M
62ina shaka, CCM tunao uwezo wa kuwapa Watanzania ma"adiliko wanayoyataka.
UONGOZI UNAOHITA'IKA KULETA MABADILIKO YANAYOTAKIWA:
ais (akaya Kikwete amefanya kazi ku"wa katika kipindi $hake na kama am"avyo amekuwaakisisitiza mara kwa mara katika hotu"a zake za kari"uni ni kwam"a yeye ametekeleza wa!i"uwake. ia amesema anamwa$hia atakayemka"idhi uongozi wa n$hi yetu "aada ya yeye kumalizamuda wake kuendeleza pale atakapoa$hia.Kwa maoni yangu, ili kuifanya kazi hiyo na kuzika"ili $hangamoto nilizozieleza, n$hi yetuinahita!i uongozi wenye sifa zifuatazo7
i)
'ongozi wenye uthu"utu, usioogopa kufanya maamuzi magumu;
ii)
'ongozi tha"iti, makini na usioyum"a;
iii)
'ongozi wenye u"unifu na wenye upeo mku"wa;
iv)
'ongozi unaoamini katika mfumo shirikishi katika u!enzi wa )aifa;
v)
'ongozi unaozingatia muda katika kutekeleza ma!ukumu yake.
View on Scribd