You are on page 1of 15

)1(\ mac .. 7 • %Noll I %.4.

Energy ar,c1Water Utilities Regulatory Authority

REF: PPR/11- 1/10

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI ZA MAFUTA AINA YA PETROLI HAPA NCHINI KUANZIA
TAREHE 10 NOVEMBA 2010

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei elekezi na bei kikomo za mafuta ya
petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 10 Novemba 2010. Pamoja na kutambua bei
elekezi na bei kikomo za bidhaa mbali mbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia yafuatayo.

Bei za aina zote tatu za mafuta, za jumla na reja reja hapa nchini zimepanda kidogo ikilinganishwa na toleo
lililopita Ia tarehe 27 Oktoba 2010. Katika toleo hill bei za rejareja za mafuta zimepanda kama ifuatavyo:
Petroli 2.49%, Dizeli (5000 ppm) 1.01%, Dizeli (500 ppm) 1.11% na Mafuta ya taa 1.89%. Mabadiliko
haya ya bei za mafuta hapa nchini yametokana na kupanda kwa bei katika soko la dunia, bei zingepanda
zaidi isingekuwa ni kwa sababu ya kupanda kidogo kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania ikilinganishwa na
dola ya Marekani, (sarafu ambayo huturnika katika manunuzi ya bidhaa za mafuta kwenye soko Ia dunia).
Bei za jumla kulinganisha matoleo haya mawili zimepanda kama ifuatavyo: Petroli 2.59%, Dizeli
(5000ppm) I .05%, Dizeli (500 ppm) 1.15% na Mafuta ya Taa 2.00%.

Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2008, bei ya bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea kupangwa
na soko. EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei elekezi za bidhaa za mafuta
ikiwa ni pamoja na bei kikomo. Taarifa hizi zina lengo la kuwasaidia wadau kufanya tnaamuzi stahiki
kuhusu manunuzi ya bidhaa za mafuta.

Kampuni za mafuta zipo huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani ilimradi bei
hizo ziko chini ya bei kikomo (price cap). Bei kikorno ni asilimia 7.5 ya bei elekezi kama
ilivyokokotolewa na lomula iliyopitishwa na EWURA na ambayo ilichapwa kwenye Gazeti Ia Serikali No.
5 la tarehe 9 Januari 2009.

Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana
bayana na yakionyesha bei ya mafuta, punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na kituo
husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta kutoka
kwenye vituo vinavyouza mafuta kwa bei ndogo zaidi ill kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza mafuta
bila kuweka mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja na adhabu itatolewa kwa kituo husika.

1
Vituo vyote vinavyouza dizeli yenye ubora tofauti (500 ppm na 5000 ppm), vinatakiwa kuonyesha kwenye
pampu za visima husika aina ya mafuta yanayouzwa. Kuuza dizeli tofauti na ile iliyoonyeshwa kwenye
pampu ni kosa na itachukuliwa kama ni uchakachuaji wa mafuta ambapo adhabu kali itatolewa kwa
mu h usika.

Wanunuzi wanashauriwa kuhakikisha kuwa wanapata stakabadhi ya malipo inayoonesha jina la kituo,
tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi hiyo ya malipo itatumika kama kidhibiti
cha mnunuzi wa mafiita endapo kutajitokeza malalamiko ya ama kuuziwa mafuta kwa bei ya juu kuliko bei
kikomo; ama endapo utakuwa umeuziwa mafuta yenye kiwango cha ubora kisichofaa.

A: BEI ZA REJAREJA

PETROLI MAFUTA VA TAA

Mji Bei Elekezi Bei Kikomo Mji Bei Elekezi Bei Kikomo
(TZS/LT) (TZS/LT) (TZS/LT) (TZS/LT)
Dar es Salaam 1,673 1,799 Dar es Salaam 1,198 1,287
Arusha 1,757 1,889 Arusha 1,282 1,378
Arumeru 1,757 1,889 Arumeru 1,282 1,378
Karatu 1,776 /, 909 Karatu 1,300 1,397
Monduli 1,763 1,895 Monduli 1,287 1,383
Ngorongoro 1,834 1,972 Ngorongoro 1,359 1,460
(Loliondo) (Loliondo)
Kibaha 1,678 1,804 Kibaha 1,202 1,292
Bagamoyo 1,685 1,811 Bagamoyo 1,209 1,299
Kisarawe 1,681 1,807 Kisarawe 1,205 1,295
Mkuranga 1,683 1,809 Mkuranga 1,207 1,298
Rufiji 1,701 1,829 Rufiji 1,225 1,317
Dodoma 1,732 1,862 Dodoma 1,256 1,350
Kondoa 1.764 1,897 Kondoa 1,289 1,385
Kongwa 1 ,729 1,859 Kongwa 1,254 1,348
Mpwapwa 1,733 1,863 Mpwapwa 1,258 1,352
Iringa 1,737 1,868 Iringa 1,262 1,356
Kilolo 1,742 1,872 Kilolo 1,266 1,361
Ludewa 1,803 1,939 Ludewa 1,328 1,427
Makete 1,796 1,931 Makete 1,321 1,420
Mufindi 1,747 1,878 Mufindi 1,271 1,367
Njombe 1,766 1,898 Njombe 1,290 1,387
Bukoba 1,888 2,030 Bukoba 1,413 1,519
Biharamulo 1,862 2,002 Biharamulo 1,387 1,491

2
Karagwe 1,904 2,047 Karagwe 1,429 1,536
Muleba 1,879 2,020 Muleba 1,404 1,509
Ngara 1,821 1,957 Ngara 1,345 1,446
Misenyi 1,896 2,039 Misenyi 1,421 1,527
Kigoma 1,904 2.047 Kigoma 1,429 1,536
Kasulu 1,890 2,032 Kasulu 1,415 1,521
Kibondo 1,868 2,009 Kibondo 1,393 1,497
Moshi 1,747 1,878 Moshi 1,271 1,367
Hai 1,750 1,882 Hai 1,274 1,370
Mwanga 1,740 1,871 Mwanga 1,264 1,359
Rombo 1,768 1,901 Rombo 1,293 1,390
Same 1,733 1,863 Same 1,258 1,352
Siha 1,754 1,885 Siha 1,278 1,373
Lindi 1,732 1,862 Lindi 1,256 1,351
Kilwa Masoko 1,707 1,835 Kilwa Masoko 1,231 1,324
Liwale 1,753 1,885 Liwale 1,278 1,373
Nachingwea 1,761 1,894 Nachingwea 1,286 1,382
Ruangwa 1,759 1,891 Ruangwa 1,284 1,380
Babati 1,795 1,930 Babati 1,320 1,419
Hanang 1,806 1,942 Hanang 1,331 1,430
Kiteto 1,807 1,942 Kiteto 1,331 1,431
Mbulu 1,808 1,944 Mbulu 1,333 1,433
Simanjiro 1,827 1,965 Simanjiro 1,352 1,453
Musoma 1,852 1,990 Musoma 1,376 1,479
Bunda 1,843 1,981 Bunda 1,367 1,469
Serengeti 1,897 2,040 Serengeti 1,422 1,528
Tarime 1,863 2,002 Tarime 1,387 1,491
Mbeya 1,780 1,914 Mbeya 1,304 1,402
Chunya 1,790 1,924 Chunya 1,314 1,412
Ileje 1,793 1,928 Ileje 1,318 1,416
Kyela 1,796 1,931 Kyela 1,320 1,419
Mbarali 1,764 1,897 Mbarali 1,289 1,385
Mbozi 1,790 1,924 Mbozi 1,314 1,412
Rungwe 1,789 1,924 Rungwe 1,313 1,412
Morogoro 1,698 1,826 Morogoro 1,223 1,314
Mikumi 1,714 1,843 Mikumi 1,238 1,331
Kilombero 1,736 1,867 Kilombero 1,261 1,355
Mahenge 1,746 1,877 Mahenge 1,271 1,366
Kilosa 1,716 1,845 Kilosa 1,241 1,334
Mvomero 1,708 1,837 Mvomero 1,233 1,325
Mtwara 1,746 1,877 Mtwara 1,270 1,365
Masasi 1,771 1,904 Masasi 1,295 1,393

3
Newala 1,777 1,911 Newala 1,302 1,399
Tandahimba 1,770 1,903 Tandahimba 1,295 1,392
Mwanza 1,823 1,960 Mwanza 1,347 1,448
Geita 1,864 2,004 Geita 1,389 1,493
Kwimba 1,859 1,999 Kwimba 1,384 1,487
Magu 1,831 1, 969 Magu 1,355 1,457
Misungwi 1,829 1, 966 Misungwi 1,353 1,454
Sengerema 1,855 1,995 Sengerema 1,380 1,483
Ukerewe 1,882 2,024 Ukerewe 1,407 1,512
Sumbawanga 1,846 1,985 Sumbawanga 1,371 1,473
Mpanda 1,880 2,022 Mpanda 1,405 1,510
Nkasi 1,859 1, 999 Nkasi 1,384 1,487
Songea 1,797 1,931 Songea 1,321 1,420
Mbinga 1,830 1, 968 Mbinga 1,355 1,456
Namtumbo 1,825 1,962 Namtumbo 1,350 1,451
Tunduru 1,855 1, 995 Tunduru 1,380 1,483
Shinyanga 1,802 1,937 Shinyanga 1,326 1,426
Kahama 1,816 1,952 Kahama 1,340 1,440
Bukombe 1,828 1,965 Bukombe 1,352 1,453
Bariadi 1,843 1,982 Bariadi 1,368 1,470
Kishapu 1,830 1,968 Kishapu 1,355 1,456
Maswa 1,834 1,972 Maswa 1,359 1,460
Meatu 1,841 1, 980 Meatu 1,366 1,468
Singida 1,764 1,896 Singida 1,288 1,385
Iramba 1,776 1,909 Iramba 1,300 1,398
Manyoni 1,748 1,880 Manyoni 1,273 1,368
Tabora 1,827 1,965 Tabora 1,352 1,453
Igunga 1,781 1,915 Igunga 1,305 1,403
Nzega 1,792 1,926 Nzega 1,316 1,415
Sikonge 1,839 1,977 Sikonge 1,364 1,466
Urambo 1,840 1,979 Urambo 1,365 1,467
Tanga 1,719 1,848 Tanga 1,244 1,337
Handeni 1,710 1, 839 Handeni 1,235 1,327
Kilindi 1,733 1,863 Kilindi 1,258 1,352
Korogwe 1,712 1,841 Korogwe 1,237 1,329
Lushoto 1,722 1,852 Lushoto 1,247 1,340
Mkinga 1,733 1,863 Mkinga 1,258 1,352
Muheza 1,719 1,848 Muheza 1,244 1,337
Pangani 1,726 1,856 Pangani 1,250 1,344

4

DIZELI (Sulphur 5000 PPM) DIZELI (Sulphur 500 PPM)

Mji Bei Elekezi Bei Kikomo Mji Bei Elekezi Bei Kikomo
(TZS/LT) (TZS/LT) (TZS/LT) (TZS/LT)
Dar es Salaam 1646 1770 Dar es Salaam 1674 1800
Arusha 1730 1860 Arusha 1758 1890
Arumeru 1730 1860 Arumeru 1758 1890
Karatu 1748 1880 Karatu 1776 1909
Monduli 1736 1866 Monduli 1763 1896
Ngorongoro 1807 1943 Ngorongoro 1835 1973
(Loliondo) (Loliondo)
Kibaha 1651 1775 Kibaha 1679 1804
Bagamoyo 1657 1782 Bagamoyo 1685 1811
Kisarawe 1653 1 777 Kisarawe 1681 1807
Mkuranga 1656 1780 Mkuranga 1684 1810
Rufiji 1674 1799 Rufiji 1702 1829
Dodoma 1705 1833 Dodoma 1733 1863
Kondoa 1737 1868 Kondoa 1765 1897
Kongwa 1702 1830 Kongwa 1730 1860
Mpwapwa 1706 1834 Mpwapwa 1734 1864
Iringa 1710 1838 Iringa 1738 1868
Kilolo 1715 1843 Kilolo 1742 1873
Ludewa 1776 1909 Ludewa 1804 1939
Makete 1769 1902 Makete 1797 1932
Mufindi 1720 1849 Mufindi 1748 1879
Njombe 1739 1869 Njombe 1766 1899
Bukoba 1861 2001 Bukoba 1889 2031
Biharamulo 1835 1973 Biharamulo 1863 2003
Karagwe 1877 2018 Karagwe 1905 2048
Muleba 1852 1991 Muleba 1880 2021
Ngara 1793 1928 Ngara 1821 1958
Misenyi 1869 2009 Misenyi 1897 2039
Kigoma 1877 2018 Kigoma 1905 2048
Kasulu 1863 2003 Kasulu 1891 2033
Kibondo 1841 1979 Kibondo 1869 2009
Moshi 1720 1849 Moshi 1748 1879
Hai 1723 1852 Hai 1751 1882
Mwanga 1713 1841 Mwanga 1741 1871
Rombo 1741 1872 Rombo 1769 1902
Same 1706 1834 Same 1734 1864
Siha 1726 1856 Siha 1754 1886
Lindi 1705 1833 Lindi 1733 1863
Ki I wa Masoko 1680 1806 Kilwa Masoko 1708 1836
5
Liwale 1726 1856 Liwale 1754 1886
Nachingwea 1734 1864 Nachingwea 1762 1894
Ruangwa 1732 /862 Ruangwa 1760 1892
Babati 1768 1901 Babati 1796 1931
Hanang 1779 1913 Hanang 1807 1943
Kiteto 1779 1913 Kiteto 1807 1943
Mbulu 1781 1 915 Mbulu 1809 1945
Simanjiro 1800 1935 Simanjiro 1828 1965
Musoma 1824 1961 Musoma 1852 1991
Bunda 1816 1952 Bunda 1843 1981
Serengeti 1870 2011 Serengeti 1898 2040
Tarime 1835 1973 Tarime 1863 2003
Mbeya 1753 1885 Mbeya 1781 1914
Chunya 1763 1895 Chunya 1790 1925
Ileje 1766 1899 Ileje 1794 1929
Kyela 1769 1901 Kyela 1797 1931
Mbarali 1737 1868 Mbarali 1765 1897
Mbozi 1762 1895 Mbozi 1790 1924
Rungwe 1762 1894 Rungwe 1790 1924
Morogoro 1671 1797 Morogoro 1699 1826
Mikumi 1687 1813 Mikumi 1715 1843
Kilombero 1709 1837 Kilombero 1737 1867
Mahenge 1719 1848 Mahenge 1747 1878
Kilosa 1689 1816 Kilosa 1717 1846
Mvomero 1681 1807 Mvomero 1709 1837
Mtwara 1719 1847 Mtwara 1746 1877
Masasi 1744 1875 Masasi 1772 1905
Newala 1750 1882 Newala 1778 1911
Tandahimba 1743 1874 Tandahimba 1771 1904
Mwanza 1796 1931 Mwanza 1824 1961
Geita 1837 1975 Geita 1865 2005
Kwimba 1832 1970 Kwimba 1860 1999
Magu 1804 1939 Magu 1832 1969
Misungwi 1802 1937 Misungwi 1829 1967
Sengerema 1828 1965 Sengerema 1856 1995
Ukerewe 1855 1994 Ukerewe 1883 2024
Sumbawanga 1819 1956 Sumbawanga 1847 1986
Mpanda 1853 1992 Mpanda 1881 2022
Nkasi 1832 1970 Nkasi 1860 1999
Songea 1769 1902 Songea 1797 1932
Mbinga 1803 1938 Mbinga 1831 1968
Namtumbo 1798 1933 Namtumbo 1826 1963

6
Tunduru 1828 1965 Tunduru 1856 1995
Shinyanga 1775 1908 Shinyanga 1803 1938
Kahama 1788 1923 Kahama 1816 1952
Bukombe 1801 1936 Bukombe 1828 1966
Bariadi 1816 1952 Bariadi 1844 1982
Kishapu 1803 1938 Kishapu 1831 1968
Maswa 1807 1943 Maswa 1835 1973
Meatu 1814 1950 Meatu 1842 1980
Singida 1737 1867 Singida 1764 1897
Iramba 1749 1880 Iramba 1777 1910
Manyoni 1721 1850 Manyoni 1749 1880
Tabora 1800 1935 Tabora 1828 1965
Igunga 1754 1886 Igunga 1782 1916
Nzega 1765 1897 Nzega 1792 1927
Sikonge 1812 1948 Sikonge 1840 1978
Urambo 1813 1949 Urambo 1841 1979
Tanga 1692 1819 Tanga 1720 1849
Handeni 1683 1809 Handeni 1711 1839
Kilindi 1706 1834 Kilindi 1734 1864
Korogwe 1685 1812 Korogwe 1713 1841
Lushoto 1695 1822 Lushoto 1723 1852
Mkinga 1706 1834 Mkinga 1734 1864
Muheza 1692 1819 Muheza 1720 1849
Pangani 1699 1826 Pangani 1727 1856

B: BEI ZA JUMLA

Bei za Jumla - DSM Petro li Dizeli (5000 ppm) Dizeli (500 ppm) Mafuta ya Tali
Bei Elekezi 1,609.99 1,582.75 1,610.50 1,134.10
Bei Kikomo 1,730.74 1,701.45 1,731.29 1,219.16

Haruna Masebu
Mkurugenzi Mkuu
EWURA

7
)1111( W V*a
Energy and Water Uulifies Regulatory Authority

REF: PPR/11 - 1/10

PUBLIC NOTICE ON INDICATIVE AND CAP PRICES FOR PETROLEUM PRODUCTS IN


THE COUNTRY EFFECTIVE 10 NOVEMBER 2010

EWURA hereby publishes bi-weekly indicative and cap prices for petroleum products in the Tanzania
Mainland local market. These retail and wholesale prices are applicable effective Wednesday, 10th
November 2010. Kindly take note of the following.

Petroleum products retail and wholesale prices in the Tanzania Mainland local market have
slightly increased compared with the last prices publications of 27 111 October 2010. Retail prices
have increased as follows: Petrol by 2.49%, Diesel (5000 ppm) by 1.01%, Diesel (500 ppm) by
1.11% and Kerosene 1.89%. The price increase has been caused by an increase in the world
market prices, prices would have increased more had it not been because of a slight
appreciation of the Tanzanian Shilling compared to the US dollar (the currency in which
purchases of products in the international oil market are made). The rise in wholesale prices
for the same period is as follows: Petrol 2.59%, Diesel (5000 ppm) 1.05%, Diesel (500 ppm)
1.15% and Kerosene 2.00%.

hi line with the prevailing sector legislation, prices of petroleum products are governed by
rules of supply and demand. EWURA shall continue to encourage competition in the sector by
making available petroleum products pricing information including price cap. This information
on prices is intended to enable stakeholders to make informed decisions on petroleum prices at
any particular time.

(c) Oil marketing companies are free to sell their products at a price that give them competitive
advantage, provided that such price does not exceed the price cap for the relevant product.
The price cap has been set at 7.5 per cent of the indicative price as computed by EWURA in
accordance with the approved formula. The approved formula was gazetted through
Government Notice No. 5 of 9 th January 2009.

All petrol stations should publish petroleum product prices on clearly visible boards. The price
boards should be clearly visible and should clearly show prices charged, discounts offered as
well as any trade incentives or promotions on offer. Consumers are advised to purchase from
those that sell products at the most competitive prices. It is an offence not to have prices
published on boards located in clearly visible places in front of petrol stations and it will
attract punitive measures from EWURA.

All petrol stations selling or offering for sale diesel should clearly mark the dispensing pumps
with the type of diesel they are dispensing (500 ppm and 5000 ppm). Selling or offering for
sale diesel of a different quality from that indicated on the pump is an offence and will
attract punitive measures from EWURA.

1
(f) Retailers must issue receipts with respect to all sales that they make and consumers are advised
to demand and keep receipts that clearly show the name of petrol station, date on which such
purchase was made as well as, the type of fuel and price per litre for every purchase they make.
This can be used as an exhibit in case of a complaint lodged in the event that the selling price is
above the cap price or in case the products sold is off the approved specifications

A: RETAIL PRICES

PETROL KEROSENE

Indicative Price Price


Town Price Cap Town Indicative Price Cap
(TZS/LT) (TZS/LT) (TZS/LT) (TZS/LT)
Dar es Salaam 1,673 1, 799 Dar es Salaam 1,198 1,287
Arusha 1,757 1,889 Arusha 1,282 1,378
Arumeru 1,757 1,889 Arumeru 1,282 1,378
Karatu 1,776 1,909 Karatu 1,300 1,397
Monduli 1,763 1,895 Monduli 1,287 1,383
Ngorongoro 1,834 1,972 Ngorongoro 1,359 1,460
(Loliondo) (Loliondo)
Kibaha 1,678 1,804 Kibaha 1,202 1,292
Bagamoyo 1,685 1,811 Bagamoyo 1,209 1,299
Kisarawe 1,681 1,807 Kisarawe 1,205 1,295
Mkuranga 1,683 1,809 Mkuranga 1,207 1,298
Rufiji 1,701 1,829 Rufiji 1,225 1,317
Dodoma 1,732 1,862 Dodoma 1,256 1,350
Kondoa 1,764 1,897 Kondoa 1,289 1,385
Kongwa 1,729 1,859 Kongwa 1,254 1,348
Mpwapwa 1,733 1,863 Mpwapwa 1,258 1,352
Iringa 1,737 1,868 Iringa 1,262 1,356
Kilolo 1,742 1,872 Kilolo 1,266 1,361
Ludewa 1,803 1,939 Ludewa 1,328 1,427
Makete 1,796 1,931 Makete 1,321 1,420
Mufindi 1,747 1,878 Mufindi 1,271 1,367
Njombe 1,766 1,898 Njombe 1,290 1,387
Bukoba 1,888 2,030 Bukoba 1,413 1,519
Biharamulo 1,862 2,002 Biharamulo 1,387 1,491
Karagwe 1,904 2,047 Karagwe 1,429 1,536
Muleba 1,879 2,020 Muleba 1,404 1,509
Ngara 1,821 1,957 Ngara 1,345 1,446
Misenyi 1,896 2,039 Misenyi 1,421 1,527
Kigoma 1,904 2,047 Kigoma 1,429 1,536
Kasulu 1,890 2,032 Kasulu 1,415 1,521

2
Kibondo 1,868 2,009 Kibondo 1,393 1,497
Moshi 1,747 1,878 Moshi 1,271 1,367
Hai 1,750 1,882 Hai 1,274 1,370
Mwanga 1,740 1,871 Mwanga 1,264 1,359
Rombo 1,768 1,901 Rombo 1,293 1,390
Same 1,733 1,863 Same 1,258 1,352
Siha 1,754 1,885 Siha 1,278 1,373
Lindi 1,732 1,862 Lindi 1,256 1,351
Kilwa Masoko 1,707 1,835 Kilwa Masoko 1,231 1,324
Liwale 1,753 1,885 Liwale 1,278 1,373
Nachingwea 1,761 1,894 Nachingwea 1,286 1,382
Ruangwa 1,759 1,891 Ruangwa 1,284 1,380
Babati 1,795 1,930 Babati 1,320 1,419
Hanang 1,806 1,942 Hanang 1,331 1,430
Kiteto 1,807 1,942 Kiteto 1,331 1,431
Mbulu 1,808 1,944 Mbulu 1,333 1,433
Simanjiro 1,827 1,965 Simanjiro 1,352 1,453
Musoma 1,852 1,990 Musoma 1,376 1,479
Bunda 1,843 1,981 Bunda 1,367 1,469
Serengeti 1,897 2,040 Serengeti 1,422 1,528
Tarime 1,863 2,002 Tarime 1,387 1,491
Mbeya 1,780 1,914 Mbeya 1,304 1,402
Chunya 1,790 1,924 Chunya 1,314 1,412
Ileje 1,793 1,928 Ileje 1,318 1,416
Kyela 1,796 1,931 Kyela 1,320 1,419
Mbarali 1,764 1,897 Mbarali 1,289 1,385
Mbozi 1,790 1,924 Mbozi 1,314 1,412
Rungwe 1,789 1,924 Rungwe 1,313 1,412
Morogoro 1,698 1,826 Morogoro 1,223 1 314
Mikumi 1,714 1,843 Mikumi 1,238 1,331
Kilombero 1,736 1,867 Kilombero 1,261 1,355
Mahenge 1,746 1,877 Mahenge 1,271 1,366
Kilosa 1,716 1,845 Kilosa 1,241 1,334
Mvomero 1,708 1,837 Mvomero 1,233 1,325
Mtwara 1,746 1,877 Mtwara 1,270 1,365
Masasi 1,771 1,904 Masasi 1,295 1,393
Newala 1,777 1,911 Newala 1,302 1,399
Tandahimba 1,770 1,903 Tandahimba 1,295 1,392
Mwanza 1,823 1,960 Mwanza 1,347 1,448
Geita 1,864 2,004 Geita 1,389 1,493
Kwimba 1,859 1,999 Kwimba 1,384 1,487
Magu 1,831 1,969 Magu 1,355 1,457
Misungwi 1,829 1,966 Misungwi 1,353 1,454

3
Sengerema 1,855 1,995 Sengerema 1,380 1,483
Ukerewe 1,882 2,024 Ukerewe 1,407 1,512
Sumbawanga 1,846 1,985 Sumbawanga 1,371 1,473
Mpanda 1,880 2,022 Mpanda 1,405 1,510
Nkasi 1,859 1,999 Nkasi 1,384 1,487
Songea 1,797 1,931 Songea 1,321 1,420
Mbinga 1,830 1,968 Mbinga 1,355 1,456
Namtumbo 1,825 1,962 Namtumbo 1,350 1,451
Tunduru 1,855 1,995 Tunduru 1,380 1,483
Shinyanga 1,802 1,937 Shinyanga 1,326 1,426
Kahama 1,816 1,952 Kahama 1,340 1,440
Bukombe 1,828 1,965 Bukombe 1,352 1,453
Bariadi 1,843 1,982 Bariadi 1,368 1,470
Kishapu 1,830 1,968 Kishapu 1,355 1,456
Maswa 1,834 1,972 Maswa 1,359 1,460
Meatu 1,841 1,980 Meatu 1,366 1,468
Singida 1,764 1,896 Singida 1,288 1,385
Iramba 1,776 1,909 Iramba 1,300 1,398
Manyoni 1,748 1,880 Manyoni 1,273 1,368
Tabora 1,827 1,965 Tabora 1,352 1,453
Igunga 1,781 1,915 Igunga 1,305 1,403
Nzega 1,792 1,926 Nzega 1,316 1,415
Sikonge 1,839 1,977 Sikonge 1,364 1,466
Urambo 1,840 1,979 Urambo 1,365 1,467
Tanga 1,719 1,848 Tanga 1,244 1,337
Handeni 1,710 1,839 I Iandeni 1,235 1,327
Kilindi 1,733 1,863 Kilindi 1,258 1,352
Korogwe 1,712 1,841 Korogwe 1,237 1,329
Lushoto 1,722 1,852 Lushoto 1,247 1,340
Mkinga 1,733 1,863 Mkinga 1,258 1,352
Muheza 1,719 1,848 Muheza 1,244 1,337
Pangani 1,726 1,856 Pangani 1,250 1,344

4

DIESEL (Sulphur 5000 PPM) DIESEL (Sulphur 500 PPM)

Indicative
Town Indicative Price Price Cap Town Price Price Cap
(TZS/LT) (TZS/LT) (TZS/LT) (TZS/LT)
Dar es Salaam 1646 /770 Dar es Salaam 1674 1800
Arusha 1730 1860 Arusha 1758 1890
Arumeru 1730 1860 Arumeru 1758 1890
Karatu 1748 1880 Karatu 1776 1909
Monduli 1736 1866 Monduli 1763 1896
Ngorongoro 1807 19-13 Ngorongoro 1835 1973
(Loliondo) (Loliondo)
Kibaha 1651 1775 Kibaha 1679 1804
Bagamoyo 1657 1 782 Bagamoyo 1685 1811
Kisarawe 1653 1777 Kisarawe 1681 1807
Mkuranga 1656 1780 Mkuranga 1684 1810
Rufiji 1674 / 799 Rufiji 1702 1829
Dodoma 1705 1833 Dodoma 1733 1863
Kondoa 1737 1868 Kondoa 1765 1897
Kongwa 1702 1830 Kongwa 1730 1860
Mpwapwa 1706 1834 Mpwapwa 1734 1864
Iringa 1710 1838 Iringa 1738 1868
Kilolo 1715 1843 Kilolo 1742 1873
Ludewa 1776 1909 Ludewa 1804 1939
Makete 1769 1902 Makete 1797 1932
Mufindi 1720 1849 Mufindi 1748 1879
Njombe 1739 1869 Njombe 1766 1899
Bukoba 1861 2001 Bukoba 1889 2031
Biharamulo 1835 1973 Biharamulo 1863 2003
Karagwe 1877 2018 Karagwe 1905 2048
Muleba 1852 1991 Muleba 1880 2021
Ngara 1793 1928 Ngara 1821 1958
Misenyi 1869 2009 Misenyi 1897 2039
Kigoma 1877 2018 Kigoma 1905 2048
Kasulu 1863 2003 Kasulu 1891 2033
Kibondo 1841 1979 Kibondo 1869 2009
Moshi 1720 1849 Moshi 1748 1879
Hai 1723 1852 Hai 1751 1882
Mwanga 1713 1841 Mwanga 1741 1871
Rombo 1741 1872 Rombo 1769 1902
Same 1706 1834 Same 1734 1864
Siha 1726 1856 Siha 1754 1886
Lindi 1705 1833 Lindi 1733 1863

5
Kilwa Masoko 1680 1806 Kilwa Masoko 1708 1836
Liwale 1726 1856 Liwale 1754 1886
Nachingwea 1734 1864 Nachingwea 1762 1894
Ruangwa 1732 1862 Ruangwa 1760 1892
Babati 1768 1901 Babati 1796 1931
Hanang 1779 1913 Hanan 1807 1943
Kiteto 1779 1913 Kiteto 1807 1943
Mbulu 1781 1915 Mbulu 1809 1945
Simanjiro 1800 1935 Simanjiro 1828 1965
Musoma 1824 1961 Musoma 1852 1991
Bunda 1816 1952 Bunda 1843 1981
Serengeti 1870 2011 Serengeti 1898 2040
Tarime 1835 1973 Tarime 1863 2003
Mbeya 1753 1885 Mbeya 1781 1914
Chunya 1763 1895 Chunya 1790 1925
Ileje 1766 1899 Ileje 1794 1929
Kyela 1769 1901 Kyela 1797 1931
Mbarali 1737 1868 Mbarali 1765 1897
Mbozi 1762 1895 Mbozi 1790 1924
Rungwe 1762 1894 Rungwe 1790 1924
Morogoro 1671 1797 Morogoro 1699 1826
Mikumi 1687 1813 Mikumi 1715 1843
Kilombero 1709 1837 Kilombero 1737 1867
Mahenge 1719 1848 Mahenge 1747 1878
Kilosa 1689 1816 Kilosa 1717 1846
Mvomero 1681 1807 Mvomero 1709 1837
Mtwara 1719 1847 Mtwara 1746 1877
Masasi 1744 1875 Masasi 1772 1905
Newala 1750 1882 Newala 1778 1911
Tandahimba 1743 1874 Tandahimba 1771 1904
Mwanza 1796 1931 Mwanza 1824 1961
Geita 1837 1975 Geita 1865 2005
Kwimba 1832 1970 Kwimba 1860 1999
Magu 1804 1939 Magu 1832 1969
Misungwi 1802 1937 Misungwi 1829 1967
Sengerema 1828 1965 Sengerema 1856 1995
Ukerewe 1855 1994 Ukerewe 1883 2024
Sumbawanga 1819 1956 Sumbawanga 1847 1986
Mpanda 1853 1992 Mpanda 1881 2022
Nkasi 1832 1970 Nkasi 1860 1999
Songea 1769 1902 Songea 1797 1932
Mbinga 1803 1938 Mbinga 1831 1968
Namtumbo 1798 1933 Namtumbo 1826 1963

6
Tunduru 1828 1965 Tunduru 1856 1995
Shinyanga 1775 1908 Shinyanga 1803 1938
Kahama 1788 1923 Kahama 1816 1952
Bukombe 1801 1936 Bukombe 1828 1966
Bariadi 1816 / 952 Bariadi 1844 1982
Kishapu 1803 / 938 Kishapu 1831 1968
Maswa 1807 1943 Maswa 1835 1973
Meatu 1814 1950 Meatu 1842 1980
Singida 1737 1867 Singida 1764 1897
Iramba 1749 1880 Iramba 1777 1910
Manyoni 1721 1850 Manyoni 1749 1880
Tabora 1800 1935 Tabora 1828 1965
Igunga 1754 1886 Igunga 1782 1916
Nzega 1765 1897 Nzega 1792 1927
Sikonge 1812 / 948 Sikonge I 840 1978
Urambo 1813 1949 Urambo 1841 1979
Tanga 1692 1819 Tanga 1720 1849
Handeni 1683 1809 Handeni 1711 1839
Kilindi 1706 1834 Kilindi 1734 1864
Korogwe 1685 1812 Korogwe 1713 1841
Lushoto 1695 1822 I,ushoto 1723 1852
Mkinga 1706 1834 Mkinga 1734 1864
Muheza 1692 1819 Muheza 1720 1849
Pangani 1699 1826 Pangani 1727 /856

B: Wholesale Prices

Wholesale Prices - Petrol Diesel (5000 ppm) Diesel (500 ppm) Kerosene
DSM
Indicative Prices 1,609.99 1,582.75 1,610.50 1,134.10
Cap Prices 1,730.74 1,701.45 1,731.29 1,219.16

kg, L----
Haruna Masebu
DIRECTOR GENERAL
EWURA

7
INDICATIVE PETROLEUM PRICES - EFFECTIVE 10.11.2010

Average Platt's Average: 11 October - 22 October 2010 EXCHANGE RATE = 1,522.06

CONVERSION FACTORS 0.736 0.833 0.833 0.786

Petrol Diesel Diesel Kerosene

DESCRIPTION 5000 ppm 500 ppm

UNIT PRICE PRICE PRICE PRICE

Average Platt's FOB USD/MT 772.23 683.21 693.63 733.77

Plus Freight USD/MT 24.63 24.63 24.63 24.63

Plus Premium USD/MT 6.75 2.40 12.83 4.78

Plus Insurance (0.1% C&F) USD/MT 0.80 0.71 0.72 0.76

Sub Total COST CIF DAR USD/MT 804.40 710.94 731.81 763.94

LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES

Wharfage 1.6 % of CIF + 18% VAT USD/MT 15.20 13.44 13.83 14.44

Destination inspection 1.2% of FOB USD/MT 9.27 8.20 8.32 8.81

SUMATRA USD 0.25 per MT USD/MT 0.25 0.25 0.25 0.25

TBS 0.20% of C&F USD/MT 1.59 1.42 1.44 1.52

TBS Application and Testing Fees * USD/MT 0.38 0.38 0.38 0.38

TIPER fees USD 0.15 per MT, Plus 18% VAT USD/MT 0.177 0.177 0.177 0.177

Ocean loss (0.5% MSP, 0.30% GO & IK) CIF USD/MT 4.02 2.13 2.20 2.29

Demurrage (Estimate) 3 days per vessel USD/MT 1.50 1.50 1.50 1.50

Evaporation Losses (0.5% MSP, 0.30% GO % 1K )C USD/MT 4.02 2.13 2.20 2.29

Surveyor's Costs ($0.15/MT) USD/MT 0.15 0.15 0.15 0.15

Financing Cost (1.750% CIF) USD/MT 14.08 12.44 12.81 13.37

Petroleum Marking Cost ($3.3/CM + 18% VAT) USD/MT 5.29 4.67 4.67 4.95
Sub Total LOCAL COSTS (LC) USD/MT 55.93 46.89 47.92 50.12

Landed cost - Dar Es Salaam (CIF + LC) USD/MT 860.34 757.83 779.73 814.06

Landed cost Tzs per Litre Tzs/Ltr 963.78 960.84 988.60 973.89

GOVERNMENT TAXES

Fuel Levy Tzs/Ltr 200.00 200.00 200.00 -

Excise duty Tzs/Ltr 339.00 314.00 314.00 52.00


Sub Total TOTAL GOVERNMENT TAXES Tzs/Ltr 539.00 514.00 514.00 52.00
Plus EWURA LEVY Tzs/Ltr 6.10 6.80 6.80 7.10

Plus OMC's Overheads & Margins Tzs/Ltr 101.11 101.11 101.11 101.11
WHOLESALE PRICES Tzs/Ltr 1,609.99 1,582.75 1,610.50 1,134.10
Plus Dealers Margin Tzs/Lir 53.49 53.49 53.49 53.49
Plus Transport Charges (Local) Tzs/Ltr 10.00 10.00 10.00 10.00
Price Average DSM Pump Prices Tzs/Ltr I 1,673.48 1,646.24 1,674.00 1,197.59

Preceding DSM Indicative wholesale prices 1,569.28 1,566.26 1,592.16 1,111.89

%Change in indicative wholesale prices 2.59% 1.05% 1.15% 2.00%

Preceding DSM Indicative pump prices 1,632.78 1,629.75 1,655.65 1,175.39

%Change in indicative pump prices 2.49% 1.01% 1.11% 1.89%

You might also like