You are on page 1of 1

Kutoka13:17 Ilikuwa hapo Farao alipokwisha kuwaacha watu hao waende zao, Mungu

hakuwaongoza kwa njia ya nchi ya Wafilisti, ijapokuwa ilikuwa ni ya karibu; maana


Mungu alisema, Wasije wakaghairi watu hawa hapo watakapokutana na vita, na kurudi
Misri;
Mungu hakuwaongoza kwa njia ya nchi ya Wafilisti
ilikuwa ni ya karibu
Wasije wakaghairi
Watakapokutana na vita,
Na kurudi Misri.

B
Aliwaongoza njia ya jangwa
Ilikuwa ndefu
Haikuwa na vita
Wasingeweza kughairi
Na kurudi misri

You might also like