You are on page 1of 4

Pale elimu inapokuwa ujinga ulioboreshwa; mlundikano wa vyeti

hutukuzwa na jamii huangamia


Denis Mpagaze
Kiongozi
Aniceth Mihambo Ngelela, katika kitabu chake kiitwacho, Mwalimu Nyerere:
Falsafa na Uhai wa Taifa, uk 38 anasema, Elimu lazima izae matunda katika
jamii ndipo iitwe elimu, iwapo haiwezi kuibadilisha jamii na kuitatulia
changamoto zake, basi ni ujinga uliobo!eshwa" #abda niongezee tu kwamba
kiwango cha juu kabisa cha ujinga ni majungu na si$o maendeleo" %ata
&anza 'tone ameimba sana tu kwamba, elimu $a mjinga ni majungu" (wa
nini nasema hi)i* +akati sehemu n$ingine duniani wasomi wakitumia muda
wao mwingi ku,an$a kazi za kita-ti zinazoendana na elimu zao, kwa .anzania
tumekuwa tukishindana kukusan$a mi)$eti tukidhani si,a"
/nakuta kijana kasoma )izu!i kabisa shahada $ake $a elimu, sasa badala $a
kwenda kuitumikia jamii, utamsikia kashaenda kuchukua shahada $a
udhamili 0Mastes 1eg!ee2 tena $a kitu to,auti na alichokisoma kwen$e ile
shahada $a kwanza" 3aani mtu hu$ohu$o anataka awe mwalimu, dakta!i,
mwanauchumi na mjasiliamali, haiwezekani" /taskia maneno $a kuji,a!iji,
kwamba katika dunia hii inabidi ujuwe mambo mengi" %akuna lolote zaidi
$a ubabaishaji na wizi mtupu" %ata 4lato 4lato amewahi kusema, mo!e
plenti,ul and bette! 5ualit$ o, goods a!e mo!e easil$ p!oduced i, each pe!son
does one thing ,o! which he is natu!all$ suited, does it at the !ight time, and
is !eleased ,!om ha)ing to do an$ o, the othe!s"
.unapoteza muda mwingi kukusan$a )$eti amba)$o )inatutaka tuka,an$e
kazi mao-sini, kazi ambazo haziwezi kutatua matatizo $etu $a kila siku zaidi
$a kuliibia .ai,a" #eo hii kumkabidhi nchi msomi mwen$e lundo la )$eti
pasipo ujuzi ni sawa na kumpa -si bucha" Ndi$o hawa wasomii wa mi)$eti
kwa kuungana na matai,a mbalimbali wanain$on$a na kui-lisi nchi kwa
kuleta wawekezaji uchwa!a" Ndi$o hawa wasomi mawakili wanaosaidia wizi
na uchotwaji wa mali za watanzania" Ni wasomi wa )$eti ndi$o wameshindwa
kusimamia ukweli na kupotosha jamii kwa uwoga wao wa kupoteza kiba!ua"
%aiwezekani p!o,esa mzima ashindwe kuona tatizo na kuishia kuunga mkono
hoja kwa asilimia zote" %aiwezekani"
/najua msomi wa )$eti anashangaza sana" 3aani ha$uko hu!u kabisa, na
tunaowengi kwelikweli" +anatia hu!uma kwa sababu m,umo huu huandaa
wasomi mbumbu" %i)i ka!ibuni limeibuka wimbi la wasomi )ijana
wakijihusisha na siasa katika )$ama )$ao kwa kushangilia kila jambo ambalo
)iongozi wao wanatenda au kulisema hata kama ni la ho)$o na halina tija"
/kiwauliza kwanini* /taskia6 Mkuu tunaandaliwa kushika na,asi za ubunge
na udiwani hi)$o kupinga pinga kwingi kunaweza kukukosesha na,asi" #eo
ukitaka kutukanwa na hawa )ijana wasomi hebu ja!ibu ukosoe mwenendo wa
chama 7ani, utajuta kuzaliwa" Ni umbumbu"
Mungu aliumba ubongo uweze kuhoja na si )ingine)$o" 8ijana hawa hawana
mawazo bina,si ila wanamisimamo na mitazamo $a )$ama na )iongozi wao"
(wao ni ma!u,uku kupinga chama alichopo hata kama kinabo!onga" (wao
ukweli hautegemei uhalisia ila unategemea kiongozi kasema nini" 3aani
tume!udi kuleeee, kwen$e, zidumu -k!a za mwen$ekiti wa chama na za
wengine zidumae" %uu ni upuuzi" 8ijana kosoeni )iongozi wenu kila
wanapokosea" (ukosoa ni sehemu $a kubo!esha utendaji" /siogope kukosoa
eti kwa kuogopa utakuwa labeled Msaliti" 9amii inawategemea maisha
$anawezekana tu hata bila kubebwa na wanasiasa" (ijana msomi kutumiwa
kama ka!ani ni ujinga" /kiona wewe ni msomi na bado unategemea
kubebwa na wanasiasa uchwa!a, basi ujue wewe ni msomi wa )$eti na huna
mchango wowote chan$a katika jamii $ako"
9ohn :" (enned$, !ais wa 3; wa Ma!ekani, aliwahi kusemaLet us think of
education as the means of developing our greatest abilities because in each
of us there is a private hope and dream which ful!lled can be translated
into bene!t for everyone and greater strength for our nation"# .utumie elimu
kupambana na ujinga si$o mitihani na mlundikano wa) $eti )isi)$o na tija"
Ni aibu kwa ka!ne hii kusinda makanisani na misikitini kuomba m)ua in$eshe
wakati tumezungukwa na baha!i, mito na maziwa na mabwawa mengi tu"
(wa nini tusitumie elimu badala $a kumsumbua Mungu* <sama &in #aden
aliwahi kusema Mungu baada $a kuiumba 1unia, alitu!ithisha kazi hi$o ili
tuendelee na uumbaji ndi$o maana akatuumba kwa m,ano wake sasa basi
amelaaniwa $e$e asi$emuenzi Mungu kuendeleza uumbaji" %u$u bwana
anazungumzia hoja ngumu lakini, inamantiki nzito ndi$o maana
waliomuelewa Mungu leo hii wana,an$a maajabu 1uniani kwa ku)umbua )itu
mbalimbali" Mkamate sana elimu na wala usimuache aende zake,
inathibitisha kazi ali$otuachia Mungu $a kuitawala 1unia hii" %akuwa na
maana tuwe na mlundikano wa )$eti kama tuna)$o,an$a sisi" Mungu
alimuumba binadamu akiwa na akili za kutosha za kum,an$a atawale mambo
$ote $ali$omo 1uniani" 'asa inashangaza pamoja na elimu $etu tunakazana
kumuomba Mungu atusaidie badala $a kumuomba atujalie kutumia elimu
tuli$ona$o kuweza kujiletea maendeleo"
Napenda sana m,umo wa aji!a wa shi!ika la /tangazaji la &&=" %uwezi amini
&&= hawahitaji cheti cha aina $o$ote ili wakuajili, unachotakiwa ni kwenda
kama uli)$o na kuonsha unaweza ku,an$a nini" #eo hii &&= inapasua
mawimbi katika sekta $a haba!i lakini wa,an$akazi wake wengi hawajui hata
)$uo )$a undishi wa haba!i )ina,ananaje"
'asa sisi tumeshindwa kutatua matatizo $ana$otusumbua na kuwaachia
waganga wa kien$eji" >nahuzunisha" Mganga kutoka 'umbawanga,
anaondoa mikosi, na kuleta utaji!i ni matangazo amba$o uta$akuta kila
kona $a nchi $etu" Na wateja ni wengi sana, wasomi kwa wasiosoma
wamejazana" 3ote ha$a ni kwa sababu tumeta,asi!i elimu kama mlundikano
wa )$eti na si utatuzi wa matatizo katika jamii" Mwl N$e!e!e katika kitabu
chake, /jamaa ni >mani uk ?@ aliwahi kusema, mambo wana$o,undishwa
watoto wa shule za msingi $asipangwe kutokana na mambo ana$o$ataka
ku$ajua dakta!i, injinia,mwalimu, mtaalam wa uchumi, au bwana shau!i"
+atoto wetu wengi hawata,an$a kazi hizo kamwe" Mzee hapa alikuwa
anasisitiza watu wapewe elimu kulingana na uhitaji wa mazingi!a
wana$otoka" Ni ngumu kumuelewa" (ulingana na mazingi!a tulika!i!ishwa
shai!i len$e kiitikio, (ama mnataka mali, mta$apata shambani"
'asa we endelea kulundika mi)$eti na kupata heshima baa, badala $a
kujikita katika kutatua matatizo $ana$oisumbua jamii, utato hesabu" /najua
hapo n$uma jamii $etu likuwa na imani kubwa sana kwa msomi kiasi cha
kwamba kunawazazi waliuza mashamba na wengine kuingia kwen$e mikopo
mikubwa ili kusomesha"
Ni bo!a elimu $a mkoloni ili$omuandaa kijana kuikimbia nchi $ake kuliko
elimu $etu $a sasa ina$omuandaa kijana kuiibia jamii $ake" >nahuzunisha"
/kiangalia o!odha $a ma-sadi, wezi, wala!ushwa na wasaliti wakubwa ni
wasomi wen$e mlundikano wa )$eti" 'oma =8 zao"
%ebu tuache kuabudu )$eti na tuangalie msomi anaweza kuitumiaje elimu
$ake katika kutatua matatizo $ana$otusumbua" Msomi wa )$eti hutumia
zaidi mdomo, tumbo, macho, pua, ulimi na sehemu zingine za mwili badala
$a akili katika kutatua matatizo $ake"
1i!a $a maendeleo $a .ai,a imetoa jibu ma!idadi kuhusu elimu" >nasema,
elimu inapaswa kuchukuliwa kama silaha muhimu katika mkakati wa
kubadili -k!a na kujenga tai,a bo!a lilioelimika, lililojizatiti ba!aba!a kwa kuwa
na maa!i,a $ana$ohitajika kuweza kukabiliana kwa ushupa)u na we!e)u
mkubwa na changamoto za tai,a" (wa hali hi$o,m,umo wa elimu unapaswa
kubadilishwa na kubo!eshwa zaidi kwa lengo la kukuza ubuni,u na kutatua
matatizo
&adala $a kutumia muda mwingi kusoma )itu amba)$o ha)ina uhusiano na
maisha $etu $a kila siku hebu tujikite katika uhalisia wa maisha"
Mwandishi wa makala hii ni mhadhiri msaidizi na mkuu wa Idara ya mawasiliano na
uandishi wa habari Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Agustino cha Tanzania (SAUT) Songa.
Ana!atikana kwa dnis"m!agaz#yahoo.com$ %&'())'*+*

You might also like