Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
9Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
PRESS 31.07.2014

PRESS 31.07.2014

Ratings: (0)|Views: 13,631 |Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Jul 31, 2014
Copyright:Traditional Copyright: All rights reserved

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOCX, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

08/02/2014

pdf

text

original

 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA.
RPC. Ofisi ya Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mbeya,  Namba ya simu 2502572 S. L. P. 260, Fax - +255252503734
MBEYA.
 E-mail:- rpc.mbeya@tpf.go.tz
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
“PRESS RELEASE” TAREHE 31.07.2014.
 
 
WATU WANNE WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 51 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI MATUNDASI WILAYANI CHUNYA.
 
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI JIJINI MBEYA.
 
MTOTO WA MIAKA MITATU AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA KIFUSI CHA MCHANGA WILAYANI CHUNYA.
 
MTOTO WA MIAKA KUMI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPIGWA NA SHOTI YA UMEME.
KATIKA TUKIO LA KWANZA:
WATU WANNE WALIOTAMBULIKA KWA MAJINA YA
1. PAULO MWASANGA
 
(18)
 
MKAZI WA KITONGOJI CHA MATUNDASI „B‟
2. WEDI ANGOLWISE
 
(21)
 MKAZI WA MATUNDASI
3. SALOME MWAKIBETE
 
(13)
 MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI SAMBILIMWAYA NA
 4. OBEDI MWAKAMELA
 
(25)
MKAZI WA MATUNDASI WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI
T.595 CHU
 AINA YA FUSO TIPPER LIKIENDESHWA NA DEREVA ASIYEFAHAMIKA JINA KIPINDUKA KATIKA KIJIJI CHA MATUNDASI WILAYANI CHUNYA. AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO
TAREHE 30.07.2014
 MAJIRA YA
SAA 16:00 JIONI
 
HUKO KATIKA KITONGOJI CHA MATUNDASI “B”, KIJIJI CHA MATUNDASI,
KATA YA MATUNDASI, TARAFA YA KIWANJA, WILAYA YA CHUNYA, MKOA WA MBEYA KATIKA BARABARA YA CHUNYA/MAKONGOLOSI.
 
GARI HILO LILIKUWA LIKITOKEA KIJIJI CHA SAMBILIMWAYA KUELEKEA KIJIJI CHA MATUNDASI LIKIWA LIMEBEBA WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU NA MASHABIKI. AIDHA KATIKA AJALI HIYO WATU
51
 WALIJERUHIWA, KATI YAO
26
 WALITIBIWA NA KURUHUSIWA NA WENGINE
25
 WAMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA CHUNYA WAKIENDELEA KUPATIWA MATIBABU. CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI, DEREVA ALIKIMBIA MARA BAADA YA TUKIO NA JUHUDI ZA KUMTAFUTA ZINAENDELEA. KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI
BARAKAEL .N. MASAKI
 ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO HASA KWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUKA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA. AIDHA ANATOA WITO KWA YEYOTE MWENYE TAARIFA ZA MAHALI ALIPO MTUHUMIWA AZITOE KATIKA MAMLAKA HUSIKA ILI AKAMATWE NA HATUA ZA KISHERIA ZICHUKULIWE DHIDI YAKE.
KATIKA TUKIO LA PILI:
MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA
WILE PETER
AMBAYE ALIKUWA ABIRIA KATIKA PIKIPIKI
 
AMEFARIKI DUNIA BAADA YA GARI LENYE  NAMBA ZA USAJILI DFP 0036 AINA YA BENZ MALI YA SHIRIKA LA UMEME TANESCO LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA
PATRICK MHAGAMA
 
(46)
 MKAZI WA ILOMBA JIJI MBEYA KUMGONGA MPANDA PIKIPIKI ASIYEFAHAMIKA JINA WALA MAKAZI YAKE NA KUSABABISHA KIFO KWA ABIRIA HUYO. AJALI HIYO IMETOKEA MNAMO
TAREHE 31.07.2014
 MAJIRA YA
SAA 16:45 JIONI
 HUKO NZOVWE, KATA YA NZOVWE, TARAFA YA IYUNGA, JIJI NA MKOA WA MBEYA. CHANZO CHA AJALI KINACHUNGUZWA. DEREVA AMEKAMATWA NA GARI LIPO KITUONI. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA. KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI
BARAKAEL .N. MASAKI
 ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO HASA KWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUKA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA.
KATIKA TUKIO LA TATU:
MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA MITATU ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA
PASCALIA JIFULA NGASA
 AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA KUFUNIKWA NA KIFUSI CHA MCHANGA KATIKA KITONGOJI CHA CHIZYA WILAYANI CHUNYA. TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO
TAREHE 30.07.2014
 MAJIRA YA
SAA 08:300 ASUBUHI
 HUKO KATIKA KITONGOJI CHA CHIZYA, KIJIJI CHA MWAMBANI CHINI, KATA YA MWAMBANI, TARAFA YA KWIMBA, WILAYA YA CHUNYA, MKOA WA MBEYA. WAKATI TUKIO HILO LINATOKEA, MTOTO HUYO ALIKUWA AKICHEZA NA WATOTO WENZAKE KWENYE GEMA LA MCHANGA NA NDIPO KIFUSI KUMUANGUKIA NA KUMFUNIKA. KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI
BARAKAEL .N. MASAKI
 ANATOA WITO KWA WAZAZI NA WALEZI KUWA

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->