You are on page 1of 2

HIGH COMMISSION OF THE UNITED REPUBLIC OF

TANZANIA
Simu: 012- 342 4371/93
Faksi: 012 430 43 83
Barua Pepe: info@tanania!or"!a
#a$oi@tanania!or"!a
%%%!tanania!or"!a
822 GEORGE AVENUE
P.O. BOX 56572,
ARCADIA 0007,
PRETORIA

PRESS RELEASE
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini
Afrika Kusini unatangaza kushiriki kwa Makampuni 14
ya Afrika Kusini katika Maonyesho ya Kimataifa
(sabasaba !" Juni # $ Julai% !&14'
(an)a la Afrika Kusini litazin)uliwa rasmi tarehe *& Juni%
!&14' Makampuni yanayoshiriki yana+ihusisha na u+enzi%
usafirisha+i% upima+i ramani% kemikali% mashine za
matofali% ,ifaa ,ya usalama#milango% grill% safe na pampu
mbalimbali'
Kwa taarifa zai)i tupate kwenye anuani-
balozi.tanzania'org'za au info.tanzania'org'za na simu
&27 12 342 4'(2 au &2'' 71' 221 177'
WOTE MUNAKARIBISHWA

You might also like