You are on page 1of 9

TAMKO LA NIA

SHUGHULI: KUTANGAZA NIA YA


KUGOMBEA URAIS MHE. DR. HAMIS
KIGWANGALLA
MAHALI: HYATT REGENCY HOTEL THE
KILIMANJARO, DAR ES SALAAM.
TAREHE: 7/9/20!
MUDA: !:"0ASB 2:00MCH
Ndugu viongozi mlioko hapa, wageni waalikwa, wanahabari na
watanzania wenzangu mnaonisikiliza;
Ni heshima kubwa sana kwangu kupata fursa hii. Ni katika nchi
chache sana duniani, mtoto wa maskini kama mimi, aliyewahi
kutembea mitaani akiuza karanga, Big G, maandazi, jerebi na samaki
ili kusaidia wazazi kupata chochote kwa ajili ya kulisha familia
anaweza kuota kuwa ais wa nchi yake. !wamba, mtoto aliyeenda
shule bila viatu anaweza kuwa "aktari. #ii inamaanisha misingi ya
haki na usawa kwa wote iliyowekwa na waasisi wa $aifa hili haikuwa
ndoto za alinacha, bali ukweli na uhalisia, na inafanya kazi. !wamba,
siyo lazima uwe mtoto wa tajiri ndiyo uoneshe kipaji chako.
#ili peke yake linanipa sababu ya ziada ya kwa nini nitamani kuota
kuwa ais % nataka niwe mfano hai wa mafanikio ya Ndoto ya waasisi
wa $aifa letu, kuwa sote ndani ya &amhuri ya 'uungano wa
$anzania, tuna haki na fursa sawa bila kujali nani anatokea familia
ipi. #ii ni $anzania ya ndoto za waliotutangulia. Ni lazima atokee
kiongozi wa kizazi hiki anayetamani kuiongoza $anzania
itakayodumu kwenye misingi hii( kwamba sisi sote ni ndugu, na tuna
fursa sawa. !wamba, kuendelea kimaisha na kibinafsi ni haki ya
binadamu na si hisani. !wamba, mtoto wa mama ntilie kama
nilivyokuwa mimi hapa, ana haki na fursa ya kuwa mbunge ama ais
wa nchi, sawa kabisa na mtoto wa 'bunge.
!wa namna ya kipekee nichukue fursa hii kuwashukuru na
kuwapongeza waasisi wa $aifa letu kwa kusimamia tunu hizi.
Niwashukuru pia viongozi wote walionitangulia kwa kuzilinda, na
niahidi nitakuwa wa mwisho kuisaliti nchi yangu kwenye mambo
haya.
)eo nimefika hapa kwa sababu chama change kina mfumo mzuri
ulioasisiwa na 'wl. Nyerere na umelindwa na *enyeviti
waliomfuatia mpaka na sisi tumeukuta. )eo nimefika hapa kwa
sababu ais &akaya !ikwete na wajumbe wenzake wa !amati !uu na
#almashauri !uu walitumia misingi imara iliyowekwa na waasisi wa
+hama changu kuamua kuwa nami nina haki ya kuwa 'bunge. )eo
nazungumza hapa nikiamini kuwa ni misingi hiyo hiyo itatoa uongozi
wa $aifa letu katika awamu ijayo.
Babu yangu !izaa Baba aliishi !ijijini Goweko, 'limani, na alikuwa
mfugaji mkubwa wa ng,ombe na mrina asali mashuhuri. -eye na
mkewe waliishi maisha ya heshima sana pale kijijini. #awakuwahi
kusoma wala kuajiriwa japokuwa Babu yangu aliwahi kushika
nyadhifa mbalimbali ndani ya +hama +ha $.N/ na baadaye ++'
katika ngazi ya !ata.
Babu yangu na Bibi yangu kizaa mama waliishi Nzega, na ndiyo
walionilea baada ya ndoa ya mama yangu na baba yangu kuvunjika.
*alinifundisha mambo mengi, kubwa likiwa ni kujiamini, pia
kufanya mambo yangu kwa bidii, uadilifu, umakini na kwa nidhamu
ya hali ya juu. Bibi yangu huyu hakusoma shule ya kizungu japokuwa
alijifunza kusoma na kuandika. Babu yangu alikuwa mjukuu wa +hifu
na hivyo alipata fursa ya kusoma $abora 0chool miaka miwili mbele
ya Baba wa $aifa, 'walimu &ulius Nyerere. .lifanya kazi mbalimbali
chini ya serikali ya wakoloni, na alishiriki harakati za kuanzishwa na
kusambaa kwa chama cha $.. na baadaye $.N/. Babu yangu
aliamini kuwa binadamu wote ni sawa na kwamba kila mtu
anastahili kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake1, na
kwamba ukoloni haukuwa kitu cha sawa, na hivyo kujitawala
wenyewe dhidi ya wazungu ilikuwa ni haki yetu; pia aliamini katika
elimu, na hivyo alifanya juhudi kusomesha mabinti zake watatu,
mama yangu aliishia kwenye ualimu kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Babu aliamini kuwa $anzania ya mabinti zake itahitaji wasomi, ndoto
ambayo ninaishi kuitekeleza kwa ajili ya mabinti zangu wawili na
!aka yao, #! &r.
&apokuwa bibi na babu yangu wameishatangulia mbele ya haki,
naamini wananitazama na kutabasamu huko waliko.
Ninaishi nikiamini kuwa hadithi ya maisha yangu ni mfano hai kwa
maisha ya watanzania wengi. Na kwamba, nina deni la kulipa kwa
vizazi vijavyo kwa kuwa mimi ninafaidi matunda ya mti uliopandwa
na vizazi vilivyonitangulia. Naliona jukumu la kuhakikisha vizazi
vijavyo vinafaidi urithi wa $anzania kuwa ni la kwangu na wenzangu
wa kizazi hiki.
!azi yangu imenifikisha sehemu nyingi sana za nchi yetu % vijijini na
kwenye majiji, imenikutanisha na watu wa kila aina % matajiri kwa
maskini, wazee kwa vijana % hakuna hata mmoja kati ya watu hawa
anayetegemea 0erikali itamtatulia kero zake zote. *anajua
wanapaswa kufanya kazi kwa bidii ili wasonge mbele % na wana nia
ya kufanya hivyo.
Nenda kwa wafanyabiashara wakubwa kule 2ugu oad viwandani,
kwa watumishi pale hospitali ya $aifa 'uhimbili, ama pale sokoni
!ariakoo kwa wafanyabiashara, wote watakuambia hawapendi kuona
kodi zao zikitafunwa na wachache pale $., ama kulipa posho za
bure kwa wabunge na mawaziri kule Bungeni, kulipia mashangingi ya
viongozi na watendaji, kulipia tiketi za ndege daraja la kwanza kwa
ajili ya safari za viongozi na wataalamu wetu kwenda kujifunza
kupambana na umaskini wakati wakirudi wanauacha uzoefu uwanja
wa ndege, ama kulipia semina, warsha na makongamano ya
wataalamu ya kuandika sera za '!/!/$., '!/.B3$. na
kuandaa bajeti zisizotekelezwa kila mwaka.
*atanzania wanataka kupata huduma bora za afya, elimu, maji,
miundombinu.
Nenda kule kwa watani zangu, Nanyumbu, ama $andahimba, ama
kwa ndugu zangu kule Nduli, !yela, wazee kule watakuambia
hawategemei 0erikali itawaletea ubwabwa kwenye sahani za fedha,
wanajua 0erikali haitowafanyia kila kitu, lakini wanajua kabisa kuwa
wanapaswa kufanya kazi kwa bidii na wamekuwa wakifanya hivyo
siku zote. *anachohitaji wao ni kujengewa mazingira wezeshi
kushiriki shughuli zao za kilimo ama biashara, waelekezwe namna ya
kuongeza uzalishaji kwa kutumia njia za kisasa za kilimo chenye tija
na ufanisi, waelekezwe wanapataje pembejeo, wanapataje mikopo
yenye riba nafuu, wanahitaji, mwisho wa siku, wajue wapi watauza
mazao yao kwa uhakika na bila kudhulumiwa wala kucheleweshewa
malipo.
Watu hawatarajii serikali itabeba mizigo yao yote. )akini
wanaamini kabisa, kwamba tukibadili kidogo tu vipaumbele vyetu,
tukibadili namna tunavyoendesha serikali, tukibadili kidogo namna
tunavyoendesha uchumi wetu, tutaweza, kwa kiasi kikubwa, kubadili
muelekeo mzima wa maisha ya baadaye ya watoto na wajukuu zetu.
$utatoa uhakika wa kuiondoa nchi yetu kutoka miongoni mwa nchi
maskini kabisa duniani.
Na mimi, kama watanzania wenzangu wengi, nina imani kubwa
kabisa, kwamba tunaweza kubadili mustakabali wa $aifa letu.
$unaweza kufungua milango ya maisha bora zaidi kwa watanzania.
$utatoa fursa sawa kwa kila mtanzania kuishi kwa matumaini,
kwamba atabadili maisha yake wakati wowote ule kuanzia leo.
$utaweza kuamsha ari ya kila mtanzania kuongeza bidii kwenye kazi
akitumaini na kuamini kuwa kesho yake itakuwa bora kuliko jana
yake, kuwa naye ataishi kwa heshima, raha na starehe ndani ya
nyumba yake.
Ninaamini, kutokea ndani kabisa ya mifupa yangu, kuwa tukifanya
uchaguzi sahihi wa vipaumbele vyetu, tukibadili namna
tunavyoendesha serikali yetu, haya ninayoyasema si ndoto za
mchana. Ni mambo yanayowezekana.
*atanzania wengi wanaamini, kuwa tukifanya uchaguzi sahihi wa
vipaumbele vyetu, mabadiliko makubwa, na ya haraka yatatokea
kwenye uchumi wetu. *anaamini tukichagua kiongozi sahihi
mwakani, anayejua mahitaji ya nchi yetu kwa sasa na baadaye,
tutafanikiwa.
Nyote mliopo hapa na wanaotusikiliza kutokea nje ya hapa mna
jukumu la kututazama kwa ukaribu sana, kututathmini na kutupima
sote; tuliojitokeza hadharani, walioanza safari za matumaini,
wanaotajwa tajwa, na wale wanaosubiri kuoteshwa ili wakati muafaka
ukifika muwape taarifa sahihi watanzania, kuwa kati yetu sote, ni
nani anafaa kutuongoza kuelekea $anzania ya ndoto zetu4
!uwa, ni nani kati yetu ataweza kuwa .miri5jeshi5mkuu, siyo kwa
uanajeshi wake bali kwa uwezo na utayari wake wa kuwashirikisha
wataalamu wa majeshi na kuamua kwa busara kutumia nguvu za
kijeshi pale inapolazimika baada ya kupima na kuchambua aina
nyingine zote za kutafuta suluhu za migogoro kabla ya kuamua vita.
!uwa, ni nani kati yetu anayeamini katika uhuru, haki na usawa na
wajibu wa watu wote, kama unavyolindwa na !atiba, anayeamini
katika haki ya kuabudu lakini asiyekuwa tayari kuitumia haki hiyo
kuwagawa watanzania kutokana na dini zao.
!uwa, ni nani kati yetu anayeamini katika #aki ya kupata huduma
bora za afya, elimu, maji, kama wanavyopata wabunge na mawaziri
wetu, kama wanavyopata mahakimu na majaji wetu, kama
wanavyopata wafanyabiashara na wakurugenzi wetu.
!uwa, ni nani kati yetu ataweza kuhakikisha kuwa watanzania wote
wanapata haki hizi bila kutazama hali zao kiuchumi ama daraja zao
kijamii.
!uwa, ni nani kati yetu anaamini zaidi katika uhuru na kujitegemea
kwenye masoko na malighafi ili kudhibiti uchumi wetu mpana wa
ndani, kujitegemea kwenye masoko ya pamba na nguo, kwenye
mafuta ya kula, kwenye chakula cha uhakika kwa ajili ya watu wetu,
kwenye mafuta na gesi ili tukwepe mtego wa kuwa sehemu ya
uchumi, masoko na biashara za hasara na faida za makampuni
makubwa ya kimataifa nje ya mipaka yetu. 3li tulinde thamani ya
fedha yetu, ili tuwe na uhakika wa ustawi wa maisha ya watu wetu
ndani ya nchi bila athari kubwa kutoka nje ya nchi yetu.
!uwa, ni nani miongoni mwetu anaakisi taswira sahihi zaidi ya
watanzania walio wengi, historia yake, rekodi yake, wajihi wake,
mtazamo wake, ndoto zake, zinaakisi 6utanzania, halisi. !uwa, yeye ni
hitaji sahihi la watanzania.
*akati ukifika, muwaeleze watanzania ukweli, wafanye uamuzi
unaotokana na taarifa sahihi, wachague mtu sahihi.
'imi, Ndugu zangu, natangaza rasmi sasa, kuwa ninatia nia ya
kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
mwaka 2015.
Na nimefikia uamuzi huu bila kuelekezwa, kusukumwa,
kushawishiwa, kupangiwa ama kupanga na mtu ama na kikundi cha
watu, bali kwa utashi na utayari wangu. Na ninayasema haya, haswa
baada ya kutafakari mambo mengi kwa kina( mahitaji ya sasa na
baadaye ya $anzania ya ndoto zangu, uwepo wa fursa ya kugombea
na kushinda uchaguzi ujao, uwezo wangu wa kuchambua mambo,
kutafakari, kufanya maamuzi sahihi, kuchukua hatua za utekelezaji
na kusimamia utekelezaji, uadilifu na uzalendo wangu, na zaidi nia
yangu ya kuwa sehemu ya watanzania wengi tunaotaka kuona
mapinduzi ya kifikra katika nchi yetu % mapinduzi ambayo yatatia
chachu ya mabadiliko ya namna tunavyochagua vipaumbele vyetu
kama $aifa na namna tunavyosimamia utekelezaji wa mambo mazuri
tunayojipangia kama $aifa.
Ninatangaza nia ya kugombea /rais nikiwapa fursa watanzania
wanipime na kunitazama mwenendo na uwezo wangu, nikiamini
kabisa nitapimwa na kuungwa mkono ama kutoungwa mkono si kwa
rangi ya ngozi yangu, si kwa jinsi yangu, si kwa umri wangu, na wala
si kwa daraja langu kwenye jamii, dini yangu, ama kabila langu.
Ninaamini nitapimwa kwa sifa na uwezo wangu, kama mtanzania.
*atanzania tuna sifa moja kubwa; kwenye mambo ya msingi ya
kitaifa, tunakubaliana kuwa maslahi ya $anzania hupanda juu ya
maslahi yetu binafsi. $udumishe utanzania wetu.
Ninaamini katika Ndoto ya $anzania. !uwa leo miaka 78 ya kuwa
&amhuri ya $anzania tuna kila sababu ya kuwa $aifa la dunia ya
kwanza, viongozi waliotutangulia wameandaa misingi ya kuifikisha
$anzania kwenye matamanio yetu. !izazi chetu cha kina jukumu na
wajibu wa kuikimbiza $anzania kufikia kwenye ahadi inayotokana na
ndoto za wazee na waasisi wa $aifa letu. Binafsi, niko tayari kulibeba
jukumu hilo bila woga wala wasiwasi, maana naamini tusipojitokeza
watu kama mimi, tutajikuta tunaongozwa na watu wasiostahili. Nina
suluhu ya changamoto kubwa za leo na kesho( kupigana na njaa na
kuhakikisha usalama wa chakula kwa watu wetu, tatizo la ajira kwa
vijana na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi ni miongoni mwa
mambo ambayo kizazi chetu kitapaswa kuyafanyia kazi kwa haraka
na umakini wa hali ya juu.
'imi ninaamini kwamba, kama hata mimi nimefika hapa, basi kila
mtanzania anaweza, na ana haki ya kufika hapa na kwenda mbele
zaidi yangu. 'afanikio siyo haki ya wachache, ni tunu ya
'wenyezimungu kwa kila mtu. Ninaamini ni haki ya kila mtanzania
kuota ndoto yake, kuifanyia kazi na kuifikia. &amhuri ya 'uungano
wa $anzania ina wajibu wa kutoa fursa kwa watu wake kuota ndoto
zao na kufikia mafanikio bila kukwama.
a n!ugu watanzania wenzangu, amini nawaambia, kuwa,
mbele yetu tuna kazi ya zia!a ya ku"anya. !azi ambayo
ninaamini tunaiweza tukiamua; uwezo tunao, sababu tunazo na nia
tunayo % sema tuna mapungufu makubwa kwenye kuchukua hatua za
kutenda.
'imi naamini kwamba; E Pluribus unum. Baina ya wengi,
mmoja!
#wamba$ 'imi ni mmoja kati ya uwingi wetu. 0iwezi kuwa salama
kama wengine hawako salama, siwezi kuwa na raha kama wengine
wanateseka. Ninaongozwa na ile dhana kwamba, matatizo ya
mwenzangu, ni ya kwangu, na si yangu peke yangu, ni yetu sote kama
jamii moja.
#ivyo(
5 kitisho cha njaa ya familia fulani maskini kule 0akasaka,
wilayani 'eatu, ni kitisho changu na familia yangu, hata kama
siyo familia yangu.
5 !ucheleweshewa haki ya kuhukumiwa kwa mtuhumiwa wa
mauaji ya kule 0ombetini, ni kitisho kwangu pia, hata kama kesi
siyo yangu.
5 'zee 'akame wa kule *ete, 2emba, aliyefiwa na watoto wake
akakosa msaada na yeye hana nguvu za kuzalisha tena,
anavyokula mlo mmoja kwa siku ili asukume siku, inaniumiza
na kunigusa moyoni, hata kama yeye siyo babu yangu.
5 'ama &ohn ni mpishi mzuri wa wali nazi kwa maharage, na ana
wateja wengi mtaani kwake maeneo ya 'taa wa 0ikukuu,
0okoni !ariakoo; akifukuzwa, akapigwa virungu,
akanyang,anywa pesa zake, akadhalilishwa na kumwagiwa
chakula chake na mgambo wa jiji la "ar es salaam kwa kuwa
anafanya biashara mahala pasiporuhusiwa, inaniumiza na
kunigusa moyoni, hata kama yeye si mama yangu.
5 !ama kuna mtoto asiyejua kusoma na kuandika kule 'rijo
+hini kwa watani zangu warangi, hiyo inaniuma na kunigusa
sana moyoni, hata kama yeye si mwanangu.
5 Bwana !alumanzila ni mmachinga nguo za mitumba mitaani.
-eye huchukua nguo zake kumi kwa kuaminiwa na mwenye
belo kutokea soko la !arume, akiuza anachukua kifaida kidogo
cha juu kinachozidi hapo juu na kurudisha pesa ya mwenye
mali !arume jioni ya siku hiyo. 9lfu mbili ama tatu anayopata
inamfanya aishi yeye na mkewe na watoto wake. .kifukuzwa
barabarani na akanyang,anywa mali, anakosa kazi ya kufanya
na analazimika kumtumikia bosi mwenye mali mpaka
atakapofidia mali iliyopotea bila kupata cha juu. 0hida na
madhila anayoyapata bwana !alumanzila zinaniumiza na
kunigusa sana moyoni, hata kama yeye si mjomba wangu.
$arehe :, .gosti ;8<:, ais !ikwete akihutubia kwenye !ituo cha
kimataifa cha maendeleo =+enter for Global "evelopment> alisema(
?@Nataka na natamani kuwa Rais wa mwisho wa
Tanzania kuongoza nhi masikini. Raslimali ya gesi
inatoa na!asi na !ursa kubwa kwa nhi yetu kuondokana
na umasikini. "imi nimeongoza nhi masikini, lakini
nataka mrithi wangu kuongoza nhi yenye ustawi na
utajiri#$ 'imi nasema hivi( nataka na natamani kuwa ais wa
kwanza wa $anzania kuongoza nchi $ajiri. !ama nitafanikiwa kuwa
ais, nitatumia miaka ya awali ya uongozi wangu kuikimbiza
$anzania kuelekea kwenye ndoto hii.
'ungu awabariki. 'ungu ibariki $anzania. 'ungu ibariki .frika.

You might also like