You are on page 1of 1

WIZARA YA UCHUKUZI

MAMLAKA YA HALI YA HEWA


S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 07/05/2014.

[Mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya Mawingu, Mvua katika baadhi ya
maeneo na vipindi vifupi vya jua

[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:


Hali ya Mawingu, Mvua katika maeneo
machache na vipindi vifupi vya jua

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Njombe]:


Hali ya Mawingu Kiasi, Mvua katika
maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Kigoma, Kagera na Mwanza]
[Mikoa ya Shinyanga na Mara]:
Hali ya Mawingu Kiasi, mvua na ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya
jua

[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya Mawingu Kiasi, Mvua nyepesi
katika maeneo machache na vipindi vya
jua

[Mikoa ya Tabora, Rukwa na Ruvuma]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
ANGALIZO:
1. VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO YA MWAMBAO WA PWANI YA KASKAZINI.
2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAOFIKIA META 2 UNATARAJIWA
KATIKA PWANI YOTE.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu
cha joto
Kiwango cha chini cha
joto
Mawio
(Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA 23C 17C 12:32 12:30
D'SALAAM 30C 24C 12:25 12:15
DODOMA 28C 17C 12:38 12:30
KIGOMA 31C 21C 01:01 12:55
MBEYA 23C 11C 12:50 12:36
MWANZA 29C 17C 12:45 12:45
TABORA 30C 18C 12:49 12:43
TANGA 29C 23C 12:24 12:18
ZANZIBAR 29C 23C 12:25 12:15

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini;kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 09/05/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 07/05/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

You might also like