You are on page 1of 3

DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY, MWENYEKITI YA BODI YA CHIO, P.O BOX 2958, DAR ES SALAAM, 14 09 2012.

OFISI YS SERIKARI YA WANAFUNZI, EDMUND P .BARONGO (RAISI WA DITSO), P.O BOX DAR ES SALAAM RUFAA YANGU YA KUTORIDHISHWA NA MAJIBU YA BARUA YANGU YA TAR:07-SEPT-2012 KWA MKUU WA CHUO YENYE KICHWA CHA HABARI KUTORIDHISHWA NA MATOKEO YANGU MWAKA WA MASOMO 2011/2012 KUTOKANA NA KUKIUKWA KWA SHERIA ZA CHUO(PROSPECTUS). Rejea kichwa cha habari hapo juu mimi Edmund P. Barongo mwanafunzi wa Beng Telecom mwaka wa kwanza, na raisi wa serikali ya wanafunzi (DITSO) mwaka 2011/2012.Sijaridhishwa na matokeo yangu ya mwaka huu wa masomo kutokana na sheria kadhaa kukiukwa wakati wa kuandaa matokeo hayo kwa ujumla .Nilimwandikia barua mkuu wa chuo na kumweleza kilicho tokea na sharia zilizo kiukwa lakin barua yangu ilijibiwa na ofisi ya msajiri na kusainiwa na mkuu wa chuo kwamba hakuna sheria iliyo kiukwa. Mh. Mwenyekiti wa bodi nimekata rufaa kwako kutokana na kutoridhishwa na majibu niliyo jibiwa kwani ninauhakika kuna sheria kadhaa zimekiukwa ,hata majibu ya osifi ya msajiri yanajikanganya sana kiasi cha kunipa shaka sana. Sharia zilizo kiukwa ni:Barua yangu nilieleza kuwa mimi mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nipo kwenye NTAs Level 7 ambayo kutokana kwa PROSPECTUS 2011/2012 inaonyesha wazi kuwa ina semista nne(4) ukitofautisha na NTAs Levels nyingine ( inapatikana uk.91 kwenye prospectus.) na inaonyesha jinzi mwanafunzi anatakiwa awe credited ikitofautisha na levels nyingine kabisa. Kwasababu mwanafunzi wa NTAls 7 anasoma miaka miwili sawa sawa na semester nne(4) ndo nakuwa credited ndo maana hata mwisho wa semista mbili za NTAs 7 prospectus haijaonyesha mwanafunzi hawa credited vipi na ikuja kuonyesha kwenye semista ya nne(4) mwaka wa pili.Lakina ikaonyesha wanafunzi huyu kabla ya kuingia mwaka unaofua (mwaka wa pili wa NTA 7) hanarusiwa kurudia(re-taking) moduli(modules) zisizozidi 2 wakati akiendelea mwaka unao fuata kutona hajavuka level bado yupo katika level hile hile imeonyeshwa kwenye kipengere namba 5.17.4. Ninanukuu:

NTA level seven student are allowed to re-take a maximum of two modules of the first academic year ( first and second semesters) while undertaking second academic year module( third and fourth semester). Pia nilieleza kuwa Prosectus imeweka wazi kuwa mwanafunzi takakuwa credited kutoka level moja kwenda nyingine kama ilivyo onyeshwa kwenye kipengere namba. 5.17. Ninanukuhu Progress from one Academic Audit Unit to Next Academic Audit Unit. Imeweka wazi kabisa kuwa One Academic Unit nikutoka NTA level moja kwenda nyingine . Kwanini mimi nafanyiwa usahiri (Auditing) nikiwa bado nipo kwenye level moja NTA 7? . Je kutoka mwaka wa kwanza wa NTA 7 kwenda mwaka wa pili NTA 7 nimevuka level mpaka nifanyiwe usahiri Auditing? Mh mwenyekiti tena sharia imeheleza vizuri katika vipengere namba. 5.17.1 ,5.18 na 5.18.1 . Naomba kunukuu. For promotion to the next level of award candidates shall pass all prescribed modules for the prerequisite(current )level of award through first sitting, supplementary or as a probating student. A candidate shall be allowed to proceed to next level of award after passing all prescribed modules at the pre-requisite level. Nimenakiri hii kutoka na majibu ya msajiri yamehegemea hapa kuwa nimefanyiwa usahiri(Auditing or credited) kwa sababu ya kipengere hiki, lakini Mh. mwenyekiti kipengere hiki kimeonyesha wazi kabisa kuwa mwanafunzi anaefanyiwa Auditing or credited ni Yule anae vuka toka level moja kwenda nyingine , mimi bado nipo kwenye level moja tu NTA 7. Nitafanyiwaje Auditing or credited nikiwa bado level hile hile?. Mh. mwenyekiti wa bodi kuna maswali mengi ya kujiuriza? Mh. mwenyekiti nakumbuka nikiwa ofisin kufuatiria matatizo ya wanafuzi nikiwa natimiza wajibu wangu kama raisi wa wanafunzi kwa makam mkuu wa chuo upande wa elimu na research tulipishana kauli na akatamka maneno haya ninanukuu: Nimefanya kazi na viongozi wengi wa wanafunzi lakin wewe unajifanya mfatiriaji sana tangu leo sitaki nikuone ofisini kwangu na mwaka ujao wa masomo unaweza usinikute hapa chuoni (DIT) umenidharirisha sana ok you have won this is NYAUMWA FAILURE. Mh mwenyekiti sitaki kuhamin hapa kidogo kuwa kauri hii inausika na matokeo yangu kwa sababu ni nzito kwa kuu wa chuo alie shikiria maisha yangu ya elimu kunitamkia hivyo.

Maombi yangu kwako kama mwenyekiti wa bodi ya chuo naomba ufuatilie kwa ukaribu ili haki itendeke kwa upande wangu. Nakuamin sana nategemea majibu na mahamuzi yako yatakuwa ya haki bila kupendelea upande wowote.Kama viongozi wa wanafunzi tumekuwa tukikumbana na matatizo haya sana tunapokuwa tukifuatiria matatizo ya wanafunzi kwa ukaribu na haki.

Ombi langu la mwisho kwako ni kuendelea na kufanya mitihani ya supplymentary wakati ombi langu likishugulikiwa. Wako,

. EDMUND BARONGO, RAISI SERIKALI YA WANAFUNZI DITSO, Phone: +255713 650918. +255754 650917.

You might also like