You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA UJENZI
WAKALA WA UFUNDI NA UMEME(TEMESA)


Telegrams TEMESA DSM
S.L.P 70704
Simu: +255-22-2862796/97 DAR ES SALAAM
Fax: +255-22-2865835 TANZANIA


TAARIFA KWA UMMA

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia
wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda kwenye
matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia leo.
Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa kutumia vivuko vya MV. Magogoni
pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.
Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu
TEMESA
23/7/2014

You might also like