You are on page 1of 2

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.o.!"
Fax: 255-22-2113425
#$E%&'E(T)% *++&,E,
T-E %T.TE -*/%E,
#.*. 0*1 9122,
'.$ E% %.3..4.
Tan"ania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Kikwete akusuia kus!ika "!aki te#a
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema
kuwa anakusudia kurejea darasani kushika tena chaki kwa kuwa mhadhiri kwenye
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (a!ional 'e5ence ,ollee 6(',7 cha !ar "s
#alaam$
Rais Kikwete amelieleza hilo mchana wa leo, %jumaa, Juni &', &'(), wakati
ali*otoa Mhadhara 63ec!ure7 kuhusu Usalama wa Taifa 6The %ecuri!y o5 !he
(a!ion7 m+ele ya wanafunzi wa Chuo hicho kilichoko Kunduchi, !ar "s salaam$
Rais Kikwete amewaam+ia wanafunzi wa kozi ya *ili ya Chuo hicho
kutoka nchini na nchi za jirani za Uganda, Kenya na Rwanda, 8(a9isikia mwenye
raha sana kuwe"a kuru:i :arasani ku!oa mha:hara huu. Tukio hili
linanikum;usha en"i "anu ka!ika ,huo cha <i9eshi cha 4on:uli 6T4.7. (i
ma!ara9io yanu pia kuwa ni!awe"a kuru:i kuwa mha:hiri ka!ika ,huo hiki
;aa:a ya kukamilisha ka"i yanu ya sasa.=
Rais Kikwete am+aye alizungumza kwa kiasi cha saa m+ili, alianza
mhadhara wake +aada ya ku*ata maelezo kuhusu maendeleo ya Chuo hicho na
+aadaye akaji+u maswali ya wanafunzi am+ao walimwuuliza kuhusu mam+o
m+ali m+ali yanayohusiana na usalama wa nchi$
-!C kilianzishwa rasmi #e*tem+a &, mwaka &'(& na Chuo hicho
kilizinduliwa Rais na Rais Kikwete #e*tem+a (', mwaka huo huo, &'(& wakati
ali*otem+elea Chuo hicho kwa mara ya kwanza kufuatia juhudi ku+wa za uongozi
wake kuhakikisha kuwa chuo cha namna hiyo na cha aina yake kinaanzishwa
nchini$ Rais *ia alifungua kozi ya kwanza ya Chuo hicho$
Kundi la wanafunzi wa kwanza kwenye Chuo hicho lilimaliza mafunzo
yake Julai &., mwaka &'(. na sasa chuo hicho kinaendesha kozi ya *ili yenye
wanafunzi .'$ Chuo hicho tayari kime*ata usajili kamili wa -"CTA am+ako kina
uwezo wa kutoa shahada ya uzamili katika masomo ya Strategic Studies$
I$et%&ewa #a'
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
%KU/U
DAR ES SALAAM

&' Juni, &'()

You might also like