You are on page 1of 3

PICHA

ST.MICHAELS CATHOLIC VOCATION TRAINING CENTER

KAWE- PARISH
P.O.BOX 60251 DAR ES SALAAM

FOMU YA KUOMBA KUJIUNGA NA CHUO

KOZI YA COMPYUTA, 1. Basic computer application 2.computer maintenance


3. Web application and development
Fomu hii ijazwe kikamilifu kisha fomu irejeshwe kwenye Ofisi ya Parokia, weka alama ya
vema kwenye kisanduku kuchagua kozi unayo penda.

1: TAARIFA BINAFSI KUHUSU MWOMBAJI


1. Majina kamili (matatu) ya mwombaji
2. Jinsia..
3. Umri..
4. Kiwango cha elimu..
5. Anuani
6. Namba ya simu
7. Mahali anapoishi.
Ninathibitisha kwamba taarifa zote nilizotoa hapo juu ni sahihi.
Sahihitarehe
2: TAARIFA BINAFISI KUHUSU MZAZI/MLEZI
MDHAMINI/MFADHILI WA MWOMBAJI
(Ijazwe na Mzazi/Mlezi/Mdhamini/Mfadhili wa Mwombaji)

1. Mjina kamili (matatu)


2. Jinsia.
3. Umri.
4. Namba ya simu
5. Mahali anapoishi
6. Uhusiano uliopo baina yako na mwombaji

Ninathibitisha kwamba taarifa zote zilizotolewa na mwombaji pamoja na nilizozitaja


mimi mwenyewe hapo juu ni sahihi.

SahihiTarehe
3. PROGRAMS ZINAZOFUNDISHWA
1. Introduction to Computer and Window 25,000/=
2. Microsoft Word 25,000/=
3. Microsoft Excel 25,000/=
4. Microsoft Access 25,000/=
5. Microsoft Power point 25,000/=
6. Microsoft Publisher 25,000/=
7. Internet and E mail 30,000/=
8. Notes 35,000/=
9. Dharura 10,000/=
10. Cheti 6,000/=
JUMLA NI TSHS 231,000/=

4. MUDA WA MASOMO
1. Saa 2:00 hadi Saa 4:00 asubuhi
2. Saa 4:00 hadi Saa 6:00 mchana

5.TAARIFAKUHUSU CHUO

A. JINA LA CHUO: ST.MICHAELS CATHOLIC VOCATIONAL TRAINING CENTRE KAWE


B. MAHALI CHUO KILIPO: KANISA KATOLIKI LA MT. MIKAEL KAWE
C. MMILIKI WA CHUO : KANISA KATOLIKI LA MT. MIKAEL KAWE
D. ANUANI YA CHUO : S. L. P 60251 DAR - ES SALAAM.
E. NAMBA YA SIMU : 0732 995489 vetastmichael @yahoo.com
6.SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO
1. Elimu ya kidato cha Nne ( Daraja la 1 IV )
2. Mwanafunzi anapaswa kufaulu kwa kiwango cha alama zisizopungua asilimia 50. Baadaya
kozi, cheti kitatolewa kwa Mwanafunzi aliyefaulu mitihani kwa alama zisizopungua
kiwango hicho.

7.GHARAMA ZA MAFUNZO
1. Ada ya masomo:
Tshs 25,000/=kwa kila program ( kwa program za Introduction to Computer and
Windows,Microsoft word, Microsoft Excel, Microsoft Access, Microsoft power point na
Microsoft, pubulisher ) na 30,000/= program ya Internet & Emil. Garama hizi zinazojumuisha
Materials ya kujifunzia Notes Malipo yanapaswa kufanyika kabla ya Mwanafunzi hajaanza
program.
2. Cheti: Tshs 6,000/= kwa kozi zote ( ilipwe muda wowote ndani ya kipindi cha kozi )
NB. Malipo yote yafanyike Ofisi ya Parokia
a. Malipo yote ni Tshs 231,000/= kwa miezi miwili. Inaweza kulipwa kwa awamu mbili
kwa utaratibu ufuatao:-
i : Awamu ya 1:Tshs 150,000/= ( Mwanafunzi anapoanza masomo )
ii: Awamu ya ii: Tshs 81,000/= ( ndani ya kipindi cha mafunzo )
Computer maintenance
1. Introduction to computer
2. Computer hardware
3. Computer software
4. Procedures for installing computer
5. Troubleshooting guidelines
6. Over view of windows operating
system
7. Application software
8. Viruses, spyware, malware
ADA Ni TSHS 350,000

9. Dharura 10,000/=
10. Cheti 6,000/=

Pia tunatoa kozi kwa wenye taaluma ya computer web application and development
gharama za kozi hii ni TSH 350,000

MENGINEO
1. Chuo kinapokea waombaji wa aina yoyote wenye sifa pasipo kujali dhehebu la dini,
jinsia,itikadi au kabili.

2. Mwombaji aliyekubaliwa kujiunga na chuo sharti azingatie sheria, kanuni na taratibu za


chuo ambazo huelezwa kabla ya kuanza masomo.
UPENDO,AMANI,UMOJA, UNYENYEKEVU,UADILIFU, MATUMAINI NA TAALUMA BORA ndizo
nguzo kuu za chuo.
KWA MATUMIZI YA OFISI TU.
Fomu imerejeshwa tarehena kupokelewa na
Mwombaji amelipa: Tshskwa ajili ya..
:TshsKwa ajili ya..
:Tshskwa ajili ya
:Tshskwa ajili ya..

Saini ya mpokeajiWadhifa

You might also like