0713779527
102/1
KISWAHILI (INSHA)
KARATASI YA 1
MUDA: SAA 1¾
KISWAHILI PAPER 1
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
102/1
Kiswahili (Insha)
Karatasi ya 1
1¾
MAAGIZO
Jibu jumla ya maswali mawili.
Swali la kwanza ni la lazima.
Chagua swali la pili kutoka kwa yale matatu yaliyosalia.
Kila insha isipungue maneno 400.
Mtihani huu una jumla ya alama 40.
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa [Link] ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na
kuwa maswali yote yamo.
1
0713779527
1. LAZIMA
Wewe ni mwalimu mkuu wa shule yako ambaye imekuwa ikifanya vibaya katika mitihani wa kitaifa.
Umeulizwa na waziri wa elimu kuandika ripoti kuhusu sababu mbali mbali za matokeo mabaya na jinsi ya
kukabiliana na matatizo hayo. Andika ripoti yako.
2. Ufisadi ni janga ambalo halina budi kukabiliwa ikiwa nchi ina matumaini ya kutimiza ruwaza ya 2030. Eleza
3. Ukiviona vyaelea, jua vimeundwa
4. Andika kisa kitakachomalizia kwa maneno yafuatayo.
…kisa hicho kilinifundisha kuwa umaskini si majaliwa, ni mwenyewe kujitakia.