You are on page 1of 8

JERICHO B23

TIME 00.00 11.00


Interviewer: James Nyaga
Interviewee: Evis
Ot!er "#ea$ers: %at
Nyg: si aka jipaka na aka toka tu kama kawaida,e eeh,eeh,kwa meza, dame amekaa
iside na ye hiside.
Swa: sasa akajipaka na akaondka kama kawaida, msichana amekaa pande hii na yeye
pande ingine.
Eng: He applied it and left like it was just normal, the girl was sitted on this side and
the guy on the other.
Elivs: egi ulimaliza!
Swa: Sigara imeisha!
Eng: "he cigarette is finished!
Nyg: #lisha kitam$o.
Swa: #lisha kitam$o.
Eng: #t finished long ago.
Elivs: siuko na fegi, si useti.
Swa: %kona sigara, wakisha.
Eng: &u have a cigarette, light it
Nyg: Eeh, na akaenda kujikalisha unajua ile ku'e(ecutive ile anaenda unakikalisha ati
eeh sasa, fiti eeh, eeh, eeh na hiyo ndivyo alikaa hiyo pande ingine eeh, na stori
ikaanza ku$am$a na mimi nikatoka pale kwa counter nikajiekeleya, ah ha ha ha
ha namwingine akacome na mimi pia hiyo, ....natuli$e$a kwani eeh, unasikia kitu
ya indi, heh, tuliwa$e$a wote, poa $ila shida, nika kitu ulikuwa imepangwa, na
kaa kitu ulikuwa impegangwa, heheheh, ala, ni kama kitu ilikuwa imepangwa
ilikuwa imepangwa tutaenda hiyo klu$u, tuwende to furute....eeh.
Swa: Eeh, akaenda kukaa, akamusalimia na akaa kari$u naye na wakaanza kuongea.
)imi pia nika kuja nikakaa na mwigine akakaa. Natuliwa$e$a, tulikuwa ni kama
tulikuwa tumepanga.
Eng: He went and sat there and started talking to her, # also went there and joined them
someone else also came, and we carried them, just like we had made earlier
arrangements.
Elivs: *wa $uu sasa kwa $uu ndio ni noma, kwa $uu kutana na masmarter.
Swa: *wa $asi ndio m$aya, kwa $asi kuna wezi wajanaja sana.
Eng: #n $uses it is very $ad, in the $us their are crooked thieves.
Nyg: Na hizo vitu hufanyika sana mtu akitravel.
Swa: Na hizo mam$o hufanyika sana mtu akisafiri.
Eng: "hose things happen when people are traveling.
Elivs: Hata huwezi kataa, chali mwenye ni smarter, mmh, minakwam$ia anakukulia
hapa maeclairs, hapo, hizo ni para yake hizo pop, mmh, alafu unamwam$ia nipe
eaclairs moja anakupatia ile amefanya hiyo, hizo uhappen sana watu wakitravel.
Swa: Hata huwezi kataa, kijana hao ni wajanja, nakwam$ia anakula peremende hapo
alafu unamwam$ia akupatie peremende, hivyo ndio watu wakisafiri hufanywa.
Eng: &ou cant refuse those thieves are clever they sell for you sweets in the $us, and
sell to yu the poisoned ones, that usually happens to travelers.
Elivs: %najua mi nilisomea ocha, shule, tangu sijawahi, tangu tu $udangu aniam$ie
nikienda form one, ikona mtu kwa $asi ......... niko hivyo ever since, nakuanga tu
hivyo, ata kwa lift, atu eh sasa.
Swa: %njua mimi nilisomea shule ya masham$ani, tangu nikiwa kidato cha kwanza
$a$a yangu alinikataza kusemesha mtu yeyote kwa $asi, mpaka sasa mimi
nakuanga hivo, hata kwa lifti.
Eng: &ou know # went to school upcoutry, ever since # was in form one my father
warned me never to talk to any$ody in the $us even now # still don+t, even in the
lift.
Elivs: *wetu $ado kuna wagondi wengine hutokea huko wanakuja wanaona huyu ni
smarter, umekuja ku$ook easy coach sasa. easy coach ukoivyo ni soo sa$a, mmh,
hao ukuja left kwa huyo, hiyo ni dingo smarter eeh, na la$da ni mlami, ama wasee
wanajua ni mtu wa $iashara fulani na anapeleka vitu.
Swa: *wetu $ado kun wezi hukuja kama unanunua tikiti ya $asi wanakuja
wanachukuwa nafasi kando na wewe, hao wezi ne werevu, wana chukuwa kari$u
na mzungu ama mtu wa $iashara.
Eng: ,ur place has thieves who are very clever, they see you $ooking a $us ticket they
$ook a seat ne(t to you, especially if you are a whiteman or a $usinessman.
Nyg: ...-ale wa". wa vitungu na majumu.
Swa: *ama wale watanzania wa vitungu na viatu.
Eng: /ike those "anzanian $usinessmen who sell onions and shoes.

Elivs: )ina kwam$ia joo, hata ule mtu tuliona kwa news juzi, eeh, alipatiwa tu sweeti.
Swa: )imi na kwam$ia hata ule mtu tuliona kwa ha$ari juzi, alipatiwa peremende.
Eng: # tell you even the one we saw on the news he was given a sweet.
0at: Eeh, nilisikia hiyo stori.
Swa: Ndio nilisikia hiyo ha$ari.
Eng: &es # heard that story.
Elivs: 1likuwa anatoka kwa $asi, jusi, eeh jusi.
Swa: 1likuwa anatoka kwa $asi.
Eng: He was coming from the $us.
Nyg: -acha hiyo kuna ingine ya kifala nilisikia, unaweza sikia ni ya kifala, lakini hao
ma dingo ni wa smarter, unajua walifanya aje, unajua walifanya aje, washaingia
kwa $uu, wali.. kuna m$uda fulani alikuwa anafanya hii nini $iashara ya kahawa,
sasa wakamtime, ashakuja na kahawa ashawachiwa sasa anapanda $uu sasa
anarudi, wanamfata, eeh sasa unajua ni ukikuyuni thika road alafu unajua mathare
nayo ilitolewa ikapelekwa pale thika road, washaingie pia kwa hiyo ndae tu
vizuri, mavijana wawili wameingia tu poa wamekaa na huyo $uda, $uda amekaa
m$ele na hao nyuma.
Swa: -acha nikuwa$ia hadithi ingine, unaweza kufikiri ni ya ujinga lakini hao wezi ni
waerevu sana, unajua walifanya nini, waliingia kwa $asi, sasa kulikuwa na msee
fulani alikuwa anafanya $iashara ya kahawa sasa wakamufata, alikuja na kahawa
akauza alafu akapanda $asi ya kurudi sasa akirudi wanamfata, sasa unajua $asi za
*ikuyu hupita $ara$ara ya thika alafu unajua pia hospitali ya mathare
ilihamishwa hapa kwa $ara$ara ya thika. Sasa wakaingia ndani ya hiyo $asi pia
walikuwa vijana wawili wamekaa na huyo msee, msee alikaa m$ele na hao
nyuma.
Eng: /et me tell you another story, you might think it is a stupid story, $ut those
thieves are very clever, do you know what they did, they took a $us, there was a
man who was in the $usiness of coffee now they followed him. He came with his
coffee and sold it then took a $us to return, they followed him. Now this $us to
kikuyu uses "hika road and you know that )athare hospital was moved to "hika
road. So they also alighted the $us with the man and took their seats, the man sat
in the front and the two thieves $ehind.
Nyg: Ndai ikashona, ika$aki sasa ni maganji, maganji siwakaanzia huko nyuma waka
anza kwa hao ma$oys, wakam$ia hao ma$oys maganji, ma$oys wakatoa maganji
ya watatu, watatu, wakam$ia niaje, na ule $uda amekaa hapo m$ele na waka
lenga. Sasa $uda kufikiwa ye anataka kutoa ganji, akam$iwa mzee umelipiwa,
sahii aka ona , aah asante, eeh eeh, sasa washanza concordi niaje, unaona ule
$uda $uda ule, huyu ni $uda yetu, lakini ye ua anachizi, sasa alichizi home
kunavile ametulia sahii, tunampeleka wapi mathare, sasa sazingine tukifika pale
mathare tukimwam$ia ashuke sa$a$u anajua anaweza chizi tena, 2wamesikiza
donda3eeh, sasa tukifika pale mathare we simamisha gari na usaidie ashuke,
ashuke, unaona, concordi anasema aah sawa, simumelipia mpaka $uda. ndai ni ha
hahahah mathare.
Swa: 4ari ikajaa, sasa watu wakanza kulipishwa, wakaanza kulipisha nyuma,
wakalipisha hao vijana, hao vijana wakalipa watu watatu, wakaam$ia huyu
condacta wanalipia hule msee amekaa hapo m$ele na wakanyamaza. Sasa yule
muzee alitaka kulipa, akam$iwa amelipiwa, sasa akafurahi, akasema aah asante.
Sasa hao vijana wakamueleza yule conducta kwam$a huyo msee ni $a$a yao, na
yeye ni kushikwa na wazimu, alikuwa wazimu nyum$ani lakini kwa sasa ametulia
tukifika pale mathare tukimwam$ia ashuke sa$a$u anajua hapo atakataa kushuka,
sasa tukifika pale mathare wewe usimamishe gari ana usaidie kumshukisha. Sasa
conducta alisema sawa, sa$a$u pia mumelipa nauli ya msee.
Eng: "he $us was full and now they started collecting the fare, they started collecting
from $ehind. "hey asked the two men for the fare, they paid for three, for the man
sitting there in the front. So when the old man wanted to pay he was told that his
fare was already paid for, he was happy and said 5thank you+. So they told the
conductor that that old man was their father and sometimes he $ecomes mad, he
had $ecome crazy at home and for now he had settled for a while, they told him
that they were taking him to )athare, so when they reached there the old man
would refuse to alight, so they told him to stop the $us once they reached and help
to move the old man,. "he conductor agreed since they had paid for his fare.
Nyg6 Hapo dondoa7 sima$oys wako chini, 8ati $uda shuka9, 8ah misijafika9 siunaona
sasa unaona sasa tulikuwam$ia..hahahahahah haiwezekani eeh asham$ia $uda
shu...shuka $uda hapa aahahahah, inje sasa unajua ni nguvu inje $uda hahahahah
wale machali pia ni hahahah na wana piga kwa m$o $osho na ndai ikaenda, wale
machali wakaachawa hapo na $uda na nyafura walimuyafura kama one fifty one
fifte na waka muwacha hapo na waka inuwa tu roho safi... ehhehehe, oooh,
unasikia watu wanaishi na wewe, 2hiyo ni gethafu3 siku hizi kuna vijana wanaishi
na wewe mpaka unashindwa sasa.
Swa: 4ari kufika vijana wakashuka, conducta akasema, 8 mzee shuka9, 8 hapana mimi
sijafika9 siunaona sasa tulikwam$ia sasa walitumia nguvu kumtoa inje alafu wale
vijana wakanza kumpora mifuko, $asi ilienda wakawacha hao vijana na yule
mzee. -alimui$ia, elfu mia moja hamsini, na wakamuwacha huyo mzee hapo
wakaenda zao. Nakwam$ia watu wanishi na wewe, siku hizi vijana wanaishi na
wewe mpaka unashindwa sasa.
Eng: -hen the $us reached the two men alighted then the conductor said to the old
man, 8 old man alight9 he said, 8no # have not reached9, look now what did we
tell you, they forced the old man out and the $us went and left him with the two
men, they stole from him one hundred and fifty thousand and left him there and
went their way, those thieves know how to live with you, these young men know
how to live with you.
Elivs: :ijana wasiku hizi ni wajinga ka$isa.
Swa: :ijana wasiku hizi ni wajinga ka$isa.
Eng: &oung men these days are very stupid.
Nyg: *itu haikuni$am$a ni hii ya watu kuliwa uliwa alafu ngom$e zinkuja kupatikana
tena wapi, hiyo naye si stori poa.
Swa: )am$o am$ayo ilinikasirisha ilikuwa ya watu kuwawa alafu ngom$e
zinapatikana hiyo si mam$o mzuri.
Eng: Some news that did not please me where the killings then the lifestock is found
that is very $ad news.
,the: Na $y the way hiyo uwanga plan, yaani ni game plan imepangwa, akuwangi msee
anatoka tu, eeh huwezi amka unatoka ati $am$a $am$a eehee, sijui twende;
Swa: Na hiyo huwa mpango. Huwa imepangwa, siati mtu anatoka tu, huwezi amka
unatoka eti chukuwa chukuwa; sijui twende;
Eng: %sually they have planned. "hey have a game plan. "hey cannot wake up and say
take this take that and go;
Elivs: *wanza hiyo )arsa$it ndio noma.
Swa: *wanza hiyo )arsa$it ndio shida.
Eng: "hat )arsa$it is $ad.
Ngy: Hiyo )arsa$it kwanza;
Swa: Hiyo )arsa$it kwanza;
Eng: "hat )arsa$it is $ad;
.
Elivs: Eeh huko ni game joo, huku chini ma<S% wamemwago huko m$aya, wako hivi,
m$aya, eeh, lakini unawapata pia wanagwaya, wakingia ndani ya hao wanapata
watu wamededi m$aya.
Swa: Ndio huwa mchezo, huku chini <S% wameletwa huku wengi sana lakini pia
haohuwa wanaogopa wakiingia ndani ya nyum$a wanapata watu wamekufa.
Eng: "hat+s no game, down there they have $rought many <S% policemen $ut they are
also afraid when they enter the houses they find dead people.
Nyg: Na wale hawaachangi kitu yote inaishi kama imesimama.
Swa: Na wale hawa wachi kitu yoyote inasihi kama imesimama.
Eng: "hose who never leave anything living standing.
Elivs: =ado ......eeh. $ado inaendelea.
Swa: Na $ado inaendelea.
Eng: No, it is still continuing.
,the: %najua north'eastern ndio sailing $ridge ya majeshi, ukikuwa karao unstart tu
<S% hivi lazima utumue huko, ukishato$a huku hakuna place ingine itakushinda,
ukitoka keep alive huko na urudi ujadie.
Swa: %najua north'eastern ndio mahali ya mafundisho ya majeshi, ukikuwa polisi
lazima upelekwe huko, ukishato$a huko hakuna mahali pengine itakushinda.
Eng: &ou know north'eastern is where police go for practice. &ou have to $e taken
there once you have survived there you can survive anywhere.
Elivs: )i nilikuwa nilikuwa nep last year dec, niliona siku refu, hehe, >ec mpaka
<anuary yote nilikuwa nep.
Swa: )imi nilikuwa 5North Eastern+ mwaka jana, niliona siku refu, >ecem$a mpaka
<anuari yote nilikuwa 5North Eastern+.
Eng: # was at North Eastern last year, # have never seen a long day, >ecem$er upto
<anuary # was in North Eastern.
,the: %likuwa e(ile!
Swa: %likuwa jela!
Eng: #n jail!
Elivs: Si e(ile nilikuwa works, nilikuwa honra$le a$dulahi dahir, huyo ni shadow
minister wa kazi, alikuwa anakuja tunakaa na huyu jamaa sahiyo $uda
ashatuwacha , si ushakushow iyo picha eeh;..
Swa: si jela nilikuwa kazi, nilikuwa na muhesimiwa a$dulahir alikuwa anakuja
tunapuzika na yeye huko, sasa unajua $a$a alituwacha. sinilisha kuonyesha hiyo
picha;;..
Eng: Not in jail # was working, # was with the hon. 1$duldahir, we were staying with
him there. ,ur dad left us there. # showed you the pictures;;.
?.@A
Nyg: Sahi siunakum$uka time ile pia mi nilikuwa marsa$it, huku kwenywe watu
wamekatatana huku, mpaka wakionyesha hivi najua nilikuwa hapa, heheh, eeh
nishapita hapa, hapa nishapita. Huko ni noma, huko vum$i itoka hapa chini
mpaka hapa mzee, vum$i, nilikuwa na hizi $ooti hizi lakini vum$i inaingia ndani,
unakanyaga hivi yanni mguu inalostia, eeh, nilikuwa nimeeda production fulani,
huko ni noma. Huko unaangalia kutoka hapa mpaka city stadium unaona cactus
na vum$i, hehehehehhe, wounasema nini cactus na vum$i, unaona scene ingine
uonaona eeh, ni zile meuona kwa ":, alafu ukiona keja ukiona, keja ni zile
manyatta, unajua ni ma'miti miti matawi matawi zimekunja hivi karound sasa
unakaona kakitu kadogo huku, kavillage unaona huto tu keja kama tu inne unajua
hiyo ni village moja.
Swa: Saa hizi unakum$uka ile siku nilikuwa marsa$it, huku kwenye watu
wamekatakatana hata wakionyesha hivi mimi nilikuwa nimetem$ea huko. Huko
ni ku$aya. huko vum$i ni mingi sana. Nilikuwa na hizi $ooti zangu na vum$i
ilikuwa inaingia ndani, ukikanyanga mguu inapotelea kwa vum$i. Nilikuwa
nimedna kuchukuwa filimu huko. 1lafu nakwam$ia nyum$a za ni zile manyatta
zimetengeneza na miti na matawi zinakunjwa kwa mviringo. %naona kitu ndogo
mji moja unapata manyatta kama nne
Eng: Now do you reme$er the time # was there at marsa$it where they showed people
who have $een killed # have passed there. "here it is a $ad place, the dust is so
much it reaches you here, you see these $oots # am wearing, the dust was going
inside, you take a step and your foot is swallowed $y the dust. "heir houses are
manyattas, they $uild them with trees and leaves and $end them into a circular
hut. &ou see a small thing and it+s a village with four huts.

Nyg: "ena utaenda mzee utaenda ndio uone tena ingine. Na we unasikia kuna stori
ingine tumeenda tumeenda tuko kwapark fulani tukakutana na maasai wengine
wamejipaka red, kichwa yote, nywele nywele alafu wamevaa zile mashuka zao
zile, eeh, yaani ukiwangalia unauona wanakaa suspicious. wame$e$a mamikuki
mikuki.
Swa 1lafu utaenda sana ka$la kupata mjii ingine. Siku ingine tulienda huko kule
wanyama hufungia tukapatana na maasai wengine walikuwa wamejipaka rangi
nyekundu kwa kichwa yote alafu wame valia shuka na walikuwa wame$e$a
mikuki.
Eng: "hen you will travel very far $efore you come to another village. "hen one day
we went to the park and we met some maasai men, they had painted their hair red
and were carrying spears, they look very suspicious.
Nyg: Sa kuna chali mwengine alikuwa anatwam$ia vile kunaenda huko, si sisi
tushaanza kuwarecord, ooh wacha machali walete noma, 8unachukuwa picha
yangu woria eeh navile nitauza mimi9hehehehhhehe weeee, wacha anze kuruka
hivi, eeh, rungu sijui anafanya aje na...amelete noma m$aya, ule chali muko
nayeye anawam$ia vile kunaenda ameingiza tete, eeh, hee unashindwa kunaenda
aje sasa. ndiyo ika$aki sa akaanza kue(plain , haahahaha, wakatulia, tukawapiga
maganji tukawapiga maganji wakatulia. Sasa ndio waka anza kutuam$ia stori ati
wanaenda kumarry, wanaenda party ya kumarry chali yao mwingine ameleta
wife. eeh sasa hao wametoka wanakwam$ia wanatoka kitu kaa .. akue(plainie ye
ametem$ea kitu kama thirty miles, thirty miles, unjua nikama kutoka nakuru, kitu
kama nakuru mpaka hapa, ametem$ea hiyo distance na $ado anafaa aende kama
ten ndio afike kwa hiyo sherehe. aende kwa hiyo sherehe sasa.
Swa: Sasa kuna mtu mwengine alikuwa anatueleza vile kunaenda huko, sisi tukanza
kuwachukuwa wacha hao wamasaai watoe hamaki, 8 m$ona munachukuwa picha
yangu9 akaanza kuruka kama ana zungusha rungu yake, amekarisrika sana, yule
mtu tulikuwa naye amewaogopa tuka shindwa kunaenda aje, halafu akawaeleza
vizuri wakatulia tukawapatia pesa. Sasa ndio wakaanza kutuam$ia kwam$a
wanaenda harusi rafiki yao anafanya harusi, walikuwam$ia kwam$a wametoka
sehemu m$ali sana na $ado walikuwa wako m$ali kufika kwa hiyo sherehe
Eng: -e had someone who was guiding us there, now we started recording them, they
got very mad at us, 8 where are you taking pictures of us, you Somali9 one started
jumping up and $randishing his fighting stick, they guy guiding us $ecame so
afraid, $ut he managed to calm them down and we gave them money and we
$ecame friends. "hey told us that they were going to a wedding party, they had
walked like from here to Nakuru and they still had to cover around BC miles to
where the wedding was taking place.
Elivs: Hao ni madongera... eeh hao ni machorme wote.
Swa: Hao ni matajiri. hao uwa matajiri.
Eng: "hey are rich. "hey are very rich men.
Nyg: 1na ngom$e kama anaweza kukwam$ia ana ngom$e kama ACC ngom$e.
Swa: 1nawezakuwa na ngom$e kutoka mia sita.
Eng: "hey have from around ACC cows.
Elivs: Hao ujua kwa forest ......wana kaa na magom$e huko kwa forest.
Swa: Hao unajua ni kwa msitu;.wanakaa na ngom$e huko kwa msitu.
Eng: "hey are in the forest. "hey stay with them in the forest.
Nyg: %najua huko means of transport ni nini! ni hizi malorri hizi lori ku$wa hizi kama
za makaa. alafu hizo lori zinatransport pia ngom$e, sasa chini unjua sasa kwa lori
sasa ndani ni magom$e ma$uzi midi $idi zimejaa huko ndani, sasa watu
wanakaanga huko juu kwa reli hata mpaka mamatha..hehehehe,wacha hapa
munapanda mathree eeh, huko ni life ingine
Swa: %najua huko lori tu ndio njia ya kusafiri, hizi lorri ku$wa kama za makaa, alafu
hizo lorri hu$e$a ngom$e, sasa chini ndio ngom$e zina$e$wa alafu sasa watu
wanapanda huko juu kwa reli hata wanawake, wacha hapa munapanda matatu,
huko ni maisha ingine.
Eng: &ou know there the means of transport is these $ig lorries which carry charcoal.
"hey also carry cattle and sheep now people sit on top of the rails even women,
not like here they take matatus+. "here it is another life.

You might also like