You are on page 1of 1

SHULE YA SEKONDARI KASULU,

S. L.P 46,
KASULU.
16. 03. 2014
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA KASULU,
S.L.P 97,
KASULU.
YAH: OMBI LA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2015.

Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mtanzania mwenye miaka 31 niliyehitimu elimu ya juu
katika chuo kikuu cha waislamu morogoro mwaka 2014. Nilihitimu katika shahada ya sayansi na
ualimu katika masomo ya hesabu na jiografia. Kwasasa nimeajiria kama mwalimu katika shule
ya sekondari kasulu iliyopo wilaya ya kasulu mkoani kigoma.
Ninaomba nafasi hii ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura mwaka 2015
kwasababu ninauwezo wa kuandika kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza.
Naambatanisha vyeti vyangu vya taaluma pamoja na cheti cha kuzaliwa kama ushahidi wa
maelezo yangu hapo juu.
Natumai ombi langu kukubaliwa.
Wako katika ujenzi wa taifa.

KIBBI KASSIMU KIBBI.


0763695981 / 0719333342.

You might also like