You are on page 1of 3

Vile Ntafanya

Category: Nonini lyrics


Created on Monday, 07 September 2009 05:13
Hits: 3509
Artist: Jua Cali, Prezzo Nonini & Sylvia
Song: Vile Ntafanya
Verse 1 (Jua Cali)
kwa room yangu nimebandika picha zako kwa ukuta
nimepewa madawa kadhaa na mganga za kuvuta
hukumbuki juzi kwa saloon ukisukwa
nywele zako kwa mfuko kila siku nazinusa
nguo ukizianika tu hivi kwa kamba mi nayo kwa nyumba
bra yako ilipotea hujui ni wapi
mi ndio najifunga
hata siwezi kukuambia nini yako jana kwa basi nilikuwa nagusa
ndio huyo kwa korna yangu nimekunja uso hata konda haezi nisumbua
ile usiku kitu yoyote unafurahi kidogo tu mi naskia kujiua
ndio nakuambia Valentine's ikifika sitakununulia maua
wee ni manzi yangu wee ntakupatia matunda
fungua mdomo usiniulize ka ni tamu wee kula
fungua mdomo usiniulize ka ni ngumu wee uma
si ubaya utanipandisia kutafuta kwa nyuma
vile utashiba jo mi itabidi umenikumbuka
Jua Cali
lazima jo hii jina utaikumbuka
Jua Cali
Chorus
vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)
vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)

vile ntafanya (nikikuwaza)


Verse 2 (Prezzo)
nawapenda wo!
nawapenda wo wo...
te wakitaka wote watapewa mate
kama hautaki sema nikuhande
mimi na wewe tutafika mpaka penalty
chunga goalie
wee kamu
zima hiyo ___ kupe tamu tamu
___ tayari kuna rungu
na ___ tamu onja sio chungu
cheki mazee nilivokuwa m___
___ tu walahi sio sumu
after all,
it's good for you
niamini because it's true
mimi na wewe tu hadi juu mbingu
cloud number tisa poa 'tafika tu
what, what, poa 'tafika tu
cloud number tisa poa 'tafika tu
Chorus
vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)
vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)
Verse 3 (Nonini)
awe mnono au mkonda bado anatoa
awe mdogo au Wambui bado ntamwoa
napenda ule ana Afro
au ___

hata ka umeolewa kumbuka operation fagia


hapa hakuna kitu ka hiyo hapa ni operation ___
una watoi walete wote bado ntawa ___
jogoo ametuna rarua kuku na vifaranga
hatutaki zile hazina grip tunataka zile zinabamba
ka naongea ma___ funika maskio nabamba
nanikikuuliza,
nataka ku___
na nikikuonyesha
utataka
hakuna rules kwa hii game hata kwa kichaka
nakutana na wee supermarket hapo hapo nataka
bora wee ni manzi mpoa, usiwe kiraka
na una kifua ndogo
na nyi wa mahaga
usijali hizi line niliandika nikiwa mashada
sheets zangu ata jo ukizichafua
hizo jeans na ngotha jo hutachafua
ntakuwa nazipeleka wapi White Maua
White Rose
White Maua
Chorus
vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)
vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)

You might also like