You are on page 1of 20

RIPOTIYAKIFOCHAMWANGOSIILIYOTOLEWANABARAZALAHABARITANZANIA

RIPOTIYATIMUMAALUMYAUCHUNGUZIILIYOTEULIWANABARAZALAHABARITANZANIA(MCT) NAJUKWAALAWAHARIRITANZANIA(TEF)KUCHUNGUZAMAZINGIRAYALIYOPELEKEAKUUAWA KWAMWANDISHIWAHABARIDAUDIMWANGOSISEPTEMBA2,2012KATIKAKIJIJICHANYOLOLO, WILAYAYAMUFINDI,MKOANIIRINGA RipotiyaTimuMaalumyaUchunguziiliyowasilishwakwaBarazalaHabariTanzania(MCT)kwa kuzingatiaHadiduzaRejeaTimuhiyoilizopewanaBarazalaHabariTanzaniaSeptemba5,2012. Imewasilishwana: JohnP.MirenyKiongoziwaTimu,MCT HawraShamteMhaririwaSiasa,GazetilaMwananchi,TEF SimonS.BeregeMhadhiriMsaidizi,ChuoKikuuTumaini,Iringa ORODHAYAUFUPISHO CHADEMAChamachaDemokrasianaMaendeleo CPJKamatiyaKuteteaWaandishiwaHabari DCIMkurugenziwaUpeleleziwaMakosayaJinai IPCKlabuyaWaandishiyaIringa M4CHarakatizaMabadiliko MISATaasisiyaVyombovyaHabariyaKusinimwaAfrika OCCIDMkuuwaUchunguziwaMakosayaUhalifuwaWilaya OCDMkuuwaPolisiPolisiwaWilaya RPCMkuuwaPolisiwaMkoa TEFJukwaalaWahaririTanzania UNESCO Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni Ripoti ya Timu Maalum ya UchunguziiliyowasilishwakwaBarazalaHabariTanzania(MCT)kwa kuzingatiaAdiduzaRejeailizopewanaBarazalaHabariTanzaniaSeptemba5,2012.

1.0Muhtasariwaripoti Ripoti hii ni ya wa uchunguzi mazingira yaliyopelekea kuuawa kwa Mwandishi wa Channel Ten Daudi MwangosimikononimwapolisikatikakijijichaNyololo,wilayayaMufindi,MkoawaIringaSeptemba2, 2012. Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa pamoja waliunda timu ya uhunguzi.Mchakatowenyeweulihusishambinuzauchunguzizakiuandishiwahabari ambazosikamazauchunguziwakipolisinawakimahakama. Methodolojiazauchunguzizilijumuishamahojiano,kutembeleamaeneohusikanauchambuzimahsusi wanyarakakwakuzingatiaadiduzarejeazilizopo.WaandishiwaHabariwaliokuwepoNyololonaambao hawakuwepokatikaeneolamauajiwametoamchangomuhimu. MashahidiwalioshuhudiakatikakijijichaNyololo,wakiwemowatotowalikuwavyanzoMuhimu.Habari zilizochapishwakatikavyombovyahabarikutokanataarifarasmikuhusubaahilopiazilichambuliwakwa umakini. UchambuzimpanaulifanywakuhusuhaliyamahusianoyaUongoziwaMkoawaIringa(ikiwemopolisi) nawanahabariwaIringakablayamauajiyaMwangosi.Mahusianoyalikuwasimazurinayashakakatiya pandehizombilitangukatikaroboyamwishoyamwaka2011. Hii ilisaidia kupata picha pana ya tatizo pamoja na kuweza kufahamu kwa undani tatizo lenyewe na kuwezakupangamwelekeowauchunguziwenyewenahatimayekuwezeshatimukuwezakuunganisha mambonakuandaaripotihii. Aina nyingine ya ushahidi uliosaidia kuimarisha ripoti hii ni pamoja na video, picha mgando; maelezo kutokakatikamikutanonawaandishiwahabariiliyofanyikaIringanataarifazavyombovyahabari. Mpaka wakati ripoti hii inaandikwa, taarifa rasmi kuhusu mauaji ya David Mwangosi zimekuwa zikitofautiana. Kwa kifupi matokeo ya mambo yaliyopelekea mauaji ya Daudi Mwangosi kwanza Yanadhihirisha bila wasiwasikwambaPolisikwamakusudiwaliwaburutawaandishiwaliotokaIringawaliokuwawakifuatlia habari za shughuli za Chadema katika kijiji cha Nyololo. Zaidi ya hapo, Daudi Mwangosi mwenyewe

aliuliwa akiwa mikononi mwa polisi huku wakiangaliwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Michael Kamuhanda. Uamuzi huu unadhihirishwa na ushahidi uliokusanywa kwenye maeneo pamoja na video na taarifa zinginezavyombovyahabari. 2.0TamkolaTatizo Kuanzia Machi 2012 mahusiano ya kikazi kati ya waandishi wa habari wa mkoa Iringa na viongozi wa utawalawamkoa,ikiwemojeshilapolisi,haukuwamzuri. Katikamikutanoyakembalimbaliyakitaaluma,KlabuyaWaandishiHabariyaIringa(IPC)kutokakatika robo ya mwisho mwaka 2011, waandishi wa habari wamekuwa wakilalamikia kutotendewa sawa na maofisawanapokuwawakifuatilianakuandikahabarimkoaniIringa. Kwa mfano , Novemba 2011, mwandishi Laurean Mkumbata anayeandikia ITV alipigwa vibaya na kamera yake ikaharibiwa na aliyekuwa mkuu wa polisi (OCD) wa wilaya ya Iringa , wakati mwandishi huyoalipokuwakazini. Mkumbata alieleza mbele ya Timu ya Uchunguzi kwamba yeye na waandishi wengine akiwemo marehemuDaudiMwangosiwalikuwawakikusanyahabarikatikampambanokatiyapolisinakundimoja lawatumjiniIringa.Kundihilolilitakakuchomamotonyumbamojailiyodaiwakuwanawachawiambao uwepowaoulikuwaukiathirieneolotejirani. Haliiliyojitokezanikwambaofisayulewapolisialitakakuharibukifaachakazichamwandishiilikuzuia upelekajiwahabarikuhusumpambanowawananchiwenyehasiranapolisi. Wakatipolisiwalikuwawakiwadhibitiwatuhaokwakutumiamabomuyamachozinakufyatuarisasiza moto hewani kuwatisha na kuwaondoa watu hao kutoka eneo la tukio, OCD Semunyu alimshika mwandishi huyo na kumnyanganya kamera yake ambayo aliipiga chini mara tatu, na hivyo kuiharibu kabisa. Pamoja na hayo, Mkumbata alishikiliwa kwa muda alipokwenda kutoa taarifa kuhusu tukio hilo katika makaoyapolisiyamkoa.Baadayahapojitihadazakufichaukwelizikaanza. Hata hivyo, aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa (RPC), Evarist Mangala aliingilia kati na kumwamuruofisaaliyehusika,Semunyu,kulipakamerailiyovunjwa.Ofisahuyoalitekelezaamrihiyona Mkumbataalipatakamerayake.Ofisahuyoalilipakutokamfukonimwake. Mkumbata anaamini kwamba ofisa yule wa polisi aliipiga chini kamera yake mara tatu kuhakikisha inaharibika kabisa na hakuna kinachopatikana, hatua iliyolenga kuhakikisha mwandishi huyo hawezi kutangazataarifazatukiokwawakati. Tangu wakati huo hali ya kutiliana shaka imekua katika mahusiano ya wanahabari wa Iringa na Polisi. Mahusiano na viongozi wengine wa mkoa nayo hayajakuwa mazuri tangu kipindi hicho cha robo ya mwishoya2011.

Frank Leonard, Katibu wa IPC anakumbuka kuwa mwishoni mwa Februari 2012, waandishi saba waliteuliwanaIPCkuandikahabariyaziarayaMakamuwaRaismkoaniIringa,lakiniwalilazimikakulala ndaniyagariwalilosafiriakwakuwamaofisawahusikawamkoawalidaiwakupuuzakuwapatiahoteliya kulala. Tukio hilo liliudhi uongozi wa IPC ambao uliandaa maandamano ya amani kulalamikia unyanyasi wa waaandishiwahabariunofanywanaviongoziwamkoa. Hatuahiyo,kwamujibuwaKatibuhuyoililengakuwasilishakwaviongoziwamkoamsimamokwamba Wanachama wa IPC hawaegemei chama chochote cha siasa, bali ni wanataaluma na wanaosimamia uandishihabariunaozingatiamaslahiyaumma. Machi 6, 2012, mamlaka ya polisi ya mkoa uliidhinisha ombi la IPC kuandamana kupinga kuendelea mahusianoyasiyomazurikatiyawaandishiwahabarinauongoziwamkoa. Katibu wa IPC anakiri kwamba mahusiano kati ya pande hizo mbili yaliboreka baada ya maandamano hayo ambapo aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa aliahidi kushughulikia tofauti zilizopo na kuhakikishakunakuwanamaelewano. KubadilikakwamamboghaflanakufikiamauajiyaDaudiMwangosihapoSeptemba2,2012,wakatia akikusanyahabarizashughulizakisiasazaChademakatikawilayayaMufindi,katikakijijichaNyololo mikononimwapolisiwanaotuhumiwakwamauajiinastushananijambolisilolakutegemewakwaFrank Leaonard.MarehemuDaudiMwangosialikuwaMwenyekitiwaIPC. 3.0Mamlaka Mamlaka ya uchunguzi huu inatokana na katiba ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), kifungu 3 (e), kinachoelezeamalengoyaBarazakuwani: Kuwa na rejista ya matukio yanayoweza kukwaza upatikananji wa habari za manufaa kwa umma na muhimu, na kuchunguza tabia za watu, mashirika na vyombo vya serikali kwa ngazi zote dhidi ya vyombovyahabari,nakutangazamatokeoyauchunguzihuo. 3.1Lengo Lengolauchunguzihuonikuwekarekodisawayamazingirayaliyopelekeakuuawakwamwandishiwa ChannelTennaMwenyekitiwaIPC,DavidMwangosi,Septemba2,2012katikakijijichaNyololo,wilaya yaMufindi,mkoawaIringa. Uchunguzihuonihurunasiokamawakipolisiauwakimahakamalakininijitihadazadhatizakuweka kumbumbukuyahaliyamambokuhusukifochakwanzachamwandishiwaTanzaniaakiwakazini. 4.0AdiduzaRejea TimuyauchunguziiliongozwanaAdiduzaRejeazifuatazo: 4.1LengoKuu

KuchunguzahaliiliyopelekeakuuawakwaDavidMwangosi. 4.2Malengomahsusi KuchunguzachanzochakuwepouhusianousiomzurikatiyaIPCnauongoziwakiutawalawaIringa. Kuwahoji wanakijiji wa Nyololo kuhusu hali halisi iliyosababisha mapambano kati ya polisi/ Chadema/ waandishiwahabari. Kukusanya maelezo stahili kutoka kwa wananchi, IPC na mashuhuda waandishi waliokuwepo kwenye eneolaghasia. Kuchambuakwauhururipotizavyombovyahabari,ripotirasminazapolisinamadaikuhusutukiohilo. 5.0Mudawakukamilishajukumu Kazihiyoilichukuasikunane(8)kuanziaSeptemba5,2012nakumalizikaSeptemba12,2012. 6.0Methodolojia Timuilianzauchunguzikamaifuatavyo: Kwanza kabisa, hati na taarifa za magazeti kuhusiana na uchunguzi huo zilipitiwa ili kupata msingi wa sualahilo.HiiinajumuishamamlakayakikatibayaMCTkufanyauchunguzikamahuo. Pili,Timuhiyoimechunguzakwakaribujinsivyombovyahabarivilivyotangazazikiwemopichamgando, navideokuhusukuuawakwaDaudiMwangosihapoSeptemba2,2012,nataarifazaawalizapolisidhidi yamamboyaliyogunduliwanawachunguzikatikauchunguziwao. Taarifa zote zilizoripotiwa na polisi na Waziri mwenye dhamana kuhusu mauaji ya mwandishi kabla yataarifayakuundwakwakamatimaalumyauchunguziyaWaziriwaMamboyaNdaniDk.Emmanuel NchimbiSeptemba4,2012yanachambuliwakwakina. Hatimaye, uchunguzi katika eneo. Hii ilihusisha kusafiri kwenda Iringa na kufanya mahojiano na watu walioteuliwa na wanahabari katika kijiji cha Nyololo waliokuwepo siku Mwangosi. Utaratibu wa mahojianoyamtiririkokutokananamajibuulitumiwanawachunguzikwawatu mbalimbali. Utaratibumkuuulikuwanimazungumzoyabayanakatiyawachunguzinawatumbalimbaliwakiwemo baadhiyawanakijijiwaNyololo.Mbinuzakiuchunguzizauandishiwahabarizilitumikakufanikishalengo la jukumu hilo.Matokeo yake, mchakato huo uliwezesha kupatikana ukweli uliowezesha kukamilisha ripoti. 7.0Matokeo 7.1Maelezoyaawali

Hapo Septemba 2, 2012, mikutano miwili tofauti ya waandishi wa habari iliyosheheni ilifanyika katika Manispaa ya Iringa kwa nyakati tofauti siku hiyo. Mkutano wa kwanza uliitishwa na kuhutubiwa na KamandawaPolisiwaMkoawaIringa(RPC),MichaelKamuhandakatikaofisiyakeasubuhi. Mada ya mkutano huo ni uamuzi wa polisi kuzuia mikutano ya kisiasa iliyopangwa na chama cha upinzani cha Chadema katika mkoa wa Iringa iliyolenga kutelekeza kampeni za chama hicho za Kuleta Mabadilikonchinzima. Kamanda wa Polisi wa Mkoa alitahadharisha kuwa sensa ya watu na makazi ambayo awali ilikuwa ilipangwa kufanyika Agosti 26 Septemba 1, 2012, imeongezewa muda na serikali hadi Septemba 8, 2012,namikusanyikoyakijamiinamikutanoyakisiasaimesimamishampakazoezihilolikamilike. Waandishi wa habari waliokuwepo kwenye mkutano huo wanakiri kwamba katika mkutano huo marehemu Daudi Mwangosi alikuwa ni ripota pekee aliyemuuliza RPC maswali magumu kiasi cha kumkerakiongozihuyowapolisi. MojawapoyamaswaliyaliyoulizwanaMwangosiniufafanuzisahihiwaninihasanimkutanowandani wa chama kulingana na madai ya maofisa wa Chadema kwamba chama hicho hakipangi kufanya mikutano ya hadhara na maandamano ya kisiasa bali ni kufungua matawi mkoani Iringa bila kufanya mikutano. Katibu wa IPC anakumbuka swali moja la Mwangosi kwenye mkutano huo ambalo lilimuudhi RPC. Aliuliza: kwanini chama tawala cha CCM kiko huru kufanya mikutano ya kisiasa wakati chama cha upinzanikamaChademakinawekewavikwazonapolisikilawakati. WakatimarehemuMwangosiakisisitizaufafanuzizaidikutokakwaMkuuhuyowapolisiwamkoa,RPC alisisitiza:Hiiniamrinapolisihairuhusumaswalizaidikuhususualahili. NataarifakutokakwaRPCimewakumbushawaziwanasisasa,vyamavyasiasanawananchikwajumla kwamba mikutano ya vyama vya kisiasa imezuiliwa kutokana na kuendelea kwa sensa ya watu na makazikwasikusabazaidikuanziaSeptemba2,2012. Mara baada ya mkutano na RPC baadhi ya maofisa wa polisi walionyesha kuwa mambo hayatakuwa sawa katika kijiji cha Nyololo village Waandishi wengine wa Iringa, Clement Sanga anayeandikia magazetiyaMwananchiCommunicationsLtdnaOliverMotto,mwandishiwa kujitegemeawagazetilaMtanzania,StarTVnaRadioFreeAfricawalisemahaya: Baada ya mkutano huo na waandishi , wakati wanahabari wakitoka kwenye ofisi za mkoa za Polisi, baadhiyapolisiwalisikikabilawaokuwawakiwaonyawasiendeNyololokwaajiliyakukusanyahabariza shughulizasiasazaChademakutokananakuwanauwezekanowahatari. Mkutano wa pili wa waandishi uliitishwa mchana na Chadema na ukahutubiwa na Katibu Mkuu na Dk.WilbroadSlaanakamandawaKampeniyaMabadilikoyachamahichoBensonKigaila.

Katika mkutano huo , Chadema ilichachamaa na kutetea kampeni zake za mabadiliko na kushutumu polisi kwa kufanya njama za kuzima kamepni hizo. Chadema ilihoji kwanini polisi inabagua vyama vya upinzaniwakatiwakipendeleachamatawalaCCMkwamadaiyakusimamiasheria. Lichayakuwepoamriyapolisiyakuzuiamikutanoyoteyasiasampakazoezilasensayawatunamakazi lililoongezewamudalimalizike,Chademailidaikwenyemkutanohuokwambakampenizauchaguziza CCMkatikauchaguzimdogoziliruhusiwakufanyikakatikajimbolaBububu,Zanzibar. KampenizauchaguzimdogowaBububuzilizinduliwaJumapiliSeptemba2,2012naMakamuwaRaiswa serikaliyaMuungano,Dk.MohammedGharibBilal. Hivyo kwa ufupi, Chadema iliamua kuendelea na kampeni zake mkoani Iringa , ikiwemo kufungua matawiyachamakatikakijijichaNyololo, wilaya ya Mufindi Jumapili Septemba 2, 2012, lakini bila kufanya mikutano ya hadhara. Hatimaye maofisa walishikilia msimamo wao na kuendelea kufufungua matawi ya chama Nyololo. Kamanda wa PolisiwaMkoaIringa,RPCMichaelKamuhanda,alipangaaskariwakekwenyemagariyawazikufuatilia msafarawamaofisawaChadema.Pandehizombilizilikutana kwenyekijijichaNyololo. Viongozi wa Chadema walipanga kufungua matawi mawili katika kijiji cha Nyololo village, kiasi cha kilomita 500 (315 maili) magharibi mwa Dar es Salaam, na mwendo wa saa tatu kwa gari kutoka ManispaayaIringa. MatawihayoyakoumbaliwakilomitatatukutokakilamojayakitenganishwanabarabarakuuyaDares SalaamTunduma. Mchoro uliopo ukurasa wa 16 unaonyesha hali halisi ilivyokuwa, kama ilivyoelezwa na mashuhuda waliokuweponakuboreshwanawachuguzi. Kwalengolakuonyesha,maeneomawiliyamewekewaalamatofautiyaAikimaanishaeneotulivuna Bikimaanishaeneolaumwagajidamu. Katikaeneola[A],ambapoutulivuulikuweponaulizingatiwanapolisikatikamaamuzinamatendoyao ambapovurugunaumwagajidamuuliepukwa.Eneolingineni[B],ambapopolisiilitumia,nguvuzaidina kupelekeamauajiyaDaudiMwangosinakujeruhiwaandishiwengine kadhaawaIringanamakadawaChadema. 7.2Eneolamatukioyautulivu[A]

Hapa ni sehemu ya kwanza lilipo tawi la Chadema kusini mashariki mwa barabara ya changarawe inayopitakijijichaNyololo,kutokabarabarakuuyaDarTunduma.Mashuhuda(waandishinawanakijiji) wal;isemakuwabaadauakuwasilikwenyeeneolatawi,maofisawaChademanawanachamawalishuka kutoka kwenye magari wakiwa tayari kuanza shughuli. Ukanda wa njano uliwekwa kuzunguka ofisi ya Chademakuzuiawatukukusanyikakatika jingolaofisihiyo. Mara baada ya Chadema kuanza mkutano wao wa ndani kikundi cha askari wa kikosi cha kuzuia fufo (FFU)kilifikaeneohilonakujipangakwamuundowakijeshiwaV.Kikosihichokilikuachiniyauongozi waOfisawakudhibitiuhalifuwamkoa(RCO)SSPNyigesaWankyo. Kamanda wa kikundi cha FFU OC Florent Mnunka anaamuru polisi wainue bendera nyekundu yenye maandishiyakuwatakawatuwaliokusanyikakutawanyikaamavinginevyowatatumianguvu.Kamanda huyo anatangaza Watu wote mliokusanyika hapa, mnaamriwa na Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mtawanyikemaramojanakwaamani,vinginevyotutatumia nguvuanarudiamanenohayo.Baadayakurudiaamrihiyomaratatu,OCCIDanaamurupolisikusogea karibunaofisiyaChadema. WakatiwakisogeleaeneohilolaUtulivu[A],KamandawakampeniyamabadilikoyaChademaBenson KigailanaviongoziwenginewalitokanjeyaofisihiyonakumuombakamandawaFFUkuzuiaaskariwake kutumianguvubilasababukwakuwahaikupangakufanyamkutanowahadharawakisiasa. Viongozi wengine waliokuwa na Kigaila walikuwa ni Alfred Lwakatare na Naibu Katubu Mkuu wa ChademaZanzibar,SaidIssaMohamed. Pandehizombilizilipinganakwamudakuhusumaanasahihiyamkutanowandaniwachamanakama maanayakenitofautinamikutanoiliyozuiwanapolisi. Ushahidi wa picha za video uliopatikana na waandishi wa habari wengi unadhihirisha na kuonyesha mvutanokatiyapolisinaChademakatikaeneotulivu[A]kamaifuatavyo: BensonKigaila:Sisitukokatikaofisiyatawiletu,tunajuasheria,hilini tawilaChadema.KamandawaFFU:Tunawaonyeninyingi,tafadhali,fanyenimkutano wenundaniyaofisiBensonKigaila:HatuendikokoteKamandawaFFU:Ingienindani GhaflaRCOakaingilianakushauriviongoziwaChademakuwaambiawananchamawaowaingiendaniya ofisiyao..Wanachamawalikubalilakiniwotewasingewezakutoshakwasababuofisiyenyewenindogo.. RCOakasisitiza:Huunimkutanousioruhusiwa,tafadhaliingienindaniMwenyekitiwaTaifawavijana wa Chadema (Bavita), John Heche akajibu : Tatizo ni nini? Kama mmetumwa kuua, fyatueni risasi na muuesisitutakaahapa.

KijanammojawaChademaanasikikakatikavideoakiwaambiapolisi;JanamakadawaCCMwalirejesha fomuzauchaguziwachamachaokwamaandamanonasherehesisihatukotayarikuondoka. JohnHecheanabishananapolisiakisema:Mfahamusheriazenukablayakufanyakaziyenu Mwishowe,maelewanoyalifikiwakatiyaRCOnamaofisawaChadema,nakamandaanaamurumaofisa wakekutotumianguvudhidiyawatuwaliokusanyikakwenyeofisiile. OfisammojawaPolisianalalamika,Wanatupotezeamudawetu.aaahwanachukuamudawetu. Ofisahuyoinaelekeaalikuwaakilalamikiaamriyamwishoiliyotolewanamkuuwake,RCO,ikikitakakikisi hichokuachakutumianguvu,ikiwainakiukaamriawaawali. WaandishidhidiyaRPCKamuhandaKamandawaPolisiwaMkoa,MichaelKamuhandaanawasilikwenye eneolautulivu[A]dakikachakebaadayaRCO,maofisawaFFUnawa Chademakufikiamuafakanakukubalianakuhusumaanayamkutanowandani. Waandishi waliokuwepo eneo hilo walimpokea kwa maswali kadhaa kuhusu tofauti za polisi na Chadema.MarehemuDaudiMwangosiakiwammojawawaandishihaowaliomkabiliRPC. MwangosialimuulizaRPC:Watuhawawakokatikaeneolaofisiyao,kunatatizololotelinalotokanana shughuliwanazokusudiakufanya? RPC anamjibu Mwangosi Nimeshakuambia usiwe mbishi. Nilichokuambia ni kwamba nimezuia mikutano yote ya kisiasaLakini usije na mambo yale yale asubuhi, jioni na mchana, na jua linapozamakunaumuhimuganikutuulizasisitupohapakufanyanini?. Mwandishimwingine(Jinalakehalikutapitkana)Nafikiriwewendiyembishi(RPC)RPCNilichozuiani mikutanoyahadharayakisiasa,lakinishughulizotezandanizinaruhusiwakuendeleahadisasahakuna tatizo RPC anaendelea: Tumefanikiwa kuzuia mikutano na ghasia kama wanataka kufanya mikutano ya ndaniwanawezakuendelea.Mwangosikamawanavyofanyasasa.. RPCanajibu,Kamawalivyofanyatangujuzi Baada ya kubadilishana maneno zaidi RPC anasema: Tunawataka viongozi, hatutashughulika na watu waliokusanyikahapa.Lengoletunikushughulikiawalioitishamkutanowaondiochanzochakilakitu, nawanavunjaamrirasmi.Tunaogopakuwajeruhiwatubilasababu,hivyo tutashughulikanaviongoziambaonikundidogonanirahisikulishughulikiaanasemaRPCnakuamuru Sasahakunamkutano,huu(mkusanyiko)unaofanyikanje. Mwangosianaingilia:Huunimkutano?RPCanaamurumkusanyikokuendeleanamkutanowaondani; Ingia ndani Mwandishi ( anayetambulika kwa kubeba kamera na akiwa katika kundi la waandishi): Inakuwaje kama chumba ni kidogo kutosha watu wote? RPC: Tutawakamata ninyi viongozi kama

mtaendelea Sauti ya mtu anayedhaniwa kuwa kiongozi wa Chadema inasema: Tutaendelea kuwapo hapa. RPC:Ndiyonaninyimkowachache,tunawamuduMtuhuyoanajibu:Aah!Hamnatatizonimiaka mingapi Mandela alikaa gerezani ? RPC anajibu , Hata miaka 30, lakini umemtaja Mandela, wewe Mandela? WakatiwaandishiwakimhojiRPC,maofisawaChademawaliendeleanamkutanowaonakuumalizakwa amani.Chademawalimalizashughuliyaonawanahabariwakafanyakaziyaohapabilakunyanyaswa. Baaada ya hapo makada wa Chadema walipanda basi lao kwenda kaskazini magharibi kwenye ofisi nyingine. Katika eneo hili la utulivu. [A],mabomu ya machozi hayakulipuliwa wala risasi hazikupigwa kuwatishawatu.Piahakunamtualiyeuawa. 7.3Eneolaumwagajidamu[B] MarabaadayamaofisawaChademakumalizaufunguziwatawikatikaeneolautulivu[A],walikwenda kukamilishashughulikatikaeneolaumwagajidamu[B]. Inachukuachiniyadakika20kutembeakufikakatikaofisiyapiliyaChadema.wakatimaofisawachama wakielekea katika eneo hilo, polisi waliwafuata kwa karibu. Waandishi wa habari pia waliwafuatilia ili kukusanyahabarizashughulihiyo. Lakini kitu kimoja kibaya kilitokea hata kabla ya askari wote wa FFU kufika katika eneo la Umwagaji damu[B]. MashuhudawanaelezakuwaRPCalimwitaRCOnakumuonyawazikuhusukushughulikiakwaamani masualayaChademakatikaeneolaawalilautulivu[A]. Inaelekea RCO alijitoa kuelekea eneo la umwagaji damu [B], na hivyo usimamizi wa utoaji maamuzi katikaEneolaUmwagajidamu[B]ulibakiakwamkuuwakeambayeniRPCMichaelKamuhanda. Mabishanonawaandishiwahabarikamayaliyotokeakatikaeneolalaawaliyaliibukatena. Hapa makada wa Chadema walikusanyika nje ya ofisi yao wakiimba tWamezoea kuua , wamezoea kuua.Inaelekeawimbohuouliwaudhipolisi. VuruguzikaanzapaleRPCalipoamurukukamatwakwaviongoziwaChademawaliokuwepo,kwamujibu wawatuwalioshughudia.KufuataiaamrihiyoyaRPCkulingananamashuhuda,polisikwanzawaliingia kwanguvukatikaofisiyaChadema,wakipigamabomuyamachozina kuaamuruviongozihaowajisalimishe. Baadayapolisikutumianguvu,kiongoziwakampenuzamabadilikowaChademamkoaniIringa,Benson Kigaila , aliwaomba wafuasi wachache wa chama hicho na viongozi waliokuwepo kujisalimisha kwa kuketinakuinuamikonoyaojuu.

Waandishi wawili waliohojiwa, Clement Sanga wa Mwananchi Communications Ltd na Oliver Motto, mwandishiwakujitegemeawaMtanzania,StarTVnaRadioFreeAfricawalishuhudiaghasiahizokatika kijijichaNyololovillage,wakatiwakiwawamekimbiliasehemuya barabarani,hatuachachekutokaeneohilolaumwagajidamuB. WaandishihaowalisemakuwawakatimakadawaChademawalitiimaagizoyaviongoziwaoyakuketina kuinuamikonoyaojuu,polisiwalifyatuarisasinanamabomuyamachozi,nakuwapigamakadahaona waandishikwavirungu. 7.4MatukioyasiyoyakawaidakatikaEneolaUmwagajiDamu(B) JambomojalakushangazakatikaeneolaumwagajidamuBnikuwepokwaraiawachache(makadawa Chadema na waandishi kwa pamoja), wakiwa wamezidiwa kabisa na idadi ya polisi. Maelezo ya mashuhuda,pichamgandonavideozinadhihirishahiibilashakayoyote. WanakijijiwaNyololowaliohojiwawalisemakwambaJumamosiSeptemba1,2012watuwanaoaminika kuwaniaskarikanzuwalifikaeneohilonakuwaonyawakaziwakekuhusuyahatariinayowzakutokea kamawakihudhuriashughulizaufgunguziwamatawiyaChadema. Walidai kuwa walishauriwa pia kuondoka katika maeneo yao wakati wa saa za mchana Jumapili Septemba2,2012wakatiambaoChademaimepangakuendeshashughulizake. Mkakati wa kutisha ulifanikiwa kwa sababu watu wazima wakazi wa Nyololo waliohojiwa baadaye walisemahawajuikuhusuvuruguzapolisinaChademakwasababuwalitelekezaushauriwakuondoka katikamaeneohayo. Mwanamkemmojaambayehakutakajinalakelitajwealisema::Nimejuakuhusughasiahizonakifocha mwandishi wa habari kijijini kwetu baada ya kurejea nyumbani jioni. Kutokana na uvumi wa vitisho uliosambazwaJumamosiSeptemba1st,2012,nilipangakumtembeleajamaayangualiyembalikamanjia yakuepuka. 7.5MauajiyaDavidMwangosi Baada ya kumaliza ukusanyaji wa habari kwa amani katika enelo la utulivu [A], waandishi wa habari walikwenda katika eneo ambalo liligeuka kuwa mtego wa kifo Eneo la Umwagaji damu [B] kutoka mwelekeowakusinimasharikikupitabarabarakuuyaDarTundumakumaliziakaziayao. Alipoangalianyuma,DaudiMwangosialionakikundichapolisiwakimpigamwandishimkuuwagazetila Nipashe,waIringa,GodfreyMushi(32). Mwandisihuyoalipigwampakaakapotezafahamunaakapatafahamuakiwakwenyekituochapolisicha Mafinga.Kamerayake,daftarilakenakalamuhavikupatiakana.

Wakati mwandishi Godfrey Mushi akiwa bado anapigwa na polisi, marehemu Mwangosi aliwakimbilia akiwaombawaachekumdhuruzaidiMushikwakuwaalikuwamwandishitu. Polisi hawakumsikiliza. Badala yake wakamburuta mwandishi huyo ambaye tayari alikuwa amepoteza fahamu na kumweka kwenye gari lao na wakamgeukiwa Daudi Mwangosi mwenyewe, kwa vurugu na mabmuyamachozi,nakwanzaakapotezafahamu. Baadayakuonahivyo,AddallahSaidmwandishiwagazetilaTanzaniaDaimaakamkimbiliaRPCambaye alikuwa katika gari lake la polisi aina ya Land Cruiser kumuomba awaamuru askari waache kumpiga mwandishiDaudiMwangosi. Wakatihuohuo,inaelekeakutokananakushangazwanapolisikumpigakinyamaDaudiMwangosi,Mkuu wa polisi wa Mafinga OCD Asseri Mwampamba, aliamua kuingilia , kwanza kwa kuwaamuru na kuwaombaaskariwaachekumpigamarehemuMwangosi. Mwandisi wa ITV, Renatus Mutabuzi ambaye alirekodi tukio hilo laivu alithibitisha kwa timu ya wachunguzi kuwa licha ya jitihada za OCD Asseri kuingilia na kumlinda Mwangosi kutokana na kipigo, polisihaohawakumsikiliza. Wakati polisi wakiendelea kumpiga Mwangosi, alijaribu kujiokoa kwa kumkumbatia OCD Asseri Mwampamba,nabaadayekumwangukiamiguunimwakekuepukakipigozaidi. BaadhiyawaandishiwaIringawaliokuwawamejifichawaliwezakupigapichazamgandonapiazavideo zavuruguhizo.WaandishikutokaDaresSalaamwaliwezakukusanyahabarizavuruguhizokwasababu tofautinawenzaowaIringa,polisihawakuwalenga. Mwanamkeambayealijeruhiwakatikavuruguhizo,aliyekuwepokwenyeeneohilolaumwangajidamu B alisema kuwa alilala karibu na ambapo Daudi Mwangosi aliuawa ili kuepuka kipigo zaidi kutoka kwa FFU. Alizungumzanatimuyauchunguzikwashartilakutotajawa.Mwanamkehuyoanadaikuwaaliangaliana hata alimsikia mwandishi Addallah Said akikikimbilia gari la RPC na kumuomba awaamuru askari wasiendeleakumpigaDaudiMwangosi. Alijeruhiwa vibaya na alilazwa kwenye hospitali yawilaya ya Mafinga kwa siku tatu. RPC hakutekeleza ombi la mwandishi huyo. Badala yake alifunga kioo cha gari lake . Sekunde chache baadaye gari lake lilipiga honi na wakati huo huo mlipuko wa bomu la machozi ukasikika na kumua mara moja Daudi Mwangosi. KwasababumarehemuMwangosialikuwabadochiniyamiguuyaOCDAsseriMwampamba,nayepia alijeruhiwakatikamlipukohuo. PichazamgandozinaonyeshapolisiakipigabomulamachozitumbonimwaDaudikwakaribukabisa. Kwa masikito makubwa, mwanamke huyo anasema alijua kabisa Daudi Mwangosi ameuawa mbele ya RPCMichaelKamuhanda.

KwaAddallahSaidnayulemwanamke,kupigwakwahoninakutokeakwamlipukokwawakatimmoja badonikitendawili. Kwakutoaminikilichotokea,,OCDAsseriMwampambaalilalamakwauchungukutokananamlipukowa bomulamachoziakisema:Sasa,umefanyanini? 7.6Taarifarasmizinazokinzana Taarifa rasmi lakini zinazokinzana za polisi kuhusu kuuawa kwa David Mwangosi zilipatikana kwa vyombombalimbalivyahabarikuanziaSeptemba3,2012.Mamlakarasmihazijafutataarifahizompaka wakatiwakuchapishataarifahii. Taarifa hizo, vyanzo maalum na vyombo mbalimbali vya habari vilivyoandika habari hizo vinaorodheshwakamaifuatavyo: TaarifarasmikwavyombovyahabariTaarifa(s)Mwangosiafarikikutokananakitukizitokilichotupwa nawaandamanaji Polisiwakanushakuhusikamojakwamojanakifochamwandishi UchunguziwapamojawaPolisinaJeshiutafanywakutokananakifochamwandishi. Baadayakuvunjwakwaghasia,Mwangosianakimbiliawalipopolisinakitukamabomu kikarushwakundilawatuwanaokimbianakumlipuaMwangosi. Watukadhaawenginewalijeruhiwawakiwemopolisi. Sikokatikanafasiyakuzungumzakwasababusasahivinikokatikachumbachamaitichahospitaliya mkoayaIringa. Akanushakuthibitishakifolakiniathibitishamtummojaamekufa. Athibitisha kifo cha mtu mmoja lakini hana uhakika kama aliyekufa ni mwandishi wa Channel Ten Chanzo RPC wa Iringa Michael Kamuhanda Kamishna wa Operesheni wa Polisi Paul Chagonja Taarifa zimepatikanakutokaPolisimakaomakuuRPCwaIringaMichaelKamuhanda RPCMichaelKamuhandaChombochahabari/Tarehe/ToleoNa. KamatiyaKulindaWaandishiwaHabari(CPJ).3/09/2012Mtandao Matangazo ya Channel Ten, asubuhi ya Septemba 3, 2012 Reuters 4/09/2012 mtandao Habari Leo 03/09/2012020831habarikiongoziUk.1 MatangazoyaChannelTenasubuhiyaSeptemba3,2012TheDailyNews3/09/201210726 HabarikuuGazetilaNipashelinanukuuChannelTen

RPCanakataakuzungumzaakisemaalikuwakwenyemkutanoAkanushamadaikuwapolisi wamemuuamwandishi. Kilichosababishakifonikitukilichorushwanakundilawatu.Polisiwanachunguza. Polisiilikuwaikitawanyakundilawatu.Mwandishialikuwaakikimbiakutokakundilawatu akifuatapolisi.KituhichopiakilijeruhiwatuwenginenabaadhiyamaofisawapolisiakiwemoOCS. Hawatachukuamudamrefukukamiklishauchunguzikwasababumashahidiwengiwanajulikana. MwiliwaMwangosiumechukuliwakwauchunguziMwandishialiuawanabomulamachoziambalo halikuwalimeshughulikiwavizurinapolisi Hatutakuwa katika nafasi ya kusema nani anahusika na mauaji hayo timu mbili za uchunguzi zitakapokamilishakazizake.Hapondipohatuazakisheriazinapowezakuchukuliwa. Msemaji wa polisi Advera Senso Mkurugenzi Mkuu wa Upelelezi DCI Robert Manumba Waziri wa MamboyaNdaniDk.EmmanuelNchimbi(alikaririnaKatibuMtendajiwaBarazala HabarTanzanika(MCT)KajubiMukajanga) Dk.EmmanuelNchimbiWaziriwaMamboyaNdaniGazetilaNipashe03/09/2012 03/09/2012HabarikuuGazetilaMwananchi03/09/2012HabariKuuTheDailyNews 04/09/2012Uk.WakwanzahabarindogoHabariLeo04/09/201202084HabariKuu DailyNews05/09/201210,728Habariyapilikwaukubwa(mbele) 7.7Taarifarasmikatikamuktadha KwaupandemmojaWaziriwaMamboyaNdanianakiri4/09/2012kwambaDaudiMwangosialiuawana bomu la machozi ambalo halikuwa limeshughulikiwa vizuri, siku inayofuata RPC wa Iringa anatokea kwenyetelevisheniakitangazahabarizakuwatupialawamawafuasiwaChademakwakutupakitukizito kilicholipukanakumuuaMwanjisi,kujeruhiwatu kadhaawakiwemomaofisawaPolisi. Mashuhuda na mambo kadhaa yaliyochukuliwa kwa video na picha mgando zinaonyesha kuwa hakukuwa na kundi la watu bali ni wanahabari na baadhi ya viongozi wa Chadema ambao walikuwa wachachekulinganishanaidadiyapolisi.HatahivyoRPCanadaikuwakuiikuwana kundilawatuwakifanyavurugu. Piapolisinataarifazinginerasmizimeachakuelezakuwatukiolaufunguziwatawililifanyikakatikaeneo tulivuAbilaghasia.

Septemba 12, 2012 Konstebo wa Polisi, Cleophase Pasifious Simon (23) alifikishwa mahakamani kwa akituhumiwakwamauajiyaMwangosi. .Ushahidi unaonyesha kuwa marehemu Mwangosi alikuwa amezingirwa na akipigwa na polisi wasiopungua saba. Polisi mmoja akiwa amelenga bunduki la kupigia bomu la machozi tumboni mwa Mwangosi. Kukamatwa kwa Konstebo wa polisi na kushitakiwa kunathibitisha Waziri wa Mambo ya Ndani alichomwambiaKatibuMtendajiwaMCTkuhusubomulamachozikutokushughulikiwavizurikinyume na jitihada za kuficha ukweli za RPC wa Iringa, Michael Kamuhanda na maofisa wa polisi wa makao makuuyapolisimjiniDaresSalaam. Chakushangaza,wakatiakihutubiamkutanowawanahabariuliovunjikamjiniIringaSeptemba5,2012, MkurugenziwaUpepeleziwaMakosayaJinai,(DCI),RobertManumbaalisemamatukioyaainahiiyapo nayataendeleakutokea.Matamshihayayalitangazwasananavyombovyahabari.Manumbaalikuwa akijaribukuwasihiwanahabariwaIringaambao waligomea mkutano aliouitisha mpaka maofisa wote wa polisi wa Iringa waondoke kwenye ukumbi waliokuwemo. Mgomo huu ulichukuliwa kufuatia uamuzi wa IPC kugomea kuandika habari za polisi mkoanihumompakauchunguzikuhusukuuawaukamilikeDaudiMwangosi. 8.0Iliyobakiyotenihistoria Kilichowashangaza waandishi katika hatua hii ni kwamba ghafla polisi waliwageuka. Hata baada ya kuona kuwa mambo yamekuwa mabaya na kukimbia kujifisha kwenye vichaka vya karibu, polisi waliwafuatanakuwalengakwamabomuyamachozihukuwakikimbia. FrancisGodwin,mwandishiwakujitegema,shuhudanaNaibuKatibuMkuuwaIPCanakumbukakuwa polisiwawili walimfukuza mpakakwenyevichakavyakijijichaNyololoambapoalilazimikakuachagari lakenakurejeausikukulifuata. Wakiwa katika sehemu walipojificha, waandishi walikuwa wakimsaidia Abdallah Said kuondoa vipande vyanyamayabinadamuvilivyompatakutokakatikamwiliwaDaudiMwangosi. Baada ya mkutano wa waandishi wa habari wa asubuhi katika ofisi za RPC, waandishi waliokuwepo wanakumbuka kuwa askari mmoja mpelelezi alimfuata Mwangosi na kumwambia : Ina maana gani kwenda Nyololo kuandika habari za shughuli za Chadema ambazo zinaweza kuishia na kifo chako? Akiwaanatabasamu,Mwangosialisema:nikifaleo,mwiliwangu hautazikwaardhinilakinikatikamioyoyawatu.Ilikuwakamavileanatabirikifochake. KatibuwaIPCFrankLeonardhaelewikwaninipolisiwaliwageukawandishiwenzake. Kila siku saa tano asubuhi , tunashiriki katika mkutano wa waandishi wa habari unaoitishwa na RPC ofisini kwake. Sisi na maofisa wake tunajua sana na hata kwa majina. Ni kitendawili kikubwa Polisi wamewashambuliawaandishiwakiwakazininahatimayekumuuaDaudi

Mwangosi. Katika eneo moja [A], kulikuwa na utulivu ambapo vurugu na umwagaji damu haukuwepo ambapo katika eneo lingine [B], polisi walitumia nguvu ya ziada, kupelekea kuuawa kwa Daudi Mwangosi na kujeruhiwamakadawenginekadhaawaChadema. 9.0Shutumanakulaaniwakwahapanchininakimataifa MCT BarazalaHabariTanzania(MCT)limelaanivikalitukiohiloambalonitishiolamojakwamojakwauhuru wavyombovyahabari.Hilinitukiolakwanzakwamwandishiwahabarikuuawaakiwakazini,Katibu Mtendajiwaalikaririwanavyombovingivyahabariakisema. MCTinatakamamlakahusikakufanyakilaliwezekanlokuhakikishakuwaukweliwakilichotokeakatika siku ya mauaji hayo ya kikatili unajulikana. MCT imeshutumu kuwahusisha wanahabari na shughuli za kisiasanakumuhusishanachamachasiasawakatialikuwaakifanyakaziyakeUTPC TaarifayaUmojawaKlabuzaWaandishiwaHabariTanzania(UTPC)umeshutumuvikalimauajiyaDaudi Mwangosi mikononi mwa polisi wakati akitekeleza kazi zake kama mwandishi wa habari. Taarifa hiyo imeitaka serikali kuwawajibisha mara moja polisi waliohusika na operesheni iliyopelekea kifo cha Mwangosi. UTPCimetakakufukuzwakazimaramojakwamaofisawaliohusikanakifomarehemuDaudiMwangosi. JukwaalaWahaririTanzania(TEF)JukwaalaWahaririTanzania(TEF)limelaanivikalimauajiyaMwangosi mikononimwapolisi. KatibuMkuuwaTEF,NevilleMeena,anasemahiinimarayakwanzakatikahistoriayasasaTanzaniakwa mwandishikuuawaakiwakazini. MISAnawengine TaasisiyaVyombovyaHabariyaKusinimwaAfrika(MISA),KamatiyaKulindaWaandishiwaHabari(CPJ) naARTICLE19,zotezimelaanikuuawakwaDaudiMwangosiakiwamikononimwapolisi. LeviKabwato,ofisaProgramuwaMISAanayeshughulikiaUfuatiliajiwaUhuruwaVyombovyaHabarina Utafiti,alielezakatikataarifakustushwakwakenamauajiyaMwangosi. Hiiinastusha.Septemba22012,sisikumbayakwauandishiwahabariwaTanzaniabalikwaeneozima naduniayote.Ghasiasiyojibu,hazitatuikitu. TunaitakaserikaliyaTanzaniakuanzishauchunguzinakuwawajibishawotewaliohusikanaupotefuwa maisha,Kabwatoalisemakatikataarifa. CPJinasemakwambakifochaMwangosinichakwanzakwamwanahabarialiyekazininchiniTanzania tangutaasisihiyoilipoanzakuwekarekodizakina1992

ARTICLE19imeelezakusikitishwanamauajiyaDaudiMwangosimikononimwaPolisiwaTanzania,na kuitakaserikaliihakikishewotewaliohusikawanashitakiwa. Unesco Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Irina Bokova, pia alishutumu mauaji ya mwandishi wa habari wa Tanzania,DaudiMwangosiSeptemba2,2012nakuitakaserikalikuchunguzamauajihayo. UNESCOinatakaserikaliichunguzekifohichonakuwashitakiwotewanaohusika. Taarifa ya UNESCO inasema: Ni muhimu kwa demokrasi na utawala wa sheria kwamba waandishi waruhusiwekufanyakazizaonakutumiahakiyaoyakujielezakwausalama. 10.0HitimishonaMapendekezoMauajiyaDavidMwangosimikononimwapolisiwakatiakiwakazinini tishiokwauhuruwahabari. Uhuru wa habari ni kumwezesha waandishi kufanyakazi bila vitisho ama ghasia na waweze kuripoti wakiwahurubilakudhibitiwa. Kamamwandishi,DaudiMwangosialikuwaakitimizahakiyakeyakikatibakufanyakazinzuri. Kwa vyombo vya habari na hasa waandishi, haijalishi kama Kamanda wa Mkoa wa Polisi ameipiga marufukushughulizaChademakatikakijijichaNyaloloaula. Ilikuwa ni jambo ka maslahi ya umma kwa vyombo vya habari ambalo vyombo vya habari vilistahili kuripotikadrimamboyalivyokuwayaakiendeleanawatuwenyewekufanyauamuzi. Kimsingi, wakati wote na katika matukio yote, mazuri ama mabaya, waandishi lazima wawepo na wachukuliwekamawatuwasionaupandewowte. Pia, Polisi walitumia nguvu ya ziada bila sababu dhidi ya watu wasio na silaha katika kijiji cha Nyololo village.Katikahatuayamwisho,ikawavitayapolisidhidiyawaandishiwahabarinahatimayekuuawa kwaDaudiMwangosi. Timu ya uchunguzi haikubali kabisa suala la kukosea utambulisho wa mtu. Waandishi wanane waliokuwep katika kijiji cha Nyololo waliweza kutambulika kwa urahisi, hasa kutokana na mambo kwendasalamakatikaeneolauslamaa[A]. WaandishiwalikuwanaKamera,vidaftarinakalamunawenginekamasiowotewalikuwawanafahamika sananapolisiwaIringa. Sasa imebainika wazi kwamba Polisi walikuwa wanawawinda waandishi wa Iringa ambao walikuwa wakiwajua.

MapambanoyaChademanaPolisikatikaKijijichaNyololohabarizakezilikusanywanawaandishikutoka DaresSalaampia.KwaniniwalikuwawaandishiwaIringandiyowalilengwakatikaghasiahizo.! UhasamanachukiiliyokuwepokatiyaRPCwaIringanamarehemuDaudiMwangosikatikakipindichote chasaakadhaatangumkutanowawaandishiwahabarianadakikachachekablayamauajiyakembele yaRPChuyohuyokatikakijijichaNyololoSeptemba2,2012unaibuamaswalimengikulikomajibu. Waandishi sita wa Iringa wameathirika na msongo wa mawazo kutokana na kiwango cha ghasia walizofanyiwanapolisinawanafikiriakuachananakaziyauandishi.Mmojaanapangakuwamchungaji kwakuhofiamaishayake. Mamlakahusikazahitajikuwanamipangoyakuwaelimishapolisijinsiyakushughulikanavyombovya habarihasanawandishiwahabari.Lengoliwekuboreshamahusianoyakikaokatiyapandehizombili.. HiiinatokananauhusianombayailiyoibukakatiyawaandishiwaIringanapolisiwamkoatgangurobo yamwishowa2011.Uhusianohuukatiyapandehizimbiliumekuatangu2011ambapoaliyekuwaOCD waIringaMohamedSemunyualipoamriwaanabosiwakekulipakamerayamwandishialiyoiharibubila sababuyamaana. Inashinda ufahamu wa kawaida kwamba matukio mawili ya yanayofanana katika siku moja ynashughulikiwatofauti.:Mojalinashughulikiwanaukatilinanguvukubwakwakuwalengawanahabari waIringa. Katikatukiolakwanza,RCOaliamuaChademawanawezakuendeleanamasualayaoyandanikatikaofisi yaonakatikatukiolapiliMkuuwapolisiwamkoaanaamuashughulihizozisimamishwekwavyovyote nahatakwanguvu. Akigusia kwa kiasi mpambano wa Nyololo kati ya Polisi na wafuasi wa Chadema, Rais Jakaya Kikwete katika hotba yake ya kila mwezi kwa taifa kwa mwezi wa September 2012, alisisitiza polisi kuepuka matumiziyanguvuzakupitakiasinakuwakumbushawatanzanianawanasiasa kuheshimusheriazanchinakuionapolisikamawasimamiziwaamaninausalama. Rais alifafanua kuwa Jeshi la Polisi lina mamlaka ya kuruhusu au kuzuia haki ya kufanya mikutano na maandamanoyavyamavyasiasa. Taarifa za awali za maofisa wa ngazi za juu kuhusu mauaji ya M wangosi zilitofautiana na mtu anapoziangaliakutokananaushahidiuliopatikananidhahirikulikuwanajitihadazakufichaukweli. TukiohilolimeharibusifayaTanzaniakimataifakamanchiyaamaninayademokrasia. Mauaji ya Mwangosi yalitokea wakati wa kufanyika mkutano wa Chama cha Umoja wa Mabaraza ya HabariDuniani(WAPC)ambapoMCTilikuwamwenyejiwake.

KatibuMkuuwaWAPC,ChrisConybeare,alimwambiawaziriwaHabari,Dk.FenellaMukangara:Wakati waandisi wanauawa demokrasi pia inakufa.. tukio hili moja limeanza kuichafua sifa yaTanzania ya kuendelezauhuruwahabari. ZaidiyaPolisisabachiniyauongoziwaRPCMichaelKamuhandakwapamojawamemzingiranakumpiga DaudiMwangosi.Kwaniniwenginehawajashitakiwa,sisualalinalohitajiuelewawakawaida. HatahivyouchunguzihauwezikuthibitishakamamauajihayoyaMwangosiyalipangwa. MWISHO

You might also like