Professional Documents
Culture Documents
Join Inst Access 2013 2014
Join Inst Access 2013 2014
Website: www.mist.ac.tz
18/07/2013
Unaweza kukaa nyumbani au chuoni, lakini Chuo kinatoa nafasi ya malazi bila malipo kwa wanawake/wasichana. Kama utataka kukaa chuoni itakubidi uje na blanket,neti, mto na mashuka. Pia unapaswa kuja na vifaa vya darasani kama daftari, kalamu, penseli nk. NB; 1. 2. 3. Unatakiwa kuja na nakala halisi ya vyeti vyako (Original Certificates) Malipo ya ada na malazi yafanywe kwenye akaunti; NMB BANK 61001100022 Jina la akaunti ni MIST (MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY) Mwisho WA kuripoti ni tar 11/ 8 /2013, ukichelewa zaidi, nafasi yako utakuwa umeipoteza kwani wanaohitaji nafasi hiyo ni wengi. Ni matumaini yangu kwamba utaona kozi hii inakufaa na utafika kama ilivyopangwa. Unakaribishwa sana.