You are on page 1of 2

RATIBA YA MAZISHI YA MSIBA WA NDG JUMA SAID KILOWOKO ( SAJUKI) TAREHE 04/01/2013.

No 1 2 3 MUDA 1:00-.. 2:00-2:45 2:45-3:30 TUKIO Waombolezaji kuwasili nyumbani kwa marehemu Kisomo cha wanaume Mwili wa marehemu kuwasili nyumbani Salamu za pole kutoka kwa viongozi, ndg na jamaa Sadaka ya chakula Nasaha toka kwa viongozi wa dini Mwili kuondoka nyumbani kuelekea msikitini Kisomo cha kinamama Mwili kuwasili msikitini na swala ya kuswalia maiti Mazishi Shukrani za mazishi na mwisho. MHUSIKA Kamati yya mapokezi na Itifaki Wanafamilia Kamati ya mazishi na familia. Kamati ya Itifaki Wote Mashekhe Kamati ya itifaki, usafiri na mazishi. Kinamama Kamati ya mazishi na wahusika wa msikiti Shekhe na watu wote. Familia na viongozi wa dini

4 5 6 7 8 9

3:30- 5:00 5:00- 6:00 6:00-6:15 6:15 6:15-6:30 6:30 7:30

10 11

7:30

Imetolewa na kamati ya mazishi.

Ahsanteni kwa ushirikiano

You might also like