Professional Documents
Culture Documents
NipeUkweli
Matamshi ya chuki ni:
Maneno yanayo uwezo wa kuchochea ghasia, ama kuwapa watu sababu ya kutenda maovu.
Ni jukumu lako
Kukosoa Uongo. Julisha familia yako na rafiki zako kuhusu wanaosambaza chuki kwani matamshi yao si ya ukweli. Kupiga ripoti kuhusu matamshi ya chuki kwa kutuma ujumbe mfupi kwa 3002 (Uchaguzi). Tuma jina la msemaji, mahali aliponena matamshi haya na matamshi ya chuki aliyoyanena.
Kutuma ripoti ukitumia Internet kuhusu matamshi mabaya kwa: http://bit.ly/umatikenya Kulenga. Usipoteze muda wako kuwasikiliza wanaohusika na usambazaji wa matamshi ya chuki.