Welcome to Scribd. Sign in or start your free trial to enjoy unlimited e-books, audiobooks & documents.Find out more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
0Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Release 133 Aug 2nd

Release 133 Aug 2nd

Ratings: (0)|Views: 7,742|Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Aug 02, 2014
Copyright:Traditional Copyright: All rights reserved

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOCX, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

08/03/2014

pdf

text

original

 
  National Team Main Sponsor
Release No. 133 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Agosti 2, 2014 +258842137852 Maputo NOOIJ ATARAJIA MECHI YA WAZI DHIDI YA MSUMBIJI
Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema anakiamini kikosi chake ambacho kesho (Agosti 3 mwaka huu) kinacheza mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika dhidi ya Msumbiji (Mambas). Mechi hiyo ndiyo itakayoamua ni timu ipi kati ya Tanzania na Msumbiji itakayoingia hatua ya makundi ya michuano ya Afrika kwa ajili ya kutafuta tiketi za Fainali itakayofanyika mwakani nchini Morocco. Katika mechi ya kwanza iliyochezwa jijini Dar es Salaam wiki mbili zilizopita timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2. Timu itakayosonga mbele itaingia kwenye kundi lenye timu za Cape Verde, Niger na Zambia. Akizungumza hapa Maputo, Nooij amesema anaamini kikosi chake kitacheza vizuri zaidi kuliko kilivyofanya jijini Dar es Salaam kwa vile hakitakuwa katika shinikizo la washabiki ambalo mara nyingi hufanya wachezaji wasijiamini. Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager imefikia katika hoteli ya Pestana Rovuma ikitokea Johannesburg, Afrika Kusini ambapo ilifanya maandalizi yake mwisho, na itafanya mazoezi leo (Agosti 2 mwaka huu) saa 9 alasiri Uwanja wa Taifa wa Zimpeto ambao ndiyo utakaotumika kwa mechi ya kesho. Kikosi hicho cha timu ya Taifa leo imeandaliwa chakula cha jioni na Balozi wa Tanzania hapa Msumbiji, Shamim Nyanduga. Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu nao wameungana na timu leo asubuhi hapa Maputo wakitokea Lubumbashi katika klabu yao ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Tanzania Football Federation
Affiliated to FIFA, CAF and CECAFA
3
rd
 Floor, PPF Tower, Garden Avenue / Ohio Street P.O. Box 1574, Dar es Salaam, Tanzania
.
 Telefax: + 255-22-2861815 E-mail: tanfootball@tff.or.tz 
.
Website: www.tff.or.tz
 

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->