You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anawatangazia wafuatao kuwa wamepata ufadhili wa kugharamiwa mafunzo yao ya Uzamili/Uzamivu kwa mwaka wa masomo 2013/2014. Wanafunzu hawa wanatakiwa kufika Wizara ya Afya kwa ajili ya kujaza mkataba wa makubaliano ya ufadhili wa Wizara kabla ya kuanza masomo. Aidha Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inasisitiza kuwa haitahusika kugharamia mafunzo ya mwanafunzi yoyote atakayeamua kujiunga na masomo ambaye hayuko kwenye orodha hii.

You might also like