You are on page 1of 9

JERICHO B20

TIME 00 10.00
Interviewer:James Nyaga: S1
Interviewee: Steve O!e""#: S2
Ot$er Sea!er: Ot$e
Sp1: Si hizo pia ni ngoma.
Swa: Hizo pia ni nyimbo.
Eng: Those are also songs.
Sp2: Zoom tu ukitaka.
Swa: Ongeza ukitaka.
Eng: Zoom if you want.
Sp1: a!ha u"inga wewe# na zoom nini# na hiyo remote.
Swa: a!ha u"inga wewe# na ongeza nini# na hiyo mtambo.
Eng: Stop being stupi$# % zoom what# that is the remote.
Sp2: &wani Tra!e T' siku hizi ni (
Swa: &wani hii )Tra!e T'* siku hizi ni(
Eng: This )Tra!e t'+ these $ays is(
Sp1: Tra!e T' si ni si ni magoma# kwani lazima tusikize the ,eat nini(eeh lazima
tusikize the ,eat fala hii(
Swa: Tra!e T' ni ya nyimbo# kwani ni lazima tusikize the -,eat*we m"inga(
Eng: Tra!e T' is for musi!# $o we ha'e to listen to the ,eat stupi$(
Sp2: .a &T. hakunaga.
Swa: Hakuna &T..
Eng: There is no &T..
Sp1: &T. uwanga zinanza fi'e thirty# kwanza iko !lear mabaya.!heki.
Swa: &wa &T. huwa zinanza saa kumi na mo"a unusu# kwanza iko safi sana.
Eng: %n &T. its starts at fi'e thirty# by the way it is 'ery !lear.
Sp/: .$io hiyo n$io hiyo# aerial.
Swa: .$io hiyo# n$io hiyo aerial.
Eng: That one is the aerial.
Sp1: 0rial ime$oo( haiko pale# 1si"ui2
Swa: 0erial imefanya nini# haiku pale# 1si"ui2
Eng: hat is wrong with the aerial# it+s not there 1% $on+t know2
Sp2: .a nikulize simu'utie hii kitu aerial msee(
Swa: .a nikulize mbona hamu'uti hii kitu ya aerial (
1
Eng: 3et me ask you why $on+t you put an aerial(
Sp1: Sasa ma$oo n$io hakuna tungekuwa tusha'uta.
Swa: Sasa pesa n$io hakuna# tungekuwa tumesha 'uta.
Eng: %t+s the money we $on+t ha'e# we woul$ ha'e alrea$y put.

Othe: 4kinoa .ation yao ni !lear# nation# &tn 1 anastay wapi2 hapa "uu# nation# &tn#
&,5 na 6etro ziko !lear alafu unapata 5hannel 7# si"ui !itizen ziko kama hii#
hizo zingine ni !lear yaani.
Swa: 4kiona .ation yao ni safi# .ation# &T. 1 anakaa wapi2 hapa "uu# .ation# &T.
na 6etro ziko safi alafu unapata kwamba !hannel 7 na 5itizen ziko kama hii# hizo
singine ni safi sana.
Eng: %f you see their .ation !hannel it is !lear# .ation &T. 1where $oes he stay2 up
here# .ation# &T. an$ 6etro are 'ery !lear then you fin$ that 5hannel 7# 5itizen
are "ust like this one# the rest are !lear.
Sp1: .a hiyo !hannel fi'e pia huleta shi$a# lakini kwingine unaona iko !lear.
Swa: .a hiyo !hannel 7 huwa na shi$a# lakini kwingine unaona iko safi.
Eng: 5hannel 7 has problems# but other pla!es you fin$ that it is !lear.
Sp2: 4na"ua ni a"e ni 'ile watu wengine "oo888.kitambo ata ilikuwa unakata hizo
maplate plate# unazi"enga unapigilia unaweka hapo "uu na inakuwa !lear# lakini
siku hizi watu ubuy .
Swa: 4na"ua ni 'ipi# ni 'ile watu wengine# kitambo ulikuwa unakatakata hizo masahani
unazi"en"a unapigilia unaweka hapo "uu inakuwa safi# lakini siku hizi watu
hununua.
Eng: 9ou know why some people8 sometime ba!k we use$ to !ut out those plates an$
laun!h them an$ they use$ to be !lear. ,ut nowa$ays people buy.
Sp1: 4naona hizo sufuria zimetoboka toboka nini# unakata tu 'ipoa nini# una"iun$ia#
unaweka aerial inasika !lear mbaya.
Swa: 4naona hizo sufuria zimetoboka toboka# unakata tu 'izuri# unaun$a# unaweka
aerial inashika 'izuri.
Eng: :o you see these hole$ pans. 9ou !ut them ni!ely an$ make them into aerials they
are 'ery !lear.
Sp2: 6themo alikuwa aniuliza hizo 'itu ni za nini# 1leo2 "ana# analiuliza eeh na hizi
ma'itu zenu ni za nini# hi'i ata n$io muta!hukuliwa ma'oi!e "oo# mwen$e
mutekiwe# nini nini ooh heheheheh# unashin$wa meuthemo form yake nigani#
aliniambia "oo nita!hukuliwa 'oi!e.
Swa: 6ama alikuwa ananiuliza hizi 'itu ni 'ya nini# 1leo2 "ana# ananiuliza hizi 'itu
zenu ni za nini# hi'i n$i'yo muna!hukuliwa sauti alafu mwen$e mushikwe#
nikashin$wa kwanini mama yangu anasema.
Eng: 6y mother was asking what this things were for# 1to$ay2 yester$ay# she aske$ me
these things are for what# you are re!or$ing your 'oi!e then you will be arreste$.
Sp1: .i ,ol$ alikuwa anamu!ho!ha.
2
Swa: .i ,ol$ alikuwa anamu!ho!hea.
Eng: %t was ,ol$ who was in!iting her.
Sp2: &umbe uli!ome "ana(
Swa: &umbe uliku"a "ana(
Eng: So you !ame yester$ay(
Sp1: .ilikuwa hapa "ana# "ana siku$uu kitu ata.
Swa: .ilikuwa hapa "ana# "ana sikufanya !ho!hote.
Eng: % was hear yester$ay# % $i$ not $o anything yester$ay.
Sp2: ;ana niliku"a hapa nikapata uki$oro.
Swa: ;ana niliku"a hapa nikapata umelala.
Eng: 9ester$ay % foun$ you sleeping.
Sp1: ;ana nime lala.
Swa: ;ana nime lala.
Eng: 9ester$ay % slept.
Sp2: Tulien$a mpaka out# tulikuwa na Smana# niliona halfway# uliona ikianza(
Swa: Tulien$a n"e# tulikuwa na Smana# niliona nusu# uliona mwanzo(
Eng: e went out. e were with Smana. % saw it half way# $i$ you see it from the
start(
Sp1: 6mi ata sikuona nilien$a nika $oze.
Swa: 6imi hata sikuona nilen$a nikalala.
Eng: % $i$ not e'en see it# % went to sleep.
Sp2: 6imi hiyo kitu unikatisia.
Swa: 6imi hiyo kitu unikasirisha.
Eng: That thing annoys me.
Sp1: e uangalia hizo 'itu na mpaka zile tusha$uu wewe# nini unaleta mambo yako
hapa.
Swa: ewe unagalia hizo 'itu na zile 'itu tumeshafanya# mambo gani unaleta hapa.
Eng: 9ou see those things what of the things we ha'e $one# what are you saying to us
here.
Sp2: a!ha u"uwa"i.
Swa: wa!ha zako.
Eng: Stop.
Sp1: <eleka hiyo u"uwa"i yako huko# sasa nikwambie ni gani hiyo basi.
Swa: <eleka hiyo ku"uwa yako huko# sasa nikwambie ni gani hiyo basi.
Eng: Take your knowle$ge outsi$e# now let me tell you whi!h one it is.
/
Sp2: %le iko fine kiasi.
Swa: Hile iko nzuri kiasi.
Eng: The one whi!h is a bit fine.
Sp1: %le iko faine# ile haiwezi toa tafash# huyu anakaa yuko faine sasa# we siuongee sa
una"ua a"e kama imesetiwa ama ba$o( Haki huyu !hali kwani ni wazimu
ameshikwa nayo nini# eeh# by the way !heki kwanza# inafaa ata tumufanyie zote
zote "oo tumaliza siunaona 'ile ni one time.
Swa: Hile iko nzuri# ambayo haiwezi niletea shi$a# huyu anakaa 'izuri sasa# wewe
ongoea basi sasa una"ua a"e kama ina!hukuwa au la( 4kweli huyu ki"ana ni
wazimu ako nayo au nini# kwanza angalia inafaa tumufanyie zote tumalize
Eng: That is fine# the one whi!h won+t trouble me# like this one it looks 'ery ni!e. Talk
now# how $o you know whether it is set or not( % think this guy is !razy# we
shoul$ $o all of them# you see the way it+s easy
Sp2: %ko mkan"o(
Swa: %ko malipo(
Eng: %s their payment(
Sp1: &wanza kulikuwa ingine ilikuwa tatu tatu.
Swa: &wanza kulikuwa ingine ilikuwa tatu tatu.
Eng: There was another one whi!h was for three three.
Sp2: Sasa mkan"o.
Swa: Sasa malipo.
Eng: .ow payment.
Sp1: Sasa mkan"o# sahi analia lia sahi itabi$ii "oo mutulie 1sawa2.
Swa: Sasa malipo# kwa saa hii anasema hana# kwa hi'yo itabi$ii mukae tu 1sawa2.
Eng: .ow payment# for now he $oesn+t ha'e money so you will ha'e to wait 1fine2.
Sp2: ;ana kwanza nilien$a ;eri.
Swa: ;ana kwanza nilien$a ;eri!ho.
Swa: 9ester$ay % went to ;eri!ho.
Sp1: ;ana ulipata mtint# 1eeh2 mtint ana$ai a"e# mtisko ana$ai a"e(
Swa: ;ana ulipatana na msi!hana 1n$io2 msi!hana alisema a"e(
Eng: 9ester$ay you got a girl 1 yes2 what $i$ the girl say(
Sp2: 0li!ho!ha# una"ua tangu Sato# hiyo tulipatana na mustafa na beste yake huko
6a$iwa# 1mmh2 si"awahi onana na yeye# "ana n$io nilionana naye# sasa na!ome
hi'i# ule ya akina ,en"a#eeh# na huyu mbeste yake# ati mimi uwanga na kwisha
ingine huko 6a$iwa.
Swa: 0ligombana# una"ua tangu %"umaa# 'ile tulipatana na 6ustafa na rafikize huko
ma$iwa si"awahi kuonana na yeye# "ana n$io nilionana naye# sasa ku"a hi'i# huyo
=
rafiki yake alimwambia kwamba eti mimi niko na msi!hana mwingine wa huko
6a$iwa.
Eng: She >uarrele$# you know sin!e Satur$ay when % ha$ met with 6ustafa an$ his
girlfrien$ in 6a$iwa# % ha'e not seen her# so it was yester$ay that % saw her. So
when % !ame to !laime$ that % ha$ another girlfrien$ in 6a$iwa
Sp1: .ani alimuosha(
Swa: .ani alimuambia(
Eng: ho tol$ her(
Sp2: 3orine# alikuwa huko ma$iwa# nilipatana nao na 6ustafa huko Easi!h.
Swa: 3orine alikuwa huko ma$iwa# nilipatana nawao na 6ustafa huko Eastleigh.
Eng: 3orine# she was in ma$iwa# % met them together with 6ustafa there in Eastleigh.
Sp1: .a walikuwa na ombus(
Swa: .a walikuwa na wasi!hana(
Eng: ere they with girls(
Sp2: alikuwa na !hali mwingine hapo.
Swa: alikuwa na mtu mwingine hapo.
Eng: They were with another guy.
Sp1: .a wewe ulikuwa na mtisko wowote(
Swa: .a wewe ulikuwa na msi!hana wowote(
Eng: 0n$ were you with any girl(
Sp2: .ilikuwa alone? .a hao walikuwa na 6ustafa na boy mwingine# mpaka walinita#
nikawalenga mbaya# mpaka 6ustafa nilikuwa namulenga# wananiita -!ome*.
Swa: .ilikuwa pekee? .a hao walikuwa na 6ustafa na ki"ana mwingine ha$i waliniita
nika wanyamazia.
Eng: % was alone? They were with 6ustafa an$ another guy# they e'en !alle$ be but %
ignore$ them.
Sp1: Hawakuona mamutint alafu wana$ai ati we ukona mutint 6a$iwa.
Swa: Hawakuona msi!hana alafu wansema eti wewe ukona na msi!hana 6a$iwa.
Eng: They ne'er saw you with a girl# then they sai$ that you ha'e a girlfrien$ in
6a$iwa.
Sp2: 6mh# 3orine n$io alien$a akasema hi'yo.
Swa: .$io# 3orine n$iye alien$a akasema hi'yo.
Eng: 9es# it was 3orrine who went an$ sai$ so.
Sp1: 3akini 3orrine mbona uku!homea $isket# kwani 8(
Swa: 3akini mbona 3orrine anakuharibia "ina kwani(
Eng: ,ut why $oes 3orrine spoil your name(
7
Sp2: 9e uwanga anaihate tangu siku ile niliwa!ha hiyo zone# nafikiria ananihate# ye
ufikiria si"ui ni kama miuwanga ka playboy 8..mpaka ye uniambia babu we
uwen"oy ubeste yangu "oo# mimi umwambie atafute msee mwingine wa maana.
Swa: 9eye huwa anani!hukia tangu siku hile niliwa!ha kwen$a huko pan$e ya kwao#
nafikiria anani!hukia# yeye ufikira kama mimi huwa na!hezea wasi!hana# ha$i
aliniambia babu wewe hupen$a ku!hezea rafiki yangu mimi nitamwambia atafute
mtu mwingine wa maana.
Eng: She hates me sin!e % stoppe$ going to her area# % think she hates me# she thinks %
am a playboy# she e'en tol$ me that % am playing with her frien$s min$# she was
going to tell her to look for a better guy.
Sp2: 3akini kawai$a m$omo za watu wengine# we toa ufala hapa# nini sasa unafanya(
sin$iyo hii# sasa una$uu(
Swa: 3akini ni kawai$a ya m$omo za watu wengine# wewe toa u"inga hapa# nini sasa
unafanya( sin$iyo hii# sasa unafanya(
Eng: ,ut it+s like that being ba$mouthe$ by some people. @emo'e your nonsense here?
hat are you $oing now( %ts here8 what are you $oing.
Sp1: .ilikuwa ile zone yakina ,en"a# si nimekaa hi'i na!ome na alikuwa na ma$em
wangapi ka tuta# tukapatana hi'i# alafu sikuwa nimemuona# sasa si"ui nini#
sikuwanamuona# namimi# siwezi tembea kama si"aona mtu# naweza kukugonga
hi'i# unaona ule# nakwambia si"ui nilikuwa nafikiria nini# nanimeweka ki!hwa
hi'i $ownA
Swa: .ilikuwa hile zone kwa akina ,en"a# alikuwa ako na wasi!han>a watatu#
tukapatana hi'i# sikuwa nimemuona si"ui kwanini# mimi huwa sitembei bila kuona
mtu
Eng: % was that zone of ,en# when % was !oming % saw him with three girls# we met like
this# % ha$ not seem them# % !annot walk without seeing people.
Sp2: Haukwa unaona nani(
Swa: Haukuwaona nani(
Eng: ho $i$ you not see(
Sp1: Sikuwa naona 6aureen# sikuwa namean kumulenga# nikasikia babu# nia"e# eeh#
unakumbuka siku ile sista 0nn mpaka ulinishika hi'i# ,abu unaitwa# aai# yaani
nakwambia nilikuwa na tinga tu hi'i# eeh# huko mbele nasikia mtu ananiamba pita
tu# pita tu# yaani siku hizi iko hi'yo# nika"ua aai# kuangalia hi'i# eeh# siukamu
unisalimia# akaniambia aah aah# sinilikuwa nimekaa hapo kwa ke"a ya akina sito#
sikuwona akina 6ustafa hapo# kwanza akina 6ustafa walikuwa wamen$a kubuy
phone# Bulani hapo# siemens# si"ui# yeyote tu# bora iskuwe eCpe.
Swa: Sikuwa naona 6aureen# sikuwa natakumpita. nikasikia babu# habari eeh#
unakumbuka siku hile $a$ake 0nn ha$i ulinishika hi'i. ,abu unaitwa aai yaani
nakwambia nilikuwa naen$a tuu hi'i huko mbele nasikia mtu ananiamba )pita tu#
pita tu yaani siku hizi iko hi'yo+ nika"ua aai# kuangalia hi'i# ) ku"a nikusalimie#
)hapana+. .ilikuwa nimekaa hapo kwa nyumba ya akina Sito# sikuwona akina
D
6ustafa hapo. &wanza akina 6ustafa walikuwa wamen$a kununua simu hapo#
siemens# si"ui. yeyote tu# bora iskuwe eCpe.
Eng: % ha$ not seen 6aureen. % ha$ not meant to ignore her. % hear ,abu Hi. 9ou
remember that $ay with 0nn+s sister you ha$ to tou!h me# -you are being !alle$+.
% went this way then % hear$ someone telling me# - "ust pass# "ust pass# its like
that+. % looke$ up an$ saw her# -!ome an$ greet me*# -no*. % was there at Sito+s
house. % $i$ not see 6ustafa there. They ha$ gone to buy a phone# siemens8 %
$on+t know. 0ny as long as it+s not eCpensi'eA
Sp2: alitaka simu(
Swa: alitaka simu(
Eng: They wante$ a phone(
Sp1: Eeh# sasa 'ile tukapatana na akina mike# kama wametoka $ri'ing# eeh ikabi$ii
kuna simu ingine mbuyu anataka kumuzia# huyo mbu$a anataka kumukin$ia.
Swa: Sasa 'ile tulipatana na mike na wenzake# kama wametoka kue$esha gari# ikabi$ii
kuna mzee mwingine alikuwa anataka kumuzia.
Eng: hen % met mike an$ his frien$s# they ha$ !ome from $ri'ing. .ow there was a
man who wante$ to sell for him.
Sp2: 6ophone(
Swa: Simu ya mkono(
Eng: 6obile phone(
Sp1: 6mh simu lakini hiyo $oo yake hawezi toboa.
Swa: .$io# simu lakini hiyo pesa yake hawezani nayo.
Eng: 9es# that phone.
Sp2: .i mapinga(
Swa: .i ngapi(
Eng: How mu!h(
Sp1: Si"ui aliambiwa ni thirtyEfi'e8
Swa: Si"ui aliambiwa ni elfu thelathini na tano..
Eng: % $on+t know % think it was thirtyEfi'e8
Sp2: ThirtyEfi'e siemens( siku hizi watu wananunua simu na pesa ki$ogo.
Swa: Themanini na tano siemens( siku hizi simu watu wananunua simu pesa ki$ogo.
Eng: ThirtyEfi'e siemens( These $ays people are buying phones 'ery !heaply.
Sp1: 0nakwambia "oo# alafu kwanza ni bila !harger.
Swa: 0nakwambia# alafu kwanza haina )!harger+.
Eng: He tol$ you an$ then it has no !harger.
Sp2: Hi'yo hi'yo# alafu tuanze kuongea !harger hapa.
Swa: Hi'yo hi'yo# alafu tuanze kuongea mambo ya )!harger+hapa.
F
Eng: The way it is# then we start talking about the !harger now.
Sp1: %likuwa mimi# 6ustafa# 6turi mwingine beste yake# sister 3orine# na kaboy
kingine# na 6aureen# sasa tulikuwa tunaru$i hi'i# kutoka hi'i kwa akina 6ustafa#
sikuwa guage# sina!ome hi'i# kuku"a hi'i# sasa hakubuy# waka!ome hi'i#
situnateremka hi'i# kutuona hi'i wakapiga !orner# na una"ua wanaru$i a"e# mpaka
hi'i kwa shops# waru$i hi'yo wakapenya hapo nyuma ya shops# hapo kwa akina
roba# wali'uka hi'yo.
Swa: %likuwa mimi# 6ustafa# 6turi# na mwingine rafikie# $a$ake 3orine na ki"ana
mwingine na 6aureen# sasa tulikuwa tunaru$i hi'i# kutoka hapo kwa akina
6ustafa# sikuwa mle'i# naku"a hi'i# hao wakaku"a hi'i sasa tunateremka hao
kutuona wakapiga !orner. 4na"ua waliru$i a"e# ha$i pale kwa ma$uka# wakaru$i
hi'yo wakaingilia hapo yuma ya ma$uka hapo kwa akina @oba# walien$a hi'yo.
Eng: %t was me# 6ustafa# 6turi# another frien$# 3orines sister# another guy an$
6aureen# now we were !oming this way from 6ustafa )s pla!e# % was not $runk#
we were !oming this way# they !ame this way when they saw us# they !hange$
an$ took a !orner# they went ba!k to the shops an$ went through behin$ the shops
at @oba+s pal!e# that is how they went.
Sp2: 6tisko mgani huyo(
Swa: 6s!hana mgani huyo(
Eng: hi!h girl(
Sp1: 0nataka nimufuate mpaka huko# eeh nikamwambia wa!ha ahepe# siwezi
kumupiga magoti# siwezi# ye si Go$ unaona# siwezi kuwa na worship go$ wawili#
kama wa pili atafanya ni none wa!ha ni baki na huyo mo"a# onaona wa!ha ni baki
na huyo mo"a nimumanage# lakini huyu# kwani amegeuka mungu wa pili# mpaka
,ena ananiabia sii hi'o# unawa!hana na mtu# ,abu ilibi$ii# ilibi$ii babu# unaweza
hangaika# ni kamwambia mimi lab$a wewe# lakini kwangu siwezi weka ombus#
"uu# wako wengi# onaona# namwambia $ame simtu wakufanya uhangaike ata
kama umemupen$a a"e afa$ahli ata mimi ni suffer nimusare# ata kama ni painful
muwa!he afterall wako wengi wako wengi kama mathree.
Swa: 0nataka nimfuate ha$i huko# nikamwambia wa!hana na yeye ahepe siwezi
kumupigia magoti# siwezi yeye siyo mungu# siwezi kuwa na mungu wawili kama
wa pili atafanya ninone wa!ha basi ni baki na mo"a# wa!ha ni baki na huyo mo"a
nimutumikie# lakini huyu kwani amegeuka mungu wa pili. Ha$i ,ena ananiambia
siyo hi'yo# lazima babu# unaweza kuhagaika# nami nikamwambia mimi( 3ab$a
wewe# lakini mimi siwezi bembeleza msi!hana sababu wako wengi# msi!hana
siyo mtu wakufanya uhangaike hata kama unapen$a a"e heri mimi niumie lakini
nimuwa!he# hata kama ni u!hungu mwa!he? ako wengi# wako wengi kama
matatu.
Eng: She wants mw to follow her there# % tol$ him to forget about her# let her go# %
!annot kneel to her# she is not go$# % !annot ha'e two go$s if the se!on$ go$ will
make me grow fat let me then stay with one# let me stay with one who % will
manage# has she turne$ to be a se!on$ go$. ,ena tol$ me not to be like that that %
woul$ suffer# % tol$ him me( 6aybe you# % !annot beg a woman# they are many# a
H
woman is not someone to make you suffer# e'en if you lo'e her so mu!h % woul$
rather get hurt an$ lea'e her# e'en if it is painful lea'e her# after all they are many#
they are many# "ust like matatus.
Sp2: Hehe# ombus ni wengi ni kama mathree# kuna Halwa hapa# kuna 5ruz# eeh# kuna
ata ya wanga hapa# :ush# kuna mpaka ya wanga.
Swa: asi!hana ni wengi ni kama matatu# kuna Halwa hapa# kuna 5ruz# kuna hata
mpya hapa# ):ush+.
Eng: Girls are many like matatus# there is Halwa# 5ruz# there is e'en a new one#
-:ush+.
Sp1: .a kama nien$e mpaka Eastliegh afa$hali hi'o# upan$e maganya# eeh za wanga.
&uru$i hi'i akaen$a hi'i.
Swa: .a kama lazima nien$e ha$i Eastleigh afa$hali hi'yo# nipan$e gari mpya. &uru$i
hi'i akaen$a hi'i.
Eng: E'en if it means % go upto Eastleigh to take a new matatu. She !ame ba!k an$
went this way.
I

You might also like