You are on page 1of 10

JERICHO B9

TIME 26.13 36.00


Interviewer: James Na!a: N!
Interviewee: C"##ins O$%iam&": Br"
Nyg: Siku hizi mbanga hawapiti hii area?
Swa: Siku hizi polisi hawapiti hapa?
Eng: These days the police dont pass here?
Bro: Nani?
Swa: Nani?
Eng: Who?
Nyg: banga! sindiyo"
Swa: #olisi! ndio"
Eng: #olice! yes"
Bro: $ana! usiku! eeh! tumetokea hapo kwa akina ore! ni%ae! hapo tu kwa corner!
nimekutana na makabuti karibu wasaba"
Swa: $ana usiku! tumetokea hapo kwa akina ore! hapo tu kwa kona! nimekutana na
polisi karibu wasaba"
Eng: &ast night ' had %ust come (rom ores place! %ust at that corner ' met with about
se)en policemen"
Nyg: a kabuti! unasema kabuti! eeh! unasikia (inal ya &i)erpool! &i)erpool na *ci!
eeh! si mtisko (ulani ashanibuyia kichupa kione litre! tukasema since hatuko poa
kases! kupande hi)yo shop tu%ibonde na hiyo chupa! tukapanda hi)yo! tukipanda!
eeh nini! tulihandwa hapa be(ore kwanza hapo kwa maziwa! tulisimamishwa na
nini! hile landi ya white"
Swa: +nasema polisi! unasikia mpira wa ,li)erpool na *c- wa mwisho! msichana
.ulani analininunulia chupa ya litre mo%a! tukasema sababu hatuna pesa tupande
hi)yo madukani tukunywe hiyo chupa huko! tukapanda hi)yo! hapo
tukasimamishwa na polisi wale wa landro)er nyeupe"
Eng: /ou are saying cops! you heard about the (inal (or &i)erpool and *c" * certain
lady bought me one litre! since we did not ha)e money! we decided to drink it at
the shops! when we were going up this way! we were stopped by the cops in white
landro)er"
Bro: Eeh! hiyo ya white! 0amuzed"
Swa: 1iyo nyeupe! 2kamuzed-"
Eng: The white one! 2kamuzed-"
Nyg: 0amuzed! hiyo! basi unasikia mpaka walitutolea (e wakatuwambia tulale! eeh!
washatuambia si%ui nini! wakasema ee nyi %ikateni" haya sihiyo ilikuwa wa (ao!
tukachukuwa drink tukapanda %uu! tuka%ibonda tuka%ibonda! tukaona nini ikaisha!
3
sii drink bado hai%aisha! tukacome tukateremka hi)i! tukasema wacha tuku%e
tumalizie huku because si una%ua )ile siku hizi huko %uu nimekuwa na mwadhara
zingine! saa zingine hau upiga maraid" Eeh! situkacome hi)i! hapo tu kwa akina
uthaka! hapo! eeh hapo tu kwa nini! inaitwanga a%e kwa clinic"
Swa ,0amuzed hiyo basi! unasikia mpaka walitutolea bunduki watatuwambia tulale!
wakatuambia si%ui nini! wakasema nyinyi endeni! haya sii hiyo mara ya kwanza!
tukachukuwa chupa tukapanda %uu! tukakunywa! mpira ukaisha! sasa bado
kinywa%i haki%aisha! tukateremuka hi)i! tukasema wacha tuku%e tumalizie huku
kwa sababu siku hizi huko %uu si kuzuri! saa zingine haouku%a musako" Situkaku%a
hi)i! hapo tu kwa akina uthaka!hapo kwa hospitali"
Eng 20amuzed-yes! ' am telling you they e)en remo)ed their guns and told us to lie
down! they told us somethings then told us to go" Now that was the (irst time" We
took our drink and went up! we drunk then the game was o)er! but the drink was
not (inished! we came back to (inish the drink here because we decided that place
was no good! since they came on raids" 4oming back this way near uthakas
place at the clinic"
Bro: 1apo clinic! a(adhali upite ya shop! upite hi)i kwaparking! %uu hiii ya clinic
hi)i5
Swa: 1apo kwa hospitali" *(adhali upite n%ia ya madhukani hi)yo kwa ,parking"
Sababu hiyo kwa hospitali5
Eng: There at the clinic! it is better you pass the shop way there at the parking! because
at the clinic5"
Nyg: Bas! we unasikia! ile! si una%ua ile 6aewoo ya red! eeh! si unai%uua! ya mabeast!
eeh ya mabeast ilicome imepiga trrrrrrr! wakatoka wamecock ma*k mbaya sana!
eeh! nikainua mkono %uu! nilikuwa nimebeba chupa hi)i! eeh" Babs %oo asha
ingiza wiper kidogo kidogo #op ashapiga simu" simu imelia! usiki mpaka Babs
aliambia hao mabeast nia%e simu yangu inalia wacheni ni ichukuwe! wacheni ni
ichukuwe! usiki mpaka waliona enyewe mpka ndio hao walimutolea kwa m(uko!
eeh! wacha hata kuingiza5"" nia%e siste! 7sema brathe8"
Swa: Basi wewe unasikia hile 6aewoo nyekundu"Siwa%ua ya polisis"'liku%a imepiga
trrrrrrr! wakatoka wameshika bunduki! eeh! nikainua mkono %uu! nilikuwa
nimebeba chupa hi)i! eeh" Babs aliogopa! kidogo kidogo #op ashapiga simu! simu
imelia hadi Babs aliambia hao mapolisi simu yangu inalia wacheni ni ichukuwe!
wacheni ni ichukuwe"Waliona ni kweli ndio hao walimutolea kwa m(uko! eeh!
wacha hata kuingiza5 habari dada? 7mzuri ndugu8"
Eng: Now let me tell you" /ou know that red 6aewoo the one (or the police" 't came
and stopped they came out cocking their guns" ' put my hands up with the bottle '
was carrying" Babs was scared" #op called him on his mobile! his phone started
ringing! he told the police please let me pick up the phone the took it (rom his
pocket 5"" hi my sister?"" 7hi brother8"
Bro: 1ee! %uzi ndio! Sunday! tulikuwa pale %uu tuna%oga ,nyundo usiku nakwambia ile
mathree ina%ita ,migration iliku%a ikatoka hi)i hapo kwa bata kwa %unction!
9
imetokea kwa baro kabisa! walishuka mabanga karibu (i(teen! mabanga!
nawalikuwa makabuti! na wote wame%ibebeya ma*0"
Swa: $uzi ndio! Sunday! tulikuwa pale %uu tunaon%oga 2nyundo- usiku nakwambia ile
gari ina%ita 2migration- ilisimama hapo kwa %unction mapolisi kama kumi na tano
walishuka! wote wamebeba *0:;"
Eng: The day be(ore yesterday! Sunday! we were up there waiting (or 2nyundo- usiku"
That matatu called 2migration- stopped at the %unction (i(teen policemen alighted
all o( them were carrying *0:;s"
Nyg: Walikuwa mablue ama?
Swa: Walikuwa polisi wagani?
Eng: Which cops were they?
Bro: ablue kwanza walianza na urambi hapa! hii kwanza ya nyuma ya mugumo
hapo! waliingia kwanza hapo"
Swa: 1ao polisi walianza na hapa kurambi walingia kwanza hapo" 1ii kwanza nyuma
ya mugumo hapo walingia hapo kwanza"
Eng: 4ops! they (irst entered kurambi here" The one behind the ugumo there they
entered (irst"
Nyg: Wote"
Swa: Wote"
Eng: *ll o( them"
Bro: Wakatoka wanagawana! eeh! si%ui walikuwa wanasearch nani" inakaa walikuwa
kuna mtu wanasearch hi)i"
Swa: Wakatoka wakigawana! si%ui walikuwa wanata(uta nani" inaonekana walikuwa
wanata(uta mtu huku"
Eng: They came out and broke into groups" ' know what they were looking (or! ' think
they were looking (or someone"
Nyg: Walikuwa wameambiwa iko! mabeast hawakukuwa"
Swa: Walikuwa wameambiwa iko! polisi hawakuwa"
Eng: They had been told! the police were not there"

Bro: a)edi?
Swa: #olisi?
Eng: #olice?
Nyg: Eeh! aah! aah! mabeast mabeast wenyewe"
Swa: 1apana! polisi wenyewe"
Eng: No! the police themsel)es"
Bro: *ah aah! walikuwa tu hawa wamakabuti! tu"
Swa: 1apana! walikuwa tu hawa wakawaida tu"
Eng: No! they were the normal ones"
<
Nyg: Basi hawa hawawezi tumwa tu hi)o! lazima! mabeast wakisearch mtu! wakisearch
mtu ndio hao manini ucome! mabeast! hawa walikuwa wameku%a usorora%i ama
walikuwa wanataka5
Swa: Basi hawa hawawezi tumwa tu hi)yo! lazima! polisi wakita(uta mtu ndio hao
mapolisi hu%a5
Eng: Those ones cannot be sent %ust like that" They must ha)e been looking (or
someone"
Bro: 0uchukuwa ushuru"
Swa: 0uchukuwa pesa"
Eng: To collect money"
Nyg: Eeh! walikuwa wametumwa"
Swa: Ndio! walikuwa wametumwa"
Eng: /es! they had been sent"
Bro: Eeh kwanza niliona wameshuka mathree"
Swa: 0wanza )ile niliona wameshuka matatu"
Eng: When ' say them alighting (rom the matatu"
Nyg: Tupac mwenyewe! siku hizi unaendaga =uarters nini! mmh5 kizee siku hizi
ametoa ma)ein umeziona?
Swa: Tupac mwenyewe! siku hizi unaeda head=uaters! ,kizee siku hizi ametoa misuli!
umeziona?
Eng: Tupac himsel(! these days are you going to head=uaters! ! 2kizee- these days has
muscles! ha)e you seen him?
Bro: 0izee amekuwa anatembea hizo area"
Swa: 0izee amekuwa anatembea pande hizo"
Eng: 0izee has been coming that area"
Nyb: Nani huyo?
Swa: Nani huyo?
Eng: Who is that?
Bro: 0izee"
Nyg: *likuwa anaendaga wapi?
Swa: *likuwa anaenda wapi?
Eng: 1e used to go where?
Bro: >ut! eeh! heheheh"
Swa: 'n%e"
Eng: >ut"
:
Nyg: Wacha aku%e uone )ile nitamumwagia" Si kuna time nilikuwa nikienda hapo
#otters"
Swa: Wacha aku%e uone )ile nitamwambia" 0una siku nilikuwa nikienda hapo
2#otters-"
Eng: &et him come! you will see what ' will do to him" There ' was a time ' used to go
to #otters"
Bro: Wapi hapo?
Swa: Wapi hapo?
Eng: Where is that?
Nyg: #ale kunaitwa a%e! eeeh poi! eeh! hapo %edi hapo! eeh! iko time nilikuwa naenda
hapo ati ku%idunga dunga kidogo nione kama kamwili kataitikia"
Swa: #ale kunaitwa a%e! poi! hapo %edi! iko siku nilikuwa naenda hapo ku(anya mazoezi
kidogo nione kama mwili itakubali"
Eng: There! what is it called! poi! there was a day ' used to go there and do some
practice and see whether my body will stand it"
Bro: >ohoo nakumbuka"
Swa: Ndio nakumbuka"
Eng: /es ' remember"
Nyg: Eeh aah! aah! hile siwezi hiyo nden hile ya pale! ni noma" *la(u %ana %oo
nilikwambia twende ball! ebu ona )ile hao watoi niumiza! bana"
Swa: 1apana! pale siwezi! ni ngumu" ala(u %ana nilikwambia twende mpira" hebu ona
)ile hao)i%ana walinumiza"
Eng: No! there ' cant" 'ts hard" /esterday ' told you we go play (ootball" %ust look at
how those boys hurt me"
Bro: Sinidio nimeona! mimi eeh! ball! eeh a(adhali rodi"
Swa: Ndio nimeona! mimi mpira"
Eng: ' can see5 me and (ootball"
Nyg: Eeh hawa watoi %oo! mpaka nikaona %oo sina pumzi mzee! nani alinipita charge
kidogo! mimi huko"
Swa: 1awa watoto! mpka nikaona sina pumzi! niligongwa kidogo! mimi huko"
Eng: Those kids! until ' was without air! ' was hit a little! ' (lew there"
Bro: Nani huyo?
Swa: Nani huyo?
Eng: Who was that?
Nyg: awas! alinipita charge hi)i %oo ala(u una%ua alinipiga akanipiga kahashoo"
Swa: wangi! alinipiga hi)i ala(u un%ua alinipiga kwa tumbo"
Eng: wangi hit me" 1e hit me in the stomach"
?
Bro: Eeh! ukadunda?
Swa: +kanguka?
Eng: /ou (ell?
Nyg: Ni kadunda huko chini! %oo nimegwarwa! nashindwa ata kusikia uchungu huku
nasikia tumbo ndio hiyo ime(ungana" nikadunga tu! nikadunga nikadunga!
nikaamuka saa ile niliamuka ndio nikanza kusikia sasa hii ya hapa! hehhahaha!
lakini hai! watu wananeed kunini! tuna(aa kurudi huko"
Swa: Nilianguka huko chini! nimegwarwa! nashindwa hata kusikia uchungu huku
nasikia tumbo ndio ime(ungana! nikalala tu! nikalala! nikamuka saa ile niliamuka
ndio nikanza kusikia sasa hii ya hapa"
Eng ' (ell down! ' was scratched! ' did not e)en (eel pain! because my stomach was
stitched" ' %ust stayed down" When ' woke up! that is when ' started (eeling the
pain"
Bro: Ball nayo sipendi! ball ! ball mtu utoka na main%ury! huku %uu ukiangalia miguu
za watu ! huko akina bena! si%ui akina nani! hizi magoti huku! aai"
Swa: pira mimi sipendi! mpira mtu upata )idonda! huku ukiangalia miguu za watu!
huku akina bena! si%ui akina nanai! hizi magoti huku"
Eng: ' dont like (ootball! (ootballyou ha)e to get in%uries! up there i( you look at their
legs! their knees"
Nyg: Bena bado huenda ball"
Swa: Bena bado huenda mpira"
Eng: Bena still plays ball"
Bro: mh! ye ucheza"
Swa: Ndio yeye hucheza"
Eng: /es! he plays"
Nyg: Eeh"
Swa: Ndio"
Eng: /es"
Bro: &eague ni sato" ni sato ama onday? si%ui hii wiki! si%ui alikuwa anaenda ball
wapi? 0itui?
Swa: &eague ni %umamosi" ni %umamosi ama %umanne? si%ui hii wiki! si%ui alikuwa
anaenda mpira wapi? 0itui?
Eng: The league on Saturday" or onday? ' dont know this week! he is going (or
(ootball in kitui"
Nyg: 0itui?
Bro: Eeh! wasee wa salem wale utrain! eeh wale tu utrain ndio walikuwa wanaenda"
Swa: Watu wa $erusalem wale u(anya mazoezi" wale watu hu(anya mazoezi ndio
walikuwa wanaenda"
@
Eng: Those people (rom $erusalem who train they are the ones who are going"
Nyg: +ko mazeh ukienda by the time u(ike tena uanze ball utakuwa umetired ingine
serious"
Swa: 1uko ukienda kabla u(ika tena uanze kucheza utakuwa umechoka sana"
Eng: When you go there by the time you reach and play the game you will be )ery
tired"
Bro: 1uko si%ui ata watalala" nilikuwa nawacha wakipanga panga )ile kutakuwa"
Swa: 1uko si%ui ama watalala" nilikuwa nimewacha wakipanga )ile kutakuwa"
Eng: ' dont know whether they will sleep" ' le(t them making arrangements"
Nyg: Eeh"
Swa: Ndio"
Eng: /es"
Bro: Nilikuwa nawacha wakipanga panga )ile kutakuwa! lakini na(ikiria watatoka
mapema by saa nane washa(ika! wanacheza ndio wanarudi"
Swa: Nilikuwa nawacha wakipanga panga )ile kutakuwa" lakini na(ikiria watatoka
mapema saa nane wame(ika" wanacheza ndio wanarudi"
Eng: ' le(t them planning the way they will go" ' think they will lea)e early by two they
will ha)e reached play and then come back"
Nyg: Siwatakuwa wametoka huko si%ui wamekaa si%ui a%e! eeh! una%ua huko ni mbali!
7kitui8 eeh huko ni noma" 1iyo nini sasa unaona a%e .riday?
Swa: Wakitoka huko si%ui watakuwa wanakaa a%e? una%ua huko ni mbali 7kitui8 huko ni
mbali" Sasa unaona a%e i%umaa?
Eng: ' dont know how they will be when they come back! you know its )ery (ar" That
is tough" 1ow will .riday be coming?
Bro: Nini hiyo?
Swa: Nini hiyo?
Eng: What is that?
Nyg: 1iyo maneno ya Splash"
Swa: 1iyo mambo ya ,Splash"
Eng: *bout Splash"
Bro: imi nitaenda kweli?
Swa: imi nitaenda kweli?
Eng: Will ' really go?
Nyg: Siniku%ikakamua tu bana! aah huko siunaenda"
Swa: +na%ikakamua tu bwana" 1uko unaenda"
Eng: /ou %ust try man" There you %ust go"
;
Bro: 4arni inataka mtu anadoo"
Swa: 4arni)ore inataka mtu anapesa"
Eng: 4arni)ore wants someone who has money"
Nyg: *ah huko si unaenda tu"
Swa: 1uko unaenda tu"
Eng: There you %ust go"
Nyg: Wasado uwa doo ngapi huko?
Swa: Na soda huwa pesa ngapi huko?
Eng: 1ow much is a soda there?
Nyg: Wasado huko uwanga n%e(i"
Swa: Soda huko ni hamsini"
Eng: Soda is (i(ty"
Bro: 0abronkote mia"
Swa: #ombe mia"
Eng: Beer a hundred"
Nyg: *ah! ngaanga na mbao! eeeh"
Swa: 1apana! mia na ishirini"
Eng: No! one hundred and twenty"
Bro: Na mbao! eeh"
Sw: ia na ishirini"
Eng: >ne hundred and twenty"
Nyg: 0ama hauko smart hakuna ha%a ya kuenda"
Swa: 0ama hauna pesa hakuna ha%a ya kuenda"
Eng: i( you dont ha)e money there is no point in going"
Bro: Eeh! huko %oo"
Swa: 1uko"
Eng: There"
Nyg: &akini hi)yo hi)yo %oo ni kuta(uta naku%ua )ile kutaenda! unasikiza matha
akuwachie kaa555"Bratha ako anacheza na mimi kwanza"
Swa: &akini hi)yo ni kuta(uta naku%ua )ile utaenda" Ndugu yako kwanza nacheza na
mimi kwanza"
Eng: But you %ust try and (ind a way o( going" your brother is %oking with me"
Bro: 1uyo wachana na yeye" Si amekuwa hapa" kwani hu%amuona leo"
Swa: 1uyo wachana na yeye" Si amekuwa hapa" kwani hu%amuona leo"
Eng: &ea)e him alone" 1e was here you did not see him today"
A
Nyg: *nacheza na mimi"
Swa: *nacheza na mimi"
Eng: 1e is playing with me"
Bro: *licome hapa ngware eeh" alicome hapa ngware tena akarudi hi)i mpaka!
walipita hi)i"
Swa: *liku%a hapa asubuhi" aliku%a hapa asubuhi tena akarudi akaenda hi)i"
Eng: 1e was here in the morning" 1e came here in the morning then le(t"
Nyg: Walienda hi)i wakienda wapi?
Swa: Walienda hi)i wakienda wapi?
Eng: They went this way going where?
Bro: Si%ui walikuwa wakiongea nani hapa" wakaanza kuwenda hi)i! tena wakaenda
hi)i"
Swa: Si%ui walikuwa wakiongo%a nani hapa" wakaenda hi)i! tena wakaenda hi)i"
Eng: ' dont know who they were waiting (or" They were talking with someone then
they went this way"
Nyg: 1uyo brathako ana! yaani nimeona sitawahi ku%a kumsaidia"
Swa: 1uyo ndugu yakonimeona sitawahi musaidia"
Eng: /our bother ' will ne)er help him"
Bro: *nadoo yako?
Swa: *napesa yako?
Eng: 1e has your money?
Nyg: Eeh"
Bro: Ngapi?
Swa: Ngapi?
Eng: 1ow much?
Nyg: Ndo)uB! ala(u una%ua )ile hiyo siku alikuwa amelia! aliniambia alikuwa amesaidia
matha na gan%i yake! eeh! na ati kunali(aa kuwa na nini! ile doo ya chama yao"
matha akamuwagia mwagia hana gan%i! sinikamwambia basi (anya hi)i mi iko
gan%i niko nayo" We nikupatie we utanirudisha ukipewa yako ya chama" ' think
ile siku alidungwa! ndio aka%itoa" hiyo siku akaenda hi)i tao" Eeh! eeh!
minamurudia anakaniambia ee siko poa saa hii wacha" wisho wa mwezi nitacome
nikucheki unasikia! ilikuwa hile month! sii hii month! hile ingine! nikaenda
akanishow bado si%ui hayuko poa! nikcome nimucheki! nimugee mwezi! hii
mwisho sahi! sahi nimenda hii mwisho ananiambia ati hawa%akan%iwa!
Swa: El(u mo%aB *la(u una%ua )ile hiyo siku alikuwa analia aliniambia alikuwa
amesaidia mama yake na pesa yake ya chama mama yake alimwambia hana pesa"
Sasa nikamwambia basi niko na pesa! wacha nikupatie utanirudishia ukipewa
chama" Siku ile alipewa akatoka akaenda m%ini! nikarudi kwake akaniambia
C
hayuko na pesa sasa" mwisho wa mwezi niku%e atanipatia" +nasikia! sii hii mwezi!
hile mwezi ingine! nikaenda akaniambia bado hana pesa"
Eng: >ne thousand" /ou know he came to me and told me to help him that his mother
had taken money (rom him and he needed the money (or the 2chama- he asked
his mother but she did not ha)e! so ' told him that ' had some money ' would gi)e
to him to pay me back when he was gi)en his 2chama- when he was gi)en! he
went out to town when ' met him he said that things were not so good! he would
pay me come end o( the month" /ou hear not this month that other month" ' went
and he told me he doesnt ha)e money"
Bro: 0wani diga yao haulipwa mwisho?
Swa: 0wani gari yao haulipwa mwisho wa mwezi?
Eng: /ou mean their car is paid monthly?
Nyg: Ndio ata nashindwa? mimi si%awahi sikia dinga ya two three watu! dinga zile za
two three watu umwangia nini ni za Nderu na 1abib! sindiyo" si habib watu
udungwa hi)o" sasa ata nashindwo kwani kunaenda a%e"
Swa: 1ata mimi nashindwa! mimi si%awahi sikia gari ya 2twenty three-" Wale ni wa
gari za Nderu na 1abib"
Eng: ' am also wondering" ' ha)e ne)er heard any twenty three )ehicle! eDcept (or
Nderu and 1abib cars"
Bro: 1abib na Nderu?
Nyg: 1abib na Nderu sindiyo watu udungwa mwisho"
Swa: 1abib na Nderu ndiyo watu hulipwa mwisho wa mwezi"
Eng: 1abib and Nderu are the ones who are pay at the end o( the month"
Bro: Ni wengi si 1abib na Nderu alone"
Swa: Ni wengi siyo 1abib na Nderu pekee"
Eng: They are many! not only 1abib and Nderu"
Nyg: 1ata 1alwa?
Swa: 1ata 1alwa?
Eng: E)en 1alwa?
Bro: *ta si%ui"
Swa: hata si%ui"
Eng: ' dont know"
3E

You might also like