You are on page 1of 8

JERICHO B 12

TIME 00.00 10.00


Interviewer: Nyaga: Nyg
Interviewee: Fred
Other !ea"er# Oth
Nyg: Unaona siku hizi vile amekuwa mnono mnono, amekuwa kibonge, EEH,
anatoshana na nini, eeh ama huko akienda coast huko uwanga kunabamba,
hukuwanga kunamuletea profit.
wa: Unaona siku hizi vile amekuwa mnono, amekuwa kibonge anatoshana na nini,
ama huko akienda mombasa huko biashara humletea faida.
Eng: Have you seen these days he is fat, he is big, he is like, its seems when he goes to
coast he gets a profit.
!red: "litoka coast kitambo, kama ni kucut angekuwa asha cuta.
wa: "litoka pwani kitambo, kama ni kukonda angekuwa ashakonda.
Eng: He came from coast long ago, if he was to cut he would have already cut.
Nyg: #hakula ya mama, chakula ya mama, unacheza na pale bana, mmh, $osse una%ua
ye ushinda akikula chakula ya mather&.simu ndio hiyo sasa, ii inatakaa ushikilie
kwote ndio zote zionyeshane, sasa imeanza insert sim card, kani sim card iko
wapi, ...simu inge ya upuzi sana.
wa: #hakula ya mama, unacheza na pale, $esse un%ua yeye husinda akikula chakula
kwa mama yake...... simu ndio hii sasa, inataka ushikilie kwote ndio zote
zionyeshe, sasa imeanza kusema 'insert sim card( kwani sim card iko wapi, simu
ingine ya upuzi sana.
Eng: )ama*s food , dont %oke, $esse %ust sits eating at his mother*s food.... this is the
phone, now its saying insert sim card, where is the sim card, this phone is bogus.
!red: "lbert ni ++,- ama +-.
wa: "lbert ni ++,- ama +-.
Eng: "lbert is it ++,- or +-.
Nyg: Ni ++ hi ni +/, "lbert, mmh, unaona%e, what is your deduction.
wa: Ni ++, hi ni +/, "lbert, unaona%e, unafikiria nini.
Eng: 0t*s ++ this is +/, "lbert, what is your opinion.
!red: Ngo%a kwanza tuone vile itaduu.
wa: Ngo%a kwanza tuone vile itafanya.
Eng: 1ait we see how it works.
,
Nyg: !undi, wewe ndo fundi..... manze misiwezi tembea na simu haina vibrate, siku
hizi mihusindwa, ata nikitembea nayo, miuwacha tu mahali, afadali niwache mtu
akae nayo akuwe ana ansa, than mimi nikuwe nayo sitasikia, %uu ata nikiichuwa
nitembe nayo.
wa2 !undi, wewe ndio fundi, mimi siwezi tembea na simu haina 'vibrate( siku hizi
mimi nimeshindwa, hata ilitembea nayo muiwacha tu mahali, afadhali niwachie
mtu akae nayo akuwe anachukuwa, badala ya mimi nikuwe nayo na sitaisikia.
Eng: 3honeman, you are the e4pert, 0 cant walk with a phone which has no vibrator
these days 0 cant, even when 0 go with it, 0 leave it someone to answer it for me,
instead of me going with it yet 0 cant hear it ring.
!red: 0kiring huwezi sikia.
wa: 0kilia huwezi sikia.
Eng: 1hen it rings you can*t hear.
Nyg: Eehee.... nini za huko chini ni loose a%e, hazifungi kabisa,&. unacheki ina
zinazunguka tu....cheki insert sim card.
wa: Ndio, nini za huku chini zimelegea, hazifungi kabisa, unaona vile zinazunguka,
angalia, 'insert sim card(.
Eng: 5es, those screws are loose, tighten them, see how they are going round, look '
insert sim car(.
!red: im card iko.
wa: 6im* card iko wapi.
Eng: 1here is the sim card.
Nyg: Ndiyo hii.
wa: Ndiyo hii.
Eng: 0t is here.
7th: 8ile manugu kwani zinataka kusomewa nini.
wa: 8ile manugu kwani zinataka kusomewa nini.
Eng: 9hose moneys want to be scolded or what.
Nyg: )anugu gani.
wa: )anugu gani.
Egn: which monkeys.
7th: 8ile pale.
wa: 8ile pale.
Eng: 9hose there.
Nyg: asa tena nini.
wa: asa ten nini.
Eng: Now again what.
:
!red: Hizi manokia naufala saa hii ++,-.
wa: Hizi simu za 'nokia( ni za upuzu, hii ++,-.
Eng: 9hese nokia phones are bogus, this ++,-.
Nyg: )mh, now what. mmh, si imekuwa nayo tu saa hii ikionyesha tu vizuri.
wa: asa nini. sinime kuwa nao tu saa hizi ikionyesha vizuri.
Eng: Now what. 0t was %ust now that is was showing well.
!red: ;ata%ikaa tu.
wa: 0takuwa tu.
Eng: 0t will be fine.
Nyg: Hii ni maneno gani hii,eeh, "lbu, unaona nini mbaya.
wa: Hii ni maneno gani hii, "lbu, unaona nini mbaya.
Eng: Now what is this, "lbert, can you see the problem.
!red: 0naweza kuwa ni macontacts tu.
wa: 0naweza kuwa ni ma%ina tu.
Eng: 0t could be only the contacts.
Nyg: Hizi simu zinaupuzi.
wa: Hizi simu ni mbaya.
Eng: 9his phones are bogus.
!red: 8ikikaanga hizo unaza hizo upuzi, ziki ka kaa.
wa: 8iki kaa hizo uanza hiyo upuzi, ziki kaa.
Eng: 1hen they stay for sometime they start doing like that.
Nyg: 8iki kaa a%e.
wa: 8iki kaa a%e.
Eng: 1hen they stay what.
!red: ;aa zimetumika for sometime.
wa: ;ama zimetumika kwa muda.
Eng: 1hen they have been used for sometime.
Nyg: Ndio maana siku hizi naona kuna mpaka ma<ad za nini, ' a car should be
maintained, a si%ui nini should be mantained(, umecheki advert =si%aona> kwa
9?., eeh, imenibamba deadly, ' and so should a phone(, si%ui nini nini, yaani
mpaka nilikuwa nasikia kucheka.
wa: Ndio maana siku hizi naona kuna mpaka matangazo za nini, ' gari inafaa
kupelekwa service, ata simu pia(, uliziona. =si%aona> kwa 9elevishoni, nilikuwa
nasikia kucheka.
Eng: 9hat is why these days there are even adverts like, ' a car should be maintained(
did you see on the 9elevsion, ' and so should a phone(, 0 was so amused, 0t really
tickled me.
+
!red: .......1a kurepair ndio wana%iadvertise.
wa: 1atu wakutengeneza ndio wana%itangaza.
Eng: 3eople who repair are advertising themselves.
Nyg: 1ewe umekosa kitu yaku duu@
wa: 1ewe umekosa kitu chakufanya@
Eng: 5ou have nothing to do@
7the: Hehehe, sawa, sini meimake sasa.
wa: awa, sinaitengeneza sasa.
Eng: Aut 0 am making it.
!red: asa umemake nini. unge fanya kitu ya maana , toa hizo nyaks zime%aa hapo
wa: asa unatengeneza nini. unge fanya kitu ya maana kama kutoa takataka zile
zime%aa hapo.
Eng: 1hat are you making.5ou should do something important, like collecting that
trash there.
Nyg: ;una %inare yangu mo%a inaneed kuoshwa, na naweza appreciate sana sana kama
ntapata atanisaidia. ama ona a%e hiyo dira "nnie, .... una%ua hii kitu manze ni ya
wanga, hata hai%atembelewa.
wa: ;una surali yangu mo%a inataka kuoshwa na naweza furahiya sana kama nitapata
mtu anisaidie, ama unaona a%e hiyo mambo "nne..... una%ua hii kitu ni mpya, hata
hai%atembelewa.
Eng: 9here is one %eans of mine that needs to be washed, 0 would very much appreciate
if 0 could find someone to help me, "nnie what would you say.......... you know
this thing is new, it has not been used.
!red: Eehe, imestand, iko bado brandi vibaya sana.
wa: Ndio, iko sawa, iko bado mpya sana.
Eng: 5es, it is fine, it still very much new.
Nyg: )i naweza ii uza kwanza vibaya sana, naushike mtu mbaya, eeh, ebu kwanza
niangalie mbona hizi ngafu, woowh wooowh, =nini> hizi zimevun%ika, umekiche
wa: )imi naweza kuiuza mtu pesa mingi sana, hebu kwanza nianglie mbona hizi vitu,
woooh wwoooh, nini, hizi zimevun%ika, umeona.
Eng: !irst of all 0 can sell it at a very good price, let me look at this ...... these are
broken, have you seen.
!red: )mh, by the way,...ni ngapi sasa.
wa: ;wanza ni pesa ngapi sasa.
Eng: Ay the way how much is is now.
Nyg: Bakini si hii ni ya ++, sindiyo, =eeh> hii ni ya ++ ya nyuma, unaweza chukuwa ++
na uweke, aah, hii naweza pata. Naenda tu pale %ob, hapo works hizi vitu zimelala
mingi sana, =eeh bana> nitatafuta hii nini, naziweka tu.
/
wa: Bakini sii hii ya ++, ndio, hii niya ++ ya nyuma, unaweza chukuwa ++ na uweke,
hii naweza pata. Nikienda pale kazini, hapo hizi vitu zimelala mingi sana, nitafuta
hii nini, nita ziweka tu.
Eng: Aut this is not for ++, this is for the back for ++, 0 can take the ++ and put it, 0 can
find it. 9here at my office those things are lying there, 0 will look for one and put
it.
!red: "ta kunazinge zinauzwanga hivo hivo =eeh>na hizo vitu za hapa chini, lakini
hazina vibrate.
wa: Hata kunazingine zinakuwa hivyo, na hizo vitu za hapa chini, lakini hazina
6vibrate*
Eng: 9here are some which are sold like this, they have this thing down. Aut they dont
vibrate.
Nyb: 8ina vibrate.
wa: 8ina tetemeka.
Eng: 9hey vibrate.
!red: 0ko na hizi vitu zote, eeh, alafu na hii kitu pekee yake, haina hii design, hii body
tu na hizo vitu za chini.
wa: 0ko na hizi vitu zote, alafu na hii kitu pekee yake, haina hii mchoro, ni kifuniko tu
na hizo vitu vya chini.
Eng: 0t has all these things and only this, it doesn*t have this design, this body and these
things.
Nyg: Hiyo wanakuuzia mapinga.
wa: Hiyo wanakuuzia ngapi.
Eng: How much are they selling.
!red: 9wo chwani, eeh two chwani.
wa: )ia mbili na hamsini.
Eng: 9wo hundred and fifty.
Nyg: Cwabe na chwani, ni wa kikuyu.
wa: )ia mbili na hamsini, ni wa kikuyu.
Eng: 9wo hundred and fifty, are they kikuyu.
!red: indiyo, ,....una%ua $os.
wa: Ndio, una%ua $os.
Eng: 5es, you know $os.
Nyg: $os ni wapi.
wa: $os ni wapi.
Eng: 1here is $os.
D
!red i "ccra tu.
wa iyo "ccra tu.
Eng 0n "ccra.
7th: ;iatu mo%a iko wapi wakesh, kiatu mo%a iko.
wa: ;iatu mo%a iko wapi 1akesh, kiatu mo%a iko.
Eng: 1akesh where is one shoe.
Nyg: Hee, hebu mwambie avae madula bana, una%ua vile hii n%eve uwanga ni noma
kwanza kwa munia%u... eeh, hebu mwambie bana, eeh alafu unaona ye ni keupe
mmh,...... mbona hinishow kitu yoyote tena..........ai, hii kitu haiko serious
usiniambie hiyo connection ati hai%abamba.
wa: Hebu mwambie avae viatu, una%ua vile kuna baridi na vile ni mbaya na mtoto
mdogo, hebu mwambie alafu unaone yeye ni cheupe..... mbona hainionyeshi kitu
yoyote tena, ai hii kitu ina mchezo, usiniambie hiyo mitambo haishiki.
Eng: 9ell her to wear shoes, it is very cold and you know how it is bad for the small
kids, tell her and you can see she is a brownie. 1hy is it not showing me
anything, this thing is not serious, don*t tell me it has no connection.
!red: 0kiwanga loose hapo chini sa zingine unaisha battery.
wa: 0kiwa imelegea hapo chini sa zingine unaleta shida.
Eng: 1hen is it loose down there it sometimes brings problems.
Nyg: Haiwezi, ati /,-, lakini haifai kuwa inaleta u%inga kama hii, kwanza kwangu, saa
hii tu silikuwa poa nikiwanayo.
wa: Haiwezi ati /,-, lakini haifai kuwa inaleta u%inga kama hii, kwanza kwangu, saa
hizi tu ilikuwa nzuri nikiwa nayo.
Eng: 0t can*t, /,-, but it should not be bothering me like this. $ust now it was working
properly.
!red: Babda ni hizo screw ziko hapo chini nafikiri, sasa vile umefunguwa ndio sasa
zikakuwa loose sasa.
wa: Babda ni hizo screw zaa hapo chini nafikiri, sasa vile umefunguwa ndio sasa
zimelegea sasa.
Eng: )aybe it is the screws these screws which have become loose 0 think.
Nyg: 8ikavun%ika kabisa, mmh.
wa: 8inavun%ika kabisa.
Eng: 9hey broke completely.
!red: Nadhani vile umeka hi changer.
wa: Nadhani vile umweka hii changer.
Eng: 0 think it is because you put the changer.
E
Nyg: a tena nita kuwa bila simu tena, mpaka niede tao, mmh, alafu na%uona nikienda
tao in the near forseeable future.
wa: asa tena niende bila simu tena, mpaka niende m%ini, alafu itabidii niende m%ini
hivi karibuni.
Eng: How 0 will be without a phone again, 0 have to go to town.
!red: 0tabidii uta<touch tao na urudi, eeh.
wa: 0tabidii ufike town na urudi.
Eng: 5ou will have to go town then came back.
Nyg: Hapa hapa si hizi tools tukonazo hapa, mmh, ndio hizi tools of trade, ama si hizi
tuu ndio tutaenda ku nini, ku ngafwa nayo hizi vitu, ama.
wa: Hapa, hapa si hizi vyombo vya kazi ziko hapa, si hizi tuu ndio tutatumia.
Eng: Here, here we have the tools for the work. are we going to use these tools to make
it.
!red: Eeh, ukileta tuu tutaichange.
wa: Ndio, ukileta tutaibadlisha.
Eng: 5es, once you bring it, we will change it.
Nyg: 0nanza kuniletea udon nayo, namimi nilikuwa naku%a kugen%a vibrater.
wa: 0nanza kuniletea hasara na mimi nilikuwa naku%a kutengenezewa vibrate.
Eng: 0t is now bringing me a loss and 0 had %ust brought it to repair the vibrator.
!red: asa hataichukuwi sim card.
wa: asa hata haichukuwi 'simcard(
Eng: Now it is not taking the simcard.
Nyg: Haichukuwi sim card.
wa: Haichukuwi 6sim card*.
Eng: 0t is not accepting the simcard.
!red: Hebu toa u%aribu ku, urub hiyo sim card hivi, saa zingine =hebu leta sim card
ingine> 0kiget static ina ina shika, unarub hivi kwa nguo alafu.
wa: Hebu toa u%aribu kusugua hiyo simcard, saa zingine = hebu leta sim card ingine>
ikipata moto ita shika, unasugua hivi kwa nguo alafu.
wa: $ust remove and try to rub that simcard like this, sometimes =bring another
simcard> when it gets static it will work, you rub like this with a cloth then.
Nyg: Hii sim card imekuwa na nini mingi sana....mmh, haiwezi kuwa ndio mbaya,, hii
sim card iko order........wacha tuone, unaona si hiyo, ..... sim card yangu ya white,
ushaona sim card ya white, sim card ya nguvu hii.
wa: Hii simcard imekuwa na nini mingi sana.... haiwezi kuwa ndio mbaya, hii sim
card ikomzuri, wacha tuone, unaona si hiyo@ im card yangu ni nyeupe, ushaona
simcard nyeupe, simcard ya nguvu hii.
F
Eng: 9his sim card has very many things, it cant be bad this simcard is ok. Bet*s see,
see@ 0t is not bad@ )y simcard is white, have you seen a white simecard, mine is
e4pensive.
!red: ;wa hivyo imeboeka.
wa: ;wa hivyo umekosa raha.
Eng: Now you are bored.
Nyg: ana, come nikugee %ob.
wa: ana, ku%a nikupatie kazi.
Eng: 5es, come 0 give you work.
G

You might also like